It's with regret that Hon jaguar made those remarks however our Tz brothers should check how they treat other East Africans ....From Uganda.
@surveillancesurveillance38725 жыл бұрын
Did you say honourable? He is Jaguar nothing honourable about the guy . Im Kenyan btw
@antonykashube20655 жыл бұрын
Kenyans are very good people. And I love them. Wakenya ni ndugu zangu. Much love from Tanzania.
@mohamedsasma8795 жыл бұрын
Lusinde umejibu kimtaani kama Jaguar sio vizuri hongera waziri Mkuu Kwa majibu ya busara!you are a great leader!
@ibrahimkasimo78705 жыл бұрын
bravooo prime minister majaliwa ur so brief explanation unatisha
@djatm13195 жыл бұрын
Hatuna ugonvi na nyinyi watazania .....Kenya tunawapenda ndio maana mbunge watu amekamatwa na kufunguliwa mastaka....poleni sana
@emjay10165 жыл бұрын
DJ ATM ww mi nmemsikiliza mbunge Jaguar na uyo Duale woote ni hao hao...tatizo wakenya mnawivu sana na watanzania
@djatm13195 жыл бұрын
@@emjay1016 sio wote wana wivu lakini hakukosi wachache....Jaguar akiongea hivo alikuwa anafurahisha watu wa hio soko bila kujua atakuwa kwa shida saa hii ako njela siku ya tatu
@emjay10165 жыл бұрын
DJ ATM sawa ndugu yangu....unafaham kua hata bunge la kenya limejadili suala hili hili na mmoja wao ni Hon.Duale naye alkua na mtazamo sawa na Jaguar
DJ ATM absolutely,,,,,we are neighbors....we are Brothers and sisters....
@mosesnduati65725 жыл бұрын
Kenya na Tanzania ni nchi ambazo tumezaliwa tukazikuta na tutaenda tuziache lakini tutaziwachaje?,Mimi kama mkenya naomba radhi kwa ndugu zangu watanzania poleni sana ndugu zetu
@igniamsuiluj70445 жыл бұрын
Thank you Mr. Prime Minister. Your words are full of wisdom!
@growonlinetv36315 жыл бұрын
Very nice say Prime minister
@burudanitv8745 жыл бұрын
mm naomba ushauli wamuulze msukuma tutapt majbu shh jmn km kna anaekublian nmm apge like
@jumajohn2345 жыл бұрын
Jazim Said hahahaha
@stanleymavurastanleymavura92955 жыл бұрын
mbowe na waziri mkuu mungu awabariki leo nimefrahi sana kuona waziri mkuu na mbowe wakiongea pont tupu daa nimefurahi saaaana
@BobGichuru5 жыл бұрын
Kama mkenya anayeishi na kufanya kazi na watanzania hapa Kenya, nafahamu kwamba mawazo ya Jaguar ni reckless. Sisi wakenya tunapenda wenzetu Afrika Mashariki hasa TZ 🇰🇪
@jamalsaedkivuruge40805 жыл бұрын
Shoga wewe Hama na wewe fala hii
@jonathankizindo28175 жыл бұрын
Ni fahari sana kuwa na Prime Minister mwenye hekima na Busara ya hali ya juu sana. Nakutakia maisha marefu.
@kambamazig020242 жыл бұрын
Waziri Mkuu Majaliwa unayo hekima kwenye hili suala. Kudos!
@adnanidarous31175 жыл бұрын
mahoteli yote ya Zanzibar yanaongozwa n wakenyaaa tena wananyanyasa wa Tanzania sanaaa
@khamishassan87625 жыл бұрын
Watanzania tuko active sana. Hongera zetu.
@hamismbotoni55315 жыл бұрын
Daaah ofisin kwetu yupo mmoja tena anazingua sana daaah nasubil walianzishe nitambeba mchana mchana
@mwasoprince34595 жыл бұрын
Hahahaaaaa
@tarickadam72945 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁
@faceg_tz5 жыл бұрын
Mpigeni arudi kwao
@alexandermulilison58445 жыл бұрын
@@faceg_tz Two wrongs have never made a right
@neemamabiki44965 жыл бұрын
wapigwe na wao warudi kwao washenzi hawa.
@brownngulo29255 жыл бұрын
Hongera sn waziri mkuu wetu umeongea vizuri sn.
@daveondiekaaron22045 жыл бұрын
WE ARE ALL AFRICAN AND WE SHOULD BE ONE. GOD BLESS YOU ALL
@jolitekidyega62925 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa mbohe
@Mtu4455 жыл бұрын
Kenyans are mistreated in Tanzania and our government says nothing yet when Jaguar says sth that was blown out of proportion, that becomes a big issue to be discussed by a whole Parliament! How many people have bn denied access to Tanzania, our chicken were burned, cattle auctioned and the government of Kenya said and did nothing!
@jamalsaedkivuruge40805 жыл бұрын
Your right
@Mombasaweldingworks3 жыл бұрын
True
@michaeledward10035 жыл бұрын
Majaliwa is upcoming Tanzania presedent , , very intellent
@saniapembe10015 жыл бұрын
Kauli ya waziti Mkuu imejitosheleza kabisa. Mh Spika sitisha mjadala.
@daudbusumbi32305 жыл бұрын
Tanzanian hood leo nimeuona, thanks our Leaders
@husseinprospect97155 жыл бұрын
That was reckless yes indeedbut our government has already take its action why Tanzanians don't see that
@juliankuka24965 жыл бұрын
kwa niaba ya serikali mimi kama Mkenya tunaomba msamaha kwa maana mbunge wetu anatumia unga wa ngano ambao unamchaganya tafathali tuwieni rathi kaka zetu wa bongo.....we need each other guys........
@deejayderrick22165 жыл бұрын
The last person who spoke is a perfect diplomat and a sober mind.
@tahiraabdul17015 жыл бұрын
Bao la ushindi la Kenya lilifungwa na bwana Olunga,tumjadili nae tumfanyeje?
@khalidawadh93525 жыл бұрын
Congratulation wabunge wetu kuwa kitu kimoja
@abrahamkibona70385 жыл бұрын
Safi Mbowe
@lazarosilayo69185 жыл бұрын
Yaani hili Lusinde,.. Kweliii nimeamini Darasa LA Saba sometime cyooo kabisaa
@salvatorybuha43285 жыл бұрын
Kasim majaliwa kasim kiongozi shupavu Sana kiongozi WA kuigwa kiongozi shujaaa
@comrademlewaisavile3365 жыл бұрын
Nimependa wabunge wote Leo mmekuwa kitu kimoja nakukubali mh wazir mkuu Kwa maelezo yako.
@richardmbukwa57435 жыл бұрын
Wakati spika anasema naona mbunge mmoja angemjibu jaguar, mm niliwaza lusinde tu ndo anatosha.
@makorinorbertokinyi57645 жыл бұрын
Tunawaombeeni msamaha jameni sisi wakenya hatuna ngori na wa TZ ila wachina wanatuzingua sana
@bensonmgeni5665 жыл бұрын
Au co
@shaabanhamza18855 жыл бұрын
Big up kwa lusinde
@mathewungani97245 жыл бұрын
Mh.Lusinde ni noma
@stanslausmteme84555 жыл бұрын
Mh lusinde anaakiri Sana mbunge mmoja wa Kenya anatetemesha Bunge zima la nchi yetu???? Eti bunge zima linamjadili mbunge mmoja wa Kenya!!!!!!! Tuwafukuze waende zao tunawabembeleza nin?! Acha kupuuza Sisi tunabembeleza nini kwao?????? Tuache upole tuchukue hatua waache kutuchezea
@alenfelix86105 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Mh Lusindeeee!😂😂 Memwelewa sana huyu Mjomba! Woga unatuponza!
@simeonmutashobya39225 жыл бұрын
Ushauri wako hauna macho. Ona mbele boss
@jitabojilala61625 жыл бұрын
Mbowe ungekuwa hivi siku zote ungekuwa juu
@yonamwakanyamale50235 жыл бұрын
Thanx mr. PM that is why you are a PM in TZ...!
@micamathew64335 жыл бұрын
Mbunge wa kenya ameamua kutudharau sisi cyo, but yote sawa, ila huyu hafai kuitwa mbunge coz anataka tugombane jmn, kitu ambacho hata hakiingii akilini, huyu mbunge wa kenya ajiangalie mara mbili coz anatoa kauli za kitoto sana, asituchezee sisi, mana sisi tukikasirika tutakuja kunywa chai ndani ya Nairobi, be care sana
@theafricanphilosopherqueen30325 жыл бұрын
Mimi kama Mkenya nakubali kwamba in kweli wakenya wengi wako kwa nchi zingine kwa nyadhifa mbali mbali..,lakini ningependa kusema pia kwamba Kenya ni nchi ambaye ina wa Somali.wa Nigeria, wa Sudan na wengineo kutoka nchi mbali mbali. Waziri Matiangi amesha toa msimamo wa serikali,... huo msimamo wa Jaguar ulikua wake binafsi.
@mwasoprince34595 жыл бұрын
Mh lusinde anahasira kweli, duuh sasa ukiwa raisi unaweza peleka nchi vitani kwa hasira.
@shulestuff5 жыл бұрын
WaKenya wamemshutumu matamko ya huyo hohe hohe na alichokinena, ndiyo kazi ya MPs wetu hapa Kenya - kuropokaropoka ovyo
@paulsasuma87135 жыл бұрын
Mbowe Mimi sio Chadema kumbe we Mzalendo
@bambuchabongomovie57465 жыл бұрын
kumbe kuna wabunge waongea hovyo du!!!!!!!! sipika upo vizuri
@wazirimakua87695 жыл бұрын
Kubwa kuliko yote kauli ya Mh. Waziri Mkuu ni muhimu na tuichulie kwa uzito mkubwa. USHAURI: Mbunge yule azuiwe kuingia nchi ikiwa kwa shughuli zake binafsi ama vinginevyo kwa kipindi kisichopungua miaka mitano.
@sahibumsuya72025 жыл бұрын
K
@mauhmoh89475 жыл бұрын
What will Jaguar want in Tanzania
@sangetiemanuel65584 жыл бұрын
M
@noronhacompanylimited53705 жыл бұрын
Mheshimiwa Waziri Mkuu ni mwerevu sana, mzungumzaji mzuri sana!
@bahatimasawe90915 жыл бұрын
Kusema eti serekali ya kenya itoe kauli ya kua eti yule mbunge aliye toa kauli ya kua hawapo nae sijalihafiki kwasababu anaweza akajitokeza mwingine akafanya mauwaji serekali isema aiko nae achukuliwe atua kali
@allyothman87335 жыл бұрын
Uyo ni msanii wa music ana sifa ya kuwa mbunge
@jenyyusuph49735 жыл бұрын
ndio baba waziri wetu tuishikama ndugu tunawapenda jirani zetu wakenya mpaka wetu mmoja nimajirani wadam
@josephatalphonce44745 жыл бұрын
Leo nimejua kumbe mbowe ni mzalendo na nchi yake
@seifumwambashi45085 жыл бұрын
Kipekee kwanza namshukuru Mh . Mbowe kwa kutaka neno kwa serikali yake .Hakka tunao viongozi wazalendo kwa nchi yke.Pili nimshukuru Mh. Waziri mkuu kwa majibu mazuri ya serikali Kutambua umuhimu wake kama kiongozi wa serikali na kuwatia nguvu wanachi wake.
