Walio anzisha democracy Leo yanawatokea puani, democracy is there to preserve not to exercise, Nchi haiwezi kuwa na maendeleo huku kila mwananchi anaweza kuamua tu kesho tunaandamana, Nchi zote zinazofanya vizuri kwasasa hazina huu upuuzi, wengi wa wapinzani ni wasanii tu ni aibu kubwa kuwaachia Nchi Hawa, watu waliojaa ukanda , udini na kugawa watu na mitafaruku, hawa hawafai hata kuwa mabalozi au wenyekiti wa Mtaa
@magesamaremboАй бұрын
Hongera mwamba
@AthumanRashid-er2sjАй бұрын
😢😢😢😢
@user-hj4sy9fy4gАй бұрын
Hakuna chama cha wapinzani, bali chama cha wakosoaji pale panapo potosha!
@DoctorRengedaАй бұрын
Mungu saidia hawa wanyonge haturudi nyuma✌️✌️✌️🇹🇿✍️
@JoyceKabula-in1sh3 күн бұрын
Tunataka katibà mpya
@user-ij2lp1om6iАй бұрын
Ahsante wasafi
@nunikayuni6394Ай бұрын
Katiba mpya nisasa
@ibrahimgwasma235Ай бұрын
Sasa katiba mpya si muandike kwani mnashindwa?
@paskaziasholla7471Ай бұрын
Kifupi katiba ni ya msingi sana sababu viongozi wanahujumu sana lakini hakuna hatua inachukuliwa juu yao
@HamisMghuna-fj3vzАй бұрын
Wajifia mnyampaa wa irisia,Lissu, mnyampaa wa Haki Tz Tozo petroleum hazishuki matbab juu
@ameirzapy1318Ай бұрын
🤔 pole pole mvuto unapotea,,
@HamisMghuna-fj3vzАй бұрын
Bila katiba haki hakuna vat Tozo petroleum sukar matbab juu maisha magumu tunadaiwa ni songesha huku jamaa,
@user-gc7ft9do4eАй бұрын
✌️✌️✌️
@geey7893Ай бұрын
Tuliwaambia ile ndoa yenu na Bi Zuhura haifiki popote. Kiko wapiiiii??? Mtauwana kumamazenu😂
@jongosalehe1036Ай бұрын
M4C
@MadiziziАй бұрын
Mimi kumchagua kiongozi siangalii chama na angalia kiongozi bora lakini tundulisu hafai kuwa raisi milele
@Snoker101Ай бұрын
Toa sababu
@user-ti8fn1wn1w3 күн бұрын
Si akiri huna
@Madizizi3 күн бұрын
@@user-ti8fn1wn1w Asante
@masanjamasaga5498Ай бұрын
🇹🇿
@user-ox4fv4cf5lАй бұрын
UROHO WA MADARAKA TU HATA KUTAWALA NCHI UAMUWEZI
@helenakamenya8680Ай бұрын
Wewe choko la Samia tulia mgongwe vizuri
@user-ox4fv4cf5lАй бұрын
@@helenakamenya8680 WEWE ni kichaa tu kama HAO WENZAKO,NCHI hii haiwezi kuongozwa na WAHUNI tu walioshindwa kukiongoza kigenge Chao cha WAHUNI....Mh.Samia MITANO Tena...nyie MNAISHIA kuzurura MTAANI tu na maandamano yenu ya kibwege
@user-ox4fv4cf5lАй бұрын
@@helenakamenya8680 CHAMA CHA UPINZANI NI ACT WAZALENDO TU,CHADEMA MAIGIZO TU
@user-ox4fv4cf5lАй бұрын
@@helenakamenya8680 CHADEMA WAFUASI wake wote ni VIAZI tu,YAANI hata HATA UWEZO WA KUHOJI KWAMBA inakuwaje Chama kinaongozwa na MWENYEKITI mmoja Kwa MIAKA 20 HAMNA MMEBAKI kuburuzwa kama mabehewa ya Treni!!!!
@dullahkalanjedullahkalanje1422Ай бұрын
nchi ngumu ihi wajinga ndio watachukia ila wenye akili tunawasikiliza sana
@andrewmbwiga1389Ай бұрын
Reporter mnafiki eti kile wanachosema ugum wa maisha cjuii yeye haoni
@user-qe7or5jc1uАй бұрын
Siipendi chadema!ccm!act wazalendo,vyama vyote ivi nivyakisanii wezi wanapewa pesa nakutusaliti upinzani wa kwel upo zanzibar na awezi kutokea mpinzani kama seif hamad sharif ccm wez,zito mwizi na tapel fisadi na mbowe mshenz anahongwa hela ma kutusaliti watu hao niwana maigizo tu.
@daiqmull7474Ай бұрын
Sehfu Akuwa moinzani alikuwa anawazingua wananchi wa Zanzibar mpinzan hakubari cheo hewa kisicho maamuzi yeyote
@user-ox4fv4cf5lАй бұрын
HAMNA JIPYA NYIE NJAA TU INAWATESA
@helenakamenya8680Ай бұрын
Njaa anayo anayekugonga wewe choko
@user-ox4fv4cf5lАй бұрын
@@helenakamenya8680 WEWE KIAZI TU KAMA VIAZI WENZAKO HAO!!?
@NDEWARAАй бұрын
Huyu ni dikteta mkubwa sana. Anaamini yeye pekee ndiye anajua wengine wote ni wajinga😢