BORA NIFE 8/11 | Season II | SIMULIZI ZA MAPENZI BY FELIX MWENDA.

  Рет қаралды 5,997

Simulizi Mix

Simulizi Mix

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@salmakea7797
@salmakea7797 3 жыл бұрын
Asante sana simulizi mix
@sellenasellena5475
@sellenasellena5475 3 жыл бұрын
Ramse alifanya vibaya kumficha lydia angemwambia haya yote yasinge tokea ila pole sana ramse👌👌👌
@tankboy9864
@tankboy9864 3 жыл бұрын
Mbona imeishia s2 ep8 kuendelea haiendelei Felix mwenda
@swabrinamwaka2437
@swabrinamwaka2437 6 ай бұрын
Ramso jikaze baba ❤❤
@brunojoseph7059
@brunojoseph7059 3 жыл бұрын
Hapo kweli bora nife
@latifamohamed3986
@latifamohamed3986 3 жыл бұрын
Jmn tupe muendlezo ...uwiii
@saragh1243
@saragh1243 3 жыл бұрын
Jamani felix umenifanya nicheke pole sana Ramsi
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 3 жыл бұрын
Shukran Sana simulizi mix mngu awabariki
@zainabubahati3976
@zainabubahati3976 3 жыл бұрын
Shukraan saana kaka Felix kwa muendelezo
@sikukuuabdallasikukuuabdal5278
@sikukuuabdallasikukuuabdal5278 3 жыл бұрын
Yaani nitam sana hii simulizi nafarijika sana shukran simulizi mix.
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 3 жыл бұрын
Hahaha mapenzi shikamooooo pole Sana Ramse
@highmajesty5466
@highmajesty5466 3 жыл бұрын
Tunasonga nayo asantee felix mwenda.
@mhabimina4023
@mhabimina4023 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥👌
@saomo2b627
@saomo2b627 3 жыл бұрын
Dhukrani sana
@brunojoseph7059
@brunojoseph7059 3 жыл бұрын
Pole sana Ramsey
@dullahsharif6739
@dullahsharif6739 3 жыл бұрын
Yaani ramse aende tu akhera
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jmn wanazengo hamna huruma na Ramsey 🤣🤣🤣🤣🤣
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimechek htr hhhhhha eti towa figoo alaa maneno maneno t 🤣🤣🤣🤣
@khadijamohammed2855
@khadijamohammed2855 3 жыл бұрын
Maskini ramsey anapitia maumivu ya mapenzi kama kheri
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 3 жыл бұрын
Tuko pamja alhamdhulillah 😍😍🙏
@semenimohamed8156
@semenimohamed8156 3 жыл бұрын
Duuuu watu wabaya sana
@joycekamau5188
@joycekamau5188 3 жыл бұрын
Fire
@umisidi1816
@umisidi1816 3 жыл бұрын
Kazi ipo hapa 🔥🔥
@salmazwallo8720
@salmazwallo8720 3 жыл бұрын
Duuh 3 boraa asate bro
@nervenb2831
@nervenb2831 3 жыл бұрын
Hahahahah nimesha fika
@sarahsarah4919
@sarahsarah4919 3 жыл бұрын
Ila lamse mm namhukum angemwambia mpenzi wake ukweli tangu mwazo kungekuwa hakuna shinda
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 3 жыл бұрын
Pole sana Ramsey ila makosa ilikua yako mbona hukuelezea Lydiah mapema story ya Evalida
@winniewairimu3822
@winniewairimu3822 3 жыл бұрын
Haki anani umenichekesha Felix eti maneno tu hatoi kiungo,mineno tuuuu
@aminamhina9129
@aminamhina9129 2 жыл бұрын
Nice
@zubydazad7646
@zubydazad7646 3 жыл бұрын
Wa 5 leoooo💃💃💃💃tunasonga nayooo
@uwimanaberyse4rgh502
@uwimanaberyse4rgh502 3 жыл бұрын
Simurizi mix shukurn san
@marymatanga2028
@marymatanga2028 3 жыл бұрын
Ndani ya muda 🥳🥳🥳
@mwanashazingas6684
@mwanashazingas6684 3 жыл бұрын
Hahaha jimi maneno mengi tu daadek
@ندوش-و2ك
@ندوش-و2ك 3 жыл бұрын