@africanhappyadventure69515 жыл бұрын
Yani akama unafuatiliaga Bunge Hamna mtu mzalendo na mwenye Busara yanapokuja Mambo ya nchi kama aina hiyo kama ..Mh mbowe hayo mengine tuanyoonaga na kusikia siku zote tunashindwa kuelewa kuwa ni Siasa ila sisi wanachi hatuelewi tunaona mtu akiwa mpinzani basi yeye ni Adua hatuwezi kuendelea kwa Mitizamo hiyo hata siku moja
@chachamagoti24005 жыл бұрын
Acha unafiki na ushamba leo umejua kwamba ck zingine ulikua humckii kauli zake juu ya taifa.
@rehemaahamadiahmadi5665 жыл бұрын
Josphat umeona kabisa hata Mimi nimemuelewa leo
@josephatalphonce44745 жыл бұрын
Chacha Magoti jitambue kabula ya kupost unafiki unaujua ww, au ndo kukaririshwa?
@andrew.gadimrinji17135 жыл бұрын
Baada ya maelezo ya wziri mkuu spika unalikorogs tena. Kuwashawishi wabunge nao wajisemee hovyo ni kudhalilisha kauli nzuri ya waziri mkuu. Nadhani bado Ndugai umeteleza na wewe.
@faceg_tz5 жыл бұрын
Hahahahaaa
@mathiasmkude3625 жыл бұрын
Safi sana viongozi wetu kwa kuchukua hatua haraka na kumjibu huyu mpuuzi. Maana washa zoe kutu bagua wajinga hawa Mimi mwenyewe wali ni sumbua sana wakati niko kenya wabaguzi
@japhetbarton82685 жыл бұрын
Walianza na ubaguz wa mziki wetu Wanakuja taratbu kwenye utaifa wao Kenyans in nature wabaguz mnooo
@mumbasag6795 жыл бұрын
Na wajuaji pia. Kila kitu wanajua wao
@pietrojenkins69015 жыл бұрын
Fvck you lazy socialists and pan handlers .The only thing you're good at is killing albinos for witchcraft.
@jaredsimiyu82655 жыл бұрын
Propaganda tupu kenya twapenda mziki wa bongo..... Ila sisi Hatuwaogopi kamwe
@davidkirui78405 жыл бұрын
Did Tanzania parliament discuss before auctioning Maasai's cattle?
@gigotz17555 жыл бұрын
Ngoja wajikologe waone moto wa jwtz Malawi na Uganda wantujua vzur
@mumbasag6795 жыл бұрын
Wakumbushe
@tahiraabdul17015 жыл бұрын
Angalau hasira zimekwisha baada ya kuwafunga Tanzania 3:2
@zagaronondo81305 жыл бұрын
.lusinde unamaamuzi kama yangu
@wilsonmaina44625 жыл бұрын
But Tanzania authorities are vry cruel and mistreats Kenyan I was once detained at arusha koz I asked him where to pay the fine at 3 am at night what followed was to bribe them with 200k ety nimefokea police
@josephmwasongwe54565 жыл бұрын
Jemedari wangu majaliwa cassim majaliwa hongera sana kwa kuwa na akili nyingi boss duh
@Ishengoma15 жыл бұрын
Kweli Lusinde ni maji taka kule juu. Hana hekima
@histonezekiel80545 жыл бұрын
Lusinde baba ushamjibu tuendelee na mengne
@santibaniusabdy88575 жыл бұрын
mh lusinde punguza fujo mazungumuzo baina ya balozi zote mbili yaitajika haraka sana
@marcondokeji89825 жыл бұрын
Nawapongeza sana wabunge wote kwa kuchangia pamoja na waziri mkuu Lakini msipuuzie maneno ya huyu Mp Jaguar. Maana maneno yake yamepanda mbegu tayari kwa Kenya na watanzania na ningeomba huyo mbunge afutwe ubunge wake maana ni mchochezi
@zainabuahmed59105 жыл бұрын
Vizuri waziri Mkuu Ila viagize vyombo vya Habari kuzuia nyimbo zake zoote. Pili tumzuie kuingia Tanzania
@pattypatrick5445 жыл бұрын
daaaaaah! ngumu kumeza. hivi Juma Nkamia yupo?
