NEY WA MITEGO AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUTOKA BASATA/APEWA MASHTAKA MAZITO MWANASHERIA WAKE AELEZA

  Рет қаралды 19,645

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@Shadia544
@Shadia544 3 ай бұрын
Kwanini sasa wakuite kwani umeimba Matusi hule wimbo umeongea kweli kabisa hongera sana✌️🇹🇿🇹🇿
@JosephAntony-ec7vs
@JosephAntony-ec7vs 3 ай бұрын
Huyu ndie rais wetu nae mjua gonga rike Kwa rais
@VailetPatrick
@VailetPatrick 3 ай бұрын
Ney tunae natunatamba nae nanyimbo zake tusaport Tena ikibid agombee urais kabisaa
@carlosditram2069
@carlosditram2069 3 ай бұрын
Rais daaah Ningekuwa na uwezo ningekupa ulizi kijana maana hofu yangu usije ukapotea kazi zuri Presidant mkweli
@christaoman8890
@christaoman8890 3 ай бұрын
Gabi acha mambo ya Pi.didy hayatuhusu tunataka kumsikiliza Ney wetu semaji la watanzania mtetezi wetu😅😅😅😅😅
@DavidShopairtel
@DavidShopairtel 3 ай бұрын
mes félicitations ney wamitego.
@jonathanziro9854
@jonathanziro9854 3 ай бұрын
Big up bro congratulations from Kenya 🇰🇪 hii iwaendee wafisadi wote
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 3 ай бұрын
Basata ni machawa wa mam
@mikapecta6021
@mikapecta6021 3 ай бұрын
Mtu wa kwanza kutazama
@ndizoshukuru6142
@ndizoshukuru6142 3 ай бұрын
Wewe ndo RAIS wetu kaka 🙏🙌🏼
@mauajonelo8675
@mauajonelo8675 3 ай бұрын
Ney nakuona kamarun Magufuli nampenda sana
@shariffsuleiman2889
@shariffsuleiman2889 3 ай бұрын
Nay ako sawa sana from 254🇰🇪🇰🇪✌✌
@fiziparadise7808
@fiziparadise7808 3 ай бұрын
Our African hero Magufuli aluhuwawa na west imperialists kupitia urgent waho Samia na Kikwete.
@Kulapesanawamama
@Kulapesanawamama 3 ай бұрын
Nakupa sapoti kubwa nikiwa DRcongo mjini kalemie
@MaswiBaritoro
@MaswiBaritoro 3 ай бұрын
Kaka nakushukulu kwakusema ukweli was nchi yetu watuwanatekwa lakini haijulikani wanapoenda nakusapoti endelea kutowa nyibo zakufundisha jamii kaka mungu akubaliki sana
@jumasumailassomane2439
@jumasumailassomane2439 3 ай бұрын
A luta, continua... Vita inaendelea...
@upgo6112
@upgo6112 3 ай бұрын
Hii nchi 😂😂😂😂 zile nyimbo za"katoto Kako ndio ...akakapakia mafuta ..." Aaah ni nyimbo nzuri kabisa kwako basata
@Lovenesstom
@Lovenesstom 3 ай бұрын
Ningekuwa karibu ningemnasa vbao aliyeuliza swali la p diddy upumvav sasa apo linahusikaje jaman khaaaa
@BullahSambiga
@BullahSambiga 3 ай бұрын
Shida ya nchi hii ukisema ukweli kosa
@sautiyawanyonge2511
@sautiyawanyonge2511 3 ай бұрын
Nimekubali sana majibu ya Ney unaleta mambo ya pdidy hapa huo niukanjanja
@AnithaPaulus
@AnithaPaulus 3 ай бұрын
Ney kaka anguuu wasaniii wanafki Sanaa wap ndo walitakiwa wawe mstar WA mbele kututetea lakin Awana umaana wowote mi ndo mana sifalitiliagi mambo yao
@mosesfrancis8495
@mosesfrancis8495 3 ай бұрын
Pole Baba 😢 Endelea kupambana
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 3 ай бұрын
Yaan basata bwana mbona wimbo kaimba ni ujumbe mzuri
@ndikumasabodiegovevo9091
@ndikumasabodiegovevo9091 3 ай бұрын
Mashtakanyote sio basata inataka wasani waimbe nyimbo zakumpamba mama
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 3 ай бұрын
Ney 🎉🎉🎉
@JohnsonNgowi
@JohnsonNgowi 3 ай бұрын
Nchi gan is iyo na uhuru
@bakarimwalimu3172
@bakarimwalimu3172 3 ай бұрын
Kwahiyo hata wanaoimba matusi na uzinzi mnazipitisha basata
@KANYINDATV
@KANYINDATV 3 ай бұрын
We're together brother 🤝💪. #naywamitego
@christaoman8890
@christaoman8890 3 ай бұрын
Sawa ni msemaji wa watanzania lakini kuwa makini usije ukatekwa na wasiojulikana😂😂😂
@goodluckstephanmasige3450
@goodluckstephanmasige3450 3 ай бұрын
Kwanza apo TASABA wengi vilaza, yapo kufurahisha watawala.
