Bwege, Wabunge kama Mbumbumbu Kila Kitu Ndio/Wabunge Wapigwa Ganzi/CCM Itashinda Kama Itafanya Hivi.

  Рет қаралды 226,461

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

4 жыл бұрын

Mhe. Bwege alichangia mchango wake katika Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2019.

Пікірлер: 158
@edwinegordian5425
@edwinegordian5425 2 жыл бұрын
Who's still watching this till now???
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm Жыл бұрын
Mie naangalia leo 1-1-2023
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
2023
@pastorvincent9851
@pastorvincent9851 10 ай бұрын
Am here
@januarysiamejaysiame5605
@januarysiamejaysiame5605 3 жыл бұрын
Pole sana mheshimiwa jipange2025
@dazk7861
@dazk7861 3 жыл бұрын
Nimekupenda bwege unaweza sana siasa
@naslee1010
@naslee1010 3 жыл бұрын
jamaa alitabiri kuhusu 2020 #ccm kua wenyewe #bungeni dah!😭
@adamumuki1242
@adamumuki1242 3 жыл бұрын
Mtu mzima uyu anaona mbali
@anthonyodeba4137
@anthonyodeba4137 3 жыл бұрын
hehe this guy......I would like to catch Tanzanian live parliamentary seatings....love from +254.
@mashaloyuzo3256
@mashaloyuzo3256 4 жыл бұрын
Mzee anaongea point san
@egbertcharles
@egbertcharles 3 жыл бұрын
Tulio kuja hapa baada ya uchaguzi 2020 tujuane kwa likes. Mungu ibariki Tanzania.
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 3 жыл бұрын
Nipo
@godfreydeus4416
@godfreydeus4416 3 жыл бұрын
Npooo
@hilarygodfrey5862
@hilarygodfrey5862 4 жыл бұрын
Mnangalia nanikasema sio nn kasema noma sana point mzee
@rahimmaumba5364
@rahimmaumba5364 3 жыл бұрын
Jamaa kaongea point kweli ila watakaomuelewa wachache Sana..
@ebenezerysarakikya6777
@ebenezerysarakikya6777 3 жыл бұрын
Sio wachache tu pia wenye uelewa zaidi sio juu juu tu
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Na ndio mana wame mtoa. Sidhani alishindwa
@olluoddiossa9863
@olluoddiossa9863 3 жыл бұрын
Sahz bunge sijuiiiii.
@jacksonbohbahck6307
@jacksonbohbahck6307 4 жыл бұрын
Bwege umetishaa
@sarahwalles2607
@sarahwalles2607 3 жыл бұрын
Yametimia sasa kweli bwege ambao wasiokujua n wanakujua kwa hiki kilichotokea uchaguzi wa Oct.28 2020 uchafuzi mtupu
@blesslory1862
@blesslory1862 4 жыл бұрын
Taarifa ya kuforce hiyo
@samwelikaiga3096
@samwelikaiga3096 3 жыл бұрын
Imekaa pow
@brayanmahuchan1140
@brayanmahuchan1140 4 жыл бұрын
bwege yuko vizuri
@mangulymanguly139
@mangulymanguly139 3 жыл бұрын
Nakukubali sana mbunge bwege
@sezarialfred6240
@sezarialfred6240 3 жыл бұрын
Chuma hicho naomba watu wa kusini helua mleteni tena
@franceally7615
@franceally7615 3 жыл бұрын
Kabisa waache mambo ya uchama mjenge nchi, mnanjaaa eeeeeh mmeshiba eeeeeh
@anthonyodeba4137
@anthonyodeba4137 3 жыл бұрын
hehe the best speaker ever.......
@hamzarumela1784
@hamzarumela1784 3 жыл бұрын
Dah!! Bwege kumbe unapoint bhana
@niyeyetundulissu7086
@niyeyetundulissu7086 3 жыл бұрын
Hawa Ndo wabunge wanaotakiwa sio wagonga meza
@barakamwita78
@barakamwita78 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie
@africa7479
@africa7479 4 жыл бұрын
Safi sana kuhusu mashehe aisee
@abdulijuma5754
@abdulijuma5754 2 жыл бұрын
Mungu ampe afyaah njema bungara
@nurukapoja7759
@nurukapoja7759 3 жыл бұрын
Asante kwa maneno yako na ujumbe murua
@mwltangazo7414
@mwltangazo7414 4 жыл бұрын
I like this man
@frankluandanyamkajr5630
@frankluandanyamkajr5630 4 жыл бұрын
Mnaangalia nani kasema hamuangali nini kasema🏃🏃🏃
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 4 жыл бұрын
Wewe unaona kuna jipya gani toka kwake? Jamani kweli hata jambazi hakosi rafiki.
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 3 жыл бұрын
@@epafrangweshemi4014 Kwan yy kakuambia yy nirafk yake, nilip Bay hyo mbunge kaongea, niwale wale mbumbu
@sarahwalles2607
@sarahwalles2607 3 жыл бұрын
@@makongoronyerere2595 sawa kbs hao ndo wamejaa uchama uchama tu je anachoongea sio chaukweli?
@selwanmohmmed8792
@selwanmohmmed8792 3 жыл бұрын
Raha ya bunge lichangamke na uchangamfu wa bunge nikusema ukweli sio kufcha maovu
@sadatsuleiman360
@sadatsuleiman360 4 жыл бұрын
Good speech
@transmadale
@transmadale 4 жыл бұрын
Yaani hili jamaa huwa nalipenda sana linaongeaga point tupu hadi raha
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 жыл бұрын
Speech hii inaa maana leo hii baada ya matokeo ya uchaguzi
@edwinbenja1306
@edwinbenja1306 4 жыл бұрын
we ulisikia wapi 😂😂
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
Tunaimani 2025 Dhulma haitokuepo tena tutakuona tena Mjengoni Bwege tumekimc sana mzee
@josephjohn2114
@josephjohn2114 2 жыл бұрын
Daa mzee uliona mbali
@inyasirwakasigaz4809
@inyasirwakasigaz4809 3 жыл бұрын
Kwl kbs
@rajabuathuman8825
@rajabuathuman8825 3 жыл бұрын
Alitabiri kweli
@shiraboy8849
@shiraboy8849 4 жыл бұрын
Jembe sana
@sarahwalles2607
@sarahwalles2607 3 жыл бұрын
Safi kbs wabunge km hawa ndo tulikua tunawataka sio baya ndioo zuri ndioo
@josephlorri431
@josephlorri431 6 күн бұрын
Nimeangalia tena leo baada ya kuwaona wabunge wa Kenya wakimpongeza Ruto kwa kukataa kusaini sheria ya kodi waliyopitisha bungeni
@worldscatter
@worldscatter 3 жыл бұрын
Yametimia ni ccm wote
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
Wataanza kupigana
@ephantuskarari159
@ephantuskarari159 3 жыл бұрын
Mnaaangalia nani kasema hamwangalii nini kasema
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Жыл бұрын
Bring Back Bungala bwege
@yussufsheha9136
@yussufsheha9136 4 жыл бұрын
Ni muugwana
@amedeusmodestikimey9888
@amedeusmodestikimey9888 3 жыл бұрын
Oooolisikia wapiii chadema wakashindwa
@marcokasela96
@marcokasela96 4 жыл бұрын
Mheshimiwa ndugai ukimsimasha mheshimiwa bwege/bungala Atoe Hoja zake Aaaaa! Huwaga anachangamsha Ukumbi mzima wa bunge. Hata alienuna Lazima Aonyeshe Tabasam... 😂😂😂😂😂
@ebenezerysarakikya6777
@ebenezerysarakikya6777 3 жыл бұрын
Sasaivi watakua wanafiki watupu sio bunge tena
@gabychaki158
@gabychaki158 3 жыл бұрын
Hahahahaaha mzee guud sana
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
Ukweli ndio huu, 2020 kura zote zitakua hivi. Kugombea kupitia chama hiki si lazima ufanye lolote ukiishachaguliwa. Serikali itafanya. Useme usiseme, serikali ipo. Wewe tulia na ule nchi kwa miaka mitano. Kusemasema si vizuri wakati wa kula. Hiyo ni kazi ya wasio na chakula. Kwa nini kuna ukame wa wagombea katika vyama vingine? Nimesikia mbili zikisemwa na wengi kati ya nyingi: 1. Hawatapitishwa na tume kugombea. Fomu zitachafuliwa. Wafuasi wao watazuiwa kupiga kura. Wakijitokeza vituoni watazuiwa. Wakilalamika watakamatwa. Wakipiga kura hazitahesabiwa. Zikihesabiwa hazitatangazwa. Ni utitiri wa visa. 2. Kugombea kupitia upinzani ni maisha ya roho mkononi kila wakati. Kufutiwa uraia, kubambikiwa kesi, kufilisiwa, kutekwa, kujeruhiwa, kuuawa, na kuteswa kisaikolojia. Ni utitiri wa visa na hofu. Unashika fomu ya kugombea mkono mmoja na mkono wa pili unaandika wosia.
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 4 жыл бұрын
Wasiwasi tu, nchi hii wapinzani mna raha kulinganisha na nchi nyingi DUNIANI ila mtambue tu kuwa upinzani sio kinga ya kuvunja sheria. Hivi wewe unakwenda fanya vurugu za kisiasa magereza si watafuta ubaya. Kule sio hospitali kuwa manesi watakupa pole nyingi kule mafunzo ni mengine. KUJITAMBUA ndiko kunahitajika.
