BOSS TANROAD AJICHANGANYA KWA MAKONDA, ASHINDWA KUJIELEZA AKOSEA

  Рет қаралды 21,103

Millard Ayo

Millard Ayo

5 ай бұрын

Пікірлер: 55
@user-kr8uw1co7v
@user-kr8uw1co7v
Mama Samia naomba muongezee ulinzi makonda kazi yake nzuri
@jokhamohammed976
@jokhamohammed976 4 сағат бұрын
Hongera sanaaa makonda Kwa kazi nzuri 🌹🌹🌹kazi iendelee
@user-cm3ju5dx5r
@user-cm3ju5dx5r
Wanyooshe Makonda
@juliusndossa201
@juliusndossa201
Uthaminishaji wa 2016 tunautaka kahawa ilishakauka mnatuambia umerudiwa kwa kilichopo shambani mnatudhulumu lipeni hela zetu wanyonge
@user-ux6bp6nq5v
@user-ux6bp6nq5v
Mijambanzi mikubwa iyo kazi kula hela za wananch wape kamba ngoz baba makonda mungu akupemiaka mia nane isikuuwe minguliwe iyo ht chunya wapo wengi tu baba ailove u poo ulishushwa baba
@johasaeed391
@johasaeed391
Huyu ni mevi wa pombeni haelewi kinachongeleka😅😅😅 mimi bado sijamuelewa anababaika😂😂😂😂😂 pombe zipo kichwani
@stephanochaula4356
@stephanochaula4356
Cheki msela kajaa kitambi tu cha dhuluma dah noma sana
@edisonemmanuel-po6ds
@edisonemmanuel-po6ds
Kwa MAKONDA mtakoma tu
@edisonemmanuel-po6ds
@edisonemmanuel-po6ds
Jamaa kashayakanyaga huyu
@user-kl9vo6xh6u
@user-kl9vo6xh6u
Ulinzi uongezwe
@user-kl9vo6xh6u
@user-kl9vo6xh6u
Pongezi makonda sijui Kenya itafanya kama ww wananchi wanateseka
@joshuamwalusambo2391
@joshuamwalusambo2391
Magu huyu kaludi mambo ni oya oya
@sharafisaidi7999
@sharafisaidi7999
Wizara ya pesa inapokea vitu vya aina hiyo vingi shida inaonekana ufatiliaji ndio shida
@AnangisyeMbughi-xw4ky
@AnangisyeMbughi-xw4ky
Uwenao katibu mwenezi,viongozi wengi wanaingiza siasa mpaKa kwenye maisha ya watu.mbane tuu aeleze vizuri.
@cfagburundi3823
@cfagburundi3823
Kwanini mtu anaye tumikiya wanainchi hawampendi? Kama makondo wanayopenda inchi wanamsaidiya Tanzania itakuwa juu Sana zaidi yayangingine mataifa
@edisonemmanuel-po6ds
@edisonemmanuel-po6ds
Safiii sana MAKONDA
@rendiman2878
@rendiman2878
Ona hayo mafisiem yalivyokuwa na vitambi, Kazi yao kuiba na kula kila hela ya mradi wa maendeleo
@cfagburundi3823
@cfagburundi3823
Mikutano yamakondo tunaifata kwaukaribu na mungu amuwezeshe nikazi kubwa ya kujiripuwa Kama kiongozi
@nassoromajaliwa1506
@nassoromajaliwa1506
Rais Samia makonda analindwa namungu,ilanakuomba ukiwa Rais wetu muongezee ulinzi makonda anafanya makubwa,nawananchi tunatakahivyo,utatuziwamambo nihapokwahapo
@user-rt4nr7wk9k
@user-rt4nr7wk9k
Hatuna viongozi tunawapigaji
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 50 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 107 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН