MAKONDA AKASIRIKA - ''WEWE UNABISHANA na MIMI? MNACHUKUA MIEZI KUTEKELEZA MAAGIZO ya WAZIRI''...

  Рет қаралды 199,206

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAKONDA AKASIRIKA - ''WEWE UNABISHANA na MIMI? MNACHUKUA MIEZI KUTEKELEZA MAAGIZO ya WAZIRI''...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 619
@globaltv_online
@globaltv_online 4 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@godfreyjuliusmollel5218
@godfreyjuliusmollel5218 4 ай бұрын
Duuh
@RenifridaLipandika
@RenifridaLipandika 4 ай бұрын
​@@godfreyjuliusmollel5218adadadeaaaaaaaaadadkka
@joshuaamon3606
@joshuaamon3606 3 ай бұрын
À​@@godfreyjuliusmollel5218
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 4 ай бұрын
Kama na wewe umefurahishwa na Makonda hadi ukakosa cha kuandika basi like tu hapa aone tupo wangapi.
@zenamshana8140
@zenamshana8140 4 ай бұрын
Jamani namuona magufuli Mungu asante namuona mpendwa wetu magufuli ndani ya makonda
@KumbushoMbanga-hf3wx
@KumbushoMbanga-hf3wx 4 ай бұрын
Kwakweli
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 4 ай бұрын
Naishiwa maneno mwenzenu Mungu hyu anajua kufarij watu wske,,asante Mungu kutuletea magufur kwa njia nyingne😢😢😢Makonda Mungu aendelee kukutunza baba kwa ajil ya wananchi wanyonge,,nchi hii bila kupata kiongozi mfatiliaji nchi inageuka kuwa shamba la miwa😢😢🙏
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 ай бұрын
Makonda tunakuombea mno💋🇹🇿 Mungu akutunze kila mchawi wa moyo wako naafe kwajina la yesu kristo wa nazaleti
@RizikiRiziki-bp6dx
@RizikiRiziki-bp6dx 4 ай бұрын
AMINA
@linahmacha370
@linahmacha370 4 ай бұрын
Asante Mungu kuturudishia Maguful kwa kutumia mwili wa Makonda 🙏🙏🤲
@farusaimon3490
@farusaimon3490 4 ай бұрын
To me, Mr Makonda was not demoted, instead, he was promoted from being Mwenezi Taifa to be the RC. Look at what the glorious job and services he is delivering to the people of Tanzania. Hata kama anakosea au atakosea mahali fulani, lakini tuzingatie lengo lake. Lengo lake ni lengo la Tanzania na Kiongozi Mkuu wa Nchi yetu. Again, VIVA Makonda and VIVA our lovely president!
@RaymondMuya
@RaymondMuya 4 ай бұрын
Mweshimiwa makonda mimi binafsi naupenda sana uongozi wako, japo tunajua unakutana na changamoto nyingi na wengine watakuchukia ila mungu atakupigania sana.
@nzumbiesther
@nzumbiesther 4 ай бұрын
Mungu aendelee kukupa kibari na akuzidishie maono Mr Makonda
@uwezashehemba5367
@uwezashehemba5367 4 ай бұрын
Makonda nafuatilia ziara zako mungu akupe maisha marefu aameen
@StellaeLema-e7k
@StellaeLema-e7k 4 ай бұрын
Uso wa Bwana uende nawe Makonda.
@SamsonTanzania
@SamsonTanzania 4 ай бұрын
Arusha tuna bahati kumpata kiongozi kama huyu 👏👏👏👏👏🙏🙏🙏
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 4 ай бұрын
Watumishi wengi wa serikali hawafanyi kaz, hawaendi field ni watu wa ofisini tu as opposed na private sector. Huyo chalii unaweza Kuta vyet ni vzr ma GPA nn ila hawez hta jieleza na anaonekana hna experience na kaz yake,
@NabiiMkuupdYohana7974
@NabiiMkuupdYohana7974 4 ай бұрын
Makonda Mungu akukumbuke alinde uzao wako katika jina la Yesu
@HamisiMbatyani
@HamisiMbatyani 4 ай бұрын
MUNGU akupe ngazi ya mwisho ya maamuzi namanisha urasi.❤❤❤
@HaulSidney
@HaulSidney 4 ай бұрын
Wakuu wa mikoa mingine Tanzania wakula bata,hawajui wajibu wao, viva makonda,
@baloz8974
@baloz8974 4 ай бұрын
Uongozi ni kipaji
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 4 ай бұрын
🎉🎉🎉​@@baloz8974
@DionisiaBaynit
@DionisiaBaynit 4 ай бұрын
Waige mfano wa makonda
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 ай бұрын
Jamani waige mfano wa Makonda, Mungu akulinde Sana Makonda ❤️
@twisilemwabukusi4981
@twisilemwabukusi4981 4 ай бұрын
Kwa kweli katika hili Mh Makonda umenyoosha mstari kama kiongozi na Mtenda haki. Hongera sana hakika.
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 4 ай бұрын
Makonda respect to you Nchi inakuhitaji sana kuliko kitu kingine nchi zetu za Africa zinataka viongozi wenye msimamo kama wewe na wenye kuthubutu mungu akulinde kiongozi..Viongozi wengi wababaishaji na rushwa tu wabane wote wezi tu
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 4 ай бұрын
Nimekuelewa sana
@EmmanuelSige-tc1bn
@EmmanuelSige-tc1bn 4 ай бұрын
Uwiiiii Arusha hakuna watendaji,,, nani wanawapa ajira hawa watu jaman
@marywembe8434
@marywembe8434 4 ай бұрын
Naona Mh Makonda awe Mkuu wa mkoa wa kuhamahama. Yani kila mwaka ahamie mkoa mwingine. Maana kazi yake ni konkii konkilist.
@agathasungura5047
@agathasungura5047 4 ай бұрын
POINT NA NUSUUUUU
@claudiajames2003
@claudiajames2003 4 ай бұрын
Sahihi kabisa
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 4 ай бұрын
Aende morogoro,Musoma na mwanza
@maymunahomar5016
@maymunahomar5016 4 ай бұрын
Na atasaidia sana katika kutokomeza rushwa.
@kimeajuma3267
@kimeajuma3267 4 ай бұрын
Nimeunga mkono hoja
@MenelusCzar
@MenelusCzar 4 ай бұрын
UKIKUTANA NA BWANA MAKONDA JUA UMEKUTANA NA KIJANA MWELEVU MNOOOOOOOOOO, zingatia neno mwelevu📌
@jkitebo9859
@jkitebo9859 4 ай бұрын
Kabisa mkuu
@cornelkapinga8926
@cornelkapinga8926 4 ай бұрын
Sanaaaaa Aissse
@hategekimanamariespeciose5701
@hategekimanamariespeciose5701 4 ай бұрын
Kabisa kabisa 😂😂❤❤❤
@faithmsafiri6534
@faithmsafiri6534 4 ай бұрын
Mungu akulinde wewe una roho ya magufuli ndani yako
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 4 ай бұрын
Kwenye hii nchi nimegundua,,wanaume ndio wanaoharibu nchi
@WilliamDaniel-hm4cr
@WilliamDaniel-hm4cr 4 ай бұрын
Makonda mwamba nirikuwacjakuerewa lkn ss nimekuerewa asante sana
@gasperkunambi9538
@gasperkunambi9538 4 ай бұрын
Mungu azidi kukupa Hekima Rafiki makonda Mungu akubariki sana
@ChinaBoy-jh8bm
@ChinaBoy-jh8bm 4 ай бұрын
Makonda chapakazi uraisi unakusubiri kaka unaweza kuogoza Tanzania 🇹🇿
@NivardoKanyai
@NivardoKanyai 4 ай бұрын
Nimegundua makonda ni kiongozi wa pekee ambaye ni kichaa hasa pale anapogundua kuwa hapa kunashida..ishi milele kichaa wewe
@kiembathegreattz5633
@kiembathegreattz5633 4 ай бұрын
Mungu kamleta maguful kwenye mwili wa makonda mazeee
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 4 ай бұрын
Kbs
@donatmunyambahire880
@donatmunyambahire880 3 ай бұрын
Nduguysngu.tumepata.magufuril.capa.kazi.muze.wenye.ivu.wajinyonge
@dramanishabani93
@dramanishabani93 4 ай бұрын
Nakupenda bure Mh makonda maana haujawahi kumkana Yesu, Ilove your tshirts and cap.🎉
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 4 ай бұрын
😂😂😂 Duuu MH.Makonda pole sana kwakazi kubwa uliyonayo uyo jamaa kimaelezo kajikomiti bila kujijua siku zamwizi 40 fala wewe
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 3 ай бұрын
Piga jipu huo tayr ni janja janja huyo piga chini mkuu
@fellyfernando4516
@fellyfernando4516 4 ай бұрын
Huyu..ndio Paul Makonda!..kijana mdogo tu..Mwenye maharifa mengi..Heko Paul..
@faudhiakihangu
@faudhiakihangu 4 ай бұрын
Makonda hoyoeeeeeeeeee
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 3 ай бұрын
Hoyeeeeeeeee
@yaredyndaga6483
@yaredyndaga6483 4 ай бұрын
JPM ndani ya makonda
@abedysteven4930
@abedysteven4930 4 ай бұрын
Kiukweli makonda naichukia ccm ila kupitia ww naanza kuipenda!! Broo mungu wang wa mbingun naomba ajibu maombi uwe rais wa nchi hii nadhan utaipua meng kama mzee magufuli!! Hakika una ujasiri wa kuendexha nchi hii mungu naomba ujibu maombi yang nkiwa hai amen!
@MaajabuMayaka
@MaajabuMayaka 4 ай бұрын
Mheshimiwa rais tulkuw tunaomba huyu makonda awe mkuu wa mkoa kwa mikoa yote...yaan mkoa huu anakaa miez 2 anaenda mkoa mwngne anakaa miez 2 had amalze mikoa yote wanyonge watapata fursa na haki zao
@BabuGga-td3mg
@BabuGga-td3mg 4 ай бұрын
😀😀😀
@DativaDaud
@DativaDaud 4 ай бұрын
Kweli
@mamasalhat
@mamasalhat 4 ай бұрын
Mmh atapagawa na changamoto za mikoa mchanganyiko weeeh hapo Arusha balaaa lipo Kwanza kuna vichaaa kule
@mamasalhat
@mamasalhat 4 ай бұрын
Amalizane na vichaaa WA kule chuga Kwanza maana kule moto
@mwitaagness455
@mwitaagness455 4 ай бұрын
​@@mamasalhatwatuachie bahati yetu, R chuga ni mji mgumu sana, akae miaka 15 hapo🖐
@TheresiaNyenza
@TheresiaNyenza 4 ай бұрын
Tupate wapi Tena mtu kama huy u ambae Roho anakaa ndani yake. Damu ya Yesu ikulinde baba kigan.
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 4 ай бұрын
Pale maofisa wanapofanya kazi kwa misingi ya kujinufaisha binafsi wanachangia pakubwa kupoka haki za wananchi ambao kimsingi ndio waajiri wa maofisa hao.
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 4 ай бұрын
Makonda respect Sanaa moyo ulikufaa baada yakufa magu sasa unaanza kupumua kupitia ww ningekua nauwezo ningekupa nchi 🙏🙏🙏🙏💯💯💯
@asajileraphael1951
@asajileraphael1951 4 ай бұрын
Anafaaaa
@ShortyShorty-mr3jb
@ShortyShorty-mr3jb 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa ndg
@devidmadoa2865
@devidmadoa2865 4 ай бұрын
Kwa sisi wapiga kura Yani watu wa Hali ya chini tunataka viongozi kama hawa naomba ile sheria ya mgombea binafs ikaziwe ili 2025 makonda agombee hata mgombea binafs kama atakosa nafasi kwenye chama kwa sabbu kila anapowekwa anafiti na moto ni ule ule
@jacklineminja2022
@jacklineminja2022 4 ай бұрын
Anafaa sana Mungu asikilize maombi yetu Makonda anafaa sana
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 4 ай бұрын
Sana makonda anaofu ya Allah baro mwaka 2030 apewe uraisi
@peresamiradvocate
@peresamiradvocate 4 ай бұрын
Makonda ana hekima ya Solomon, young with high wisdom
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 4 ай бұрын
Chap kazi mdogo wangu Mungu atakulipa,Kwan una karma zako
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ RC makonda
@RoseMalusu
@RoseMalusu 4 ай бұрын
Mhe. Makonda, wewe ndiye Rais wetu, 2025. Tunakutaka wewe, chukua fomu ya kugombea urais. Rais wetu 2025 ni Mhe. Makonda!!!!
