Mnatuomba kura kwa kiswahili mkiingia bunge mnajifanya hamjui kiswahili pongezi kuu kwa mheshimiwa Mohammed Ali mbunge wa nyali ulituomba kura kwa kiswahili na bado unatuwakilisha kwenye bunge kwa kiswahili shukran mheshiwa 🙏🙏🙏🙏
@alexandermutune61312 жыл бұрын
Very lovely speech by the speaker of TZ...Endelea kutunza lugha ya Kiswahili.
@tolumnyama39355 жыл бұрын
Mhe: sipika wa bunge nilkuwa cjawahi kufahamu kama unaweza ongea straight hivi kwny public namna hyo congratulation upo vizuri mhe; spika wetu Tz woyeeee.!!
@gitucha5 жыл бұрын
KISWAHILI NI LUGHA YA AFRICA MASHARIKI 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Amen to that.
@Zoentje895 жыл бұрын
C wote Africa mashariki wanaongea Kiswahili, dat not true
@fatmafa18965 жыл бұрын
Pongezi mh spika umeongea vyema Sana kweli Mungu Baba yetu wa mbinguni akulinde na akujalie uzima tele kwa jina la yesu kristo aliye Bwana na mwokozi wetu amen
@mwarabumbarak43425 жыл бұрын
Mhh umepotea njia ww
@salimbakarisalim72163 жыл бұрын
Asante mweshimiwa spika wangu kwa kusimamia haki zetu kitaifa Binadamu Wote Dunia.Swahili Lugha Mamma na Babà Dunia Nzima
@janetmwangi38685 жыл бұрын
Ni kweli Mheshimiwa spika wa Tanzania.
@millotv80505 жыл бұрын
Sio spika ni mwenyekiti wa bunge
@Jkemtranslators3 жыл бұрын
Kiswahili daima ndio lugha yangu najivunia sana nitaitangaza na kuizungumza popote
@goo63415 жыл бұрын
Hodari sana Mheshimiwa mpendwa kutoka Tz. Tuitukuze lugha ya Kiswahili!!!
@timothyyosef37693 жыл бұрын
i know it's quite off topic but do anyone know a good site to stream newly released tv shows online ?
@brayanchandler33743 жыл бұрын
@Timothy Yosef i use flixzone. Just google for it =)
@nelibaba4 жыл бұрын
Hongera sana Mh.Spika Ndugai.
@saidimusungu17533 жыл бұрын
Safii sana, wabunge wa Kenya ni wagora, iweje kura kuomba kwa kiswahili kwa bunge ni kimombo.
@johnwillingstone31215 жыл бұрын
Safi sana Mh. Spika wa Tz
@binthassancollection.63085 жыл бұрын
Wabunge wa Kenya Kiswahili wanakitumua wakati wa kutafuta kura tu, wakienda bungeni ki kizungu tu😂😂😂😂😂😂
@mohamedalawy77045 жыл бұрын
Kenya tusiwe kama Tanzania. Bungeni tuendelee kutumia Kiengereza.
@alfanm.82215 жыл бұрын
@@mohamedalawy7704 kwanini tuitumie lugha ya kimombo wakati tuna lugha yetu ya kiswahili ata ukizungumza aliye mashinani anakuelewa vizuri
@Bigboy-nx3nc5 жыл бұрын
Mohamed Alawy your very stupid
@MK-qk2wv5 жыл бұрын
Kenya wabunge hawajui Swahili unless those from coast region. Wale wengine ni sheng tu. Alafu there's nothing to listen in Kenya's Parliament. Sisi tuliachia wazee nchi we are busy with online works and employment abroad which requires English. Tz nyinyi mko sawa tu hamna shida. You're like our fellow coast citizens hawananga haraka ya life. Lol
@kingofccl68864 жыл бұрын
@@MK-qk2wv hata wachina hawana haraka ndomana hawajui kingereza, so kutokujua kingereza ni kutokua na haraka, ivi nyi watu wa kenya mna shida gani nyi watu
@gshdhvdhf82835 жыл бұрын
Ni kweli mheshimiwa...nikama vile sisi wafirika tuliamini mungu ni mmoja tu hana mshirika wala mwana na ni mungu wapekee asiekua na mfano wake, mwenye kumiliki dunia na bingu na anaeshusha nvua...na hayo yote tuliamini kwa lugha zetu za kiasiri bila kingeleza lakini alivyokuja mwingereza ndio akaja na vituko vya mungu ako na mtoto mungu na watatu ndani ya mmoja yaani confusion na ndio maana kabla ya kuja wao sisi tulikua na umoja na kweshimiana kama wafirika hakuna wakati wafirika waliwahi kupigana wao kwa wao tuliheshimu sana viongozi na wafalme wetu bila kujari kabila wala nani, jerani kwa jerani walikua dada kaka....lakini yote yalipotelea baada ya kukuja mgeni mweupe ndio maana wahenga hawakukosa busara kunena MGENI KUMUKARIBISHA NI KUJICHONGEA.......
@ibrahimwerejuma48165 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe bwana sipika wa bunge la Tanzania bwana ndugai.
@mako3315 жыл бұрын
Safi ongea Kiswahili tu, mzungu aliondoka bado tumetawaliwa kwa lugha na mambo mengine
@hussenimohemedalmas59455 жыл бұрын
SAfi sana jobu ndugai waambie hao wakenya ndio mana wanazidi Kua mafsadi nikwaajili yakujifanya nahiyo runga" yautumwa
@millicentayango38795 жыл бұрын
Ww umejifanya mwalimu wa kiswahili una nini cha mno? Sahizi bila English you can't get a good job abroad.hata waraabu sikuhizi wanaongea english
@MK-qk2wv5 жыл бұрын
Wewe na kiswahili yako umefika wapi. In Africa if you don't knoe English, you can't make it since there's so Much corruption we opt to seek employment in English speaking Countries since they're the ones who have employement for us. Nonsense
@twaibumikidadi73775 жыл бұрын
mbadlishen mpka vitabu vya sekondar nchi nying wanatumia lugha mama kwenye sector zote za elimu n.k tubadilikeni bhana tz tunaweza kabsaaaa.
@arafataliomar74324 жыл бұрын
Mie sijui lugha nyengine zaidi ya kiswahili
@amoswekesa14765 жыл бұрын
Ufisadi kieleweke hadi tutangatange.
@happeningnow2435 жыл бұрын
Kiswahili is the best and full of romantic words and respectful words sasa shida ni kuongea iko na ngeli mob sijui hata niseme ako ama iko ama kiko😅😅😅
@lwitikophilipopelela18913 жыл бұрын
Kina*
@smadon56385 жыл бұрын
Kwa hilo na kukupongeza kwa kuwakumbusha kwamba Kiswahili tunalikubali,na kwa taarifa sahihi ni kwamba kenya ilidhinisha kiswahili kiwe lugha rasmi katika katiba ya kenya mwaka 2010👍
@omarabdallah29745 жыл бұрын
Kweli kabisa tunafanya lugha za wakoloni ni bora kuliko lugha zetu. Ajab ati mtu hajui lugha ya taifa
@mushken655 жыл бұрын
Aibu sana
@kingsultan22235 жыл бұрын
Uko vizuri spika wa tz wafundishe na hao wakenya ujinga waachee
@LOL-bw1mg5 жыл бұрын
Ujinga uache wewe
@yohangidion39165 жыл бұрын
Manaomba kula kwa kiswahili mkisha fanikiwa mnakitelekeza kiswahili safi sana.
@johnkaaya7394 жыл бұрын
Siyo kula sema kura
@annwangai58565 жыл бұрын
Wakenya tuna shida.... Twakipenda kiswahili tu hatukimanyi.
@newbornhaule16355 жыл бұрын
Uje nikufundishe
@bantuvoicemuchaikinuthia25364 жыл бұрын
😂😂
@isasora48464 жыл бұрын
Waambie baba
@igniamsuiluj70445 жыл бұрын
Umebonga vibest!
@agreysambo48583 жыл бұрын
Sipika was bunge job jamanii hatendi haki kutaja simba na kuzalau tanga tunamheshimu sanaaa
@joowest5 жыл бұрын
Ata sisi tunataka serikali ihamie Mombasa ama kisumo
@duidala32285 жыл бұрын
Tunaomba kiswahili kitukuzwe muwache kuzungumza lugha za wakoloni
@sallykalya90232 жыл бұрын
Hatupangwigwi pia😂
@mangerarisimmangerito20885 жыл бұрын
Wambie Mimi hushangaa Sana Kwa Sababu, wengi wetu tumeongea lakini wapi tunabaki tukisema lakini tunabaki tukibaki tukambiwa si muhimu
@mushken655 жыл бұрын
No aibu kubwa sana ukiona kiongozi akiringa na lugha ya mkoloni wakati mkoloni anacheka kweli aliprogram nyani akitazama kwa tunings huko ulaya
@kennedyolang11758 ай бұрын
Watu wa kibera wanaelewa kizungu sanaa you dont need to explain anything to them in swahili.
@shakiramohamed80325 жыл бұрын
A point of correction to the speaker in kismayo they don’t use Kiswahili but rather somalia
@mirandaal45415 жыл бұрын
shakira mohamed A point of correction to shakira mohamed. In Kismayo they don’t use Somalia. Somalia is not a language but a country. They speak Somali.
@shakiramohamed80325 жыл бұрын
Miranda Al ,yes I know that was a typing mistake.
@alexandermutune61312 жыл бұрын
Kiswahili kitukuzwe.
@ismailnoor67295 жыл бұрын
Kweli kk hata kismayo ni Kiswahili
@micamathew64335 жыл бұрын
We kisimayo ni matusi bana hahahahaa
@ismailnoor67295 жыл бұрын
Mica Mathew ww nn kuma nn soma ndiyo ujibu fala ww ss watu wa kismayo na mombasa malindi kote ni Kiswahili mbaka kismayo somalia 🇸🇴 ni Kiswahili fala kama ww soma kwanza ndiyo
@bantuvoicemuchaikinuthia25364 жыл бұрын
Safi sana... ninge penda kuongea na wanaotumia kiswahili huko Kismayu
@mkuki20005 жыл бұрын
Wakenya hawajui Kiingereza wala Kiswahili, wanalonga Kisheng. Wanajifanya wanajua kizungu lakini wakiongea na wazungu, wanazua vichekesho tuu.
@kassimmwamambeya44895 жыл бұрын
Unajua unacho ongea lakini wewe?...africa yote hakuna watu wanaongea kizungu vizuri kama kenya na tena wakenya wako na akili nyingi xana
@kanaelinaiman88895 жыл бұрын
EAC united
@khamismohamed3995 жыл бұрын
@@kassimmwamambeya4489 Zimbabwe nao watasemaje?
@MK-qk2wv5 жыл бұрын
Only a native can speak English fuetly. Same as Swahili. But Kenya you can't compare with tz. Yaani do research uone zile awards and grants za innovations and scholarships Kenya Imepata and the employment rate internationally. In Africa its Important to learn and speak and understand English since we have to look for employment outside our Countries because of corruption and level of unemployment here. Nyinyi bakini na kiswahili Chenu hapo. Nothing is invented in Swahili language. English is the official language of the world. Sasa MTU amesoma chemistry na Swahili atafika wapi jameni. Lol
@mkuki20005 жыл бұрын
@@MK-qk2wv You should be proud of your kukuyu language then, if you don't want to learn swahili, but when it comes to innovation, invention and technology take a look at these countries, and tell me if they speak english: Japan, Germany, China, Russia, Sweden, France, Denmark, S.Korea, Norway and m.m. But you kenyans speaks sheng/english and thinks it will help you to be successful, you're dreaming.
@sabraali99414 жыл бұрын
Hivi Kenya wanajua maana ya neno MUBASHARA🙊🙊
@kimuei3 жыл бұрын
😂😂similar* kama sijakosea
@dastonamichaels18543 жыл бұрын
Live broadcast
@anthonymuchai66893 жыл бұрын
Hii nini?
@bennjanja23823 жыл бұрын
English is the international language to be used in our kenyans offices , a reason we go to school
@swalehsalim92975 жыл бұрын
Waambie wanajifanya kizungu kingi lakini roho zao mbaya na wanadulma kwa wananchi wao.