@neemamabiki44965 жыл бұрын
serikali ya Tanzania msihangaike na mjinga mmoja!mpeni hiyo kazi mheshimiwa lusinde na msukuma wamalizane nae huyo bwege
@ksncompany99405 жыл бұрын
Wengi wanampinga lusinde ila huyo jamaa ndo kaongea kiume sasa nadhani jagwa ujumbe utamfikia kwamba hata huku kwetu wakenya wapo na tunawaacha tu sio kwamba tunawapenda saaana tuna uwezo wa kuwafukuza tu
@obedipeter13295 жыл бұрын
KASSONGO COMPANY serekali yetu kumbe mnatupenda hivi mimi nimtanzania nipo Kenya nina omba mkoawakilimnjaro pasipoti simebanwa sana naomba kama mnatupenda hivi mwasibiti wale wanao suwia pasipoti namashariti makali kwaajili yarushwa tusaiwe kupata pasipoti bilakusumbuliw asante
@omaryhamadi66595 жыл бұрын
KASSONGO COMPANY aahahahah lusinde kaongea maaaneno y kiumeeee xn kaz kaz wakiilianzisha tunakinukishaaaa atakam tunafamiliya zetu Kenya potelea mbalii
@kalistimarley19245 жыл бұрын
Daah wakenya bhana achaneni nao maana hawana jipyaa cha kushangaza hadi mziki wetu wana uchukia ,Mali na rasilimali wanasema zao ,huyo jagwa mnafki sana juzi alikuwepo kwenye birthday ya nay was mitego "ikiwezekana jagwa asiingie tz mpaka maisha take yote maana in mnafki sana " mm shule niliyosoma walimu wengi waliajiriwa wakiwemo wakenya bila ubaguzi mpaka Leo
@omaryisingo56975 жыл бұрын
Wakenya ni wajuaji sana wanajikweza mno,wanatudharau sasa nikuwapiga tu maana uwezo tunao na hawatuwezi kamwe,wajifunze kwanza kuwazuia wasomali kwa wabongo tutawanyoosha
@mumbasag6795 жыл бұрын
Haswa! Wanasema eti kenya ni abroad 🙄🙄 wa Tz tukienda kwao n tumeenda abroad. Unajua kwann? Kwasababu cc n wastaarabu sana. Sasa wasubirie wanaone ustaarabu wetu
@merajibrahim77145 жыл бұрын
Stupid Omar isingo watch your tongue we are very armoured we can crash tz within hours
@omaryisingo56975 жыл бұрын
@Mzee Mzima dawa yenu mbona wasomali tuu ,jeshi la Tanzania halina wakupigana nalo ,Wakenya ni mademu kwa jeahi letu
@ksubsnovideo-yv1qe5 жыл бұрын
@@omaryisingo5697 Dawa yenyu ni ujinga wa kuzaliwa nayo na ushamba.
@omaryisingo56975 жыл бұрын
@@ksubsnovideo-yv1qe OK utani mbaya
@sunlamar70875 жыл бұрын
Pata picha Rais ndo Lusinde
@ktravel35275 жыл бұрын
😂😂😂kesho tungeenda kunywa chai Nairobi😂😂😂
@alriyamy6135 жыл бұрын
Msisubiri mtanzania abigwe ndo mkanywe chai,wakenya niwajinga cc tunaoish Kenya ndo tunaojua then kenya + Tanzania wanabifuu laasili ila viongoz Mara nyng viongoz wanakua cio waathirika wanachkulia juu juu tu.
