Diwani ALIEZUILIWA kuongoza awasha moto kwa MAKONDA Kasulu

  Рет қаралды 23,448

Habari Digital

Habari Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@ahmadiomari6913
@ahmadiomari6913 8 ай бұрын
Kumbe kuna watu wananyanyasa watanzania kwa sababu ya uongozi wao tu
@albertmalenge-cs6zy
@albertmalenge-cs6zy 8 ай бұрын
Vyombo ,bakuri, sufuria,vijikooo😅😅😅😅
@masoudmakoe561
@masoudmakoe561 8 ай бұрын
Nchi ngumu sana hii mahakama imetoa hukumu lakini watumishi wa umma hawaitambui arafu uje unizurumu kitu utegemee niende mahakamani nitamalizana na ww kimya kimya.
@JamaliOmary
@JamaliOmary 8 ай бұрын
Hatar kweli inataka moyo
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 8 ай бұрын
Naishauri serikali iunde tume ya chinichini kuchungunza ni mateso gani wanapitia wananchi kutoka kwa viongonzi wao
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂magu angeskia haya woteee wangesimamishwa yani Ni upuuziii tuuu 😂😂😂hii nchii Ina mambo ya ajabu kumbee et nchi ya amanii kumbe Kuna mikoa na wilaya zake n vijiji watu wanapitia magumu tena wananyanyaswa na viongonzi kabsa
@sigurdsonmathias4562
@sigurdsonmathias4562 8 ай бұрын
Kuna mwamba mmoja hapo chini anapambisha moto huyo 😂😂😂
@MabalaMasanja
@MabalaMasanja 8 ай бұрын
Makonda.hongela,sauna.
@ahmadiomari6913
@ahmadiomari6913 8 ай бұрын
Nchi hii imeficha mengi. Neno langu jamani Dunia ni historia baas kila mmoja awe historia nzuri kwa watu
@elioimer8423
@elioimer8423 8 ай бұрын
Huyu inaonyesha Kabisa ni mkimbizi sio raia Watz akichomekea kwa mwamvuli wa ccm Kama wengi wengine .
@SamwelMsovela-nn8ci
@SamwelMsovela-nn8ci 8 ай бұрын
Makonda wesafi nduguyetu
@Zubaiba
@Zubaiba 8 ай бұрын
Walio na ziro wapo madarakani mama Samia agalia Hilo nakuomba kwa hisani yako
@Zubaiba
@Zubaiba 8 ай бұрын
Hao ndo wanaochaguliwa kwa kujuana so kwa kusoma,nyau kweli
@JennyKiwale
@JennyKiwale 8 ай бұрын
😂😂😂ila waha jaman
@ChemchemiRecords
@ChemchemiRecords 7 ай бұрын
Ila Makomda hii siyo kazi ya muenezi💀
@raphaelsanya2600
@raphaelsanya2600 8 ай бұрын
Mgurugezi ametufanya Chaka hahah what country is this
@scolasticakaduma5143
@scolasticakaduma5143 8 ай бұрын
Wewe Afisa Uhamiaji ni zuzu huna Akili. Pumbavu sana. Unatakiwa ufukuzwe Kazi.
@Zubaiba
@Zubaiba 8 ай бұрын
Dada kigerenza chako nyokooo
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 8 ай бұрын
Nimesikia sauti za baba levo kwa wingi
@boramohamed267
@boramohamed267 8 ай бұрын
😂😂
@Zubaiba
@Zubaiba 8 ай бұрын
Watoto wetu wamesoma sana ila Hana watu madarakani wanaojuana,wapo wanasota nyumbani Hadi wanaenda kufanya kazi za ndani uarabuni
@JosephJon-wk6il
@JosephJon-wk6il 8 ай бұрын
uhamiaji wamekuwa natabia yakutumbua laiya doto delecawao ngalama niwengine mkuu nitatizo makakala kazi anayo
@Zubaiba
@Zubaiba 8 ай бұрын
Mwanasheria mchongo nini?
@MwigaKatumpula-mi3zt
@MwigaKatumpula-mi3zt 8 ай бұрын
Kuna mwamba mnafiki sana apo chini eti hata ukiniangalia wewe mzee 🙆🏻‍♂️😀😃
@AhmedSeif-p6w
@AhmedSeif-p6w 8 ай бұрын
Mama fukuza hawa
@MaryMlelwa-k1s
@MaryMlelwa-k1s 8 ай бұрын
Uyujamaa ety ataukiningalia
@scolasticakaduma5143
@scolasticakaduma5143 8 ай бұрын
Mwanasheria shenzi ,Fisadi mkubwa.
@Zubaiba
@Zubaiba 8 ай бұрын
Muha umeutimba dada
@richkaja3317
@richkaja3317 8 ай бұрын
Makonda chukua kiti
@obinetmbena4570
@obinetmbena4570 8 ай бұрын
Kuna Muha mmoja apo ni mbeya
@MwakigroupsOfcompany
@MwakigroupsOfcompany 8 ай бұрын
😂😂😂 NIPO NAMSIKILIZIA HAPA
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 10 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 83 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 33 МЛН
LIVE: RC HAPI AAGIZA MENEJA WA BENKI AKAMATWE NA KUHOJIWA
9:47
Millard Ayo
Рет қаралды 793 М.
Mshuhudie Paul Makonda Uone Kitakachotokea Hapa!
2:00:15
Global TV Online
Рет қаралды 1,3 МЛН
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
JAMBO TV
Рет қаралды 98 М.