Mabishano makali yaibuliwa na Mh. Tundulisu dhidi ya mwanasheria wa seriakali juu ya baadhi ya mantiki ya vifungu vya sheria katika mswada wa kumlinda mtoa taarifa .
Пікірлер: 4
@mohamedturanardan88713 жыл бұрын
Alompiga risasi Lissu aengezewa adhabu ya kaburi, shenzi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@olemanoti9171 Жыл бұрын
Huyu ni msema ukweli acheni upuuzi
@mwaulambo9 жыл бұрын
seriously how can mbunge alieshia form four aka interpret this legal phrases/ sentences?? please Tanzania we need to wake up. Thanks Lissu