ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO

  Рет қаралды 555,775

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
Wabunge Zitto Kabwe na Cecil Mwambe leo Alhamisi Juni 28, 2018 wamemuomba Spika Job Ndugai kuitaka Kamati ya Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge kumhoji na kumchukulia hatua Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk Adelardus Kilangi kwa madai kuwa amekipotosha chombo hicho cha Dola.
Zitto ambaye ni mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) na Mwambe (Ndanda-Chadema) wametoa kauli hiyo leo bungeni mjini Dodoma wakati wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2018.
Mwambe alipingana na maelezo yaliyotolewa na AG siku mbili zilizopita kuwa fedha za ushuru wa mauzo ya korosho nje ni za umma na Serikali ndio yenye mamlaka ya kupanga matumizi yake, akisema kuwa fedha hizo ni za wakulima.
Mara baada Zitto kueleza hayo, Mwambe alimuunga mkono akitaka mwanasheria mkuu huyo wa Serikali achukuliwe hatua.
Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 441
@josealute323
@josealute323 5 жыл бұрын
Wenzangu na Mimi mnaoangalia kwa ushabiki kama Mimi naombeni like zenu jamani!!!! Mimi mnanitengaga sana bhana
@gmark3754
@gmark3754 6 жыл бұрын
Sir Zitto Kabwe unawaonea wabunge wa ccm hata spika hawaelewi sheria wanazozitunga na hawana tabia ya kufanya rejea ya kisheria wavivu wa kusoma ata wanasheria wenyewe hawazijui... Hongera sana kaka unaona mbali sana
@jixxyjussy4721
@jixxyjussy4721 3 жыл бұрын
Eti namuona Joshua nasarri nar anapoga makofi...daaaaaah pole mwanangu...turu usariver kula hela za yatima
@seniornyungu9718
@seniornyungu9718 6 жыл бұрын
Zitto kabwe ndio CHUMA CHA RELI SIO MCHUNGAJI FULANI. You are the pride of KIGOMA, the Pride of the NATION.
@inobuzika5720
@inobuzika5720 6 жыл бұрын
mungu akuzidishie mshimiwa ZITO ambaye shule haijamsaidia hawezi kukuelewa.
@dominickmbuke
@dominickmbuke 6 жыл бұрын
akili ni Mali!!! Endelea mkuu haahhahaha!! mpka spika wa Bunge kamuuongezee muda!!! safi sana Zitto.
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Naaaam,spika Ndugai unapomlinda asikilizwe hapo unajinyakulia heshima kubwa!
@dr.rimack8484
@dr.rimack8484 6 жыл бұрын
Daaaaaaaaaah! Huyu jamaa namkubali Sana asee, Hongera yke. Mungu ampe maisha marefu na SIHA NJEMA
@mashalawamba2836
@mashalawamba2836 6 жыл бұрын
Bin Chipatu yaana zitto gudi
@bakariomary320
@bakariomary320 6 жыл бұрын
Usomi unaonekana kwa vitendo broda,,,gud sn kabwe,,hazna ya taifa
@bettylemanya4041
@bettylemanya4041 6 жыл бұрын
Nampenda sana Zitto yuko vzr sana! Big up to you
@camiliusmasao303
@camiliusmasao303 5 жыл бұрын
@kingwawi8977
@kingwawi8977 5 жыл бұрын
Zito + Lisu = na umbozi wa watanzania
@husseinmucky829
@husseinmucky829 5 жыл бұрын
Dah mh.Zitto Mungu akujalie maisha zaida,very logic kwa kla unachokiongea kiac kwmb ata speaker mwenyew kawa mpole
@daudhenry8909
@daudhenry8909 6 жыл бұрын
Mungu akusimamie ktk yote mhe Zitto kabwe upo vizuri sana
@yasintamwalukisi4060
@yasintamwalukisi4060 5 жыл бұрын
Daud Henry Yaani Rais angempa Wizara Zitto..yupo vizuri saana huyu jamaa
@DennyMathematic
@DennyMathematic 6 жыл бұрын
Daah mwana yuko nondo yuko duki balaaa 🤣🤣🤣🤣🤣 anatoa shule nzito yaan ni kama messi vile anavyo wapoteza mabeki 🙌
@stevenpeter2260
@stevenpeter2260 6 жыл бұрын
Huyo mama yukoje lakini? Zitto wewe ni kichwa sana Kamanda.
