No video

CCM MBELE KWA MBELE B CAPT.JOHN KOMBA

  Рет қаралды 875,748

ALLY MITAWA

ALLY MITAWA

7 жыл бұрын

Пікірлер: 512
@georgejoseph6669
@georgejoseph6669 6 ай бұрын
Kama unasikilza 2024 twende sawa
@HamzaNdalamila
@HamzaNdalamila 6 ай бұрын
A
@AbasHamad-yl8ul
@AbasHamad-yl8ul 2 ай бұрын
😂😂ccm mbele Kwa mbele
@mascompany4035
@mascompany4035 4 жыл бұрын
Tunaopenda hii ngoma, lakini sio ccm Like zenu chini apa👇🏽👇🏽
@maumnazareti3954
@maumnazareti3954 Жыл бұрын
Nilijua ni pekeangu kumbe tupo wengi
@alfrednazir6223
@alfrednazir6223 5 ай бұрын
Tupooo leo tare 5 mwez wa 3 mwaka 2024 nikiwa Berlin ujerumani bado hii ngoma naikumbuka japo mi nilikua chadema dam dam ila hii ngoma niliikubali
@burudatv751
@burudatv751 4 ай бұрын
😂😂 nipo naiskiliza hapa.sababu naipenda tu,ila sio chama
@hosnakamees5454
@hosnakamees5454 Ай бұрын
Pumziko la mi lele Anko magu 2024/9/7
@deogratiusilomo7624
@deogratiusilomo7624 4 жыл бұрын
Anae sikiliza na mm 2020 like hapa
@mussajoseph5875
@mussajoseph5875 4 жыл бұрын
Tumejipanga mwaka huu wataisoma namba
@naomyraphael6805
@naomyraphael6805 4 жыл бұрын
My fav song
@ibrahimtwahirkilagwa653
@ibrahimtwahirkilagwa653 4 жыл бұрын
Tuko pamoja
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Hatari sana!!
@chardchard6153
@chardchard6153 4 жыл бұрын
Ccm mbelembelekwambele
@mustafajuma4896
@mustafajuma4896 4 жыл бұрын
Kama unaikubali ccm itapita 2020 gonga like hapa
@shomariabdalla7367
@shomariabdalla7367 4 жыл бұрын
Wanasoma no sasa
@shadracksospeter536
@shadracksospeter536 3 жыл бұрын
Mzee Komba ni sawa na Tanzania All Stars wote😂😂😂😂
@salumkanju1732
@salumkanju1732 Жыл бұрын
Surely aisee mzee alikuwa mtamu kama rummy ongala tatzo la remy ni tumbaku tu
@shamimlugoya756
@shamimlugoya756 4 жыл бұрын
Baada ya kusikia kampeni zinaanza imenibidi niicheki hii nyimbo😍😍😍
@amanibwire4423
@amanibwire4423 5 жыл бұрын
wakereketwa wa chama kubwa hatunaga mawazo like kama upo unasikiliza mwaka 2019
@peterbayo4677
@peterbayo4677 4 жыл бұрын
2020
@swabry
@swabry 4 жыл бұрын
kutoka kenya napiga like👍✅✅✅ CCM 👍👍❤️❤️ magufuli hooooyeeeeeeee👍👍❤️❤️
@ismailmohd9389
@ismailmohd9389 5 жыл бұрын
2020 kwa kweli hakuna haja ya nyimbo vyote vinajieleza CCM juu kabisa
@chellahmuziq8421
@chellahmuziq8421 4 жыл бұрын
Haha IPO na nyimbo zipo angalia chellahmuziq lichama ccm utsjionea ww
@upendokasubi232
@upendokasubi232 4 жыл бұрын
@@chellahmuziq8421 ......,..,........., my lovely friend wake, my lovely friend and
@petermbelwa3958
@petermbelwa3958 4 жыл бұрын
Na miss sana Kampeni za CCM huu wimbo ni namba moja CCM ni ile hakuna wakuipiku tumejipanga ki sawa sawa
@saimonjulius1319
@saimonjulius1319 5 жыл бұрын
Huo wimbo noma sana usipokaa vizuli hata ukiwa mpinzani unawezakujikuta na ww unayimba nakuucheza.
@kahawathungu
@kahawathungu 5 жыл бұрын
umeona eh?
@baroamani4420
@baroamani4420 5 жыл бұрын
Saimon Julius kabisa
@ezekielandirea868
@ezekielandirea868 4 жыл бұрын
Kwel aise haaaaa wimbo mtamu sana
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 4 жыл бұрын
Kweli hii ngoma ni kali na ipo kwenye cm yangu japo mm ni mpinzan
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 жыл бұрын
Hahhhhh huu wimbo ulizuzua watu Sana 2015
@blasidajulius2240
@blasidajulius2240 4 жыл бұрын
Hatunywi sumu hatujinyongi😘🔥Ccm mbele kwa mbele👌
@allyrashid9241
@allyrashid9241 3 жыл бұрын
Uzur wakutosha
@payasbadman2523
@payasbadman2523 3 жыл бұрын
Tuliokuja kwa ajilu ya magu rest in peace magufuli, 😭😭😭😥
@magangamitimingi5160
@magangamitimingi5160 3 жыл бұрын
Tupo
@shadracksilayo9699
@shadracksilayo9699 3 жыл бұрын
rip magufuli
@thanxlord9988
@thanxlord9988 2 жыл бұрын
Rip kamanda
@renatusmatungwa6506
@renatusmatungwa6506 2 жыл бұрын
Dah we acha tu
@getrudeelibariki1002
@getrudeelibariki1002 2 жыл бұрын
Sasa ndo tunaisoma no.haswaa😭...rest in peace JPM.
@missjudy7294
@missjudy7294 3 жыл бұрын
Im a kenyan but i love this song though naelewa ni ya election
@eugenelukingi912
@eugenelukingi912 3 жыл бұрын
Election?
@renatusmatungwa6506
@renatusmatungwa6506 3 жыл бұрын
@@eugenelukingi912 ndio uchaguzi au hujaelewa
@francismillinga4591
@francismillinga4591 2 жыл бұрын
Karibu sana sister
@beshuuambarali4960
@beshuuambarali4960 5 жыл бұрын
wataisomaa 2020..milele milele itabakiaa naipenda hatari
@kassimulugajo6512
@kassimulugajo6512 5 жыл бұрын
wale waliotembelea hapa 2019 wekeni like kujiandaa kumpa kura mzee wa hapa kazi tu 2020
@elphonembukwa4116
@elphonembukwa4116 5 жыл бұрын
Kila LA heri JPM
@timothykinango7166
@timothykinango7166 4 жыл бұрын
mamae huu wimbo ukipigwa unajikuta tu unachezesha kichwa ccm hoye
@gamc773
@gamc773 4 жыл бұрын
Hahahaha
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 3 жыл бұрын
Oyeeeeeeeee c kutikisha kichwa tu nakuucheza kabisaaa
@alphaabdallah1406
@alphaabdallah1406 4 ай бұрын
Noma kabisa kaka...unaweza unajikuta unayarud huku umevaa sare za CDM😂
@kasimuyahaya4010
@kasimuyahaya4010 5 жыл бұрын
napapenda hapo inapoanza ccm niile ile
@judithmgaya460
@judithmgaya460 4 жыл бұрын
Yaan Kama mimi
@mwajumaissa6763
@mwajumaissa6763 4 жыл бұрын
Km mm tu....yaan siipend ccm ila huu wimbo naupenda biti lake tu
@johnsonbhusagwe6945
@johnsonbhusagwe6945 4 жыл бұрын
Kama mim hii ngoma mtunzi alitulia
@getrudemande9859
@getrudemande9859 10 ай бұрын
2023 still hitting to the core…. Viva Magufuli viva…
@jovithatba8858
@jovithatba8858 10 ай бұрын
Sure.. magu for life
@lovetaisha4
@lovetaisha4 4 жыл бұрын
Hakuna kama komba kwa kweli... Kampeni alikua anachangamsha kwa hizi nyimbo
@jofryalbethi6680
@jofryalbethi6680 2 жыл бұрын
Baada yakusikia nyimbo hii! Nimekumbuka vingi Sana😭😭😭😭!
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 6 ай бұрын
Umemkumbuka magufuli mtetez wetu kaka yetu mpendwa wetu
@nyabisemaro5574
@nyabisemaro5574 5 жыл бұрын
Huuuuuu Wimbo ndio ulikuwa unafanya niende kampeni Zaooo CCM
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Kabisa!
@seremanimzee2718
@seremanimzee2718 4 жыл бұрын
Amini usiamn maisha ni siasa na siasa ndio maisha yenyewe
@upendotarimo9324
@upendotarimo9324 4 жыл бұрын
@@seremanimzee2718 kweli
@shaherabdulmajidgeyash7098
@shaherabdulmajidgeyash7098 15 күн бұрын
Wimbo huu ninapousikiliza unanikumbusha campaign yangu ya kwanza ya 2015 na ya pili 2020. Ni very motivating !!...Uendelee kuimbwa chaguzi zote !!
@bngnewsgang
@bngnewsgang 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ *Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (1961_1985) *Mzee Ali Hassan Mwinyi(1985_1995) *Benjamin Mkapa(1995_2005) *Jakaya Mrisho Kikwete(2005_2015) *John Pombe Magufuli (2015_2021) *Samia Suluhu(2021_ to date) Tanzania Oyeeee..... CCM oyeee. Umoja,Haki na maendeleo
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Kulikuwa na komba mmoja tu!!!
@thegreatsource2953
@thegreatsource2953 4 жыл бұрын
Captain Komba haupo nasi kimwili, ila tunazidi kuburudika na nyimbo zako nzuri zisizochuja. Mungu akupumzishe mahali pema peponi🙏
@snsonlinetv8432
@snsonlinetv8432 4 жыл бұрын
Amlaze anapostihiki
@snsonlinetv8432
@snsonlinetv8432 4 жыл бұрын
Kwani pepo masiara ww
@snsonlinetv8432
@snsonlinetv8432 4 жыл бұрын
Na kila mkiskiliza hii nyimbo ndo mnazidi kumkandamiza kama hamna habari
@shakurfaith
@shakurfaith Жыл бұрын
@@snsonlinetv8432 maana wewe unaenda Firdausi, huna kosa hata moja duniani hapa. Umempita hadi Mtume. Fala sana
@zainabkizenga8118
@zainabkizenga8118 5 жыл бұрын
Hii nyimbo nakumbuka 2015 wakati wa kampeni penda sana ccm
@mwitachacha4467
@mwitachacha4467 3 жыл бұрын
Hapo Sasa asieipenda ccm Kaz kwake
@rasihamsangi8084
@rasihamsangi8084 4 жыл бұрын
Unabii unaendelea kufanya kazi
@joshwaangussaah8410
@joshwaangussaah8410 5 жыл бұрын
Kuhusu CCM bolla nife silali juu yake naipendaaa kifupi haina mpinzani vyama zingine mnajisumbua mtaisoma namba 1 mpaka mfilisike chadema
@bernadethamigodela4724
@bernadethamigodela4724 4 жыл бұрын
Uhakikaaaaaa
@vumiliabakari6050
@vumiliabakari6050 3 жыл бұрын
Ccm naipenda Hatar by Liwada
@vumiliabakari6050
@vumiliabakari6050 3 жыл бұрын
Gonga like Kama tupo pamoja
@hasnaabdu9846
@hasnaabdu9846 6 жыл бұрын
Na kwel komba watu wanaisoma namba nawe mungu akurahemu kaka umetuacha na simanz kubwa sana saut yako tuu ilikuwa mwisho kwa wapinzan👏👏
@alexandernyimbi8186
@alexandernyimbi8186 3 жыл бұрын
Kipaji bora kabisa kuwahi kutokea nchini, kwa kutunga na kuimba nyimbo za Matukio makubwa hasa haya ya nchi yetu
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 жыл бұрын
My favourite song ,🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃 kinana na membe hoyeeeeeeee
@pendokissatu937
@pendokissatu937 4 жыл бұрын
Anayesikiliza Wimbooo Mwez wa 7 baada Ya Ankoo Magu kuteuliwa kuwa Mgombea wa Urahisii Na TUTAWACHAPA KWA KURAA MaGUU TANO TENA TUJUANE ❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@rosemushi8312
@rosemushi8312 4 жыл бұрын
Hakika
@bahatipapi1616
@bahatipapi1616 4 жыл бұрын
2020 bado tunasikiliza👍
@yusuflalu2887
@yusuflalu2887 4 жыл бұрын
Mmmmmh wimbo wenyewe unatosha ,,ukipigwa Kama komba yupo ,,tunakukumbuka c komba
@fredikigodi8307
@fredikigodi8307 4 жыл бұрын
Anae ukubalihuu wimbo kamamm 2020,atampa magu kura kamazote,agonge like ilitujuane,, ccm mbelekwambele,hainakufeli,mwanzomwenga,,,,,,,,,
@prettynesspastory3111
@prettynesspastory3111 4 жыл бұрын
Yaaaani nikisikia hiii ngoma nasikia raha mwili mzima! Hapa nimejifungia getto nayakata balaa!! Hiii raha sasa jamani!
@jerrycardo6770
@jerrycardo6770 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@alfrednazir6223
@alfrednazir6223 5 ай бұрын
Yaan nakuelewa sanaa mi apa napagawa nayakata haswa na huu mwaka 2024
@boniventureprotace6355
@boniventureprotace6355 3 жыл бұрын
Japo syo mwanachama wa ccm ila hii ngoma n Kali lazma utkise kchwa ukisikia inapgwa 😂😂 Naskiliza hii 2021
@alfrednazir6223
@alfrednazir6223 5 ай бұрын
Same here
@KICHECHEOG2
@KICHECHEOG2 4 жыл бұрын
Kama wewe ni ccm 2020 upotezi kura yako tupia like yako na ku comment pamoja sanaa
@alfrednazir6223
@alfrednazir6223 4 жыл бұрын
we ni kuma
@snsonlinetv8432
@snsonlinetv8432 4 жыл бұрын
Ya kwangu ni bora niiharibu kuloko kuwapa ccm
@Nadir_Abdullah
@Nadir_Abdullah 4 жыл бұрын
CCM oyyeeeeee
@mwantumuulaya6528
@mwantumuulaya6528 3 жыл бұрын
Oyeeeeeeeèeeeeeeh
@shukurlove4116
@shukurlove4116 3 жыл бұрын
Ccm babalao? kamwe huwez mfundisha bab mapenzi ccm jembeeeeeeeeeeeeeeee
@edwardsmagori2555
@edwardsmagori2555 5 жыл бұрын
Ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@khalidngwembele9075
@khalidngwembele9075 4 жыл бұрын
Chadema in blood lakin hili lisongi nalipenda kichiz yani 😂🙌🙌🙌
@shadracksospeter536
@shadracksospeter536 3 жыл бұрын
hapo kwenye TUMEJIPANGA MWAKA HUU WATAISOMA 😍😍😍
@rejinkitosi8557
@rejinkitosi8557 5 жыл бұрын
Hili goma🔥🔥 nitaingilia kwenye harus yangu atakayenuna atajijua mbele kwa mbele kama CCM😂😂😂
@ezekielandirea868
@ezekielandirea868 4 жыл бұрын
Hahaaaa noma sana
@nelsonkimambo2528
@nelsonkimambo2528 4 жыл бұрын
Amewatungia wimbo mzur afu akaikimbia kaima kinachojiri ni kusoma namba tu
@bkmayembafromlp3753
@bkmayembafromlp3753 4 жыл бұрын
Salute for komba john!!mbele kw mbele
@petermanda6595
@petermanda6595 6 жыл бұрын
mbele kwa mbele ccm chama tawala
@mapendomsele3386
@mapendomsele3386 5 жыл бұрын
Ccm daima mbele kwambeleeeeeee
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 3 жыл бұрын
Nyimbo zilikua zinahamashisha sana m.mungu ailaze pema pepon roho ya marehem komba
@giftsomi9142
@giftsomi9142 6 жыл бұрын
Hakuna mpinzani wa ccm kabisa
@boscomarucusi7704
@boscomarucusi7704 6 жыл бұрын
safi
@richardabilu3896
@richardabilu3896 6 жыл бұрын
Hakuna kitu hapo tunaisoma namba wote
@sundimsalika2532
@sundimsalika2532 6 жыл бұрын
Kabisaaa...hakuna
@kingak7974
@kingak7974 5 жыл бұрын
Ccm mbele kwa mbele tumeipenda wenyewe chaguo letu milele 😘
@innocentfrida7333
@innocentfrida7333 5 жыл бұрын
Napenda ingoma kinyama
@peterbayo4677
@peterbayo4677 6 жыл бұрын
Hii ni Kiboko. Capt Mst John Bruno Komba utakumbukwa milele!. Umeenda njia ya wengi mapema...
@aboukar69m
@aboukar69m 5 жыл бұрын
Kweli mzee komba mungu ailaze roho yake pema
@zainabkizenga8118
@zainabkizenga8118 5 жыл бұрын
Kabisa yaani
@preciousndossy2169
@preciousndossy2169 4 жыл бұрын
Yaan
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 4 жыл бұрын
ee mungu tupe kibali chakoo kipindii hichii Cha kampeni na uchaguzii mungu wanguu ukatuchagulie viongoz watakao ifikisha nchi yetuu mahali panapo stailii mungu wanguu kilaa roho za damu kumwagikaa na vifoo tunaendaa kuungana mbele zakoo tunakataa kwa jina la yesuu ee munguu Tanzania ikabakii kuwa nchii ya amanii na utulivuu na upendoo na hurumaa telee thanks Jesus for everything 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭 2020 twendee sawa apa ubarikiwe unae soma comment yanguu ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏👏👏ccm ni Ile ileeee vijana tunasemajee !!???? Tumejipangaa mwaka huu wataisomaaa 👎👍👍👎👎👍👍🤲
@ewaldantony8494
@ewaldantony8494 3 жыл бұрын
Aghaaaaaaaaaa mamaeeee najikuta na sakata rumbaaaaa 😭🤣
@registrationrumors
@registrationrumors 6 ай бұрын
Njoo hapa 2024
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 5 жыл бұрын
Pumzika kwa amani.capt John komba tulikupenda sana.
@danielmlengu7456
@danielmlengu7456 5 жыл бұрын
Kama umeisoma namba kama mm gonga like twende sawa
@Berenaldo77
@Berenaldo77 2 ай бұрын
Wimbo mtamuuuuu mnon😂😂😂❤❤❤❤
@ntakilwankingwa8250
@ntakilwankingwa8250 4 жыл бұрын
Hiiii nyimbo mashine
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 11 ай бұрын
Kwl saiv tunzisoma Number😂😂 dah pumzika kwa Amani kombe kwl tumeipa mwnyw acha tuisome No' 2023 bado npo unapagwa mwngi Bei ya vitu inatukomesha mwnyw
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 ай бұрын
Kulikuwa na Komba mmoja tu,,,
@japharysety6890
@japharysety6890 4 жыл бұрын
si wengine komba ndo katufanya tuipende CCM
@hassanvanga4168
@hassanvanga4168 7 күн бұрын
Ccm nguvu moja
@magorimagori9264
@magorimagori9264 5 жыл бұрын
Dah...huu wimbo ufanywe wa taifa jaman..maana mm bila kuusikia siku haiendi kabisa....naipenda sana CCM
@aminajuma2981
@aminajuma2981 4 жыл бұрын
CCM mbele kwa mbele 👂👂👌👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬
@RioIpo
@RioIpo 5 жыл бұрын
Sasa wanasoma namba eeeh CCM daima Mapinduziiii daima
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
Wanaisoma kwelii 28/10wanahemea mipira,
@RioIpo
@RioIpo 3 жыл бұрын
@@shalomizrael667 Hahaha
@innocentsanga1120
@innocentsanga1120 2 жыл бұрын
Hakika komba Umemaliza Kazi pumzika baba.R.I.P
@MS.independent8934
@MS.independent8934 4 жыл бұрын
yani katika nyimbo zoote za marehem naupenda huuu sn sn
@estersamweli6439
@estersamweli6439 3 жыл бұрын
Zimebaki siku sita ccm mbele kwa mbele 👍👍👍👍👍👍👍👍👍❤️🔥🔥
@rojazslojazz4287
@rojazslojazz4287 4 жыл бұрын
Japokuwa mi mwanachadema ila hugu GU song ni nouma
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
Huu wimbo ulikua ukipigwa kwenye kampeni furaha inazidi kwangu hadi nywele zinanisimama sana kama utadhani nimeota misumali kichwani
@z.shondezshonde5663
@z.shondezshonde5663 4 жыл бұрын
😂😂😂zinasimama zinaenda wap😆😆😆
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
@@z.shondezshonde5663 hahahahahha
@z.shondezshonde5663
@z.shondezshonde5663 4 жыл бұрын
😂😂😂
@winnieedson6937
@winnieedson6937 3 жыл бұрын
Acha tu ituue tumeipenda wenyeweeee piga kelele kwa ccm akeeeeee
@joelramadhan6062
@joelramadhan6062 5 ай бұрын
Mimi cio ccm ila huu muwa ni nyoko❤
@placidoponera
@placidoponera 3 жыл бұрын
Wacha tuisome namba CCM mbele Kwa mbeleee chamtima Kuni tumekiona🔥🔥🔥
@anitarongoma9295
@anitarongoma9295 4 жыл бұрын
hi nyimbo jamani naikubali sana ata nisipokula uwa nikisikiliza nashiba ccm mbele kwa mbele
@juliusthadeo5038
@juliusthadeo5038 3 жыл бұрын
Wimbo Bora wa ccm wa Muda wote hakuna wakuja kuushinda
@respiciuszephania6035
@respiciuszephania6035 3 жыл бұрын
Yaani ni baraaaaa tupuuuuuuuu, kwa song hili ninomaaaa aiseeeee hata kama umenuna au umechoka lazima utajikuta unacheza tu hadi raha!!!
@khamissaid7394
@khamissaid7394 3 жыл бұрын
Haswaaaa
@remigiousmuganga6188
@remigiousmuganga6188 3 жыл бұрын
The best election song ever
@lydiarichard1283
@lydiarichard1283 4 жыл бұрын
Jamani huu wimbo siuchoki eti
@francismillinga4591
@francismillinga4591 4 жыл бұрын
Haka ka wimbo ni katamu asikuambie mtu hata wapinzani wenyewe wanakapenda R.I.P Komba
@catherinemukami4190
@catherinemukami4190 3 ай бұрын
Wimbo mzuri
@salehsaleh4776
@salehsaleh4776 4 жыл бұрын
Mbele kw mbeleeee ccm
@chrismgina3122
@chrismgina3122 2 жыл бұрын
Napenda kwenye hapo wacha waisome namba😘
@MsuyaMsuyaJr
@MsuyaMsuyaJr 4 жыл бұрын
Mko wapi 2020 gonga like hapo kam ww ccm kam mimi
@salimabdillah1623
@salimabdillah1623 3 жыл бұрын
Long live CCM, long live hon.Magufuli and long live United Republic of Tanzania. Ushindi wa CCM ni ushindi wa Watanzania wote.Mungu ibariki Africa.
@manofthepeople6480
@manofthepeople6480 5 ай бұрын
huu ndio wimbo Bora Zaid kwa kizazi hiki na kizazi kijacho. katika hii hoja hakuna atakaebisha
@mushijamaly5965
@mushijamaly5965 6 жыл бұрын
Huu wimbo ni mwisho
@drhanda8201
@drhanda8201 6 жыл бұрын
Ccm naikubal sana
@landalamboje8830
@landalamboje8830 4 жыл бұрын
Ccm baba lao
@VeredianaKalembi-gs4vs
@VeredianaKalembi-gs4vs 12 күн бұрын
Hutunywi sumu ni mwaka kesho mambo yanaanza tunaanza kuona vyumaa
@kambiyusuf3665
@kambiyusuf3665 Жыл бұрын
Wimbo huu ukiusikiliza utadhani umetoka jikoni Leo leo.hauishi utamu.
@DeusAmos-lt9bx
@DeusAmos-lt9bx 4 ай бұрын
𝘾𝘾𝙈 𝙈𝘽𝙀𝙇𝙀 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝘽𝙀𝙇𝙀 💚💛💚💛
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 5 ай бұрын
CCM MBELE KWA MBELE. NIMEIPENDA MWENYEWE. 🙏🙏🙏🙏
@stanslauslupelele5726
@stanslauslupelele5726 Жыл бұрын
Saizi tuisoma namba wote
@allyrashid9241
@allyrashid9241 3 жыл бұрын
Ewe mola wetu twakuomba uzid kuidumisha Aman na umoja Tanzania daima naipenda
@lukeloisaya1220
@lukeloisaya1220 9 ай бұрын
Wimbo mzuri sana... Oktoba, 2023 still ni fire
@kassimandrea8540
@kassimandrea8540 6 жыл бұрын
Chama Mama chama Imara ccm juu juu kabisaaaa...........
@samsonchima3169
@samsonchima3169 5 жыл бұрын
HAKUNA CHAMA KINGINE PINZANI CCM TANGU 1995 VYAMA VINGI VYA SIASA MPAKA LEO IPO MADARAKAN
@alphapaul2953
@alphapaul2953 5 жыл бұрын
Odam
@nassorkassim720
@nassorkassim720 5 жыл бұрын
Hamjamb
@zawadijoseph9515
@zawadijoseph9515 3 жыл бұрын
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeee
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 ай бұрын
Hili songi nina CD yake OG, ni kali kinoma,,,,,
@jennymallya4533
@jennymallya4533 4 жыл бұрын
Wale ambao hatunywi sumu wala hatujinyongi tujuane kwa like na comment
@tunsumemwakinyuke661
@tunsumemwakinyuke661 6 ай бұрын
Tumejipanga mwaka huu wstaisoma😂
@edinabruchardy8846
@edinabruchardy8846 3 жыл бұрын
Mm ni mmojawapo ninayependa yanga
@zazisigonda3343
@zazisigonda3343 3 жыл бұрын
Tumejipanga, mwaka huu wataisoma....♥️🇹🇿
@jumaallymwanga3779
@jumaallymwanga3779 2 жыл бұрын
Juma ally
@joshuamchiwa861
@joshuamchiwa861 2 ай бұрын
Kiukweli mimi siyo CCM, ila hii nyimbo naipenda kupita maelezo. Nikiisikia inapigwa napata furaha ambayo hata kuelezea ni vigumu.
@elishamwaya4074
@elishamwaya4074 4 жыл бұрын
Nyimbo mzuri hii kinoma kila siku lazima niimbe maana namba sio
@dorahy1579
@dorahy1579 3 жыл бұрын
One of best songs
@eagleboyy4535
@eagleboyy4535 6 ай бұрын
2024 now, still best song
@annamushiaminaaa4367
@annamushiaminaaa4367 3 жыл бұрын
Ni kwelii 🙄 hacha ituue👏
@mamahustru
@mamahustru 4 жыл бұрын
Huu wimbo ulifanya kazi yake 2015. CCM nilikuwa nimewachoka ila nikawa najikuta nikiusikia huu wimbo na mimi nauimba mpaka ukanipokonya kura yangu. Komba alikuwa na kipaji hatari kwa kweli, na pengo lake linaonekana TOT. Apumzike kwa Amani.
KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIR
6:32
Njiro SDA Church
Рет қаралды 13 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 49 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 12 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 78 МЛН
MAGUFULI-OMKAYA-(Official music video) By Elizabeth Maliganya
7:14
Elizabeth Maliganya
Рет қаралды 970 М.
Bahati Bukuku | Dunia Haina Huruma | Hit Gospel Video Song
13:21
Bahati Bukuku
Рет қаралды 14 МЛН
MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO
5:42
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 27 МЛН
Hotuba Ya Mwl  Julius K  Nyerere   Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma Mwaka 1995
14:17
Pisha Njia - John Komba
13:25
SANDUKU LA DHAHABU
Рет қаралды 18 М.
MSANII ALIYEMKOSHA RAIS MAGUFULI LEO BARIADI SIMIYU
5:14
Millard Ayo
Рет қаралды 672 М.
LULU-Mtoni Evangelical Choir
6:34
Nyathi Nyakatch
Рет қаралды 2,1 МЛН
WIMBO WA TOT PLUS BAND WAMLIZA MAMA JANETH MAGUFULI
7:14
LONGA TV
Рет қаралды 930 М.
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 5 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 49 МЛН