No video

#🔴 BREAKING NEWS;RAISI KARIA AWAONYA VIKALI SIMBA KUHUSU SIMBA WAFANYE HARAKA/WATOA MASAA 72

  Рет қаралды 9,578

RADAR5VEVO

RADAR5VEVO

Күн бұрын

#chamasimba#chamayanga#sportsarena #sportsextra #sportsnews #crownsports#usajilimpyawasimba #usajilimpyayanga #simbampya #yangampya

Пікірлер: 32
@Izzoh2021
@Izzoh2021 Ай бұрын
Mkataba ukisha isha mchezaji yupo free,ndio maana kuna kusain mkataba sasa kama mchezaji hakutaki unamngangania wa nn dunduka nyie,alafu fei yeye alitaka kuvunja mkataba ni tofauti kabisa na la chama chama kamaliza mkataba na kwasasa hana mkataba na simba
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l Ай бұрын
😮nani anamng'ang'ania chama nyie wapuuzi hakunajipya atakalolifanya ambalo hajawahi kutenda usaliti usaliti na rushwa mliokuwa mnampa sisi imetutosha hatumuhitaji, kaeni naye huyo choko si mlimuhonga ili aje mumchokoe atulie hukohuko kwa bwana yake injinia amfokoe
@JohnSimon-qg9on
@JohnSimon-qg9on Ай бұрын
Ivo samahan ni vipi hawa watu wa vyombo vya habari hivi kutoka taarifa zisizo kua na uhakika ni nn hasa et kama sio kupotoshana na kutumalizia MB zetu
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Ай бұрын
Kwani walipotambulisha Chama walisikia Simba ina madai yoyote? Chama anatafuta kujulikana Simba hawana madai na Chama wao waedelee na mambo yao.
@user-wl4yo4zp9t
@user-wl4yo4zp9t Ай бұрын
Simba haina tatizo kabisaaaaaa
@drallan6879
@drallan6879 Ай бұрын
waandishi muwe na weledi Kama MSI prejudge SSC hatuna haja ya kumzuia; Leo si chama wala yanga walio appear tff!yanga ndio wana tatizo
@user-wl4yo4zp9t
@user-wl4yo4zp9t Ай бұрын
Hao ni wachambuzi matako hawana mbele wala nyuma,
@ramadhanichubi9139
@ramadhanichubi9139 Ай бұрын
Hakuna nafasi Chama kurudi Simba kwa namna yoyote,CV unatoa wewe? Simba siyo timu ya kipuuzi namna hiyo kama mnavyoifikiria.
@ibrahimmsengi4344
@ibrahimmsengi4344 Ай бұрын
Nyie ni wachambuzi maandazi !
@Abdallasued
@Abdallasued Ай бұрын
Sasa kama huko nyuma hajawahi haya ya chama kutokea na kwanini hionake simba hinashida chama hanashi nae msotehe hukumu kabra kusikiliza pande zote mbili ndio mtatujuza lakini sio kubabia babia sio kitu kizuri mzikilinzwa taifa
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 Ай бұрын
Kwa hili mdogo wangu Imani Kajula amefeli kabisa. Bwana mdogo wewe ni professional man acha ushawishi wa wahuni. Kwanza nikupongeze kuondoka Simba Ila kama unakumbukumbu nilikuasa na nafasi hiyo. Niliona kama unapotea. Hii Simba imekurudisha nyuma sana kijana una C. V ya kimataifa. Ona sasa
@195941233
@195941233 Ай бұрын
Acha kudanganya umma. Yapo mengi usiyoyajua. Unadandia gari mbele utaumia.
@user-jj9te1oz9r
@user-jj9te1oz9r Ай бұрын
Atacheza,,,,Yanga😁
@FredMsuha
@FredMsuha Ай бұрын
Nyinyi acheni maneno mbona mmefanya kusikia tuuu alafu wewe ni mwandishi acha kuishutumu Simba unakosea sana
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 Ай бұрын
Unajuaje chama kasign simba tusubiri
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu Ай бұрын
Wa hambuzi mchwara mapenzi yamewajaa
@felixmalima3024
@felixmalima3024 Ай бұрын
Kuna Sheria inayosema mchezaji kusajiliwa na timu nyingine lazima thank you iusike? Wachambuzi mnakosea na mnatudanganya
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Ni upumbavu mtupu!
@user-wl4yo4zp9t
@user-wl4yo4zp9t Ай бұрын
Si ameenda? Nani kamzuia kwenda timu anayoitaka chama. Acheni upuuzi
@SalumMahimbo-e4l
@SalumMahimbo-e4l Ай бұрын
Huyo chama anavuna alichopanda kwan ninyi wachambuz wa mchongo hamujui
@user-wl4yo4zp9t
@user-wl4yo4zp9t Ай бұрын
Muacheni adandie gari kwa mbele utakufa, aende huko kwa 🐸🐸🐸 chama si ameona simba Halifai? aende tu.
@JonhMboya
@JonhMboya Ай бұрын
Hapana Nafasi Yake Tena
@SelemaniSelemani-bw4ps
@SelemaniSelemani-bw4ps Ай бұрын
Sheria ndo iko hivyo? Kama mkataba umeisha kuna ulazima gani kusaini mkataba mwingine? mnamng'ang'ania nini? Bado inawauma
@user-wl4yo4zp9t
@user-wl4yo4zp9t Ай бұрын
Achaneni na simba, wapuuzi nyie nani anamtaka chama? Hatumtaki kabisaaaaaaaaaa
@kasumbaisonda3316
@kasumbaisonda3316 Ай бұрын
wachambuzi achenikuinamia upendemmoja utakoasekiyu akatiwaliwai kumtambulisahachama mbonayangaha muwazungumzii amjuisindio
@ramadhanichubi9139
@ramadhanichubi9139 Ай бұрын
Usizungumze kishabikiacha Sheria ichukue mkondo timu siyo yanga tu.
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 Ай бұрын
Hiyo ni mipango ya kishamba kwenye soka letu. Simba waliishambulia sana Yanga kuwa ilikuwa inamzuia Feitoto kwenda Azam lakini leo wanamwona Chama hana haki kama Feitoto. Mwacheni Chama aende kwenye timu anayoipenda .
@taseleli9181
@taseleli9181 Ай бұрын
Nyie huyo Fei mlimruhusu muda gani kwenda huko Azam si mpaka kauli ya mama ilipotoka ndipo mkamwachia.
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 Ай бұрын
@@taseleli9181 Kwa hiyo mnataka mama awaambie ili muwe kama Yanga.
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@allydaud612
@allydaud612 Ай бұрын
Msiwe wajinga suala la Feisal na Chama ni vitu viwili toufauti
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Ай бұрын
Simba ni wajinga mbumbumbu fifa watamhurusu pumbavu nyie
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,5 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 6 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 20 МЛН
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,5 МЛН