@molegend2672
@molegend2672 6 жыл бұрын
Kama hauja mkubali zito utapata tabu sana tena sana
@isihakamtaalam2099
@isihakamtaalam2099 5 жыл бұрын
Ww ovyoooo hauoni ukwell au hujasomaaa
@isihakamtaalam2099
@isihakamtaalam2099 5 жыл бұрын
Oya nimemkubaaliii zito kiboko.
@jeremiahkiberenge834
@jeremiahkiberenge834 6 жыл бұрын
Zitto ww ni JEMBE, KICHWA, KIFAA.......naomba tuchukuwe wabunge wote kama zitto waunde bunge LA jamhuri ya Mungano wa tz, wabunge kama lusinde,mlinga na msukuma waunde bunge LA SHILAWADU tz. Vichwa vipo upinzani. Zitto Mungu akubaliki.
@octaviangervas8425
@octaviangervas8425 6 жыл бұрын
jeremiah kiberenge kweli aisee
@roilertemba4749
@roilertemba4749 5 жыл бұрын
Kichwa mashaallah
@sultantz7635
@sultantz7635 5 жыл бұрын
Kweli shule ni muhimu jamani...duh zitto respect
@fahdihasnuu9034
@fahdihasnuu9034 3 жыл бұрын
Lazima watanzania tusikitike kua bunge letu la awamu ya tano kukosa watu muhimu kama Hawa zitto, mbowe, sugu, nk maana ndio wasemaji pekee
@missiali7936
@missiali7936 4 жыл бұрын
Akiongea zitto watu wanakuwa makini kumsikiliza k7b wanajua Kuna mambo mazito ndani yake anaebisha naabishe kwa ukaidi wake t lkn ukweli ndio huo
@sylvanusinjomango2169
@sylvanusinjomango2169 6 жыл бұрын
Uyo jamaa yuko sahihi sana jamani duuu
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 6 жыл бұрын
Zitto ni Genius👏👏👏 ila huu mjadala angekuwepo Lissu ungekuwa mtamu zaidi, hutoona baadhi ya wabunge wanaoongoza kwa kusema hovyo wakichangia kwenye hoja kama hizi za kutumia vifungu vingi vya sheria na akili nyingi
@simonbaro6886
@simonbaro6886 6 жыл бұрын
huo ndo ukweli hapo kibajaji,msukuma,kessy,na mlinga wamejificha hapo shule inafanya kaz yake
@emmanuelmkoma5920
@emmanuelmkoma5920 6 жыл бұрын
Fazeel Shomary 😂 hapa huwez kumuona MLINGA
@magorahassan3491
@magorahassan3491 6 жыл бұрын
Fazeel Shomary Lisu angekuwepo ingekuwa nzuri zaidi maana namjua Lisu kwa history na legal perspectives ni hatari
@stephenulomi8364
@stephenulomi8364 5 жыл бұрын
Fazeel Shomary hahahaaa
@araphatiddy141
@araphatiddy141 5 жыл бұрын
Uposawa
@ErickErickkifyat
@ErickErickkifyat 2 ай бұрын
Mh. Zitto tumup nchi jmn huy jamaa fundi
@sadaramustafa8401
@sadaramustafa8401 6 жыл бұрын
Zitto tu anatosha kusimama na wabunge wrote wa ccm
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 6 жыл бұрын
Sheria zinatungwa Kwa Lugha ya Kiingereza, zinajadiliwa Kwa Kiswahili. Kazi tunayo, Sheria zitungwe Kwa kiswahili na zijadiliwe Kwa kiswahili, sisi sio waingereza!!!!
@mwalamimshamu331
@mwalamimshamu331 5 жыл бұрын
yanga Vs biashara
@ndarogamba191
@ndarogamba191 5 жыл бұрын
Sitakuja kumshauri mwanangu kuwa hata na kadi ya ccm hata kama marehemu wangekuwa wanaongea!..
@emmykagemb7993
@emmykagemb7993 5 жыл бұрын
Mimi na we ni mapacha
@edinamwanilwa8094
@edinamwanilwa8094 5 жыл бұрын
Ndaro Gamba Hata mm aise atakuwa huru
@halid494
@halid494 6 жыл бұрын
The charisma of Mwl.Nyerere,the courage of Amina Chifupa and the confidence of Zitto Kabwe.
