Daah aisee kichwa ya mh, Zito ni sawa na vichwa 100, vya wale wabunge wenye kazi moja tu bungeni, kupiga makofi kwa meza, kuunga mkono kila hoja bila kupima. Salute kwako mh, Zito werevu wamekuelewa. Maana unavyojua kudadavua we noma aisee
@denicekato25836 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu aendelee kukutia nguvu na uelewa uliotukuka ili tuyajue mengi kupitia kwako! Gonga like kama tuko pamoja.
@nicolausekama59766 жыл бұрын
Ahsante Zito ,You are real master of that particular field! Those who do not appreciate You , either now's nothing or are benefiting from this fraud
@mshindimshindi91206 жыл бұрын
nicolaus ekama great
@gabrielpaul10826 жыл бұрын
cjawai kukuelewa zito. nonsense
@mshindimshindi91206 жыл бұрын
Gabriel Paul utamuelewaje na wewe zero brain
@gabrielpaul10826 жыл бұрын
ha ha ha zito alifaa kua actor
@jaziraomary65016 жыл бұрын
hongera zito kabwe.
@mtanzaniamzalendo70016 жыл бұрын
Asante Zito na CAG,ukweli unaweka watu huru,hii ndo maana ya usomi kuelewesha wengine ambao hawana uwezo wa kujua yaliyomo
@khamisilukasi76276 жыл бұрын
zito mungu akujalie maisha malefu uje kua Rais wa tz
@naftalibwire73746 жыл бұрын
sema ukweli mzee,
@mtungilandegeya63126 жыл бұрын
Hatari sana !! hongera sana Mh zitto kwa darasa.
@wilsonkaseha20346 жыл бұрын
thanks for accentuating those facts. Let's wait and see if our govt authorities may have senses on this situation! Kazi kwa Kamati watusaidie kupata majibu na maelezo kwa mambo haya! Mr Zitto, well done dude!
@fadhilisanga9116 жыл бұрын
Asante zitto kabwe,umetuelewesha sisi tusio elewa, pamoja nakuchambua haya wapo wengine wasio elewa watakukosoa,watakutukana napia watakusema vibaya lakina pamoja na hayo tumetambua umhimu Wa upinzaniiiii. Don't give up our opposition
@tumainmatokeo5866 жыл бұрын
zitto hajawahi kusema uongo kwa mda niliomfahamu so huwa namwamin kuliko mwanasiasa yeyote tz.,hongera mwami
@meshacklomnyack44036 жыл бұрын
zito hakika uko vzr, nchi inawahitaji Sana
@magembemwanamalundi63866 жыл бұрын
Uelewa Mdogo wa watanzania wengi bado ni kikwazo , Mr fact Zitto
@erickmassawe51076 жыл бұрын
you are the master
@luganomwakyoma53686 жыл бұрын
asante zitto na ndyo unaenifanya niupende upinzani,,,, safi sana
@minchandekitwana46676 жыл бұрын
Mbona. Mnakata sauti mnapoambiwa ukwli sisi wnanchi haki zetu mini,jibuni hoja
@saidsuleiman52556 жыл бұрын
asante zito wenye akili timamu tunakuelewa mazezeta never.
@allybakali92126 жыл бұрын
Tupo kwenye safari ngumu sana asante Zito kutuweka wazi
@hashpappi38306 жыл бұрын
Brilliant Observations.
@sunzuhasani56766 жыл бұрын
Viva zitto kigoma hapatoki mazwazwa nakupenda sana kiongozi wangu
@nurukwawote47166 жыл бұрын
Kama simba angurumaye, na dubu mwenye njaa; Ndivyo alivyo mtu mbaya awatawalaye maskini. Mithali 28:15 Katika habari za watu wangu, watoto ndio wanaowaonea, na wanawake ndio wanaowatawala. Enyi watu wangu, wakuongozao wakukosesha, waiharibu njia ya mapito yako. Isaya 3:12 Yesu akawaita, akawaambia, Mwajua ya kuwa wale wanaohesabiwa kuwa wakuu wa Mataifa huwatawala kwa nguvu, na wakubwa wao huwatumikisha. Marko 10:42
@abdillahmbinga74816 жыл бұрын
zito upo sawa ila hatuna uratibu mzuri kk.
@rasnchimbi6 жыл бұрын
Nabii,unaongozwa na Malaika Ubarikiwe.Amen.
