Am very proud to be a catholic misa kama hiviii naweza kudhuria zote asantenii sana vijana wa segerea munguuu awafanye mapadrii wazurii sana.
@raymondlaurent9403 Жыл бұрын
Siku zote Bwana anaita walio wanyonge, anawafanya imara kwa ajili ya kazi yake... Tunawaombea daima... Mmeitikia wito... Bwana awape Amani.. Salam kutoka Bamberg Germany
@EvaristMalikiol-p4q Жыл бұрын
Daah ongeleni sana Kwa wimbo mzur kwakwel unasisimua
@moniquewanjiru1084 Жыл бұрын
My prayer 🙏 is that the God who called you will sustain you. You're blessed
@indiremoses8979 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana.Naomba mziki wake
@petergembe5528 Жыл бұрын
Safi sana Mafrateri .Mungu awabariki sana
@adolphinakaiza3326 Жыл бұрын
Kama vile nakuona chaula. Hongereni mapadri wa Kanisa lankesho.
@aidanhyera57873 жыл бұрын
Mungu awasimamie katika Utume wenu 🙏
@kikaambamadear13772 жыл бұрын
What a beautiful song!! Mungu awabariki saana na awajalie kila hitaji la Moyo wenu. Ingekuwa vyema mkituma maneno ya wimbo pia maana unatia moyo sana
@davidmwanthi1462 Жыл бұрын
Safi sana. Naombeni nota za wimbo huu tafadhali ndugu zangu
@boscocosmas44023 жыл бұрын
Kinanda safi, ngoma, na uimbaji safi mtiribu kongole sana Mlijipanga mno mmenikumbusha mbali sana
@MagrethAlexanda-hw6vs2 ай бұрын
Waaooh hongereni sana kaka zangu wimbo huu unanibariki nakuniongezea witoo ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@SushiBree-y4o2 ай бұрын
Always I like to see that song ❣️ 25/10/2024
@NoreenMdoe5 ай бұрын
Safi sana Baba zetu watarajiwa Mungu awatunze
@MankaMushi-ic6pl5 ай бұрын
Mungu awabariki Sana awape mnahitaji kwake
@athanasevaristmahega7488 Жыл бұрын
❤❤ hongera mno ndg Zang
@NoreenMdoe2 ай бұрын
Kaka zangu kwakweli wimbo nimzuri naupenda wala siuchoki kuusikiliza asanteni sana Mungu awatunze
@christinanyoni9372 жыл бұрын
Namwona Frateli Francis Benedict Chabili toka parokia ya Mt Antony Wa Padua - Mlandizi
@ambrosiamlinga84026 ай бұрын
Mama Maria awalinde, nimewapenda sana, l wish my son angekua hapo na nyie kusomea upadre