Asante sana simulizi mix jaman ramnsi pole kijana
@nasrahsamwely6871
@nasrahsamwely6871 3 жыл бұрын
Jimi toa Fiiigo 😂😂😂😂Felix mjinga Sana ww 🤣🤣🤣
@semenimohamed8156
@semenimohamed8156 3 жыл бұрын
Ramsy ungesema ukweli kwa lidya
@salhakristina9434
@salhakristina9434 3 жыл бұрын
Asante simulizi mix
@sarahsarah4919
@sarahsarah4919 3 жыл бұрын
Asateni Sana simlizi mix fellix mweda
@neemakadzo7855
@neemakadzo7855 3 жыл бұрын
Jamani Mapenzi yanatesa aki
@nibigiramwajuma7925
@nibigiramwajuma7925 3 жыл бұрын
Asante kwa muendelezo
@priscalameck8700
@priscalameck8700 3 жыл бұрын
Imeishia patam duuh
@pilishazycounterog8200
@pilishazycounterog8200 3 жыл бұрын
Atar jmn dunia hii inamambo asant kk felyx
@rayabulisaid432
@rayabulisaid432 3 жыл бұрын
Woow 15 leo
@zuusuley9112
@zuusuley9112 3 жыл бұрын
😙😙😙
@mwanahawahamis1321
@mwanahawahamis1321 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 3 жыл бұрын
Muendelezo tafadhali
@bintimrope
@bintimrope 3 жыл бұрын
Ramso nawe bwede sana ulichoacha kumwambia baby mama wako Lidia kama unalea mtoto wa rafiki yako kitugani😏😏ona sasa umesababisha kumuaminisha baby mama wako kama umezaa na mwanamke mwingine
@irenepeter6013
@irenepeter6013 3 жыл бұрын
Ramsey alikosea kumficha Lydia, kuhusu Evodia, ila ukweli haufunikwi kwa mchanga.
@mwanahawahamis1321
@mwanahawahamis1321 3 жыл бұрын
jamani ramnsi wangu😭😭😭
@munnahajey11
@munnahajey11 3 жыл бұрын
Watka ngumi wewe mbna wa mchkua Ramsey wangu😜😜🤣🤣
@sikukuuabdallasikukuuabdal5278
@sikukuuabdallasikukuuabdal5278 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@fatmaomar8203
@fatmaomar8203 3 жыл бұрын
Ni wangu mim😂😂
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 2 жыл бұрын
@@fatmaomar8203 😂😂😂😂😂
@bbrsssaad1282
@bbrsssaad1282 3 жыл бұрын
Duuuh
@Amanaoman
@Amanaoman 3 жыл бұрын
Simulizi mzur ila unaweka sana vipande vya mpira ☺
@haraisarajabu2311
@haraisarajabu2311 2 жыл бұрын
Amna bhana
@hasinaali4761
@hasinaali4761 3 жыл бұрын
Shukran
@sikukuuabdallasikukuuabdal5278
@sikukuuabdallasikukuuabdal5278 3 жыл бұрын
hii simulizi tamu tunasubiri season yapili sehemu ya 9 jamani morali unaisha
@vero756
@vero756 3 жыл бұрын
Huwenzi lazimisha mapenzi ata utumie njia gani??niya lottie na willy
@aminasuleiman3825
@aminasuleiman3825 3 жыл бұрын
tunasonga nayo
@marthajohn9120
@marthajohn9120 3 жыл бұрын
Asante simulizi mix
@aleemaleem2512
@aleemaleem2512 3 жыл бұрын
Asante kwa muendelezoo
BORA NIFE 9/11 | Season II | SIMULIZI ZA MAPENZI BY FELIX MWENDA.
43:27
NILIKUTANA NA SHETANI USO KWA USO: BY FELIX MWENDA
2:10:22
Simulizi Mix
Рет қаралды 6 М.
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
Their Boat Engine Fell Off
0:13
Newsflare
Рет қаралды 15 МЛН
DUNIA (Ep 37)
22:09
ASMA FILMS
Рет қаралды 459 М.
INSPECTOR KONYA 3 & 4 ; SIMULIZI YA KIPELELEZI BY D'OEN
2:04:17
Simulizi Mix
Рет қаралды 1,7 М.
Kibibi cha msituni2. by master
8:54
Simulizi za Huss*
Рет қаралды 2,1 М.
SIMULIZI FUPI: KAKA BY FELIX MWENDA.
1:34:51
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 17 М.
BORA NIFE 7/11 | Season II | SIMULIZI ZA MAPENZI BY FELIX MWENDA.
45:39
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН