Singida mmechagua lolilo jema🔥! Hata mm mwanachama wa ccm nawapongeza kwa maendeleo ya nchi yetu kwa pamoja maana sote ni watanzania
@wilfredmlaki82224 күн бұрын
Safi sana unaonekana ni mwana ccm mzalendo!
@annakapolondo777124 күн бұрын
@ nchinni yetu sote
@OdiloMagungu-uf5is24 күн бұрын
Mbowe must go
@gabrieltheodory409024 күн бұрын
Congratulations keep it
@DeogratiusAndrew-zi7zv21 күн бұрын
Swalilangu kwenu mimi sio mwana chama chochote je wakimuengua kwenye vikao vijavyo itakuwaje?
@deejeydaev24 күн бұрын
Kaah huyo lisu
@tumpemsyani-io7pv24 күн бұрын
Safe sanaaaa
@kibwetere141824 күн бұрын
Kwa hali hii mboe akitoboa itakuwa miujiza!
@JosephChrisant24 күн бұрын
Kipindi hiki Freeman Mbowe ana kazi kubwa. Mbowe akishinda Chadema itashuka kiwango na kuwa kama ACT, CUF na TLP.
@simonsadala238624 күн бұрын
@@JosephChrisant na ndiyo mpango ili Ccm tuwapige ki urahisi 2025
@JosephChrisant24 күн бұрын
@simonsadala2386 Bila shaka aisee
@FrankMashauri-t4t24 күн бұрын
Jielewe
@simonsadala238624 күн бұрын
Hayo maneno meandikiwa kwenye karatasi nachokiona ni mnampaka Lissu mafuta Kwa mgongo wa chupa muda wa Kampeni utabadilisha huo upepo nyie wajumbe hua hamuaminiki