@maryammbogo96126 жыл бұрын
Tar 26/4 ndio jibu sahihi. Maansamano ya amani kabisa
Kukosa Kazi Kubaya. Kwahiyo Zito ANATOA Taarifa Yake. KWANANI??? Pole DOMO
@Joe-tr2vk6 жыл бұрын
Nyinyi Global Tv acheni uzwazwa au mnatumiwa? Sehemu zote sauti ipo hadi ilipofika kwenye kusoma moja kwa moja kutoka kwenye report mkakata sauti. Lengo lenu watu wajue yale mengine Zitto amejitungia? Kama video haipo sawa mnapost ya nini?
@mashmashmkeyenge92106 жыл бұрын
zito kichwa sana
@mamahawa36946 жыл бұрын
mbulura bado ni wengi sana ndugu yangu uko vizur,kigoma hatoki mtu fala nice zitto kabwe
@jafarimustafa16886 жыл бұрын
Hui ndiyo uzalendo
@ndelemwalonde21456 жыл бұрын
mfumo wa serikali wameuvuruga Sana ndo maana hata mawaziri wanakurupukia majukum ambayo sio yao.
@mtanzaniamzalendo70016 жыл бұрын
ndele mwalonde kuna shida hapo
@meshackmasanja28446 жыл бұрын
Sawaaaa
@zhgmak60466 жыл бұрын
Sema baba sema wanatuibia tu
@greyfive_tzt38616 жыл бұрын
nivizuri kuwaelimisha watz ila yote hayo nimatunda ya rais kwasababu yeye anajiona ndo kila kitu ndiomaana leo vyombo vyetu vingi havinasauti na maamuzi sababu ya rais kuingilia kati kila kona anaendesha nchi anavyo taka bila kufuata utaratibu
@davidburton44786 жыл бұрын
huu ndiyo uzarendo
@ceciliajimmy56526 жыл бұрын
Kweli kabisa Zito.
@Mobmob20136 жыл бұрын
Grey five hata ayo ameshanunuliwa siku mingi
@calvinmessi32436 жыл бұрын
zimenunulia mweweee
@paulogirashenginy92606 жыл бұрын
Mh ZITO uko Sawa kabisa
@daniellwanji70746 жыл бұрын
Naona Sauti imekatwa kuanzia dakika 18, Ayo TV wametoa dakika 11 tu. 🏃🏃🏃
@georgesamwelchacha76806 жыл бұрын
+Daniel Lwanji NENDA GLOBAL TV ONLINE NDO IKO FULU mwanzo mwisho
@diti48996 жыл бұрын
hii kichwa hatari.We nijeshi la mtu moja.Big up
@paulsambe31986 жыл бұрын
magu anachota tu pesa bila kuthibitishwa na bunge utafikili Pesa zake
@godwinmwandimo16816 жыл бұрын
paul sambe funguka zito
@boscomaboga10216 жыл бұрын
We na wewe sasa ndo umeongea pumba gani, magu anachotaje pesa au na wewe ndo uelewa wako umeishia hapo?
huyu jamaa angepewa nafasi wizara ya fedha,angesaidia
@louisnyoni41396 жыл бұрын
Ina maana anachoeleza zito unaona hausiki? na huyo CAG ndio ametoa hoja na kuziwasilisha serikalini ukiukwaji unafanywa wa waziwazi, usiwe mshabiki wa vitu vya hovyohovyo.
@josephmwabange96336 жыл бұрын
Jamani Zito ni mwanasiasa,tena ni Mbunge,ndio wanaotunga sheria,sisi huku mtaani ndo tunajua chama hiki chama kile,wao wakiwa bungeni mambo hayo hakuna kuna Bunge la wananchi,kwa hiyo kwa kufanya hivyo ndo demokrasia ili yamkini watakaosikia wasikie,na warudi kwenye mstari na kuweka Tanzania kwanza na sio matumbo yao,na kumsaidia rais wetu!
@mrkgtz6 жыл бұрын
Ninaona sasa mtamuelewa Zitto Kabwe in nani.
@bakarijuma6246 жыл бұрын
Anaebisha maneno yko hajasoma ifkie kpnd watanzania wawe wanafuata ukwel halaf hyo ndio kaz yko kma mwanasiasa na msomi
@JohnPeter-to1hm6 жыл бұрын
Hichi ndo tunachokitarajia kweli, bado mchaw wetu anafanya kaz tuongeze maombi zaid na zaid, otherwise we are going no where
@amanichanga34486 жыл бұрын
Still bado utasema umenyimwa uhuru wa kuongea. Hayo unayoongea ni mavi
@yairoswai95876 жыл бұрын
Jamani kwani huu mfumo wa utawala wa serikali Mbona ninakuwa gizani kiasi hiki? Ni lini Mtanzania ataachana na uchungu wa moyo kwa Nchi yake. Tunaomba demokrasia ya kweli
@mwambolabright65616 жыл бұрын
Ni kweli sote tuna paswa kushirikiana kuijenga Tz
@mamabruno63086 жыл бұрын
wakati utafika watakuelewa tu saa hizi bado
@ignasmwamwenda31546 жыл бұрын
Hivi huko juu kukoje? Ktk uumbaji wa Mungu, viungo vyote ni muhimu ktk sekta yake kiki feli kimoja mwili hudhoofu pia viungo hivi huzeeka kwa pamoja. Jamani hebu tuige viungo vya mwili kama vinavyo shirikiana ktk kazi.
@petermhonzwa97116 жыл бұрын
Global TV umefeli 100% ktk swala la sauti tatizo nchi yetu inaongozwa na mazwazwa
@amadeusmedia55606 жыл бұрын
Yeye cag si mwanasiasa ndio maana hajaongea acha unafiki kama huna cha kuongea pita zito juuuuuuuuu wewe ni kichwa sana 2teteee 2nakufa
@mtanzaniamzalendo70016 жыл бұрын
watakubali wakaguliwe kwa ukaguzi maalumu??? Sio rahisi kuruhisu hilo.
@abdumpangamawe61106 жыл бұрын
Kaz kaz mzee
@boscobakila20686 жыл бұрын
Zitto acha kuupotosha UMMA,,,""""
@zephaniachibaya59696 жыл бұрын
Mh zitto endelea kuwasaidia watanzania kwani bila wewe nchi hii isingekua hapa tulipofikia hongera.
@makutaahcastory6616 жыл бұрын
Mmmmmh haya mambo ni magumu
@obedylaizer23756 жыл бұрын
Asant mweshimiwa zito waambie hao
@aboubakarmkurdi26986 жыл бұрын
Chatne patne margeya tumepigwa nini pesa nehiye aiiiiiiiiii
serikali ya ovyo sana hii!!! ila yote haya n kupotezea tar 26 siku ya uhuru
@andrewsadiki99146 жыл бұрын
Watu wanashughulika na wanawake waliotelekezwa ujinga mtupu nchi hiyo
@gidogabriel6 жыл бұрын
Kwa uelewa tu mdogo wa kawaida. nimemsilikiza waziri mpango akijibu baadhi ya tuhuma za CAG. kimsingi kama jinsi ilivyo kwenye ukaguzi wa makampuni binafsi. ukaguzi wa nje(external audit) unafanywa kwa amri ya mwenye kampuni, mkaguzi hufanya ukagizi na kupeleka ripoti yake kwa shareholders. si ruhusa kwa namna yoyote management kujibu hoja za external auditor bila kuulizwa na mwajiri wake yaani Shareholders. Kwenye utawala wa fedha za uma, kanuni ni hizo hizo. nchi ni kampuni, serikali ni management, wenye kampuni au wamiliki wa kampuni (nchi) ni wananchi wakiwakilishwa na wabunge yaani bunge. na external auditor ni CAG. sasa baada ya ripoti kutolewa inapaswa kujadiliwa na bunge ambao kimsingi ndiyo wanaohusika na kuijadili ripoti hiyo kupitia kamati zake zote haswa PAC. na kisha kama bunge litaona ulazima wa kuwaita watendaji wa serilkali kama mawaziri. itawaira na mawaziri hao wanatakiwa kuoa maelezo yao huko.
Abdul Salim we na wewe hujui unachokiongea umekuwa bendera fata upepo tu
@MrKingsalim6 жыл бұрын
catastrophic adminstration
@MrKingsalim6 жыл бұрын
mbona hamna sauti !! hujuma hizi
@wiza23096 жыл бұрын
Hii clip mngeikata kwanza kabla ya kuirusha, sasa mnatuhabarisha sinema bubu?
@domedeus34886 жыл бұрын
Viwanda! Viwanda viwanda!
@simoninzumi28886 жыл бұрын
Waliomjibu kwa vyombo vya habari hao nao Walitaka waonekane kwetu!