@donatuskabuje3401
@donatuskabuje3401 6 жыл бұрын
zitto namtabiria makubwa sana 💪
@shabanikibana4279
@shabanikibana4279 6 жыл бұрын
Duuh!! Huyu zitto msomi kwelikweli anavyo dadavua mambo mpaka sisi wenye elimu ndogo tunamuelewa vizuri kabisa namshangaa huyo mbunge mbumbu anashindwa kuelewa jambo lepesi kama hilo!! Alafu eti ana digrii? Atakuwa bashite huyu maana anatia hasira kweli
@melejishangai6054
@melejishangai6054 6 жыл бұрын
Mi niliipenda sana mbunge huyu Kwa hoja safi na maelezo safiiiiiiiiiiiiiiiiii
@ibrahimmaganga3429
@ibrahimmaganga3429 5 жыл бұрын
Kwa kweli ztto ni mtu makini sana
@kabisadu8541
@kabisadu8541 6 жыл бұрын
President Magufuli mtu km huyu unakoseje kumuweka sehem mhimu serkalin? Tunamkubal sn sio kwa ushabiki ni kichwa na mtaalam duh Mh Zitto it' s dangerous
@andrewsadiki9914
@andrewsadiki9914 6 жыл бұрын
Kabi Sadu Ndugu yangu kwani hujui mpaka leo serikali ya ccm haikuchagui mpaka ufanye ubaya kwa wananchi ndio unapeiwa cheo kwa mfano Makonda,Ummy mwalimu, Nape, na wengine wengi tu
@amanzisandali317
@amanzisandali317 6 жыл бұрын
Ivi ndosaf mbunge aongelee Jambo kwa maslah ya nch pia na Jimbo lake ongera sana zito
@alinanmpamba8471
@alinanmpamba8471 5 жыл бұрын
Kabi Sadu hapana,,,abaki alipo ingewezkan Angelrejoin CHADEMA
@mzeewaburudani2888
@mzeewaburudani2888 6 жыл бұрын
kweli zito hakurupuki jaman
@ابوأزهدالليثي
@ابوأزهدالليثي 3 жыл бұрын
Hawa wameisaidia serikali nyie CHOYO TU KUWAWEKA PEMBENI
@ismailmasoud5958
@ismailmasoud5958 5 жыл бұрын
Kichwa hicho
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 4 жыл бұрын
Kuiajiri T.R.A iwakusanyie hapo ndipo walipobugi step
@beatricelucas1454
@beatricelucas1454 6 жыл бұрын
Zito nakukubari sana
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 6 жыл бұрын
Halafu huyu jenista mhagama ni dunya tu,hajui chochote wala ni mpambe tu wa ccm na yupo kwa ajili ya kuipamba ccm na kuzuia ukwweli usitufikie wa tz
@isackluwi9495
@isackluwi9495 6 жыл бұрын
Nakukubali sana mbunge,,,toka kigoma Mjini
@deogratiusruhuro3584
@deogratiusruhuro3584 5 жыл бұрын
Big up plus nice yaani wabunge wote wangekuwa Kama huyu Tanzania tungekuwa mbali kiuchumi
@edinamwanilwa8094
@edinamwanilwa8094 5 жыл бұрын
Isaac Seng'unda mm ndo simwelewagi kabisa kwanza mpotoshaji huyu
@japharytwaha8552
@japharytwaha8552 5 жыл бұрын
Mheshimiwa zito kama unanisikia naomba tuonane no yangu ni 0712651510 naitwa Japhari
@kulwaswetu4457
@kulwaswetu4457 5 жыл бұрын
Mbonahamuongelei maendeleo yanayooneknalaivu ninyiniwtuwamdomotu
@aviationwonders7575
@aviationwonders7575 4 жыл бұрын
Tatizo lake hata kwenye ukweli bado anapinga tu, ana njaa ya kwenda ikulu. Akipewa urahisi hafanyi hatafanya kitu
@stephenulomi8364
@stephenulomi8364 5 жыл бұрын
hawa ndio wabunge wanaotakiwa bungeni
@danielsamwel3628
@danielsamwel3628 5 жыл бұрын
Kuna wabunge wa ccm wao kazi yao ni taarifa tu.hawatoi hoja yoyote ya maana. Huyu mama simwelewi kabisa. Kwani kuna zambi gani kuwapa watu vichwa kama zito ,bashe, nasari nk uwazili au kuwa upinzani ndo hawapati vyeo
@raymondmunis3553
@raymondmunis3553 4 жыл бұрын
Tatizo sisiemu wengi vilaza wanaogapa wengi wao wanapitishwa kimagumashi tu.
@shizoshop2469
@shizoshop2469 3 жыл бұрын
Zitto alimuelimisha vzr sana zuzu letu hili li ndugai, yaani ni bogazi la htr swali lake lilijua hataweza kulijibu bwege kweli kweli yani livyobebwe na ccm linajua wote ni vilaza kama wao
@idirisamungia66
@idirisamungia66 6 жыл бұрын
Ni Bora hawa wachache kuliko wale wengi wa jembe na nyundo.
@ramadhanselemanhawajamaani5836
@ramadhanselemanhawajamaani5836 5 жыл бұрын
Hawa wachache wako vizur mno
@V24hrs
@V24hrs 2 жыл бұрын
Duuh..Zitto kabwe.. upo vizuri sana Broo
@ahmadkajoga4103
@ahmadkajoga4103 5 жыл бұрын
Nikweri IRA upinzani atusikirizwi siunaona sipika anavo tupinga pambana IPO siku lowasa atakua madarakani
@tobaramadhani7139
@tobaramadhani7139 4 жыл бұрын
Wabunge wanye akili wapo upinzani kiukweli wa ccm kazi yao kupiga makofi tu na kukubali ndio ndio tu ila wasomi wapo upinzani
@sajidikaskazi2273
@sajidikaskazi2273 4 жыл бұрын
Huu ndio upinzani ninaoukubali like nyingi tafadhali
@mariamuomari1944
@mariamuomari1944 4 жыл бұрын
Spika akiona anapoint ya kujibu anaongeza muda,lakini akibanwa yeye utacikia muda wako umeisha,kama umegundua hilo gonga like tujuane
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 6 жыл бұрын
elimu ni bure saivi sasa wakina lusinde,magogo,Msukuma ,mlinga mnatafta nn apo kazi yenu kuongea pumba tuuu , zitto wewe ni jembeeeeeee na wataelewa tuu hamna namna.
@ridhiwanishemshi5067
@ridhiwanishemshi5067 5 жыл бұрын
Zito upo vizuri sana
@yonamwaweya8517
@yonamwaweya8517 5 жыл бұрын
zitto hana mpinza hadi anaongezwa mda na spika. cha kushangaza anachukiwa na watu wasio julikana
@bernardbenedicto1373
@bernardbenedicto1373 4 жыл бұрын
Ndugai hapa watanzania ulitutendea haki na munguu atakubariki.
@abdullyamiry6901
@abdullyamiry6901 5 жыл бұрын
zitto kweli Wewe ni mzito Kweli
@olemoissan6441
@olemoissan6441 6 жыл бұрын
hakuna raha kama kua chama cha upinzani yaani unakua huru kukataa na kukubali.. ila ukiwa ccm kama hapo huwo ufisadi wa hela za korosho hapo ccm watasema uchochezi mafisadi wakubwa ccm
@sadaramustafa8401
@sadaramustafa8401 6 жыл бұрын
Ole Moissan ni kweli kaka ccm ni ugonjwa kwa watanzania
@humphreybilly3258
@humphreybilly3258 5 жыл бұрын
Watapata patabu
@ceciliajimmy5652
@ceciliajimmy5652 5 жыл бұрын
Usichoke kusema ukweli Zitto Mungu awe pamoja nawe.
@mathewsaitoti4250
@mathewsaitoti4250 4 жыл бұрын
Hapo kweli ndg Moisan. Wengine hawa wengine hawako huru. Wakikosoa wataitwa kwa tume ya maadili.nkt.
@evelinarashidi6880
@evelinarashidi6880 6 жыл бұрын
wabunge vilaza kama mbunge wangu hawezi kuongea kama zitto
@edinamwanilwa8094
@edinamwanilwa8094 5 жыл бұрын
Evelina Rashidi Hahahahaha bora mm mbunge wangu msigwa sina presha
@jabiromary3276
@jabiromary3276 6 жыл бұрын
Huyu ndio kiongozi wangu was chama haki mie huyu jamaa namuelewaga mpka sijielewi. Ni mwanasiasa bora kuwahi kutokea nchi hii.
@ismailmasoud5958
@ismailmasoud5958 5 жыл бұрын
Uyo ndio Raisi 2025
@oliverwabwire2836
@oliverwabwire2836 5 жыл бұрын
What a fine legislative mind!! Kenyan MPs, please 'look and learn' ...the craft of building up an argument in a livid debate!
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Bila upinzani maendeleo mtayasikiaga tu
@V24hrs
@V24hrs 2 жыл бұрын
Mungu akuweke miaka mingi ishaAllah...wewe ni Hazina ya Taifa
@joselendena2448
@joselendena2448 6 жыл бұрын
yani wewe....... mimi cyo mtuwakwenu kigoma.... lakini... niko tayali..... kutoka dar.. kuja kukuunga mkono... hatakama uko mbali.... duh aise weh mashineee...
@josephmasenga7718
@josephmasenga7718 5 жыл бұрын
Hiki kichwa
@buguzajemedar3631
@buguzajemedar3631 5 жыл бұрын
Zito kibokooooo wallah,hongera sana muheshimiwa
@samanyaswai6272
@samanyaswai6272 3 жыл бұрын
Tutawakumbuka mb zute zitafanya kaz nyingine
@wiza2309
@wiza2309 6 жыл бұрын
Nchi hii imebarikiwa, Mungu akutunze kijana wetu, ni hazina na tu u kuwa kwa Taifa hili.
@isihakamtaalam2099
@isihakamtaalam2099 5 жыл бұрын
Kwelliiii
@queenkhalimaqueenkhalima3174
@queenkhalimaqueenkhalima3174 6 жыл бұрын
Kigoma hatukufanya makosa kukupa kula nakukupeleka bungeni
@davidngudungi304
@davidngudungi304 6 жыл бұрын
Big up
@georgeshija911
@georgeshija911 5 жыл бұрын
yani manyumbu ya ccm yamepigwa nondo na zito mpaka kilanja wao anaamua kuongeza muda kwa zito ili awafundishe vilaza wa ccm yanaanza kusema mwongozo mwongozo yani kichwa na uelewa wa zitto nisawa na wabunge wote vilaza wa ccm hovyo sana
@kajugaa4537
@kajugaa4537 5 жыл бұрын
kula yangu haikwenda bule
@Jxcjs
@Jxcjs 4 жыл бұрын
Mbunge mwenye akili hii nchi ni wa upinzani tu kwa kweli
@emmykagemb7993
@emmykagemb7993 5 жыл бұрын
Job uwa unajifunza vitu vingi kupitia Zitto
@genariusgabriel5360
@genariusgabriel5360 5 жыл бұрын
Jamaa anawafundisha kwel spiker anauliza maswali aereweshwe.
@aviationwonders7575
@aviationwonders7575 4 жыл бұрын
Anauza maneno tu hana lolote
@deogratiaselias3294
@deogratiaselias3294 4 жыл бұрын
Very smart kichwani zitto aiseee
@sulleysonsulley4160
@sulleysonsulley4160 5 жыл бұрын
Huyu mama sijui huwa anasoma au ? Maana haionei huruma serikali yake , ushauri wa upinzani huwa nimzuri lakini CCM wanaukataa ,wakati wangeuchukua na wakaufanyia kazi ,
@nyekingobwire4798
@nyekingobwire4798 6 жыл бұрын
Kaka shikamooo upon sawa
@joshuasinda1996
@joshuasinda1996 6 жыл бұрын
Mh.Zitto! You are very much bright and talented in reasoning! Well said Honourable!!!
@andrewmgoyo8008
@andrewmgoyo8008 6 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua bwana dah Mh ndugai anaona km muvi ya kihindi hadi raha
@mankomwita8692
@mankomwita8692 6 жыл бұрын
kigoma mnambunge haswaaa zito njoo igunga
@BurhaniLiyau
@BurhaniLiyau 6 жыл бұрын
Pambaneni na Dk. Kafumu wenu next time mpigeni chini!!
@avocadotz2946
@avocadotz2946 5 жыл бұрын
I appreciate you
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 5 жыл бұрын
ndungai kichwa ngumu hafaham kitu jichwa kubwa ndani maji machafu,msomeshe huyo pocho
@msemwawalter837
@msemwawalter837 5 жыл бұрын
Spika si mjinga ndio maana kauliza. Acha matusi ndugu yangu..... Au changia hoja kama zinakutosha!!!!
@philimonindinadyo4843
@philimonindinadyo4843 5 жыл бұрын
Mh Zito wewe ni nembo ya kigoma tafadhali usije ukathubutu kununuliwa na CCM utapoteza heshima uliyojijenge kwa gharama kubwa ukipata ujumbe huu tafadhali nijibu
@clausdominic1518
@clausdominic1518 5 жыл бұрын
Respect bro
@clausdominic1518
@clausdominic1518 5 жыл бұрын
Ada haikwenda bure!!!!
@elishachenya6580
@elishachenya6580 4 жыл бұрын
Keel zoo kama mbunge wa geita
@elishachenya6580
@elishachenya6580 4 жыл бұрын
Zoo we we mbunge kwel
@saidykassim632
@saidykassim632 4 жыл бұрын
Philimoni Ndinadyo sema kaka
@dr.rimack8484
@dr.rimack8484 6 жыл бұрын
Huyu Speaker wa Bunge, Yuko vizur I never seen before,
@dicksonlusinde2830
@dicksonlusinde2830 5 жыл бұрын
Ukwel unabakigi kuwa ukwel tu yako wap sasa
@williamstevenmvanda7923
@williamstevenmvanda7923 6 жыл бұрын
yaani usingedanganyika na kuyumbishwa siku zile, ningekushawishi ugombee urais. hakika shule kwako IPO.
@abujuhaifah7461
@abujuhaifah7461 4 жыл бұрын
William Steven Mvanda hahahahahha umetisha dunya
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 4 ай бұрын
Zitto upo vzr sana kijana mwezetu
@donietz9301
@donietz9301 4 жыл бұрын
Uyu ndy muha ambae ame aga kwao hatishiki
@ibrahimuhaji2855
@ibrahimuhaji2855 4 жыл бұрын
Sijaona tatizo kwa upande wa wapinzani
@sainatv2688
@sainatv2688 4 жыл бұрын
We ni mashine hakuna swali lisilo na majibu
@vitalesmgenge6984
@vitalesmgenge6984 5 жыл бұрын
Yaan leo nimefarijka kwa kusikiliza maelezo ya huyu jaama zito! Kweli selekar iangalie tena juu ya mpango wakuuwa upinzani, maana kuna vichwa ambavyo vikipotea kuvipata, cjui! 👏👏👏👏👏 Ahsant zito zuber kabwe
@malakidamson
@malakidamson 4 ай бұрын
huyo ndo muha finest kigoma hatoki fala
@EshimaniMauridi-im8gi
@EshimaniMauridi-im8gi 5 ай бұрын
Mfahamu uyojamaaa. Nimcongo😮😮😮
@chambasclinton7456
@chambasclinton7456 4 жыл бұрын
Hawa watoa tarifa huwa wanaaribu maada
@ramsoramso1544
@ramsoramso1544 6 жыл бұрын
Mmmh shikamoo zitto
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 6 жыл бұрын
Wewe kijwa mheshimiwa Zitto Kabwe Kigoma oyeeeee
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 5 жыл бұрын
Nendaa pole pole hapo maana kuna standard 7 wa chama Fulani watalala kwa kutoelewa
@filismpangala8142
@filismpangala8142 5 жыл бұрын
hahaha
@mathayomkumbuchile1569
@mathayomkumbuchile1569 4 жыл бұрын
Ndugai Ni bogasi kabisa,pwinyu
@adelinakyakabanja6241
@adelinakyakabanja6241 3 жыл бұрын
Tutawamiss sanaaa 2025 jamaniii
@mussamalugumalugu9756
@mussamalugumalugu9756 5 жыл бұрын
Mh zitto endelea kutikisa
@densarleonard6214
@densarleonard6214 5 жыл бұрын
Zitto utabaki kwenye kumbukumbu tz
@laulianmeneja2079
@laulianmeneja2079 4 жыл бұрын
Msukuma hasikii kingereza
@moseskilindu7616
@moseskilindu7616 5 жыл бұрын
ushauli wangu wawe wanafuata namawazo hata kama nilawapinzani
@karegakisimbo6808
@karegakisimbo6808 4 жыл бұрын
Wadaka mabomu utawajua ndugu
Zitto Kabwe VS Dk Tulia Ackson, Full package
19:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 321 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 104 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 13 МЛН
Zitto Kabwe 'ACHARUKA' Bungeni "Tusije Kulaumiana, Siasa Itakuwa Ngumu"
15:02
Zitto Kabwe, Bashe 'WALIPUKA'  Bungeni "Huo ni Uongo"
24:29
Global TV Online
Рет қаралды 193 М.
ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"
8:01
Global TV Online
Рет қаралды 662 М.
Alichokiongea Zitto Kabwe Bungeni kuhusu matukio ya utekaji
10:57
Millard Ayo
Рет қаралды 148 М.
Sikiliza Hekima na Busara za Riziki Shahari na Zitto Kabwe Bungeni
15:31
Global TV Online
Рет қаралды 360 М.
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17