CCM NI MABINGWA WA MIKAKATI YA KUSHINDWA, HAWAJUI WAIPELEKE WAPI NCHI'' BONIFACE MWABUKUSI...

  Рет қаралды 19,307

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 73
@nestor384
@nestor384 6 ай бұрын
Moja ya revolutionalized mind katika hii nchi ni akili ya Wakili Boniphace A Mwabukusi. He is real. Kuhusu hii kufichwa kwa Tanganyika na watanganyika kufumbia macho milki na rasilimali zake zitumike kihuni na wahuni..
@user-lu8ny2gu7t
@user-lu8ny2gu7t 6 ай бұрын
Ubarikiwe asante mzalendo wa kweli
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 2 ай бұрын
Tanganyika nilazima isimamiwe na Watanganyika wenyewe, Zanzibar isimamiwe na Wazanzibar wenyewe, na muungano pawe na baraza maalumu kutoka pande zote mbili kwaajili ya kusimamia muungano ulio sawa kwa Tanzania 🇹🇿
@abedymtore2707
@abedymtore2707 6 ай бұрын
Mwabukus you're next level big up sana broh
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 6 ай бұрын
MWAMBA HUYU HAPA HAJAWAHI KUNIANGUSHA❤❤❤❤❤❤❤❤
@froma3732
@froma3732 6 ай бұрын
Haya ungeyasema Zamani kama Kuna Tanganyika na Zanzibar Ungetusaidia Sana sisi Wazinzibar
@hajihassan5433
@hajihassan5433 6 ай бұрын
Wazanzibar tunataka Tanganyika iwe kama sisi na sisi tupewe nafasi waliyonayo Watanganyika kwenye Muungano wetu.
@gabapentin8070
@gabapentin8070 6 ай бұрын
Tusaidieni kuongea kwakwl hali ni ngum na mbaya uku mtaani🙌🏾
@Zanijasy-hy7vm
@Zanijasy-hy7vm 5 ай бұрын
Mwabukusi Nyerere II WA Tanganyika
@kulwasalum3597
@kulwasalum3597 6 ай бұрын
Kwa upande wa Bunge , ni kama hakuna maana ni watu wa kushukuru tu hawana maswali magumu....!! Ni kushangilia tu.....!!!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Sema usiogope sema mwambukusi hapo lazima wakuchukie tu kiko kikundi cha watu wanakitafuna nchi huwezi kupendwa Mwambukusi
@user-kq7in8gd9o
@user-kq7in8gd9o 6 ай бұрын
You have a very special talent which is never imputeable, keep on to ours.
@godsson5954
@godsson5954 6 ай бұрын
GENIUS INTERVIEW
@user-ye3xp1lf7i
@user-ye3xp1lf7i 5 ай бұрын
Nakukubarisana.mwabukusi.huwaunaongeaukwerikabisa
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 6 ай бұрын
Nakukubali sa kaka uko vizuriii
@shukurukwake7447
@shukurukwake7447 6 ай бұрын
Mwabukusi Anafaa Kua Kiongozi wa Wananchi🎉🎉
@mtangag774
@mtangag774 6 ай бұрын
Jambo tv ndo medie pekee naieleewaga
@user-zj4ii6uf7t
@user-zj4ii6uf7t 6 ай бұрын
Tuwashukru sn wtz ni wa pole sn,zingekuwa km nchi za wenzetu hawo waliouvamia msafara wa wananchi wasingetoka salama? wananchi wanamachungu viongozi wasiyo wajibika ktk utendaji kazi yeye anakuja kujipitisha karibu?wote wasingetoka salama?kwanza hiyo barabara Kila siku si ilikuwepo na wanaitumia siku zote?lkn wananchi kuiyomba barabara siku moja waitumia?ni shida,Sasa wananchi tunawambia,nchi siyo yawo ni ya sisi wananchi barabara siyo yawo ni ya sisi wananchi lazima wafike sehemu viongozi wetu watuheshimu sisi wananchi wawo🙏🙏🙏
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Hapo umesema ukweli inatakiwa kuwe na Serikali 3 kama Katiba y Warioba ilivyoandikwa jamani kila mtu akae kwao
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 6 ай бұрын
Bibi tozo tupatie tume huru tunataka kujitawala vinginevyo mungu ataamua tumelia vya kutosha
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya 6 ай бұрын
Safi kabisa uncle Mwabukusi.
@dianamakatu9298
@dianamakatu9298 5 ай бұрын
Kinacho nichoshaga wabunge wetu kutusariti.Wabunge niwawakilishi kwa niaba yetu .afu wanajifanya serikali na kutuumiza .
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 6 ай бұрын
Akili kubwa sana hiyo ,kongole sana mwabu
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 ай бұрын
Inshu sio utanganyika na uzanzibari. Inshu ni wezi wengi ni watanganyika sisi
@lazaromshamu3521
@lazaromshamu3521 6 ай бұрын
Ndio wanajificha kwenye kivuli cha huo muungano sasa
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 6 ай бұрын
WELL SAID MR MWABUKUSI
@thestonetown3302
@thestonetown3302 6 ай бұрын
Mtangazaji anajua kuhoji mpaka anakera ❤❤❤apewe maua yake 🌻🌻🌻
@faustinecelestine3882
@faustinecelestine3882 6 ай бұрын
Kwani kiongozi ni Mungu,huyu jamaaa vipi,yan watu waelfu wampishe mtu mmoja ni Yesu kristo huyo,em lets get serious kidogo
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 5 ай бұрын
Miaka yote wanyonge wanaambiwa funga mikanda mbona viongozi wao hawafungi mikanda wao
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 6 ай бұрын
AKILI KUBWA 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@yussuph-lx7cu
@yussuph-lx7cu 6 ай бұрын
ZAMBIA SUKARI NI SH 1500 NA INAPITIA BANDARI YA DAR ES SALAAM ,LAKINI TANZANIA SUKARI NI SH 5000 ,,,HAKIKA TANZANIA NI NCHI YA OVYO KABISA
@EnockKanduli-cv8yr
@EnockKanduli-cv8yr 6 ай бұрын
CCM wameishiwa sera. Hebu fikiria upigaji uiopao NHIF watu wanakopeshana mabilioni. Serkali haichukui hatuna imeoza. Vilaza tupu.
@user-qg3kf1ue7z
@user-qg3kf1ue7z 5 ай бұрын
You are too bright Guy....
@hamzamajenja4891
@hamzamajenja4891 6 ай бұрын
Jamaa ni kichwa Sanaa
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 6 ай бұрын
Wakati wa magufuli mafuta yaliuzwa 1500 umeme haukatiki ilikuwaje?
@patsonanyitike9584
@patsonanyitike9584 6 ай бұрын
Mbunge hatuna wate19 mpiina hoyoeeeeeeee
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 5 ай бұрын
Waandishi chawa
@barakamanga5502
@barakamanga5502 6 ай бұрын
Duuuh mwambukisi anajua kukamia mechi balaaa na mwanahabari nae haishiwi swali
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 6 ай бұрын
Mawazo mazuri likini ukweli utekelezaji hauwezekaniki mkuu tuwaache tu
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 6 ай бұрын
TUNATAKA MAJAWABU.....PERIOD!!!
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 ай бұрын
Lakini isije ikawa kwa sababu ni waisilamu.
@wilfredngulwa5086
@wilfredngulwa5086 6 ай бұрын
Mm muislamu ndungu zangu wakiristo
@lazaromshamu3521
@lazaromshamu3521 6 ай бұрын
Kwani mkapa ni muislam
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 11 күн бұрын
Udini wako na dini yako inatuhusu Nini?
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 6 ай бұрын
TABIA YA NCHI 😂😂😂 huyu mwandishi itakuwa haishi Tz maswali hayana kichwa wala miguu kama vile katumwa
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 6 ай бұрын
Muandishi amekutani na mtu mwenye hasira na masilahi ya Watanzania na mwenye upeo mkumbwa kumzidi.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 6 ай бұрын
@@sylvestersamwel8210 huyu ndio dawa yake. Hawa waandishi wa JAMBO Tv nimewafatilia sana wakiwa wanawahoji CHADEMA au Upinzani wanajifanya kubana sana maswali kuonesha wapinzani wanachokifanya sio sawa
@user-kq7in8gd9o
@user-kq7in8gd9o 6 ай бұрын
Big up My beloved brother Mwabukusi
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 6 ай бұрын
Happy ni ukweli mtupu. Managed yake; Muungano haukuona mbali kwamba Tanganyika iwepo na Zanzibar iwepo.Hizi ni nchi mobility. Kwanini Tanganyika ifeee na Zanzibar iwepo? Hayo ni makes a dhahiri ya Waasisi Wetu. Hakim ya Watanganyika Imesahaulikaje?
@edwinlupembe9528
@edwinlupembe9528 6 ай бұрын
Anayehoji ni kama ametoka kwenye dunia nyingine.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 6 ай бұрын
Inawezekana hakai Tz ni kama amekurupuka na maswali ya kitoto kabisa. Mhojaji afaa kuzabwa kofi azinduke.
@julius_wankyo
@julius_wankyo 6 ай бұрын
Mwandishi hata kama anafahamu huwa anahoji Kwa faida ya mtazamaji ambaye hafahamu. Mfano. Ukiwa unamuhoji rafiki yako . Utamuuliza jina lake ingawa unamfahamu vizuri. Ni Kwa faida ya wengine tu.
@bilid4128
@bilid4128 6 ай бұрын
Sio kwamba ukisema Tanganyika na kule Hamna Zanzibar tena bali inakuwa Unguja na Pemba ?
@amiribakari2528
@amiribakari2528 6 ай бұрын
Mawazo adim sana..wewe ni kichwaaa
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 ай бұрын
Safi ssna mkuu
@user-ty1gg2jf1l
@user-ty1gg2jf1l 6 ай бұрын
Kweli chadema inawatu vichwa.
@user-gy5gu1mn4x
@user-gy5gu1mn4x 6 ай бұрын
✌️✌️✌️
@patrinraura1397
@patrinraura1397 6 ай бұрын
Tunapenda sana kumsikiliza huyu Mhe.Mwabukuzi kama Mtanzania" anayoyasema kuhusu Mali za Tanganyika kusimamiwa kuwa ni Mali ya Muungano lakini mali za Zanzibar kusimamiwa na Wazanzibar wenyewe (Rejea Ushauri wa Mhe.Warioba,Fransis Nyalali)hapo VIONGOZI Watawala mtusaidie Kwanini Mali za Bara zisisimamiwe na Tanzania Bara au Tanganyika badala yake zimeachwa Holela bila usimamizi.madhubuti kama Zanzibar? Tusaidieni.Sisi ni Sauti ya Watanzania lakini ni Wanachama wa Vyama mbalimbali vya Siasa.
@yussuph-lx7cu
@yussuph-lx7cu 6 ай бұрын
WATANZANIA TULIOWENGI NI HAYO UNAYOYASEMA MWABUKUSI TUNAYOYATAKA SISI WANANCHI WA TANZANIA ,,,,,,,,MA CCM HAYATAKI UCHAGUZI HURU NA WA HAKI
@KayongoOba-ht2rf
@KayongoOba-ht2rf 6 ай бұрын
Anko Uko vzr
@nizwaoman8378
@nizwaoman8378 6 ай бұрын
Yani da kaka mwabukusi unaongea point
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 ай бұрын
Safari hii mtsnganyika akagombee zanzibar
@user-br9ld8km8h
@user-br9ld8km8h 6 ай бұрын
Mwabukusi jembe sana
@JohnValle-xn1dx
@JohnValle-xn1dx 6 ай бұрын
Biteko alitumia kiburi hafai kuitwa waziri mkuu
@user-vn4xo6vl5c
@user-vn4xo6vl5c 5 ай бұрын
Mwamba uyu apa
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 6 ай бұрын
Watanzania mtaelew tuu 😅😅
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 6 ай бұрын
Mwandishi ni "kipeto"
@user-hm8xy6ei7f
@user-hm8xy6ei7f 6 ай бұрын
yani hii kichwa nihatari kichwa imejaa madini
@mosesmnyantope9534
@mosesmnyantope9534 6 ай бұрын
Du
@fredgonga
@fredgonga 6 ай бұрын
Halafu Bado kuna mjinga mmoja atabisha kwa sababu analipwa na kodi zetu..
@jesaminzo
@jesaminzo 6 ай бұрын
Wanachojali ccm ni kuangalia kama matumbo (utumbo) mpana umejaa!
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 6 ай бұрын
Viongozi wengi wateuliwa wa Rais hekima ni zero.
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 6 ай бұрын
😂😂😂
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 13 МЛН
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 5 М.
ASKOFU HUYU BILA UOGA CCM ANENA MAZITO ARUSHA YAZIZIMA.
7:14
IPINDA ONLINE TV
Рет қаралды 25 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН