CASSIAN ATUWA KENYA KWENYE MAANDAMANO IKURU RUTO EV PACHAL

  Рет қаралды 24,883

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

SHALOM TUNA KUOMBA KILA MTU AMBAE UNAPENDA HUDUMA HII IENDELEE TUSAIDIE KUCHANGIA VITENDEA KAZI TUMEPUNGUKIWA KATIKA MAZABAHU HII CAMERA NX100 SON
NA CENONI MAK3
NA KIFAA CHA KURUSHIA MATAMGAZO LIVE
PA MOJA NA SITENDI
JUMLA TUNA HITAJI MILIONI 16 KUFANIKISHA LONG HILI UNAWEZA KUTUCHANGIA KUPITIA NO MPESA +255766998994 JINA PASCHAL CASSIAN MALIYATABU
AU WATSAP NO 0688199370 MUNGU AKUBARIKI*

Пікірлер: 188
@MamaBambala
@MamaBambala 16 күн бұрын
Mungu amuongezee miaka mingi Rais Rutto.Amemuona Mungu alipo na ameamua kusisima upande wa Mungu.Abarikiwe sana.
@stellamgao547
@stellamgao547 3 ай бұрын
Yunawaombea Kenyan ndugu zetu Mungu awavushe salamaa
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 3 ай бұрын
YESU WANG jmn RUTO baba ang MUNGU akusaidie sana..
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 3 ай бұрын
Sijawahi jua kama wakenya tunakuanga wengi kwenye hii platform. Ruto katajwa mmeinuka na kupanda hasira kweli kweli. Tuiombee Kenya yetu ibadilike.
@HalenBahati
@HalenBahati 3 ай бұрын
Mungu Baba na YESU KRISTO tusamahe na uingilie kati uiokoe taifa letu, barikiwa sana watumishi wa Mungu alie na masikio na asikie
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana naa Mungu amulinde ruto Kumbukeni wakenya kwamba Mungu alisemaa eshimuni fiongozi wenu
@redemtamkemwa6067
@redemtamkemwa6067 3 ай бұрын
Hakikaa hii ni injili ya kweli one day Mungu anijalie NAHITAJI kuisaport hi inijili ya kweli ❤🎉
@geoffreyazivelwa9568
@geoffreyazivelwa9568 3 ай бұрын
Rais wetu ruto tutamshikilia Kwa maombi mungu amlinde kweli
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 3 ай бұрын
Wacha za ovyo tumbu
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
kweli kabisa. Mungu amlinde Rais wa Kenya
@ministerwillan
@ministerwillan 3 ай бұрын
We mungu akufumbuwe macho uwone uko Kenya na hauwoni
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 3 ай бұрын
Hongera mpendwa kwa madhabahu hii, ila nitoe ushauri kulingani na Nembo, naona unaweka msalaba ambao unaonesha Yesu Kristo kuwa msalabani, ungaliuacha huo msalaba tupu bila picha ao sanamu ya Yesu Kristo Bwana wetu. Alifufuka hayuko tena msalabani. Asante.
@dorcasWawira-k4r
@dorcasWawira-k4r 3 ай бұрын
Hata msalaba haifai kuwa kanisani huwe una Yesu ama uko bure badala ya msalaba weka maandishi Kama kifungo Cha neno la mungu.msalaba Ni sanamu pia Ni machukizo kwa Mungu Wetu Yesu Kristo wa Nazareth.kwa kudhibitisha ninalolisema Google satanic symbol utaona na misalaba hapo
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 3 ай бұрын
@user-ef4dh2gg3j thank you for your contribution 🙏
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 3 ай бұрын
Mkimuuwa RUTO uso wa MUNGU utaondoka KENYA
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 3 ай бұрын
Wewe wewe toka huko RUTO SI YESU,atakufa siku ikifika ,akuna kitu itachange please ,WACHENI Kuchezea YESU kwa tamaa za mwili zenu
@steveobwoge3315
@steveobwoge3315 2 ай бұрын
​@@getrudeliyayi8050Ruto alimchagua na Mungu ili kupitia yeye alete avuvia Kenya,,, hilo swala la kiroho so macho tu ya kawaida, waombaji na watumishi wa Mungu ndo wanaelewa kunaendelea nini
@newchemchem5251
@newchemchem5251 3 ай бұрын
Mungu amfunike mtumishi rutooooooo
@LinetNyamaki
@LinetNyamaki 3 ай бұрын
Mchungaji kumbuka inch yetu kwenye maombi, our youths wafunguke macho ya rohoni
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 3 ай бұрын
Waafrica tunachezewa na maghalibi na wanajua vichwa vyetu hatujitambui umaskini ndio zambi namba moja
@danifani7899
@danifani7899 3 ай бұрын
Shalom Kenya shalom prophet shalom Israel ❤
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 3 ай бұрын
Kama kuna taifa limekamatwa na ibilisi ni kenya. Kizazi cha nyoka kwa wingi kimezaliwa katika nchi yangu ya Kenya. Vituko vyote kenya ni kwamba kenya ndio yenye madhabau kubwa ya kutoa kafara za kishetani. East Afrika yote inakutana kenya na wachungaji wengi na Maaskofu hawapo walifanya mapatano na shetani kitambo. Wakenya wamesahau kwamba uchumi wa kenya haupo mikononi mwa Rais bali upo mikononi mwa Mungu. Hivyo basi kumlilia Ruto au Kuandamana hakutasaidia ila kuingia magotini kumlilia mwenyezi Mungu awezaye yote. Ni ishara za kurejea kwa Yesu.... ndio zimeanza kenya. Ubarikiwe sana mtumishi 🙏 Ndugu zangu wakenya tumrudie Mungu sana.
@samsonsimeon9944
@samsonsimeon9944 3 ай бұрын
Amen😊😊
@elizabethwambua4383
@elizabethwambua4383 3 ай бұрын
Amina
@HalenBahati
@HalenBahati 3 ай бұрын
AMINA Amina hakika Mungu aturehemu arehemu na watoto wetu 🇰🇪
@TatuOmar001
@TatuOmar001 3 ай бұрын
AMEEN
@Estherm309
@Estherm309 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 LORD JESUS CHRIST remember mercy on us oh my Redeemer remember mercy on us
@SaraAa-m9r
@SaraAa-m9r 3 ай бұрын
Ukweli kabisa pasta be blessed
@henrysizya239
@henrysizya239 3 ай бұрын
Kumekuwa na salakasi nyingi sana katika Zama hizi, kenya kulikuwa na mtu anajiita yehova wa NYONYI ambae alifariki, leo kuna mtu anaitwa Eliud Wekesa majina aliyopewa na wazazi wake ambae sasa anajiita "yesu wa TONGAREN" pia kuna mtu anajiita yohana mbatizaji ambae yuko kenya pia, pia Congo kulikuwa kuna mtu anaejiita "yesu wa afrika" Mungu atusaidie sana
@beatricechepkurui9161
@beatricechepkurui9161 3 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 this message is very powerful to me God help me to know more done i know you
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 3 ай бұрын
Mm nasikiliza kila kitu lkn ongezeko la vijana Wasio na kazi kwa kasi lazima shida itakuwepo Kuna wimbi kubwa la vijana wasomi na hawana chakufanya hata Tanzania tujitafakari kesho yetu nchi za Afrika kwani shida ni nyingi
@BestLine-h1v
@BestLine-h1v 3 ай бұрын
Revelation is true now our leaders don't have to be greedy,selfish, and corrupted . We always know the kindness for the weakness. Kwani kwani tuige 100% from from the white.
