CASSIAN AWAGEUKIA MAASIKOFU TENA TAG EAGT WOKOVU%100 EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 3,560

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@beatricekannonyele9167
@beatricekannonyele9167 Ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki mtumishi wa Mungu Pascal Kassian. Hubiri injili ya Kristo tupate kupona.
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire Ай бұрын
Amen hallelujah! Yesu anarudi ...hatuna tena muda wa kupoteza, wala kudanganyana, kila mmoja aliyeitwa kwa ajili ya kristo atengeneze maisha yake, andaa shamba la Bwana, andaa hekalu la Bwana usiliharibu kwa mawaa. Ubarikiwe sana mtumishi kwa kusimama katika kweli. Maana kweli itawaweka kweli watu wote. Vyote vya dunia hii tuviache kwa ajili ya kristo. Na walio na hekima watang'aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang'aa kama nyota milele na milele. Endelea kung'aa katika kweli ya Kristo
@SelemaniMwilongo
@SelemaniMwilongo Ай бұрын
Mungu akubarki sana mtumishi ninabarikiwa sana ujumbe was uwaz na ukwel Mimi mch Evodia sanga was kanisa EAT iringa
@DanielNasibu
@DanielNasibu Ай бұрын
Mungu akubaliki kwakusema kweli 🙏🙏
@MussaBoazi
@MussaBoazi Ай бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi
@paskaliJohn-r5g
@paskaliJohn-r5g Ай бұрын
ukweli mtupu tunakupata sana
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 Ай бұрын
Paza sawuti mutumishi wa Mungu🎉🎉🎉🎉🎉
@remigioushofa2817
@remigioushofa2817 Ай бұрын
Cassian upo vizuri sana
@USHINDIMANENO
@USHINDIMANENO Ай бұрын
YESU aendelee kukuita nguvu
@paskaliJohn-r5g
@paskaliJohn-r5g Ай бұрын
safi mtimish ubariw
@zaramuneer3257
@zaramuneer3257 Ай бұрын
Jmni naomba mnisaidie maandiko japo sikumbuki kitabu gani ,, yesu akiulilia mji wa yerusalemu anaeujua anisaidie na Mungu awabariki
@eliciaelisha1944
@eliciaelisha1944 Ай бұрын
Luka 19:41-44
@zaramuneer3257
@zaramuneer3257 Ай бұрын
@@eliciaelisha1944 thank u 🙏 God bless you and your family 😍
@eliciaelisha1944
@eliciaelisha1944 Ай бұрын
​@@zaramuneer3257Amen
@Stelaelias-i8o
@Stelaelias-i8o Ай бұрын
Mimi naona yuko sahihi kuhusu mapambo kuvaa suruali nguo fupi haifai kabisa ila anakosea kutaja majina ya watumish yeye hana mamlaka ya kuhukum na ajue siku ya mwisho atawaona hataambao hakuwategemea watakuwa mbinguni alio waonawako sahihi watakuwa jehanam kwahio asihukum afundishe neno
@micheleliakimeliakimmihale8820
@micheleliakimeliakimmihale8820 Ай бұрын
NAKUPATA VIZURI NILIKUWEPO SKU HYO . MM MCHUNGAJI ELIAKIMU KUTOKA KANISA LA PENTEKOSTE UAMSHO MPANDA PIGA KAZI. UMETUPA UJASIRI WAKUENDELEA KUIPIGA INJILI YA MATENGENEZO, YA KUPIGA MAPAMBO.
@AnnaLwanda-oj4jn
@AnnaLwanda-oj4jn Ай бұрын
SEMA kweli tupone mchngaji
@nafutarymajogoro30
@nafutarymajogoro30 Ай бұрын
Ujumbe wako ni waonyo Kwa kanisa
@shadrackwilfred2606
@shadrackwilfred2606 Ай бұрын
*HII NDIO INJILI*
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza Ай бұрын
Umeanz ujing kasian ckufuat tena
@JonathanMuhamadiSambaya
@JonathanMuhamadiSambaya Ай бұрын
Wewe sio yule Casian niliekuwa namzania na kuzani kuwa ni mtumish aliesimama na Mungu kweli kweli kumbe ni mpuuzi tu huna Roho Mtakatifu wewe ungejazwa usingekuwa unalopoka ivyo Yan nimeumia sana kuona ata wewe ni mtu wa ajabu ivyo Tena ni mjinga kweli kweli unadhani tukikupa wewe kanisa la tag unaweza kuliongoza wewe jifunze unyenyekevu utapona hujui neno kabisa wewe nenda chuo
@ThomasLucas-rh7wf
@ThomasLucas-rh7wf Ай бұрын
Hujitambui anaongea ukweli
@JonathanMuhamadiSambaya
@JonathanMuhamadiSambaya Ай бұрын
@@ThomasLucas-rh7wf wewe angalia ki Roho chako lazima kitakuwa kibovu anaongea ukweli au analopoka ni heli umwambie ukweli mtu ajilekebishe anakoenda ni pabaya hana nidhamu kabisa
@shadrackwilfred2606
@shadrackwilfred2606 Ай бұрын
cassian kaongea vzd mno
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 Ай бұрын
UNAHIBIRI MAJINA YA WATU TUUUU HATA YESU HUMTUKUZI. UNASAUTI TU UJUMBE WA MUNGU HUNA
@JonathanMuhamadiSambaya
@JonathanMuhamadiSambaya Ай бұрын
Sasa wewe lopokaga tu na sisi tunaendelea kufanya kazi ya Mungu na Mungu anatuinua utaishia kulopoka na hutuwezi kwa chochote kwakuwa unajiinua utaishia kuwa chin na utaendelea kuhubili ujinga wako na wajinga ndio watakao kusapoti
@JonathanMuhamadiSambaya
@JonathanMuhamadiSambaya Ай бұрын
Sasa wewe lopokaga tu na sisi tunaendelea kufanya kazi ya Mungu na Mungu anatuinua utaishia kulopoka na hutuwezi kwa chochote kwakuwa unajiinua utaishia kuwa chin na utaendelea kuhubili ujinga wako na wajinga ndio watakao kusapoti
CASSIAN AWAKUMBUSHA WAFIWA MANENO MAZITO KARIAKOO EV  PASCHAL CASIAN
47:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 776
HAWA NI WATUMISHI LAKINI WANA UDHAIFU  AWATETEA WAIMBAJI EV PASCHAL CASSIAN
56:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 9 М.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 9 МЛН
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 5 МЛН
Haunted House 😰😨 LeoNata family #shorts
00:37
LeoNata Family
Рет қаралды 16 МЛН
Bishop Gakuyo - Zakayo Awachane Na Makanisa.
33:57
Radio Maisha
Рет қаралды 282
KINA DIAMOND (Paschal Cassian)
7:20
BARAKA
Рет қаралды 10 М.
CASSIAN AMKEMEA PASTA TON KWA KUPOTOSHA   MAFUNDISHO POTOFU EV PASCHAL CASSIAN
1:26:11
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 116 М.
NEW VIDEO NDIPO TUMEFIKIA NGONO MADHABAHUNI WAMBIENI WATU  EV PASCHAL CASSIAN
7:50
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,8 М.
CASSIAN NATUMIA UCHAWI MADAWA YOTE NAKUNYWA EV PASCHAL CASSIAN
1:23:04
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,2 М.
CASSIAN ATOA WIMBO KUMUOMBOLEZA MAREHEM DIDA EV PASCHA CASSIAN
4:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 18 М.
UHALALI WA KISASI CHA WAGANGA
37:56
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 5 М.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 9 МЛН