@millicentayango38795 жыл бұрын
Wewe unaroho safi......mbona tz ni wachawi sana
@fatumamwalimu57655 жыл бұрын
Roho mbaya iliojaa Tanzania bado hujaiona?hata kina tundu lisu wanakufia kwa nchi za wawenyewe😏😏😏
@kassimmwamambeya44895 жыл бұрын
Sisi hatuja dhulumiwa na mtu yoyote na tuwache na kizungu cheti...wewe unafikiri kiswahili kitakupatia kazi nje
@millicentayango38795 жыл бұрын
@@kassimmwamambeya4489 true
@swahiliwithdavid59105 жыл бұрын
@@kassimmwamambeya4489 Kwa nini uwaze kazi nje? Kenya hakuna kazi?? au waKenya wote wanaojua Kiingereza wanafanya kazi nje?
@ghulamyassintv48255 жыл бұрын
Kielewe dah imetajwa
@ngenoamos88185 жыл бұрын
mimi si mwahili. lungha zote mbili kiswahili na kingereza nilifundishwa. niruhusiwe nitumie ile lugha naifahamu
@mushken655 жыл бұрын
Kwani hujivunie kuwa na lugha yake ya taifa vile nufaransa,muingereza,mujerumani,murashia. Wore anajua kingereza lakini sumu kuongea na wananchi wao. Kuwa mzalendo a rap mashamba
@fauzishma80335 жыл бұрын
Ulimwengu wa sasa bila kizungu bwana inakuachangamoto lazima ujue lugha zote
@swahiliwithdavid59105 жыл бұрын
Ni kweli lakini usikitukuze Kiingereza halafu ukakishusha Kiswahili!
@millicentayango38795 жыл бұрын
English is okey for Kenyan,followed by Swahili.....juu bila English u can't get a job u will still working has houseboy and shambaboy
@swahiliwithdavid59105 жыл бұрын
@@millicentayango3879 Ilikuwa hivyo toka enzi za ukoloni na bado itaendelea hadi leo kama fikra hazitabadilika...Warusi, Wafaransa, Wachina, Wajapan etc wanatumia lugha zao na wanapata kazi...wanaelewa kuwa kimataifa wanahitaji Kiingereza lakini wanathamini lugha zao kwa kiwango cha juu sana. Na sisi waAfrika tunatakiwa kuzipenda lugha zetu...romanticizing the colonial master's language, pedestalizing it at the expense of our own, only confirms that we are still in mental slavery/colonial rule! And not all people who speak English are smart/educated people...even in the US, Canada, Ireland, UK, Australia and New Zealand - where English is spoken as a native language - there's a good number of unemployable people. What makes one employable is not the language but the skill and the value they bring to the table...nimechanganya lugha ili uone kwamba ninaweza kutumia Kiingereza lakini ninakipenda Kiswahili sana sana sana na sidhani kuwa Kiingereza kiko juu ya Kiswahili ndani ya nchi yangu!
@willydeezle885 жыл бұрын
Upumbavu Ni mzigo
@fauzishma80335 жыл бұрын
@@willydeezle88 sasa umebeba mzigo wa upumbavu ama mzigo wa ujinga
@Rageedii5 жыл бұрын
Ati kismayu? Sema kuchanganyikiwa!
@oradhajiro43515 жыл бұрын
anaaba la yaabay
@jasperetale69165 жыл бұрын
Hapa Kenya, kiswahili ni lugha ya wasiowasomi, masikini na wanyonge!
@swahiliwithdavid59105 жыл бұрын
England pia kuna wanyonge. USA kuna wanyonge. Australia na New Zealand kuna wanyonge pia. Na wanongea Kiingereza pia. Hizo ni fikra zilijengwa na mkoloni wa Kiingereza wakati akiwatala. Miaka 58 baada ya uhuru bado utawala wa kikoloni uko kwenye fikra za watu wengi!
@heraldloshi18645 жыл бұрын
Jasper Etale - Kasumba mbovu.
