OG bongo fleva... Bwana misosi hongera kwa hii kazi nzuri bado inaishi mpaka leo 2024
@sosomokobiasharamgaya3020Ай бұрын
Ngoma zitakazoishiii umri mrefu hiii ni mona wapo mkuu Asante kwa uandishi huu akili kubwa sana ilitumikaaa 2024 nipo hapa bado ngoma mpya kama ya jana
@davidchilumo62463 ай бұрын
Love from Mombasa 🇰🇪
@FellaLeboudeur3 ай бұрын
Douuuhh bro mi kumichano nakukubali TZ nzima😅😅😅😅😅2024 tuko naifata tuh
@mansourmkanakuta6641 Жыл бұрын
👀💘👉🔥🔥🔥🔥🔥bonge la ngoma
@mohamedhamisi9766 Жыл бұрын
Kawapa macho madogo wajapani nawachina
@aminaathuman491911 ай бұрын
yanikumbusha mbali nyimbo 2009 nikiwa 5 daah....tukiwa beach twaogelea twaimba hii nyimbo.. hata wenye nilikuwa naimba nao wengine walitagulia mbele za haki😥😥😥
@Rockbalozi Жыл бұрын
2023 bado fire Mungu ako bize zaidi yako
@stevenlugojeremia2323 Жыл бұрын
Hii ngoma nimeitafuta kwa muda mrefu sana ❤❤ bado kibuti na mizimu ya babu
@shanizyusuf82102 жыл бұрын
Jmn misosi na chege nawaelewa sanaa yani kitu kimepikwa kikapikika utadhani ni cha ba4 aki 😆😆😆muko juu sanaa👌👍💪
@ibni_H2TL6r2 жыл бұрын
Mlikuwa so talented bros
@leeyeone2112 Жыл бұрын
Mungu yuoko bize zaidi yako
@washingtoneofula4060 Жыл бұрын
This song after heshima I used to love it when I was in ghetto , now that I am in uptown , I still love it.
@joshuajeremia3045 Жыл бұрын
jamaa alikuwa anapanga vina na mizani na vitu vinaeleweka
@washingtoneofula4060 Жыл бұрын
✔️🫡🔥🔥🔥much love from 🇰🇪🇰🇪@@joshuajeremia3045
@mussaagrey56792 жыл бұрын
Aminia tunaishi nayo ngoma kali
@KalamuYaGalana Жыл бұрын
The hook❤❤❤
@shabanmselem41052 жыл бұрын
Mwamba tuwekee video 📹 sasa
@mohamedsouleyman11872 жыл бұрын
Big song
@sikudhankhalfan5 ай бұрын
ila nyie hawajui hawa wandishi wahabari wanawagombanisha ila hajui tu
@frank.fredrick90652 жыл бұрын
Kama unagalia 2022 Gong Like
@shinjembiha3356 Жыл бұрын
hatali hatali bongo yaukweli ndio hiiiii loooojaman ok;
@shinjembiha3356 Жыл бұрын
leo waige waigize hawataweza hizi nibongo zilizo pikwa zikapikika nazikaiva : ahaaaajaman kweli ;