SHEKHE Kipozeo amefafanyua kwa wale wanaomsema vibaya akizungumzia Mizigo
Пікірлер: 79
@leilamehbub9484 жыл бұрын
Asc my favourite sheikh anapenda ukweli na Wala haogopi yeyote isipokuwa Allah mashAllah
@sideboy27394 жыл бұрын
We carry mwambie mfanya kazi wako aulize maswali ya msingi anamuuliza shekhe et VP kuhusu wanaume wanaovaa ereni sasa unategemea shekhe aseme wavae au
@officialkamdudu4 жыл бұрын
kwa kweli mimi swala la nyimbo katika uislam haijalishi unaimba nini kwa kweli bado linanipa ukakasi kwa sababu uislam umeharamisha ala za mziki... aya tumuachie Allah ndiye mjizi zaidi
@abubakarmzee33744 жыл бұрын
Kwani we unaona huyu nae shekhe kwa mujibu wa dini ya kiisilam nyimbo zote zete haramu Mungu hakuleta watu duniani kuja kuimba lego la kuubwa mwanadamu ni kumuabudu molla wale na so kuinga apo hapana kupata ukakasi wala nini nyimbo ni haramu hawa wengine wapo duniani kwa masillahi na so kupeleka din mbele
@nurdin.mndeme34474 жыл бұрын
@@abubakarmzee3374 kaka usiwaseme vibaya viogozi wa Dini !
@shaloboy38614 жыл бұрын
Kabisa
@mwalimudzuya66954 жыл бұрын
@@abubakarmzee3374 taratibu Kaka n dini hii hataki hasira wala jazba,
yaaa akili zina gredi safi kabsaaaaaaa nakupata sana shekh wanguu! ndıoo shekh cc tunakueleqaa sanaaa wala ucwe na khofuu
@ashaally66624 жыл бұрын
Napenda shekhe kipozeo anavyoongea😁😁😁😁
@Catherine-mh8sw6 ай бұрын
Msauti wake tu😂
@gojvon1164 жыл бұрын
Sheikh huyu kwa kweli inaonesha kuwa ni mtu mzima na mwenye busara na hikma sana na ni mtu anaempenda Allah na kumuogopa na mtu mtaratibu na mwenye kufahamu na kuelewa . Allah ambariki sana
@saidchidy53834 жыл бұрын
True
@kadulathumani75174 жыл бұрын
Nakupenda interviewer. Maswali yako yametulia kwa Skh Kipozeo ingawa majibu yake Skh mengine anayabana bana Tunafaidika sana na Ma story TV. Like it.
@leilamehbub9484 жыл бұрын
Jamani mwacheni sheikh akisema mzigo hamanishi mambo mengi hiyo mnadhani la .
@drnathanstephen.38824 жыл бұрын
Haha Sheikh Kipozeo yupo vzr sana. Pitia na Channel yangu upate kujua Mengi kuhusu afya yako. Mada mbalimbali za Afya zipo huko.
@queenslandemile25364 жыл бұрын
Naomba namba
@Hongkongman24 жыл бұрын
Yeye mwenyewe huko siku za nyuma alipinga nyimbo zote Na alikua akuwasema sana waimn maulid na kaswida Leo anasema ni ruhsa kuimba Ni shekhe ambae haeleweki tu
Shk wangu KIPOZEO wachaneni na huyo mwandawazimu. Msijishugullishe nae.Mwambieni a click KZbin YA JENNIFER GROUT.AONE FROM MUZIC TO RECITE THE HOLLY QUR'AN.
@husseinnkami73604 жыл бұрын
Very gd
@mustaphambwana79444 жыл бұрын
Shehe mzigo ana penda mizigo yani misambwanda ndo yake ana penda wadada walio Nona viswaswadu kwake hapana yani uyu mzee noma kweli
@queenslandemile25364 жыл бұрын
😂😂😂😂
@mahamedabdi18814 жыл бұрын
Na wewe nje?
@omariselemani39624 жыл бұрын
Yani nyinyi Mnayokomenti usenge kwaniakipenda Mizigo kunashidagani Kwaniyeye Sibinadamu Au Kweli hakilikunagred
@sidratybinkhamis28374 жыл бұрын
Chagua ukipendacho lkn dini ndio lakwanza kuangalia na sio mizigo maana mizigo inachoka . Ila elmu haichoki
@daudi.gilago58464 жыл бұрын
Rojah bahna hyo salam umetoa kama we mwisalam kwel
@athumanmakale82214 жыл бұрын
Kipozeo naye amerudi Mjini kazi kubwa ni kusifu wasanii wa Muziki. Kutoa fatwa ambazo hazina kichwa Wala miguu.
@queenslandemile25364 жыл бұрын
Kabisa
@athumanmakale82214 жыл бұрын
Shekh Kipozeo ushapoteza Dira. Huna jipya.
@abdulchakusaga13224 жыл бұрын
Kwani mzee unataka uoe wangapi
@bebisheni43804 жыл бұрын
Shekhe kipozeo hujambo
@shimoneycashtalk91764 жыл бұрын
Shekh kipozeo kachemka mziki ni mziki tu niharam ni haram
@ambrosiamlinga84024 жыл бұрын
Basi una choyo kusema ‘hupendi thawabu ziende kwa watu wengine’ Wewe ni shehe wa wapi mwenye choyo?
@ahmedyzo4 жыл бұрын
Charity starts within your own family, na yeye ametaka basi mema waanze kupata familia yake, niuelewa tuu..
@sabrinasab29104 жыл бұрын
Huyu shehe anapenda wadada walonona nyuma ndo zake uyo
@saidijuniorhan67904 жыл бұрын
ww
@mahamedabdi18814 жыл бұрын
Kwani kunaobaya gani? Mtu kupenda mwanamke alio beba hata mei napenda
@josephnjoroge56494 жыл бұрын
Kujaza nyuma ni neema ya Allah kwa wale wanawake waliojaza...mie pia nawapenda..
@Catherine-mh8sw6 ай бұрын
@@josephnjoroge5649ooooooyiii
@ummialey63914 жыл бұрын
Nyimbo za heri ndo nyimbo gani shehe tunapenda ufafanuzi
@bakariathman38584 жыл бұрын
Kaswida
@sleimanwtwaha99834 жыл бұрын
@@bakariathman3858 kaswida za aina gani
@sidratybinkhamis28374 жыл бұрын
Nasheed mbona zipo
@sleimanwtwaha99834 жыл бұрын
@@sidratybinkhamis2837 kwasida za mziki ni haramu
@zuheorsalim77594 жыл бұрын
Huyu ni shekh wa mizigo
@queenslandemile25364 жыл бұрын
😂😂😂
@mwalimudzuya66954 жыл бұрын
Ndugu katika imman tusipende kukejeli viongozi wetu Ka kdini,kama Sisi wenyewe tunafanya ivi na wasio kuwa waislamu je?tutumie kauli laaini N ushauri Tu kaka.
@mwanahamisiyusuph75624 жыл бұрын
@@mwalimudzuya6695 kwa hakika ninavyofahamu Mm mashekhe nao binadamu kukosea kupo
@salimmohamedsalim44484 жыл бұрын
Anasema mwenye yy apenda mizigo
@alihijiiddi89774 жыл бұрын
WAHARIBIFU NI WAIMBAJI NDIO WANAHARIBU WATU WANASIYASA NA MATIVII BOTAILIKUWA NYERERE ALIKUWA ANATIZAMA TV KWA KUANGALIYA NCHIGANI ZIMEPATA UHURU
@shaloboy38614 жыл бұрын
Nyimbo zote haram sheikh ameteleza kias kama binadam inaeleweka mana akuna aliekamilika na elmu utofautiana
@queenslandemile25364 жыл бұрын
Uyu cheikh nibala
@mwalimudzuya66954 жыл бұрын
@@queenslandemile2536 kwa Baya gani alilolifanya mpaka umvue cheo chake,m n mkenya na najua n SHEIKH.
@rayasaid40994 жыл бұрын
Nyimbo yoyote haramu
@sidratybinkhamis28374 жыл бұрын
Haramu ndio jamani tuache ushabik
@queenslandemile25364 жыл бұрын
@@mwalimudzuya6695 nyimmbo zote haramu
@happylusinde92154 жыл бұрын
Hhh
@sudaissoud36704 жыл бұрын
Nyote ndo walewale..nawe pia kipozeo ndo hao hao
@huseniyahya91214 жыл бұрын
Wee mpuuzi kumbe
@abubakarmzee33744 жыл бұрын
Shekhe ubwabwa
@mwalimudzuya66954 жыл бұрын
ALLAH ndie mwenye ku hukumu kaka,Sisi kama binadamu hatuna uwezo huyo,tufanye kheri TU,ushauri Tu
@rayasaid40994 жыл бұрын
Shehe wali na mihogo na kunde
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Sheikh ugali ni wewe!!
@abubakarmzee33744 жыл бұрын
@@mwalimudzuya6695 sisi hatuhukumu Ila ishara jema huonekana Mungu na sisi katupa akili mbona mtu akiwa mwizi au mla madawa hujawihi ata siku moja kuonana nae Ila ukimuona akili inakwambia huyu mwizi au huyu mla madawa
@saidmarley40494 жыл бұрын
Huyu sheikh fake kama simu za kichina....vp unasema nyimbo inafaa ambapo ina mkaribisha shetani kupoteza watu kwenye maaswiya????
@sidratybinkhamis28374 жыл бұрын
Kweli kaka maana wengi wamebobea kwenye qaswidaa
@messiomy86554 жыл бұрын
Salaf ndo wenye dinii ...wootee hawa waigizajiii tuuu...huyo sheh na anaemuongelea ..wote ngma droo