@oliewowanaluo14525 жыл бұрын
Kenya depends on Tanzania,nisichekee
@biggiebazuu50135 жыл бұрын
Noti za gunia
@jonathankyalo31925 жыл бұрын
Jaguar is gaining popularity hahaaaa,,,ajabu sana sioni Mimi shida yeyote na watanzania hapa Kenya politicians do mnaongea tu sisi tupo salama
@philipangatia33185 жыл бұрын
Ng'ombe wetu mliwauwa....hatukuongea sahiiii jambo dogo linawauma sana
@alriyamy6135 жыл бұрын
Same case to South Africa,wakiuliwa watanzania nyny ndo mtajibuu
@barakamfilinge69435 жыл бұрын
Jaquar afungiwe kabisa asikanyage Tanzania
@jamesmuturi2695 жыл бұрын
Anacome kufanya nini..?? 😆😆😆
@yohanadidas57605 жыл бұрын
Gonga like kama umemuelewa mh lusinde😂😂😂💪💪wapigwe tyu
@strawbee77095 жыл бұрын
Jaguar yupo sahihi.
@godfreymbwambo44605 жыл бұрын
MAJALIWA RAISI AJAYE BAADA YA JPM!!!
@bakariluhala73325 жыл бұрын
Hatuombei vita ila yule mjinga mmoja atajuta kutujua.
@pewaudaku745 жыл бұрын
mjinga ni wewe
@abdulisinga15975 жыл бұрын
Umeongea point waziri mkuu sio huyo bajaji.
@stevekio55105 жыл бұрын
Nothing to apologise. ........why tz?..............this is because of the way you treat others.
@gmchats53355 жыл бұрын
Spika Ndugai, matamshi yako ya hapo ni ya uchochezi, yana fa kulaaniwa na kupingwa...
@anethsimon30055 жыл бұрын
Wakenya in general wanatudharau sana sisi wabongo.
@anethsimon30055 жыл бұрын
@Mzee Mzima duuuh haya bwana, sawa tunashukuru
@davidchacheezy89205 жыл бұрын
watazania wana vihelehele sana mbona Uganda hawajareact kwendeni huko puga
@mudiissa96535 жыл бұрын
Naomba wafanye uchunguzi kwanza kuhusu afya yake hususan kupimwa akili ama alikuwa natumia vilevi
@ebenernnko33395 жыл бұрын
Kumbe kweli lusunde nitatizo kubwa sanaa uwezo wake mdogo sana
@bahaliasimango30345 жыл бұрын
Ni mjinga tu mbona wanamziki wa Kenya wanaiga maujanja kutoka tz mshamba wa maisha mlevi wa madawa ya kulevya mbona ss hatusemi.
@charleskabuchu76325 жыл бұрын
Hamna kitu ya kujadili +254 ndo kusema! Treat kenyans the way u would like ur pple to be treated.
@njoroge20612 жыл бұрын
Anyone anaeza kuja Kenya kwa njia ile inafaa kwa kufuata sheria hatuchuki mtu yeyote.
@kahugentobi97345 жыл бұрын
Lusinde hakili ndogo sana
@sadickrajabu11915 жыл бұрын
Poa sio mbaya wakenya wapo wengi kunammoja ninae mazingira ya kaz nimnoko sana kwaiyo ni kumshughulikia tu
@faceg_tz5 жыл бұрын
Mpigeni
@jarednovel5 жыл бұрын
Wakenya wanawindwa kama wanyama Tanzania siku zote na hii hali imekuwa mbaya zaidi kipindi hiki cha Magufuli
@dulaabdallarashid5 жыл бұрын
Watanzania ndugizetu jaguar ni fala yule hajielewi
@KaranjaPk4 жыл бұрын
On Behalf of Kenyan Government I really regret.
@anosisyemwakatumbula76315 жыл бұрын
kweri we kibajaji😀😀😀lusinde
@deojohn14135 жыл бұрын
Na ndio maana kapewa jina LA mnyama hana hadabu,hata kidogo,
@coloneljoseph74482 жыл бұрын
I on behalf of the government of Kenya I wish to make it clear that jaguar's statement does not represent the view of the government and people of Kenya
@TheSalma19995 жыл бұрын
Kweli
@lucynthambi82435 жыл бұрын
Uhusiano wa kenya na tanzania ni mkubwa na wa jadi kuliko huyu bichwa jagua domi tiririko.
@officer12085 жыл бұрын
Mpeni kazi mbunge Bwege au Msukuma au Lusinde Le kibaji wamjibu.