Mashaallah, Sheikh wasema kweli Mwenyezi Mungu akuhifadhi.
@henrymmbando59304 ай бұрын
Laana ile ya moto wa jehanamu inakusubiri. Unajitia mchamungu kumbe chawa wa mfumo!!! Muogope mwenyezi Mungu na mitume wake. Moto wa Jehanam unakusubiri wewe na kizazi chako chote.
@@chandechande9642 wewe umekuwa katibu wa mbinguni??? Kwa dalili zipi watu walaaniwe kwa ajili ya huyu?? Unajipa utukufu kwani umekuwa hakimu msaidizi wa mbinguni? Mwenye kuhukumu ni Allah sio wewe wala yyt
@MuhammedMamboleo4 ай бұрын
Sawa sawa shekh umenena allah akusimamie
@SalimKombo-xo4pq4 ай бұрын
Mashallaah sheikh wangu.
@idrisalegeza8504 ай бұрын
Mungu akusamehe shekhe wangu
@KassimuTitu-nu6jn4 ай бұрын
Daaaaah shekhe acha hayo mambo hiyo mimbari sio jukwaa la siasa
@SaidHamad-d3n4 ай бұрын
Shekhe kwa hapo umekosea omba Rashida shekh Sina nyengine sio mzuri
@HabibuSalumu-iv5wl4 ай бұрын
Hivi ni Hali kwa maskofu kuongea wao wako sawa hivi mbona mmeambiwa mpeleke ushaidi,ni kweli Dr.alisema kajiuzuru siasa Leo Yuko wapi
@NeemaGabriel-d8e4 ай бұрын
Kweli kabisa mtumishi 4:50
@jumaomary87824 ай бұрын
Upuuzi
@gililwise4 ай бұрын
Shandies no 1
@HabibuSalumu-iv5wl4 ай бұрын
Sheikh nikukumbushe jambo lingine,Ebu angalia matukio gani ya makubwa yaliyo tokea wakati wa tawala zote ya lile neno Kiongozi Analetwa na Mungu Ukianza kwa Mwl Alifariki Waziri Mkuu sasa uangali kwenye tawala zingine zilizofuata viongozi wakubwa waliofari ndipo utofauti utakapo anekana
@LucaLyimo4 ай бұрын
Umepewa ela mama simuislamu mwezio
@MadieMtimbuka4 ай бұрын
Acha uwoga hiyo ndio democrasi mliyoitaka
@murshidarajabu34564 ай бұрын
Njaa tu inatusumbua Mungu anajua yote tunayoyafanya
shekh umekosea sana hukubalans story unasema chadema wanatekana au na wewe ni wale wanaosema mbowe kampiga risasi tundu lissu ? ni kama umehukumu wakati ukweli unatafutwa sasa nikwambie tu sativa ameweka wazi mambo yote nani anateka watu
@helencyprian87454 ай бұрын
Umetia aibu sana njaa hizi.
@HabibuSalumu-iv5wl4 ай бұрын
Alio toa tamko wako sawa hawajatia aibu,wewe siumesikia tuu uliona kama unajua peleka ushahidi
@aminattai26764 ай бұрын
Mimi Sina pingamizi na yanayofantika kuwa mbowe ni muhisa wa yote haya yanayotokea,tukimuangalia si mwanasiasa ni muhuni tu kama wahuni wengine,ni vile mambo ya uongozi tu lakini Dr slaa analijua hilo kwa ajili yalishamkuta,tundu lisu anayajua hayo,zito kabwe alikua nao hai na kawakimbia anamjua mbowe ,familia ya chachawangwe aliuwawa baada ya kumkosia mbowe kila mara wanalielewa hili,vijana angalieni maslahi ya maisha yenu na mujiepushe na viongozi wahuni wasiokua na huruma na maisha ya watu,mbowe utalifanyia kitu gani taifa ikiwa kwenye uenyekiti wa chadema hutaki kuwaachia wenzako miaka yote iyo unangangani,utawafanyia nini wananchi ikiwa viongozi wenzako wanakulalamikia wizi wa pesa za chama na hutaki kutia ufafanuzi.
@winniefridamutakyawa59434 ай бұрын
Umepewa kiasi gani bwana shehe😂😂😂😂
@KipangaAbourayy4 ай бұрын
Duh tuwe na viwanja vya siasa basi hatukatai siasa lakini hii ya upinzani tukafanyie sehemu nyingne mashekh tuna mapungufu mengi kwenye dini yetu
@KudraWanguvu-em1xw4 ай бұрын
Tunshangaa sana akiongea Shekhe utasikia Shekhe usichanganye dini na siasa lakini tunashuhudia wakiongea askofu au padri au mchungaji hapo husikii kuchangafanya dini na siasa hao hao utasikia TEC wametoa walaka ifikie wakati Mashekhe msimane kwa umoja wenu msimame na kulipinga na haki ziwe sawa kama msichanye dini na siasa iwe kwa wote na ikiwa kutojihusisha na siasa iwe kwa wote . Waislam ndio wameleta uhuru wa nchi hii
@2002-h6c4 ай бұрын
Waislam ndiyo wameleta uhuru wa nchi hii, Wakristo walitamani bwana zao Wazungu na biblia zao waendelee kututawala na makanisa
@innocentlethisia4164 ай бұрын
Mmmh
@AyubuChacha-u6u4 ай бұрын
Yaan wewe utahukumiwa sana na Mungu waislam wanasema kuwa uongo ni dhambi je wewe unasali wapi.
@HabibuSalumu-iv5wl4 ай бұрын
Toa wewe ukweli unao ujua
@Worldunite4 ай бұрын
Tusichanganye dini na siasa, wakristo na waislamu tunaishi kindugu lkn viongozi km hawa watatuletea mifarakano ya kidini
@joezeno84 ай бұрын
Huyu ni Mhuni sio sheikh
@HabibuSalumu-iv5wl4 ай бұрын
Maskofu wapo sawa kutoa waraka,kwahiyo hanahaki kuliombea taiga hili na uzushi huo
@IsmailOmarDahir4 ай бұрын
Mchezo mchezoni mjanja mjanjuzi hila huhilika Kiswahili kigumu kwa wanaocheza kutengeneza ngoma ambayo hawataicheza kwa kunoga ni tafakuri nyeti
@hassanmitayo18754 ай бұрын
Waislaam acheni kumtukana sheikh, tulizeni akili sana na fanyeni utafiti sana kimyakimya mtapelekwa kwenye mlengo wa kuamini siasa na watu na kuacha sharia ya MUNGU, matusi na ukali utakusaidiaje?,
@khalidmdotta38434 ай бұрын
Huyu ndio shekh tunaemtegemea atuelekeze tukaione pepo haiko tuko kwenye hasara kubwa alama za mtu mnafiki 3
@istambulahmed66644 ай бұрын
Allah akulipe kila la kheri ujumbe ni mzito sana na ndio ukweli wenyewe mtu asiye uelewa ujumbe wako huu labda ni mtu mzinifu kwani BIBLIA INASEMA METHALI 6: 32 MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA....... AU MTU ANAYEKULA NYAMA YA NGURUWE KWANI NYAMA YA NGURUWE INASABABISHA MAGONJWA ZAIDI YA 72 MOJAWAPO NI KUHARIBU UBONGO WA MLAJI..............
@AkidaDaudi4 ай бұрын
Ukiguna dawa imeingia iyo waisilam wote mnaiunga mkono chadema ni makafili.mtake ndio ivyo mkatae ndioivyo.
@HabibuSalumu-iv5wl4 ай бұрын
Wewe ndio msemaji wa waislamu
@OptionsLimited-l4s4 ай бұрын
Kwa hiyo brother kama chadema wanajiteka mbona mpaka leo wapo Nje hawajakamatwa ??? Au polisi hawawezi linaleta ukakasi kidogo
@chandechande96424 ай бұрын
chadema ni kikundi cha ajabu
@aminaaziz91174 ай бұрын
Shekhe achana na siasa watu wasijekuvunjia heshima
@MussaJuma-nf3vg4 ай бұрын
Aaachane na siasa afanye nini. Kusema ukweli ndio siasa ww kama unataka kumvunjia heshima mvunjiee tu. Angesemwa raisi kwa ubaya mungemsifia huyu sheikh lakini kwa vile kasema ukweli unakuchomeni. Kaisome dini yako ww
@KS-iw7qv4 ай бұрын
Unajua wale wanauchukia saana uislam thus y
@aminaaziz91174 ай бұрын
Angesoma dini hlf akamuhusia dini imekataza mwanamke kuwa kiongozi na kusimama majukwaan, em kwenda uko na ww, jiheshim🤪
@hopefully70904 ай бұрын
Shangaa kiongozi wetu wanaokosea wakosolewe bila kujali Imani zao kwasababu makosa Yao hayahusiani na Imani zao.@@aminaaziz9117
@LucaLyimo4 ай бұрын
Shee acha unafiki nauchawa umesha pewapesa
@joezeno84 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@khalidmdotta38434 ай бұрын
Kwamujibu wa maelezo yako chadema ningekuwa kimefutwa ww sheria za usajili wa vyama nazijua njaa inakusumbua
@AyubuChacha-u6u4 ай бұрын
Yaani kwa waongo ni wewe namba moja hivi serikal hamjamuona huu awape ushaindi maana amesema kuwa chadema wanatekana mfutilien awambie yote je mnataka akinani maana mtu anaposema kuwa chadema wanajiteka tutawaona mtakayoyafanya kwa huyo kuwa ni nini kitafanyika sasa.
@MussaChogogwe-f4m4 ай бұрын
Shekhe majukwaa yasiasa msikitini hayafai achana nayo katika waumin wako kunawengine umetengenanao kwasababu yasiasa ukiwa kwenye mimmbal omba Aman ila siyo kunyooka mojakwamoja kwenye siasa
@joezeno84 ай бұрын
Sahihi
@ibrahimabdallah56814 ай бұрын
Hakuna shekhe hapo njaatu inamsumbua
@hemedjackson22614 ай бұрын
Chadema wanamichez hii mbn mda mrefu wanatak kuchafua nchi kw kutumika ujinga
@mussabuhe88814 ай бұрын
ukiangalia kwa akili za mbali ii amani ya tz wanaoilinda ni waisilamu wakionewa wao sawa wakitukananywa wanavuta subila waki uwawa utakia subila jamani lakini wachungaji wapo tayali Kwa vita muda wowote wao wee wangaalile tu lakini kama una akili timamu sio mihemko ya kidini
@MadieMtimbuka4 ай бұрын
muacheni aongee kila mtu Ana haki ya kuongea. Mnasahau hata siku nne hazijapita viongozi wa dini fulani wameongea sana
@munguazidkuwapaneemayakesw49194 ай бұрын
Nikikuta mbinguni nitashaga Sana ww ni muhuni umjuhi MUNGU kabisa ww mwongo Sana utachomwa ciku za mwisho acha kupotosha uma wa watanzania usifanye ivyo
@MbendaHalfan4 ай бұрын
Ni haki yako kutoa maelezo yako juu ya waumini wako hata wao wanazungumza pia makanisani tunachoomba amani ya nchi tu
@AhmadiMachemba4 ай бұрын
Yani shehewangu chadema wafanye wao alafu aombe uchunguzi hulu mbona ccm wanakata tume hulu ya majaji shehe usiingize dini kwa hili lakutwekwa mtu
@gadafimgolozi27304 ай бұрын
She acha kudganya watu we mhongo utachomwa moto ckuyakiaham
@gabrielkitia68084 ай бұрын
Huyu shehe akamatwe asaidie uchunguzi ili atoe ushaidi
@AbaaRayyaan-lm7lw4 ай бұрын
Duuh mbona mbali sana ameenda huyu mwalimu DINI na SIASA tena
@hassanmitayo18754 ай бұрын
Anasema ukweli sio siasa, somo Uislaam liliwahi kufutwa kwenye secondari fulani, tulihangaika sana kurudisha kipindi cha somo hilo
@SmilingCityMap-xb9md3 ай бұрын
Kuna kutumikia dini na kumtumikia mungu watu mia wamepotea je wewe umefanya nini? Na ikiwa chadema wanateka na unao ushahidi mbona hujawabuluza mahakamani ?
@joezeno84 ай бұрын
Kama kiongozi wa DINI, Sheikh ubiri AMANI na UTU, maneno unaOngea unakuwa kama MWEU au CHAWAAA! Acha kujipendekeza ww ni kiongozi wa Dini, Watu wote ni Wako!
@MuhammedMamboleo4 ай бұрын
Mbona mapandri wa asema amuongei kitu
@emmanuelmlekwangano99914 ай бұрын
Ingekuwa ni ACT au CUF. Imeitisha maandamano usingeongea mnafiki mkubwa achana siasa wewe ni shehe
@hassanmitayo18754 ай бұрын
Sheikh anafungua pazia za uchunguzi dhambi yake nini?, suala linalohusu watu kuuawa huwezi kutumia "cross section research" Kwa sababu mtoto mtundu anaweza kujikoa na kulia mwenyewe ili wenzake waadhibiwe
@yassinnabwera42734 ай бұрын
Kama Chadema wanajiteka wenyewe na kuuana,Serikali ipo kwa nini isiwakamate hao wahusika?Maneno hayo ni yakipuuzi na ukawaambie wapumbavu wenzako. Unamuuliza nani hayo baadala ya kuiuliza Serikali yako?
@AdamAdam-k1p3 ай бұрын
Dahaaaa?? Tumefikia uku?
@MbendaHalfan4 ай бұрын
We raymondi pumba kabisa we,kama unalijua hilo ni uchochezi mbona uwendi kumweleza askofu anaye weka kule
@bongotvonline48834 ай бұрын
Huwezi kusikia SALAFI wanajiingiza katika maswala ya kisiasa.
@MbwanaH4 ай бұрын
kama ww nimwana siasa jitoe kwenye kivuli cha dini
@idrisalegeza8504 ай бұрын
Kuleta uchawa mpaka kwenye mimbali zadini hili janga sasa
@HashimAbdulmalikkhalfan4 ай бұрын
So anacholaumiwa huyu sheikh ni nini, ye anatoa ushahid ya kwamba Hawa wanasayasa waongo wanataka kutuhalibia amani yetu nyie msema analeta siasa hivi nyinyi watanzania mmelogwana nini, ngojeni litimie lenge la hao vibaraka wa manghrib ndio mtajua
@Mishraty4 ай бұрын
Acha bas ndug
@Worldunite4 ай бұрын
Hapa si pahala pake
@RaymondZindah-ow7wr4 ай бұрын
Amani Iko wapi ndugu zetu wanatekwa na kuuwawa? Unaleta udini kwenye mambo ya seriously
@RastaSuma4 ай бұрын
Dini ndo muongozo wa binadam na kila kitu katika maisha ya haki na uislam ndo dini ya haki.
@HabibuUrasa4 ай бұрын
kumbe chadema wanatekana wao kwa wao ili waandamane na kukosoa serikali 😁😁😁😁kumbe chadema ni wajinga kiasi hiki😁😁😁😁
@helencyprian87454 ай бұрын
Kwahiyo hayo ndo mahubili ya leo? Kha!
@allysimba55584 ай бұрын
Jiulize pia kwani shinikizo la kujiuzulu Raisi litakalo fanyika makanisa yote siku ya jumapili ndio Ibada ya Jumapili ? Chadema mnajiteka wenyewe na baadhi ya viongozi wa makanisa wanatumika kuchochea vurugu,Shekhe ameeleweka toa pamba masikioni.
@hopefully70904 ай бұрын
@@allysimba5558kwahiyo bensanane,Azori kina soka walitekwa na chadema?tukemee mabovu yanayogharimu uhai WA watu wetu bila kujali itikadi zetu nakujali maslahi ya nchi kenya wanafanikiwa kwenye maslahi ya nchi wanaungana wote kama wake ya kukemea mabovu hakuna uchawa.
@GodfreyErene4 ай бұрын
Uzuri pumba zako unaongelelea msikitini, watu wanakufa we unaleta hadithi wanatekana? Umelaaniwa kwa kutetea ushetani.
@SjjJsj-t5v4 ай бұрын
Upo ktk membar wewe unaongea uongo nyie ndio wanafiki nyny sababu munapata tonge
@RaymondZindah-ow7wr4 ай бұрын
Inchi imesha chafika hii wewe shehe uchwara
@valeriankalisti97024 ай бұрын
Mjinga ujasoma zaidi ya kusoma dini ata kingereza hujui
@lilotz-we7xq4 ай бұрын
Kuja kingereza ndo usomi?unachekesha kweli,hata mtoto Eng medium anajua kingereza nahajaitwa msomi!
@RaymondZindah-ow7wr4 ай бұрын
Mbwa wewe mbwa imchi imeisha haribika , hii umelipwa na unataka kuleta uchochezi wa kidini paka shume wewe sheikh
@MuhammedMamboleo4 ай бұрын
Wewe ndio mbwa under tukana watu wasio na atia wanao sema kweli