CANDLESTICK PATTERNS ZENYE NGUVU ZAIDI

  Рет қаралды 9,155

ASAM Forex Tz

ASAM Forex Tz

Күн бұрын

Candlestick pattern ni mfumo ambao candle moja au zaidi ya moja inavyoweza kuundwa katika price chart ikiwa na maana flani juu ya mwelekeo wa soko. Ziko aina mbalimbali za candlestic patterns, lakini aina hizo zote zinawezawekwa katika makundi makuu matatu:-
- MONO-CANDLESTICK PATTERNS (Huundwa na candlesrick moja, mfano Doji candlestick patterns).
- DI-CANDLESTIC PATTERN (Huundwa na candlestic mbili, mfano Engulfing candlestic patterns).
- TRI-CANDLESTIC PATTERN (Huundwa na candlestick tatu, mfano Morning star).
Kufahamu patterns hizi na saikolojia ya kutengenezwa kwake, kutakuwezesha kukupata sababu nyingine kubwa ya kufanya maamuzi juu ya welekeo wa soko. Hivyo, video hii inaeleze juu ya pattens kuu za candlestics ambazo huwa zinatokea marakwa mara sokoni na ni patterns ambazo ni rahisis kuweza kuzitambua pale ambapo zitatokea sokoni.
_________________________________________________________________________________
RECOMMENDED BROKER.
my.litefinance...
HOW TO REGISTER TO LITEFOREX BROKER.
• Hatua za Kujisajili Li...
FOLLOW US ON SOCIAL MEDIA:-
INSTAGRAM
www.instagram....
TELEGRAM CHANNEL
t.me/joinchat/...
TWITTER
/ asam_tz
FACEBOOK PAGE.
/ asamforex
**KOZI YA FOREX KWA KISWAHILI KIPINDI CHA I - 10**
###Utangulizi.
• KOZI FOREX KWA KISWAHI...
###Sehemu ya KWANZA.
• FOREX KWA KISWAHILI SE...
###Sehemu ya PILI kipindi cha Kwanza.
• FOREX KWA KISWAHILI SE...
###Sehemu ya PILI kipindi cha Pili.
• FOREX KISWAHILI SEHEMU...
###Sehemu ya TATU.
• FOREX KWA KISWAHILI SE...
###Sehemu ya NNE.
• MBINU ZA KUFANYA TRADI...
###Sehemu ya TANO.
• MZUNGUKO WA SOKO (Kozi...
###Sehemu ya SITA.
• MUUNDO WA SOKO (Forex ...
###Sehemu ya SABA.
• SIKU NA VIPINDI VIZURI...
###Sehemu ya NANE.
• NAMNA ZA KUFANYA TRADI...
###Sehemu ya TISA.
• JINSI YA KUINGIA KWENY...
###Sehemu ya KUMI.
• MAMBO MUHIMU ILI UFANI...
ADVANCED ELLIOTT WAVE VIDEO SERIES I -- XII.
***Introductory session.
• ADVANCED ELLIOTT WAVE ...
***First session.
• ADVANCED ELLIOTT (Part...
***Second session.
• ADVANCED ELLIOTT WAVE ...
***Third session.
• ADVANCED ELLIOTT WAVE ...
***Forth session.
• ADVANCED ELLIOTT PART IV.
***Fifth session.
• ELLIOTT WAVE IS NOT A ...
***Sixth session.
• VARIATIONS IN ZIGZAG C...
***Seventh session.
• MAJOR VARIATIONS IN FL...
***Eighth session.
• MAJOR VARIATIONS IN TR...
***Ninth session.
• VARIATIONS IN CORRECTI...
***Tenth session.
• RATIO ANALYSIS (Advanc...
***Eleventh session.
• MULTIPLE WAVE RELATION...
***Twelfth session.
• THE RIGHT LOOK & TRADI...
**********************************************************************************

Пікірлер: 26
@user-fz1wk6fm8u
@user-fz1wk6fm8u 3 ай бұрын
God bless you more 💯 💸
@fadhilimwakaje154
@fadhilimwakaje154 6 ай бұрын
Dah natamani hata ni like mara mbili kaka
@Dr.hansbeth
@Dr.hansbeth Жыл бұрын
Unasauti ya Sir Haule (Bios Alevel teacher) ...upo vizuri
@ASAMForex
@ASAMForex Жыл бұрын
It's me Leslie
@Dr.hansbeth
@Dr.hansbeth Жыл бұрын
It's me Hans ...mwaka 2021 ..ulinifundisha bios ..mchinichini ...nimesoma Alfagems secondary School ya Morogoro.. ndio maana niliposikiliza hii video naelewa Sana kuliko kawaida..nikakukumbuka my teacher..umenifanyaa najua Genetic mno ...Sir..+ natamani kujua pia hii forex trading..😊
@Dr.hansbeth
@Dr.hansbeth Жыл бұрын
😁😁😁.. nafurahi kwa kweli 🙏🙏
@mariamachabe9554
@mariamachabe9554 2 жыл бұрын
Leo tena nmeludia kuangali na kujifunza👏💪
@mariamachabe9554
@mariamachabe9554 2 жыл бұрын
Leo tena nmekaa na hii😄💪
@laidahmaris.l.m6259
@laidahmaris.l.m6259 2 жыл бұрын
Thanks for
@fadhilimwakaje154
@fadhilimwakaje154 6 ай бұрын
Blaza unafundisha vizuri sana hongera
@khalidfarouq9433
@khalidfarouq9433 Жыл бұрын
💪asantee broo
@alimohamed4712
@alimohamed4712 3 жыл бұрын
Saf sana
@salomevenance9555
@salomevenance9555 Жыл бұрын
Ahsante sana kaka
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 жыл бұрын
asant mchambuz nimekuelewa
@mariamachabe9554
@mariamachabe9554 2 жыл бұрын
Ulikuwa wap baba
@raphaelsanga5304
@raphaelsanga5304 Жыл бұрын
nashukuru mno kaka nimepata idea kubwa Asamu
@ASAMForex
@ASAMForex Жыл бұрын
Vizuri👍
@tigytigita-bz1fh
@tigytigita-bz1fh Жыл бұрын
Oya bro samahani mm ni biginner yaan ndo Naanza hii biashara nilikua Naomba kuuliza kwa mfano me nahitaj kufanya analysis kwa kutumia saport mfano soko sas ndo limevunja saport Lina chukua mda Gan kusell
@raphaelsanga5304
@raphaelsanga5304 Жыл бұрын
naomba sana msaada wako
@ASAMForex
@ASAMForex Жыл бұрын
Ouk, unaweza eleza tu hapa ni kitu gani unahitaji kusaidiwa.
@kinderztv9091
@kinderztv9091 2 жыл бұрын
candle inayofuata inakua niyahaina gan ya bullish au belish
@kinderztv9091
@kinderztv9091 2 жыл бұрын
seliling inatake place
@kinderztv9091
@kinderztv9091 2 жыл бұрын
asante sana kaka
@aloycesiame4280
@aloycesiame4280 2 жыл бұрын
Mimi nipo Morogoro Semina itakuwa lini?
@ASAMForex
@ASAMForex 2 жыл бұрын
Ratiba ya semina iliahirishwa, mbadala wake tunafanya mafuno ya ana kwa ana Dar es salaam, Dodoma na Arusha. Ni kwa mda wote. Pia unawezachagua kozi kwa njia ya mtandao ukajifunza hapohapo ulipo.
@Binanceforextradertanzania
@Binanceforextradertanzania 4 ай бұрын
Tunachukua pips ngapi
FOREX KWA KISWAHILI SEHEMU III (Indicators).
50:01
ASAM Forex
Рет қаралды 1 М.
The Ultimate Candlestick Patterns Trading Course (For Beginners)
38:11
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 50 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 19 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,8 МЛН
How to use these 3 Heikin Ashi Charts to Confirm Trends Early
14:39
Prateek Singh - LearnApp
Рет қаралды 1,1 МЛН
Ultimate Chart Patterns Trading Course (EXPERT INSTANTLY)
38:15
Wysetrade
Рет қаралды 6 МЛН
Technical Analysis is Hard (Until you see this)
29:01
SMB Capital
Рет қаралды 577 М.
Stop trading Candlestick charts... Do this instead.
21:57
Umar Ashraf
Рет қаралды 690 М.
Ultimate Candlestick Patterns Trading Course (PRO INSTANTLY)
53:16
Wysetrade
Рет қаралды 4,3 МЛН
The ONLY Candlestick Patterns You Need To Know
18:00
Trade Prime
Рет қаралды 1,9 МЛН
Usijaribu Kuanza FOREX Trading Kama Hujatazama Video Hii
21:41
SIRJEFF DENNIS.
Рет қаралды 160 М.
This IS WHY Most BEGINNERS Lose Their ACCOUNTS (What Is Leverage?)
24:32
The Trading Channel
Рет қаралды 1,4 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 50 МЛН