@sarasaraz-vn1vl
@sarasaraz-vn1vl 3 ай бұрын
Hii ndo nchi ya Tanzania 😢
@EmanuelJoseph-rv3ky
@EmanuelJoseph-rv3ky 3 ай бұрын
We kuma tunaongelea nchi yet unaleta p didy😂
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 3 ай бұрын
Hawataki kuambiwa ukweli hii nchi bana
@NilhamIqram
@NilhamIqram 3 ай бұрын
Piga Kaz kaka achn nao
@LucknessPeter
@LucknessPeter 3 ай бұрын
mwanasheria msukuma kabisaa
@IsraelngoroKone-tm7te
@IsraelngoroKone-tm7te 3 ай бұрын
Inabidi uwe makini sana ney hawa watekaji hawatachelewa kukuteka na ww pia wako hoi maovu yao
@lilyjones3584
@lilyjones3584 3 ай бұрын
Endapo Tanzania itaruhusu mgombea huru kwenye nafasi ya urais, Ney ndiyo Rais wa wanyonge
@MatridaGodfrey-xf1zn
@MatridaGodfrey-xf1zn 3 ай бұрын
Kaka sijui tukulinde vipi maana tunahofia kupotezwa watakuondoa hawa
@subirarichard3236
@subirarichard3236 3 ай бұрын
Ugunago piddy wann sasa ukome umejibiwa vyema unafkitu😂😂😂
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 3 ай бұрын
Kweni Yani waandishi wengine vilaza asa p didi unahusu nn sasa haw ndo waandishi vilaza
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 3 ай бұрын
Ney ni mfariji wa cc wananchi wanyonge maana amefikisha msg ytu sehemu husika
@masala8099
@masala8099 3 ай бұрын
ccm haitufai wadau tuitoe
@khadijathani9064
@khadijathani9064 3 ай бұрын
Wanaekuja kukutena wanakuja kama kam kam polisi unatafutwa uonekani vituo vyote vya police unaokotwa umekufa upelelezi uko polisi police anapewa kazi awatafute police sasa eleweni wale wanao kuja kukuteka wanakuja kama police
@mwanamvuasaid9196
@mwanamvuasaid9196 3 ай бұрын
Tunakuamini natupo nyumayako tunakupenda pia
@RamadhanHaruna
@RamadhanHaruna 3 ай бұрын
Ney semea watuwengi wanamuziki wassa wanadili na mapenz basata awaoni na wanavaaa nguo zamaajabu basata ainamacho weunaongea uwalisia wao wanapoga wao sio mungu usiogope anao ogopwa nimungu pekeeeeees nipo nawwe wendo msaniii usionogpa wwe na Romaaaaaaa
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 3 ай бұрын
Tanzania kazeni mjikomboe na mbadilishe katiba ya kikoloni.. mtu akikosoa serikali kwenu anashikwa? Hyo sio haki
@MatheoKarunde
@MatheoKarunde 3 ай бұрын
Live bira kupoa
@AbiaWilliam-s1s
@AbiaWilliam-s1s 3 ай бұрын
❤❤
@HellenaMky
@HellenaMky 3 ай бұрын
Ajabu Sana kwahiyo hawataki wasemewe. Wanataka wasifiwe. Wakati. Wanamakosa. Kaka kaza Uzi tupo nyumba yako
@malonemalick1999
@malonemalick1999 3 ай бұрын
Saa unamuliza mambo ya pididi ya nini wandishi wengine bhna
@LitoDossani
@LitoDossani 3 ай бұрын
Oya wamitego wafungulie kesi ao basata
@Ommycle
@Ommycle 3 ай бұрын
Anahangaika tu
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 ай бұрын
Wambiee
@JohnsonNgowi
@JohnsonNgowi 3 ай бұрын
Wanakupotezea mda hao zid wagusa
@ConfusedMicrophone-rp5ku
@ConfusedMicrophone-rp5ku 3 ай бұрын
tutachanga kukulipia kamanda
@ConfusedMicrophone-rp5ku
@ConfusedMicrophone-rp5ku 3 ай бұрын
oya ney fyatua vitu serikali ni ya watekaj na wabakaj siku hiz ukwer lazima usemww
@michaelyongolo
@michaelyongolo 3 ай бұрын
hivi uyo mwandishi ana akili kweli , sasa mamb ya pdidy imeingilianaje apo ......asee msela bongo lala kweli
@glodieprincess7757
@glodieprincess7757 3 ай бұрын
Ao Ney ni mkenya ??