@ashraffhussein99636 жыл бұрын
uyo milad ayo katumwa tutaipata tu yote umesha kuwa na pesa unaona wote wajinga endelea kaka unampendelea mumeo bashite
@EJOSAMGROUPOFCOMPANY6 жыл бұрын
oya mbona mmekata sauti ,,,, oya nyie rudisheni sauti wengine tuko bize tunafuatilia hivi vitu au ni unsubscribe
@jumahassanjuma65416 жыл бұрын
Majembe haya hayatakiwi kukosekana bungeni. Haya wazee wa bombadia @ wadhibiti ufisadi@ wasiongeza mishahara mjibuni mr zito
@mashakaisinika74346 жыл бұрын
Mimi sijui nakuonaje kama kituko vile!!!
@yonassngonye37596 жыл бұрын
usisahau matumizi ya vyama
@mategemoses38746 жыл бұрын
Acheni uhuni nyie global tv amefika kwenye taarifa ambazo serikali haitaki wananchi wazijue mnakata sauti. Woga wa nn nyie?
@philiposilasi21356 жыл бұрын
haya mambo hayawezi kurushwa kwenye TV itafungiwa. alafu kuna watu wanaropoka hovyo zito uko vizuri bwana sema mzee
@farajamwashiuya18046 жыл бұрын
mbona mnakata sauti kwa nini haina maana sasa kuirusha
@josephkibulungwa68826 жыл бұрын
sauti mbona hakuna hamtakiukwel
@penabubujashi47686 жыл бұрын
Tuta amn vp maneno yako hayo we ngedere
@ngoshamasala82076 жыл бұрын
Penabu Bujashi we ndo ngedere au ndezi kabisa,,, Zitto huwa haongeagi upuzi Hata CK moja, unaposema utamwami VP? Inamaana huekewi anachokiongea? Mbona hata wa darasa la saba ataelewa?
@stephbilkim65746 жыл бұрын
Penabu Bujashi nenda kwenye tovuti ya national audit ukaisome report mwenyewe, acha uvivu kusubiri kutafuniwa, ewe mwenye imani haba.
@mohammedsariko90956 жыл бұрын
Kichwa hewa ndio maana hatusongi
@godfreybigeyo91056 жыл бұрын
kichaa wewe
@kibilawazebanga74556 жыл бұрын
Mmh zitto mnafiki, tawala zilizopita fedha zilitolewa zilienda kwenye miradi lakini yote ni hewa. Sasa hivi vitu vikubwa vya kuonekana, miradi ya maana inafanyika halafu unasema eti fedha zimepotea. Hivi kipi bora? Pesa zitolewe miradi isionekane au pesa zisionekane miradi ionekane?
@josephmwabange96336 жыл бұрын
Wewe nyamaza hujui lolote bado,Mh.Zito anatendea kazi ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikari,sasa haina maana kuwa pesa hazijafanya kazi kabisa ila zingine hazijulikani ziliko,hakuna document,sasa wahusika wawajike kwenye hili maana mi naona Rais wetu yupo vizuri ila watendaji wanatutafuta tena tufanye jambo.Naamini ufumbuzi utapatikana,Ninayo imani kubwa na Rais.
@wilfredmfuru16776 жыл бұрын
we nawe siyo kama uelewi acha kutoa maon
@mindy83376 жыл бұрын
LOW VOLTAGE
@josephshirima10466 жыл бұрын
Na ww kweli kichwa maji, yaan hata humsikilizi Zito vizuri ukamuelewa unachozungumza. Zito we Jembe endelea kutujuza madudu wanayofichaficha kamanda.
@saimonmwansile74046 жыл бұрын
Kibila Wazebanga Mali ya uma hata ufanye vzr namna gani bila kuhusisha wahusika ni sawa wizi!
@tinyaanosiatha11186 жыл бұрын
Mbona hakuna sauti Huu ni uongo Hakuna ukweli ndani yake
@luciansanga48266 жыл бұрын
Zamu kwa zamu Hata umepewa wewe uta fanya hayo hayo
@georgesamwelchacha76806 жыл бұрын
Lucian sanga usiseme hivyo Kuna watu ni wazoefu wa hivyo vitu we acha2, Na ZITO KABWE anaelewa anacho kisema ndio maana hata wewe umeamua kumsikiliza
@jameskilasa7596 жыл бұрын
Kwann asiongee mdhibiti mwenyewe?
@everlastthebad44416 жыл бұрын
james kilasa mwenye haki ya kuhoji ni kueleza bunge na CAG kaz yake ni kukagua tu ,,,,,kuhoji ni kazi ya wabunge na ndio maana mkaguz alisema bunge halitimiz wajibu wake wa kuhoji
@gwajimagwajima6 жыл бұрын
james kilasa, jina lako linakuonyesha ww ulivyo yaan KILAZA, nguruwe mweusi ww
@nicolausekama59766 жыл бұрын
cag wanaongea kwa documents za Auditing!Yeye kama mbunge na mwenye dhamana ya kusimamia serikali kikatiba na ukizingatia anajua ,ni sahihi kuwaelimisha wasiojua! na wanaoficha machafu na uvunjifu wa Sheria za fedha.
@magembemwanamalundi63866 жыл бұрын
james kilasa hivi unawaza au kukurupuka, hujasikia anarejelea rpot ya CAG. Punguza mfungamano
@acmewinner6 жыл бұрын
CAG anasubiri Management responses kwa maandishi tena with supporting evidences aweke audit comments zake averify na kucomment kama hoja za ukaguzi zimefungwa au zinaendelea kubaki na sio kujibiwa orally..
@mako3316 жыл бұрын
Kumbe wajinga bado wapo wengi kulingana na comments zetu hapa, huyo CAG ni mtumishi wa serikali. Ni serikali hiyohiyo ina mruhusu kuingia ndani ya mafile yake na kufanya ukaguzi, ningetamani kuona huyu Zitto anaanza kwa kuipongeza serikali ya Jpm kwa kuruhusu uwazi huu uwekwe public, kwani serikali ilishindwa kumuita mkaguzi na kumpangia ya kusema? Serikali hii iko wazi sasa wengine wanaotembea na chama chake kwenye flash ndio wanasubiri vihoja hoja kama hivi angalau wapate kuonekana kwenye tv, tuna serikali makini tuna Raisi makini kasoro zipo na hatutazimaliza zote ila zinashihulikiwa kila zinapojitokeza, Zitto tafuta hoja nyingine
@shuaibabdy54016 жыл бұрын
makoiga mg basi wewe mwerevu toa summary yako Nasi tuisome au tuelimishwe coz wengine twapenda kusoma sana ili tutoke kwenye hiyo hali uitayo “wajinga “.
@ngoshamasala82076 жыл бұрын
We ndo punguani kuliko mapunguani wote duniani kabisa,, Sijui unaelim gani? Mtu anajenga uwanja wa ndege kwao Chato, bila bajeti kutenga hyo hela? Watanzania wanamatatizo mengi, barabae mbovu, mahosbital hakuna Dawa, mishahara haongezi, haajiri wafanyakazi wapya, zoezi na kuendeleza gas yetu kalizimisha, watu Wenye hakili anawapiga lisasi, hataki kukosolewa wala kushauliwa, anaminya democracy,,, umakini wake uko wapi? Kuwa watu Wenye hakili?
@shitarupili20066 жыл бұрын
Acha ukinga wewe
@boscomaboga10216 жыл бұрын
Ngosha masala we ndo taahira kuliko mataahira wote waliowahi kutokea duniani, tuonyeshe ushahidi kuwa mh.rais amempiga risasi mtu anaeonekana kuwa na akili kama unavyodai kama na wewe sio bendera fata upepo, kwahiyo akijenga uwanja wa Ndege chato ni dhambi mbona uwanja wa Ndege wa KIA umepanuliwa kwa pesa za serikali na hamsemi kitu Nina wasi wasi na elimu yako maana uelewa wako unaonekana ni nonsense kabisa
@kibilawazebanga74556 жыл бұрын
Msiingize siasa kwenye pesa, we zitto acha kupotosha
@johnongito35486 жыл бұрын
Kibila Wazebanga siasa iko wapi kama uelewa wako upo chini tulia
@johnongito35486 жыл бұрын
Siasa ni Maisha
@ramadhaniiddbandola17106 жыл бұрын
Kibila Wazebanga unakua km hauna uelewa apo ananukuu sasa unacholalamikia n nn?
@emanueljoshua9256 жыл бұрын
Tupe ww ukweli kama anapotosha
@mohammedsariko90956 жыл бұрын
Sio kosa lako
@kibilawazebanga74556 жыл бұрын
Usitudanganye sisi tunachojua miradi ya maendeleo tunaiona
@mtutulaclassic62076 жыл бұрын
Zwazwa
@bolizozoshirima80886 жыл бұрын
Kibila Wazebanga una kisimi mkunduni ww
@wilfredmfuru16776 жыл бұрын
sasa we zito kasema nn cag ndiy katoa
@aurora2010ist6 жыл бұрын
Unaiona wewe na nani? Wengine tuna ona maluweluwe tu