@mosesnn92953 жыл бұрын
Numbari wani...🤣🤣🤣🤣🤣 kizungu kibaya
@robertgaitho39985 жыл бұрын
Wakenya mumeelewa ama mumerewa hapo, kuomba kula na kiswahili pia mbuge iwe kiswahili
@johnkaaya7394 жыл бұрын
Sema kura siyo kula
@yahayasalum29435 жыл бұрын
Hii tunasema fuata maneno yangu si vitendo vyangu
@binthassancollection.63085 жыл бұрын
Spiker wa Tz umenipunga kumbe huwa mwawasikia TANGATANGA NA KIELEWEKE
@fahadfaraj12635 жыл бұрын
Tunajua sana mambo ya Kenya kina Aisha jumwa tunawafatilia sana
@binthassancollection.63085 жыл бұрын
@@fahadfaraj1263 Ndio vzr hata ss tunafatilia Mzee Magu .
@fahadfaraj12635 жыл бұрын
@@binthassancollection.6308 HAHAHAA Mnamsikia Magu Anavyonyoosha hakuna mwanaume wakujiita fisadi mambo yamenyooka Kula rushwa au iba pesa ya serikali uende jela tumesahau ufisadi
@binthassancollection.63085 жыл бұрын
@@fahadfaraj1263 Hongera zake
@fahadfaraj12635 жыл бұрын
@@binthassancollection.6308 Watu twaheshimiana tz hakuna tajiri Wala maskini wote sawa ukijifanya we tajiri wamuonea maskini akikupeleka mbele unaishia jela
@jimjam41625 жыл бұрын
Tatizo letu sisi wakenya ni vituko tu.
@yusufmohamed88745 жыл бұрын
Umetumia neno DHAIFU
@ismailnoor67295 жыл бұрын
yusuf mohamed mm siyo mtanzania wala mkenya pro tafadhali sana usifikirie. Kiswahili kilianza Zanzibar au Mombasa au kisumu au kismayo au Yemen Kiswahili kilianza hapa gabla mji mingine hata makabur ya walionzisha Kiswahili hupatikana hapa from nagash to king afswad history ina sema walingudua dareslam kwa bahat tu ni originally history ya Kiswahili lkn nyie munasema kuna kireno ndani ya Kiswahili wakat nn kwa kireno na nn kwa kiarabu
@mauhmoh89474 жыл бұрын
Sisi tunatumia zote na inawezekana
@mfaumeally18624 жыл бұрын
Mkundu wewe
@mauhmoh89474 жыл бұрын
@@mfaumeally1862 your stupidity is beyond human being's, am a kenyan and this is kenyan government. Now watch your account." Mkundu" is your low class good for nothing thought
@kimuei3 жыл бұрын
Ufisadi😂😂😂
@johnkamau42945 жыл бұрын
shukilani muhechimiwa kwa hayo
@onelife78505 жыл бұрын
You can tell the language of the colonial is lingering on. Even this guy still uses NAMBARI ONE. That is Swahili which is intruded with English. Why?
@onelife78505 жыл бұрын
Mwaniki Mwaniki, the irony of it all is that the whole emphasis was supposed to be speaking in Swahili and not “Swinglish” so to speak. Well, I must agree with you. When one is a multilingual like many of us in Africa, it is very possible to mix languages during one’s speech.
@onelife78505 жыл бұрын
Mwaniki Mwaniki, no problem. I am a linguist, so I know a thing or two about languages and the speaking of them. Thank you for your interaction.
@onelife78505 жыл бұрын
@Mwaniki Mwaniki I sensed that immediately. In our field, it is not difficult to figure each other out. Congratulations! You are in the right field bro.
@mauhmoh89474 жыл бұрын
Kenyans can teach kiswahili because most of them are trilingual
@mushken655 жыл бұрын
Umesema kweli spika wa Tanzania. Ujinga wa viongozi wa kenya ni ujinga wa kasumba ya kuongea kingereza . Ati wanajiona bora wakiongea hiyo lugha. Watu wajivunie lugha Yao Kiswahili.