@clementlushino5763
@clementlushino5763 3 жыл бұрын
Point
@hope30807
@hope30807 Жыл бұрын
Hii ndio maana ya vyama pinzani bungeni lengo ni kuwa challenge chama tawala 👏 ili kizidi kufanya vizuri zaidi katika shughuli zake za kiutawala
@abdulabdallahabdallah11
@abdulabdallahabdallah11 Жыл бұрын
CCM DOLEEE
@nehemiarodrick5347
@nehemiarodrick5347 Жыл бұрын
Hili ndo lilikuwa bunge bhana hii imeenda
@dismaschama5858
@dismaschama5858 3 жыл бұрын
Bwege una akili nyingi San ulitabili vizur
@briankayembe2654
@briankayembe2654 4 жыл бұрын
We ulisikia wapi?
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Ukiwa msema kweli lazima uchukiwe
@franciskagumba4567
@franciskagumba4567 3 жыл бұрын
Kidogoooooooo Mahakama
@kingnicky2568
@kingnicky2568 3 жыл бұрын
Yametimia dah any way you saw it coming😌
@abdallahjosephnfulaa4245
@abdallahjosephnfulaa4245 3 жыл бұрын
Yaan we Acha tu kaka😭😭
@waleedabdul55
@waleedabdul55 3 жыл бұрын
Ndio ilivyokua sasa
@januarysiamejaysiame5605
@januarysiamejaysiame5605 3 жыл бұрын
Ulisikia wapi
@anordallen3685
@anordallen3685 4 жыл бұрын
😁😁😁 mheshimiwa bwege daah
@honestpaschal1568
@honestpaschal1568 3 жыл бұрын
Mzee anapiga misumariii hatari😂😂
@josej9888
@josej9888 4 жыл бұрын
Nini kasema! Kama huna akili yakuchanganua point zake, huna tofauti na wale wa ndio!
@brunokassim3550
@brunokassim3550 3 жыл бұрын
Ulisikia wp
@chrissjmunga8465
@chrissjmunga8465 4 жыл бұрын
Namkubali uyuuuu
@franceally7615
@franceally7615 3 жыл бұрын
Hilo dole lipi sasa Bwege 😂
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
Weeeee uliskiaa wapi
@ommarelbungara4347
@ommarelbungara4347 3 жыл бұрын
2025....umepita .
@jumakimtanange8177
@jumakimtanange8177 3 жыл бұрын
Yametimia
@dotoayubu346
@dotoayubu346 3 жыл бұрын
We ulisikia wapi😄😄😄😄
@bakarimashi2299
@bakarimashi2299 4 жыл бұрын
Mmeshiba eeeenh mna njaaa eeeenh...🤣
@jamesnambunga2778
@jamesnambunga2778 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@innobugobola3744
@innobugobola3744 4 жыл бұрын
Endelea kutupa burudani mi nakukubali mzee
@dazk7861
@dazk7861 Жыл бұрын
Tumekumic bungeni selemani bungala
@hamzandawenga6334
@hamzandawenga6334 3 жыл бұрын
Vzuri bwege
@jeremiahmasunzu3437
@jeremiahmasunzu3437 3 жыл бұрын
Job Ndungai....bana😃😃😃
@yusuphmpenja3288
@yusuphmpenja3288 Жыл бұрын
Nafikili huyu mzee ni bunge comedy na hua andaliwa kabisa njoo upoteze muda atuna ajenda anaongea anavyo jisikia vizuli nimeipenda
@godfreypatrick461
@godfreypatrick461 4 жыл бұрын
Mheshimiwa ndugay tunataka na kigwendu aje bungen hawa wazee wa komedi ni wazur wanatowa hoja na kuchangansha bunge
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 4 жыл бұрын
Daaaah we akili yako mmmmmm
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 4 жыл бұрын
Kule tunatunga sheria na kusaka maendeleo ya wengi sio komedi.
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 3 жыл бұрын
O
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
mbunge makini sana ana hekima
@ebenezerysarakikya6777
@ebenezerysarakikya6777 3 жыл бұрын
Hawa watu muhimu sana Tanzania kilichobaki sasa sio bunge unafiki mtupu Demokracia sasa hamna tunadanganyana tu kilichobaki ndio mzee umeshiba Eee unanjaa Eee
@abdallahjosephnfulaa4245
@abdallahjosephnfulaa4245 3 жыл бұрын
Yaan we Acha tu kaka😭😭
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 3 ай бұрын
Nani yuko hapa leo bungeni ccm wote....mzee alisema kweli...
@jacobkarani8231
@jacobkarani8231 3 жыл бұрын
Nice
@molenijackson1198
@molenijackson1198 Жыл бұрын
Aliyoyasema bwege yalikwisha kutumia
@janewamaitha4930
@janewamaitha4930 3 жыл бұрын
True
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Wananchi hamjakosea kumchagua huyu jamaa
@mesuforex979
@mesuforex979 3 жыл бұрын
Kumbe lilipangwa
@Jimmymanasseh_Official
@Jimmymanasseh_Official 4 жыл бұрын
Hahahahahahahahahahahaha Uyu jamaaaah kamlithi lissu
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 4 жыл бұрын
Ila Lisu ni bwege msomi anajijua mwenyewe tu atokako na aendako. Kasumba nyingiii.
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 3 жыл бұрын
Hahahahahaha case za kubambikia
@noeljacob9644
@noeljacob9644 Жыл бұрын
Daàaah basi tu tumekosa mengi bungeni
@chiefkaitaba8293
@chiefkaitaba8293 Жыл бұрын
Mbunge huyu alikuwa na maono kweli Leo ccm wanaumana wao Kwa wao
@meshackmmary3117
@meshackmmary3117 4 жыл бұрын
Jamaaaa kaua sanaaaa aseeee
@bryantzana1624
@bryantzana1624 4 жыл бұрын
Umeona eee
@meshackmmary3117
@meshackmmary3117 4 жыл бұрын
@@bryantzana1624 hatariii
@remigiusyustinian200
@remigiusyustinian200 Жыл бұрын
Hayo yalitimia
@victorernest7702
@victorernest7702 3 жыл бұрын
Na hayo ndio tutayaona Sana bunge hilii
@ebenezerysarakikya6777
@ebenezerysarakikya6777 3 жыл бұрын
CCM wanataka watu watakao ficha maovu yao sio kuyatangaza kwa wananchi watachafuliwa CV zao sasa mwaka huu mpo peke enu bunge zima hata mtu akikabwa na vibaka wasitangaze wakae kmy kbs hii nchi bhana yaajabu kbs ila kila chenye mwanzo hakikosi mwisho
@deusmhwagila287
@deusmhwagila287 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@franceally7615
@franceally7615 3 жыл бұрын
Mmeshiba eeeeeh mnanjaa eeeeeh
@godfreypatrick461
@godfreypatrick461 4 жыл бұрын
Mzee umesema kweli
@pakapakatuondoke6785
@pakapakatuondoke6785 3 жыл бұрын
Kutana Na mbunge bwege,mbunge mzitoooo,sana hahaha huyu ndio mbunge ninaye mtaka mimi
@chandechande9642
@chandechande9642 Жыл бұрын
huyu bwege aliona mbali leo 2023 aliyoyasema ni yakweli wapinzani wafanye siasa wasivunje amani
@MsafirLeuna-zz6rw
@MsafirLeuna-zz6rw 4 ай бұрын
Ulitabili ulitimia
@adamsanga062
@adamsanga062 3 жыл бұрын
Namwelewa Huyu
@linnageorge7795
@linnageorge7795 4 жыл бұрын
Ndiyoooo,
@jacksonbohbahck6307
@jacksonbohbahck6307 4 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@BensonMpomo
@BensonMpomo Ай бұрын
jamani watu wa Lindi mleteni uyu mtu
@douglasmutembei4613
@douglasmutembei4613 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 mwege motoo..
Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”
13:54
VITUKO vya MBUNGE BWEGE,  AMEANZA UPYAAAA, SPIKA Hoi, Awalipua CCM..
13:52
Global TV Online
Рет қаралды 486 М.
бесит старшая сестра!? #роблокс #анимация #мем
00:58
КРУТОЙ ПАПА на
Рет қаралды 3,3 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 22 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 27 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 21 МЛН
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
Global TV Online
Рет қаралды 552 М.
Mbunge Bwege afunguka kuhusu kuhamia ACT
17:25
Dar24 Media
Рет қаралды 62 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 559 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 48 М.
Добейти 100000 подписчиков | Тгк- @Rom4ik539
0:28
小丑给天使送新鞋了。#天使 #小丑 #超人不会飞
0:20
超人不会飞
Рет қаралды 4,4 МЛН
Живые куклы и злая племянница! Часть 3! #shorts
0:35
Достали существо из под земли
0:29
RICARDO
Рет қаралды 1,6 МЛН
Harley Quinn made everyone disappear#joker #shorts
0:54
Untitled Joker
Рет қаралды 7 МЛН
Когда все обошлось 😮‍💨 | Королева Двора
0:16
Аминка Витаминка
Рет қаралды 3,9 МЛН