@simonmdune9066
@simonmdune9066 3 ай бұрын
Wewe cassian nakupenda sana nakueshimu kma mtumishi wa Mungu wa kweli hila apa kumtetea ruto unajishusha sasaa au wote mnafanya kazi pamoja???! Huyu sio mtu wa Mungu ruto n shetaniiii kwa nn useme wakenya tunapnda shetani tunaacha Mungu wakti ruto ndo anaauwa watu ,ivi mtumish wa Mungu yupi anaependa kuona watu wake wakikufa njaaa ? Subutu kufatilia maaandamano ya kenya na kuyakashfu
@alicejumaa89
@alicejumaa89 3 ай бұрын
@@simonmdune9066 exactly aneropokwa leo huyu. Amezoea kusifia viongozi hajui nini kinaendelea bora anerekodi video apate views. Apana . Injili ya kukemea dhambi hapo sawa lkn kutetea ruto huyo freemason mkuu wacha hizo.
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 3 ай бұрын
​@@alicejumaa89very true kwa RUTO eti ni wa YESU atoke hapo kabisa,RUTO anafanya revenge na MUNGU MWENYE KUHUMBA MBINGU NA INCHI,
@yvonnewambui2799
@yvonnewambui2799 3 ай бұрын
Kabisa
@josykogei7647
@josykogei7647 3 ай бұрын
MUNGU asaidie kenya watu wamrudie bure vujana wetu watakufa kwa upanga mwanzo hii ni ghadhabu ya mungu ju ya nchi ya kenya
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 3 ай бұрын
Achana na mdomo wako Pascal mdomo sio maono ww fanya kazi ya Mungu achana na siasa
@annmuriithi1701
@annmuriithi1701 3 ай бұрын
Unasema hivyo sababu hujawai soma bibilia ujue vile kulitabiliwa na manabii inaanza na sisi wakenya Mungu twakuoba utusaindie
@desirengenerwasobanuka9015
@desirengenerwasobanuka9015 3 ай бұрын
Kijana #Gaspercharles# ,wewe hujui unachokisema. Maana katika Hosea 4:6 Mungu anasema hivi : watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Sasa wewe kosa sio lako ila inaonekana huna maarifa ndo sababu umesema hivyo.
@jovitusiinnocent7534
@jovitusiinnocent7534 3 ай бұрын
Pumbavu zako
@BestLine-h1v
@BestLine-h1v 3 ай бұрын
Kwanza unapashwa kushukuru Mungu sana kwakuvumbua ukweli. The beast out of water and the beast out of the Hearth. Sometimes we have to go with the hard life but not to forget revelation. Hard life started long ago why cuz key stolen
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 3 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubaliki sana
@alicejumaa89
@alicejumaa89 3 ай бұрын
Naipenda nguvu ya wakenya. Mnyanyasaji atendewe haki. Proud to be a kenyan. Wacheni kusingizia mungu vitu hazimhusu ..plz mungu hapendi dhuluma yenye ruto anafanyia wakenya.
@annnyambura8005
@annnyambura8005 3 ай бұрын
Which god r u talking about here
@alicejumaa89
@alicejumaa89 3 ай бұрын
@@annnyambura8005 Jesus Christ.. he is againist corruption, oppression, LGBTQ which ruto legalised againist our will, stealing gov't funds and lands, overtaxation and many shit done by Ruto the devil worshippers and a muderer of Kenyans.
@alicejumaa89
@alicejumaa89 3 ай бұрын
@@annnyambura8005 Jesus Christ who is againist corruption, LGBTQ which ruto legalised againist our will, and killing innocent gen z who are full of depression..
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 ай бұрын
Hapingi ushoga
@Joelchalale
@Joelchalale 3 ай бұрын
Pastor i love you more
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 3 ай бұрын
Umesema kweli Mtumishi... Rais Ruto ameteuliwa na Mungu, na anapigwa vita na viongozi wanaokubaliana na ushoga na usagaji...... hiyo ndio sababu kuu inayofanya vijana wafuate kichinichini kumpinga Rais bila kujua wanauzwa na wanatumikia shetani. Hapo ni Roho amenena. Ubarikiwe sana Mtumishi
@emmanuelbulimo3447
@emmanuelbulimo3447 3 ай бұрын
Kama ruto mwenyewe ndie alitia saini LGBTQ.sasa mnasema eti Mungu, acheni kulitumia jina la Mungu vibaya
@annnyambura8005
@annnyambura8005 3 ай бұрын
​@@emmanuelbulimo3447you just speak carelessly but u don't know u r blind n lost
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 3 ай бұрын
​@@emmanuelbulimo3447huyu ni SIJUI kwa nini wanatumia mmumba vimbaya juu tamaaa zao za mwili zimesababisha RUTO KUmjukia YESU Sana Kama mtu ana Hamrisha NJESHI LIMEIA WATU eti mungu
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 3 ай бұрын
@@emmanuelbulimo3447 don't judge so that you will not be judged. Ushoga umeenea sana bali tuombe tuukatae na Mungu atatupigania. Lakini kusema alisign na haukumuona ni mbaya machoni pa Bwana.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
Rais wa Kenya ameteuliwa na Mungu..Kama mwanadamu anaweza akakosea lakini haiondoi alichokifanya Mungu Kumteua kwa ajili ya kuongoza nchi yangu ya Jirani
@beatricekhangayi-qh5ny
@beatricekhangayi-qh5ny 3 ай бұрын
Kapisa 🙏🙏🙏🙏
@PraxidesNelima
@PraxidesNelima 3 ай бұрын
Mungu akubariki mutumishi wa mungu na akutie nguvu
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 3 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mjungaji si wote tunaungaaa haya maandamano tunayakishifu sana juu huyu ruto ana mwono kwa hili taifa letu
@TatuOmar001
@TatuOmar001 3 ай бұрын
👏👏👏
@faithwaswa1619
@faithwaswa1619 3 ай бұрын
True ,emen may God have mercy for Kenya end protect William Samuels ruto the president of Kenya
@hamisimwarimo5560
@hamisimwarimo5560 2 ай бұрын
Wachungaji nyinyi ndio mnaotumiwa sana na wanasiasa kwa kupewa mapesa watu wakiteseka na uongozi mbaya
@ShabaniBukuru-vw4px
@ShabaniBukuru-vw4px 3 ай бұрын
Ubalikiwe mtumishi
@josephmaduka-xv8yp
@josephmaduka-xv8yp 3 ай бұрын
Hats Libya walimuua Gaddafi Ila Leo wanamlilia
@OraionSabibi
@OraionSabibi 3 ай бұрын
Madhabahu mbona Ina alama ya Fremasony msalaba wa Papa?
@JaphethMbusya-ld4xc
@JaphethMbusya-ld4xc 3 ай бұрын
Ruto wa wakati wa kampeni sio Ruto wa sasa....Yesu akasema ,,ole wake atakayetumika kumusalitu mwana wa Mungu....Ruto amekuwa kama yuda...ni wakafi wake kukinywea
@Deboraclementgm
@Deboraclementgm 3 ай бұрын
Amen amen ubarikiwe sana na nikweli
@Leongr2109
@Leongr2109 3 ай бұрын
muongo wa kenyan wame andamana kwasababu ruto ametuma majeshi wake inchini Congo DRC
@QueenNyondo-h1m
@QueenNyondo-h1m 3 ай бұрын
Amen Amen mtumishi
@ElieSivyavugha
@ElieSivyavugha 3 ай бұрын
RUTO Ana sapoti kagame katika Ku ishambuliya DRCONGO
@IssahBusilili
@IssahBusilili 3 ай бұрын
Link zangu hata kumi tu
@TheofridahChigumbi
@TheofridahChigumbi 3 ай бұрын
Amen amen baba
@esthermoraa9701
@esthermoraa9701 3 ай бұрын
Alikua amekubali mwanzo ushoga alikuja kukataa nyuma wakati wanainchi walipinga kama sio wanainchi walikataaa akaipika angekubali
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 3 ай бұрын
hapo ni kwenye kampeni Mbona ameenda marekani. Kisha kapewa misaada mingi ili akubali ushoga
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 ай бұрын
Ruto Mungu akusaidie
@SUCCESSUNITY
@SUCCESSUNITY 3 ай бұрын
Hongera
@PetronilaWekesa
@PetronilaWekesa 3 ай бұрын
Amen 🙏🙏 mtumishi
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 3 ай бұрын
Ruto anamsaidia kagame kuleta vurugu Congo, Mungu alipae kisasi kamlipa na bado apo ni mwanzo.
@alicejumaa89
@alicejumaa89 3 ай бұрын
Ruto ni free mason anakandamiza wakenya vibaya kongole gen z
@JacksonKabui
@JacksonKabui 3 ай бұрын
Wewe sijui unaona gani kwa giza,wewe hujui ruto mdomo mtamu but hatimizi kile anachosema.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
but it doesnt rule out that God had handpicked him to rule the country of Kenya
@alicejumaa89
@alicejumaa89 3 ай бұрын
Mtumishi kuja uishi kenya na usome hio finance bill wala sio kupiga mdomo na kutafuta kiki ukitaja Kenya. Pambana na tz yenu. Shida sio ruto ni finance bill.
@sirpaza8513
@sirpaza8513 3 ай бұрын
Shetani ni mjanja haji kwa njia rahisi
@alicejumaa89
@alicejumaa89 3 ай бұрын
@@sirpaza8513 baadhi ya wachungaji ndio wale waliopewa pesa na ruto wakati wa kampeni ili kusambaza propaganda na kampeni zake saai ndio wanaoliliwa na wananchi.. ju ya wizi na unyanyasaji wa serikali.. huu mchezo shetani alijichukulia maksi kutumia hawa wachungaji wasiojua kwaendelea nini. Ndio maana hatuwaskizi tena ni waongo na watetezi wa wakora.
@helencyprian8745
@helencyprian8745 3 ай бұрын
Asante
@eunicewamathioya8030
@eunicewamathioya8030 3 ай бұрын
God is not a lie Ruto n muongo na amekubali ushoga hapa Kenya
@TatuOmar001
@TatuOmar001 3 ай бұрын
Alisema wapi
@TatuOmar001
@TatuOmar001 3 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@johnaviha2441
@johnaviha2441 3 ай бұрын
Wewe huelewi mambo ya Kenya wacha wakenya wafanye mambo yao maana wanajielewa wenyewe.
@lucydarcy4515
@lucydarcy4515 3 ай бұрын
Yeye ndiye aliwakubalia mashonga kenya baada ya kuingia mamlakani. Mauaji mengi nchini kwa kuwa analipiza kisasi
@kenyanboy1839
@kenyanboy1839 3 ай бұрын
I wish waezajua rangi ya mwenye unatetea, heri utumie hekma utulie na umuangalie ruto kwa maneno na matendo yake
@donatusmlowe7378
@donatusmlowe7378 3 ай бұрын
Mahubili yako ni yakimwili kuwatesa watu ni halali ruto atakufa lakini sheria mbovo zitabaki haya maisha hata
@irineemanuel9749
@irineemanuel9749 3 ай бұрын
Mungu humzira muuaji na mwenye hila
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 3 ай бұрын
Tafathali cassian usiongee usicho kijua sis ndio wakenya na ni sisi tunajua ubaya na uzuri wa kila kiongozi,,,mimi ni mkenya siwezi kumujua vizuri sana rais samia suluhu kuliko wewe mtanzania Tafathali nakuomba tuheshimiane tuache😢😢😢wakenya tumiumizwa sana na huyu mtu anaitwa ruto kwa miaka mingi,,, haujui unachokisema wewe cassian nakubanda lakini haya unaniuzunisha kama mkenya 😢😢yakwenu ni mazuri fwateni hayo ,,,,,,ya kwetu ni mabaya tuachieni sisi 😢😢😢😢heri nyie
@apstsilasbulimo8745
@apstsilasbulimo8745 3 ай бұрын
Nyinyi manabi wa huongo muna aribu kenya tabirini kwenu
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 3 ай бұрын
In east Africa kenya has got good president but they don't value
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 3 ай бұрын
Toka hapo Tuko beast in KENYA
@nyamwangierick2820
@nyamwangierick2820 2 ай бұрын
Paxi nakubaliana na ww but hawa viongozi hawatusaidii
@JosephNyamai-d9h
@JosephNyamai-d9h 2 ай бұрын
Akuna pasta mwonga
@BerylSeer1
@BerylSeer1 3 ай бұрын
Kwa kuanza si utumie tu simple camera, kuna za dollar mia tatu.. Umeanzia mbali Sana....
@ndayizeyeconsolatte
@ndayizeyeconsolatte 3 ай бұрын
Kweri kabisa habiwezekani mwanamuke ku mwanamuke mwanaume ku mwanaume nop kwajina la yesu
@MikeAnyole
@MikeAnyole 3 ай бұрын
Wewe hujui la kusema kaka ama mchungaji gushi. Ruto sio mkisto vile anavyojitupa kama mkristo. Ruto tapeli mkubwa mpaka UHURU akamsema.
@EverlyneNjambi-w8n
@EverlyneNjambi-w8n 3 ай бұрын
Ni mwongo then alikuwa amekubali
@CharlesAndrea-b8v
@CharlesAndrea-b8v 3 ай бұрын
Awa mafirimason unasema wamechaguliwa na MUNGU apo nakataa wengine unawambia ukweli wakina Joe Devi ilakwapo nakataa ruto ni Atari kuliko ruto na shetani ni mtu na mdogo wake acha kudanya magu alikusanya ushuru na anatujengea barabara maendeleo twambie ruto amefanya nini
@alexkamba5264
@alexkamba5264 2 ай бұрын
Wanaandamana coz wanataka ushoga
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu 3 ай бұрын
Uyu mchungaji kalewa e mtu anachukua pesa anakod ndege na kod anapandisha apo unataka wakenya wafanyiwe nn? Kalewe mbele unapiga kelele tu
@beatricekhangayi-qh5ny
@beatricekhangayi-qh5ny 3 ай бұрын
Ata sio😂😂
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 3 ай бұрын
Mtumishi wacha kumtetea unadhani ufisadi ambao anafanya unampendeza MUNGU hapo shughulika na Tanzania na uhubiri YESU KRISTO wala usiigilie siasa
@Hellen-v8p
@Hellen-v8p 3 ай бұрын
Wa Kenya wenzangu tumrudie mungu kwa toba siwakati wakunyosheana vidole ni mungu Tu anawesa kutusaidia tumpingeni shetani nae atatukimbia please peace in the mighty name of Jesus Christ
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 3 ай бұрын
Bado uko gizani my friend rudia Mungu.
@alicejumaa89
@alicejumaa89 3 ай бұрын
Huyu mtumishi anadhani mungu anapenda ujinga ya ruto. This man ruto ni devil worshipper mnyanyasaji mkuu wacha apambane.
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 3 ай бұрын
@@alicejumaa89 nyie ndio mmefungwa Macho na shetani. RUTO akitoka nakwambia mtalia. Ombeni Mungu awape fahamu ya kujua kinachoendelea katika ulimwengu wa roho.
@alicejumaa89
@alicejumaa89 3 ай бұрын
@@MGALILAYABillionaire naomba atoke leo arudi uhuru na raila wale wa mwanzo maisha ilikuwa vizuri.. huyu mpuzi aliyeiba kura ndo atulize. Wewe unatoka nchi hebu acheni ushamba ya kujifanya wakristo kama ruto alivyofanya. Amkeni mungu hapendi dhuluma.
@getrudemusimbi6115
@getrudemusimbi6115 3 ай бұрын
Hujui kitu bana just shut
@JosephNyamai-d9h
@JosephNyamai-d9h 2 ай бұрын
Sasa uyu pasta umepewa kitukidongo
@LumiereAmisi
@LumiereAmisi 3 ай бұрын
Tukumbuke Malako asante
@Masterplan696
@Masterplan696 3 ай бұрын
Kwa hiyo mtumishi MUNGU anapenda Africa tuwe maskini ndo maana analeta viongozi wezi?
@alicejumaa89
@alicejumaa89 3 ай бұрын
Huyu hajui anasema nini. Tumejitolea kupinga unyanyasaji
@ministerwillan
@ministerwillan 3 ай бұрын
Cassian we si mungu stop breaching ruto breach gospel
@beatricekhangayi-qh5ny
@beatricekhangayi-qh5ny 3 ай бұрын
Ata uyo rosemuhando 😅
@MillanMillanos
@MillanMillanos 3 ай бұрын
Lakin kwa nn huyu paschal yy kila mtumish anasema ni mashetani ina maana Mungu hana watumishi wake kweli? Jizz
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana🎉🎉🎉🎉
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 3 ай бұрын
MUNGU ni MUNGU wa kuokoa na njia za kutoka mautini zina yeye wakenya mwamini MUNGU msiogope
@alicejumaa89
@alicejumaa89 3 ай бұрын
Na bado tutapindua huyu mjinga ruto. Km mungu anapenda wanyang'anyi ni uongo. Shetani ni ruto acheni kudanganya watu.
@simonmdune9066
@simonmdune9066 3 ай бұрын
Umesema ukweli
@annnyambura8005
@annnyambura8005 3 ай бұрын
Wewe mtakatifu nackuona sana
@alicejumaa89
@alicejumaa89 3 ай бұрын
@@annnyambura8005 ukipinga ufisadi na unyanyasaji unakuwa mtakatifu. Ok no worries tuko wengi hapa kenya na hatuna shida na hiyo utakatifu tunatakasa Kenya yetu against the freemasonic Ruto. . Nyinyi devil worshippers munatumia jina ya mungu vibaya sana we are sick of you and your nabii Ruto.
@NdayiTitia
@NdayiTitia 3 ай бұрын
Huwa sikosi kufaidika kitu nikufuatilia Mungu akulinde zaidi
@PendoKatana-b2u
@PendoKatana-b2u 3 ай бұрын
Samahani kaka naomba uniambie ni wapipameandikwa ukiomba kwajina la baba na mwana na mutakatifu utapokea niwapi maana niwachungaji wengi wanaomba hivyo Kwa maandiko hakuna
@simonmdune9066
@simonmdune9066 3 ай бұрын
Hujui vile tumesinywa
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 3 ай бұрын
Dunia uwanja wafujo itazaa nini? ?
@helencyprian8745
@helencyprian8745 3 ай бұрын
Alikusaidia ww
@JudithNinah-lr2wz
@JudithNinah-lr2wz 3 ай бұрын
Haujui unacho ongea, yangoso mwachiye mwenyewe
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 3 ай бұрын
Umesema kwel baba ang cku hizi ni za mwisho jmn
@alphadreammedia
@alphadreammedia 3 ай бұрын
Lakini mbona kama inasemekana kuwa wameshapandisha bendera na Rais ndo kakubali au ni propaganda
@NelsonJackson-z7r
@NelsonJackson-z7r 3 ай бұрын
Wewe mchungaji, mambo ya siasa mjona akemei tena.
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 3 ай бұрын
Toka hapo mtumishi ,2CORT 4 :4, usidakanye watu eti RUTO ni wa YESU TOKA HAPO ,njooo soma John 8 :44 ,ajawai so fanya hivi wachana na kenya ,ACCOUNT YA RUTO INASOMA HII PESA 900 BILLION SHILLING,RUTO ANAFANYA revenge juu kwao alisema ni masikini,Ayuko kufwata YESU, tokeni kwa YESU na tamaaa zenu za mwili
@JoyceMmari-rc9yv
@JoyceMmari-rc9yv 3 ай бұрын
🙏
@DatiusExavely
@DatiusExavely 3 ай бұрын
Mimi naamini Mungu siye anayeweka marais ila Mungu anaruhusu, kwa sababu hiyo itapingana na Biblia kwa kumbuka Shetani alipomjaribu Yesu Kristo akampandisha juu ya kinara akamuonyesha ulimwengu wote akasema tazama hii yote hiko kwenye mamlaka yangu nampa nimpendaye nisujudie nami nitakupa Yesu akukataa kwamba Shetani ndiye anaye milki falme za Dunia ila Yesu alisema imeandikwa Msujudie Mungu Yeye pekee. Mimi ndio naamini Ruto anayo hofu ya Mungu kidogo ila kuna ajenda ndani kwa sababu kama Ruto rafiki wa ndani wa Marekani ambaye ndiye wakala wa pili wa Shetani kutoka Vatikani ambao wanasapoti Ushoga kwa asilimia100%Na wameaidi kuweka bezi kubwa ya Jeshi Afrika Mashariki ya Nato. Hapo kuna ajenda, lakini rais si amewaita wazungumze, Yeye amejaribu kuiga Magufuli lakini Magufuli hakwenda kupiga Magoti kwa wazungu aliamini Mungu kwa asilimia kubwa Ruto hana ubavu wa kukabiliana na wazungu. Magufuli hakujua Adui zake vizuri, aliowaamini akijua wana Mungu swala Korona wakampiga wazi viongozi wa dini aliotumaini, hapo hakusutuka. Yule mnyama waliwadanganya wakubwa kwa wadogo, Tajiri na maskini na Wafalme wa dunia. Sisi tuwaombee Amani ili Bwana Yesu Kristo atulize dhoruba. Kwa Bibi Arusi wa Bwana Yesu Kristo Yupo duniani, maana wakiondoka kutakuwa kilio na kusaga meno. Hiyo na mimi napingana na Ushoga hata Mwenye akili timamu lazima apinge isipokuwa uwe chizi, maana utajua kuwa mimi si kuzaliwa na mashoga ilihitajika mwanamume na mwanamke Kuzaa na kuongzeka.
@Masebrain
@Masebrain 2 ай бұрын
@cristianoprincegabrielles3951
@cristianoprincegabrielles3951 3 ай бұрын
Man Of God Ruto alipinga ushoga kwa mdomo tu ila kapokea 16Billion kutoka kwa Mke wa Rais Biden, Na Mahakama ikasema haitakiuka haki ya mtu yeyote na Walipopitisha hilo, Mashoga walianza uwawa mmoja baada ya mwingine... Ruto ni hypocrite
@felixmugambi2237
@felixmugambi2237 3 ай бұрын
Huyu hajui tufauti ya mungu na satan,nikuropokwa tu
@jamescarloss9671
@jamescarloss9671 3 ай бұрын
$2500 USD Tz ni 6,642,500.00 TSH $1300 USD Tz ni 3,454,100 TSH 😂
@MichaelNkungu-on1ub
@MichaelNkungu-on1ub 3 ай бұрын
Unatafuta kiki umeacha ijili unaingia kwenye siasa za nchi zawatu wakat nchi yako yenyewe inamatatizo hayohayo basi jiunge na chama uiseme na nchi yakopia
@josykogei7647
@josykogei7647 3 ай бұрын
Yesu wa tongareni
JAMANI AMKENI TAYALI SIRI IPO WAZI  KIFO CHAJA KWETU EV PASCHAL CASIAN
1:25:54
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 140 М.
CASSIAN AWAEKA WAZI MACHAFU YA PIDIDI NA DAIMONDO EV PASCHAL CASSIAN
43:07
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 35 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,2 МЛН
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 269 МЛН
CASSIAN AWAGEUKIA&ROZI  NA PASTA EZEKIELHAKUNA ALIE KAMILIKA EV PASCHAL CASSIAN
39:30
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 3 М.
CASSIAN AMGEUKIA MBARIKIWA NI MJINGA SANA HUYU MCHUNGAJI
1:24:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 29 М.
ONA MAFUNDISHO YA ZINAA YALIVYO KUMBA KANISA EV PASCHAL CASSIAN
51:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 8 М.
VIDEO: Kinachoendelea kwenye msiba wa Dida Nyumbani kwao Shekilango
10:14
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 1,8 М.
CASSIANA AMKEMEA PASTA NG'A'GA FARA SANA WEWE!  EV PASCHAL CASSIAN
53:15
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 8 М.
SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA  WAIBIKA  HAZARANI  EV PASCHAL CASSIAN
1:02:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 65 М.
SIRI YA FICHULIWA UONGO WA MIUJIZA WANAYO IFANYA EV PASCHAL CASSIAN
17:24
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 180 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,2 МЛН