@mauhmoh89474 жыл бұрын
Excuse me mister, a Kenyan child knows swahili. Talk to Ugandans
@jonathanmuturi88035 жыл бұрын
Uyo mbuge anatukejeli
@pjones10355 жыл бұрын
😂 mnafiki huyo mzee ana roho mbaya si watanzania tunamjua ingawa kweli hapo kaongea point ila ana pumba sana
@amoswekesa14765 жыл бұрын
ati ufisadi kieleweke😄😄😄😄😂😂
@mirandaal45415 жыл бұрын
Jonathan Muturi Sasa Jonathan? Bado unaishi Kinoo ama ushahama? Du sprichst hervorragend Suaheli.
@kinjeketilengwale11415 жыл бұрын
Miranda Al hii lugha gani tena?😆😆😆😆
@litmosstash98715 жыл бұрын
Was this guy for real? there is no "kiswahili" in Kismayo. They speak a rich language called Somali
@smadon56385 жыл бұрын
Litmos Stash in kismayo they speak Kiswahili,do your research 😂😂😂
@litmosstash98715 жыл бұрын
@@smadon5638 u guys must be hallucinating or what?😂😂😂 Kismayo is a somali land why in the hell will they speak kiswahili for?
@benamimulokozi60525 жыл бұрын
Speak....english man.
@smadon56385 жыл бұрын
Pwani mwa kenya ni waswahili hata kuliko Tanzania bara😂😂😂😂
@kimuei3 жыл бұрын
Uko sure?
@MK-qk2wv5 жыл бұрын
Why on earth would a human being ask another to speak a language just because they themselves are fluent in that language. I grew up in Kenya speaking sheng and English and that won't change. I'm no slave to any mans language whether English or Swahili. Tz syllabus is in Swahili Kenya, its English. So leave us alone English is the worldly most common language endeleeni kubaki nyuma juu ya language barrier.
@khamismohamed3995 жыл бұрын
Tupo nyuma yako
@swahiliwithdavid59105 жыл бұрын
Kenya's National Language is Swahili. And that guy was invited by Kenya's National Parliament in the launching of Parliament Swahili Standing Orders. So what are you bitching about?
@Bigboy-nx3nc5 жыл бұрын
M K Kiswahili is an important language . Stop the b.s
@MK-qk2wv5 жыл бұрын
@@swahiliwithdavid5910 I'm bitching about someone coming to Kenya to educate us on language use. As long as I'm paying taxes, able to communicate with the world , what do I need Swahili for or any other language.
@MK-qk2wv5 жыл бұрын
@@Bigboy-nx3nc where is it Important. Tanzania is a very backward country. How on earth do you learn chemistry in Swahili? A colonial country has the disadvantage of not being able to speak a foreign language because of the rate of employment and corruption we have here In Africa. Countries like China Japan Germany don't really need learning English because they are stable and most people get employment in their Country. Kenya we are lucky that's why our youths are being employed in the uae and being able to do business not Tanzania and its language barrier. Kiswahili yako imekusaidia na mini surely.nothing!
@ismailnoor67295 жыл бұрын
Hata Kiswahili ni cha waarabu
@picsandvidstv13485 жыл бұрын
Ismail Noor Unajua unachokisema wewe??!!
@mirandaal45415 жыл бұрын
Ismail Noor Kiswahili si cha Waarabu ila ni lugha iliyotokana na lugha za Kiafrika, Kiarabu na pia Kireno.
@ismailnoor67295 жыл бұрын
Miranda Al nilikuwa na kuambiya hata Kiswahili imetoka kwa wakoloni simplicity no colonial no Kiswahili umeelewa ss
@ismailnoor67295 жыл бұрын
PICSandVIDS TV ukoloni =Kiswahili kama hakuja basi na Kiswahili kisigekuwepo Kiswahili =kiarabu =ukoloni simply wonderful language but is from Arab people who sold our great grandparents we are finally speaking our master language
@ismailnoor67295 жыл бұрын
Kiswahili =arabs =colonial =same
@SturehCharles5 жыл бұрын
Hahaha, tangatanga
@aliabdi24295 жыл бұрын
Kkkkkkkkkkkk
@mauhmoh89474 жыл бұрын
Let's be honest Kenyans, kiswahili is hard with countless ngeli and prepositions. Kenya sihami ( when, venacular, sheng,my simple( kenyan) swahili, English is enough)
@jumak.thegreat88674 жыл бұрын
maurine adero first of all you Kenyan speak 5th grade level English. And if you want to learn something you should first learn how not to give up easily
@mauhmoh89474 жыл бұрын
@@jumak.thegreat8867 you speak swahili. No one is interested in your swahili. So who told you your grammar is correct? Wait a kindergarten kid is far better than your high school teachers
@millicentayango38795 жыл бұрын
Tz hamuendi america kwa sababu ni Swahili tu
@pjones10355 жыл бұрын
twende kufanya nini wewe wa marekani ndo wanakuja TZ.Njoo TZ mabalozi wote wa nchi za nje wanajifunza lugha kiswahili
@millicentayango38795 жыл бұрын
@@pjones1035 wacha zako Kenya tunaongea lugha zote ,,tena kunawakenya wengi sana wameenda USA kufunza wazungu kiswahili.....ndio sababu tz hampatikani Uganda juu huko ni English through out.. Pia tz mjifunze English.
@pjones10355 жыл бұрын
@@millicentayango3879 nioneshe sehemu niliyosema wakenya hawaongei kiswahili acha kudandia treni kwa mbele.Sielewi ata unachoongea tz hatupatikani uganda heheh hizo ni shida zao bro rwanda,burundi,eastern congo,eastern zambia wote wanaongea kiswahili kwasababu yetu sisi km uganda hawataki kujifunza shauri zao.Kiingereza ni somo tu huku tz tunajifunza kuanzia la kwanza hadi form 4 hamna mtu ana shobo nalo tunachukia kuongea kiingereza mpaka walimu wamekata tamaa huku ni kiswahili tu mwanzo mwisho.Mbona wa spain,wabelgiji,wajerumani,waitaliano wanaishi ulaya na kiingereza wengi hawajui zinduka wewe unapotea.
@pjones10355 жыл бұрын
@@millicentayango3879 sisi tumeingia mkataba na serikali ya china,nchi za sadc tunapeleka walimu karibia kila mwaka mzee.wa tz hatuna shobo na kiingereza huku ni mwendo wa kiswahili tu one nation one language.
@millicentayango38795 жыл бұрын
@@pjones1035 hata hivyo Kenya we are superpower. East Africa
@millicentayango38795 жыл бұрын
Tz ovyo ndio hamna chenyu
@pauldaniel56855 жыл бұрын
Millicent Ayango weww ndiyo ovyo, huyo anaongea siasa tu hapo. Ungejuwa sisi Tz tuna kamusi yetu na ni tofauti na ya huko kwenu. Na wala hatuchukuwi misemo yenu
@millicentayango38795 жыл бұрын
@@pauldaniel5685 we can't take tz dictionary.... Why??? bcz our level is international OK? By the way,, no problems anyone has is choice.
@SturehCharles5 жыл бұрын
Ungejua umhimu wa kuhifadhi tamaduni hungesema hivyo,
@millicentayango38795 жыл бұрын
@@SturehCharles heeee sisi tuna kitamaduni yetu ...tena tunazingatia sana.......
@SturehCharles5 жыл бұрын
@@millicentayango3879lugha ni baadhi ya njia za kuzingatia mila na tamaduni za jamii,
@b.truthful5 жыл бұрын
Haha haha
@kelvinogaro69485 жыл бұрын
Tanzania pia wajaribu english
@benmbwele5 жыл бұрын
No. Not important
@kinjeketilengwale11415 жыл бұрын
Ya nini tulikuwa tunatumia english wakati wa mkoloni hatuhitaji tena!
@litmosstash98715 жыл бұрын
Was this guy for real? there is no "kiswahili" in Kismayo. They speak a rich language called Somali
@hussenomar5005 жыл бұрын
Litmos Stash Yes, kismayu was under the rulership of the sulatanate of Zanzibar’, Kisiwa cha Juu, pronounced as Kisiwa cha yuu hence kismayu
@litmosstash98715 жыл бұрын
😂😂😂bruh get your facts right Sultanate of zanzibar was only part of the swahili coast. Today part of Kenya and Tanzania
@litmosstash98715 жыл бұрын
Somalis had there own great empires in Africa, one was the Ajuran Sultanate they even established cities as far as Mozambique