@ndayijeanclaude5094
@ndayijeanclaude5094 3 ай бұрын
Huyu msandishi naye bwabwa kabisa, anamuuliza Ney ati swala la P.Diddy?? Hana hakili, watu wanazungimzia vitu vya maana naye analeta mambo ya kipumbavu kbs!!
@princessplatnum4416
@princessplatnum4416 3 ай бұрын
Swala la piddy wamuulize tajili wakwanza Kaka mond
@hamzamsafiri3418
@hamzamsafiri3418 3 ай бұрын
Huyo rais katukanwa wapi wanakazi ya kujipendekeza kwa huyo rais tumeusikiliza vizuri hakuna matusi
@chani_tayra_official1860
@chani_tayra_official1860 3 ай бұрын
Sasa atowe nyimbo kwa permission ya basati kwani basata Ni KZbin ????
@dennissamora729
@dennissamora729 3 ай бұрын
Basata wanalinda vibarua vyao, hivyo inabidi wajitoe ufahamu. Ndio mjue katiba insvyowafanya watumishi wa mama waonekane wajinga kiasi hicho
@shaibchat8054
@shaibchat8054 3 ай бұрын
Watanzania nikiwemo namim tupo pamoja na ney ila kwenye comment tu , ila wakikukamata sisi atumo utajijua mwenyew 😂
@adiaygo8546
@adiaygo8546 3 ай бұрын
Dogo acha kubishana Na mamlaka Kuna siku family yako itapata majuto hapo Tanzania siyo America mzee haya Mwana halakati🤣
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 3 ай бұрын
Oya ww kaakimy au ww ndo walewale
@adiaygo8546
@adiaygo8546 3 ай бұрын
@@RizwanAbdallah nawe unatafuta matatizo eh!
@dianaleo6067
@dianaleo6067 3 ай бұрын
Mamlaka gani hii ni nchi yetu wote na sisi ni watz. Huwezi kuongea uongo wakati mambo si sawa . Big up Ney!
@adiaygo8546
@adiaygo8546 3 ай бұрын
@@dianaleo6067 fuata nyao kama mamlaka ya wote uone utakavyo acha msiba nyumbani kwenu acha kujidanganya Na TZ 😂😂
@dianaleo6067
@dianaleo6067 3 ай бұрын
@@adiaygo8546 wewe kweli haupo tz hakuna anaeogopa tena labda wewe. Kila kitu kipo wazi. Mi siogopi chochote.
@MaulidHimidi
@MaulidHimidi 3 ай бұрын
Umarekani mwingi mwishoe kubaya hizi nchi za kiafrika utapata tabu sana Kwa stail hizo
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 ай бұрын
MAJAMBAZI wakiambiwa ukweli kosa wanatak sifa za kijinga Pumbavu sana
@kwisa4899
@kwisa4899 3 ай бұрын
Basat kama watoto wajinga
@ElNaykey-wt1nt
@ElNaykey-wt1nt 3 ай бұрын
𝐖𝐞𝐞𝐞𝐡 𝐁𝐚𝐬𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐣𝐮𝐞 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐦𝐤𝐮𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐍𝐚𝐲 𝐰𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐞𝐠𝐨 𝐁𝐮𝐤𝐚𝐯𝐮 𝐃𝐫𝐜🇨🇩🇨🇩🇨🇩 𝐀𝐣𝐞 𝐮𝐤𝐮 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐦𝐚𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐭𝐮𝐦𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐜𝐡𝐨𝐤𝐚 𝐧𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐞 𝐰𝐚𝐳𝐞𝐞 𝐑𝐚𝐢𝐬𝐢 𝐊𝐚𝐦𝐚𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐜𝐡𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚🇹🇿🇨🇩💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Nay wa Mitego Ft Raydiace - Nitasema(Official Music Lyrics)
3:26
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
Ndumiriri nditu ya 2025 igie Gachagua, Maina Njenga na Kindiki
1:11:17
Muhia Wa Maingi Media
Рет қаралды 91 М.
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН