Рет қаралды 1,727
Mradi mkubwa zaidi wa umeme wa maji barani Afrika hadi sasa bwawa la Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd) laanza kufua umeme. Gerd inatarajiwa kuzalisha zaidi ya megawati 5,000 za umeme, na hivyo kuongeza pato la taifa la umeme maradufu itakapokamilika kikamilifu.
#Ethiopia
#GrandEthiopianRenaissance
#GERD