@inearclassictz1233
@inearclassictz1233 4 ай бұрын
Kwa maendo ya Uyo kilaza sijui kamishina sijui msajili. HATA WAJE MAKONDA 20 UTUTOBOI MZEE watumishi viraza kwel
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 4 ай бұрын
Hawa wasaidizi wa Waziri Wa Ardhi wanafanya kaz kwa mazoea na dharau. Pia Wanapenda sana pesa jamani watumish wa serikali mwogopeni Mungu
@imranhassan9994
@imranhassan9994 4 ай бұрын
🌍🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕 ⭐🌟 ✍️ Jamani kama hapa duniani haki ina thamani kiasi hiki kiukweli sijui huko twendako mbele ya MUNGU itakuwa na thamani kiasi gani... ✍️ Ila mimi kutoka kwetu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 MAKONDA na Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 Mama SAMIA Na Mungu Awalinde popote walipo...
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 4 ай бұрын
Aaa, wee Samia hafai bora Makonda
@FatumaMakame-c2s
@FatumaMakame-c2s 4 ай бұрын
Respect my president, respect Makonda nawapenda sanaaaa
@mussaissa6796
@mussaissa6796 4 ай бұрын
Naiona sura ya MAGUFULI NA NAISIKIA SAUTI YAKE KATIKA SURA NA SAUTI YA HUYU MWAMBA MAKONDA.
@SalumSeiph-rn6ho
@SalumSeiph-rn6ho 4 ай бұрын
Huyu jamaaa ana akili nyingi mno...asante Mungu kwa kutuletea magufuri kupitia makonda"
@MicksonFratureson
@MicksonFratureson 4 ай бұрын
Duuu
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 4 ай бұрын
Yani Halmashauri zetu ziweze kumuogopa Mungu. Wakipima Ardhi mwenye shamba apate 100% au kwa uchache kabisa 50% yani kiwanja kimoja cha Halmashauri na kimoja cha mwenye shamba.
@HusseinAmiri-pp8dy
@HusseinAmiri-pp8dy 4 ай бұрын
Salute Mh:Paul Makonda, najikuta nkipiga makofi ucku nikiskza Ziara zako
@FIDESMARENGE
@FIDESMARENGE 4 ай бұрын
Imagine ndo mume wako anajambishwa hapo hvo😅😅😅😅😅😅
@jokhamohammed976
@jokhamohammed976 4 ай бұрын
Ahsante sana M/mungu Kwa kutupa magufuri wa pili hongera sanaaa makonda mungu akupe maisha marefu 🌹🎁
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 4 ай бұрын
Makonda wewe ni kichwa saaana
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 4 ай бұрын
Huyu Makonda Hatariii...
@joanessimaosinamakonde6498
@joanessimaosinamakonde6498 3 ай бұрын
Mungu anabariki sana tanzania, kwaiyo Magufuli ameludi kwakili ya Makonda. Ongera wanainchi wote. Ni naomba muthuche Makonda.
@banguha
@banguha 4 ай бұрын
Yan uyu jamaa wa ardh anaongea jambo alafu atabadilika hapo hapo hajui kama watu wana akili kuliko yeye watu wa ardh amwogopi Mungu anakukumbusha
@ckcollections255
@ckcollections255 4 ай бұрын
Nilichokua nawaza kila wakati.. Ndicho anachokifanya huyu mwamba.... 👏👏👏👏 kumbe inawezekana.... Manake hawa watumishi wa serekali asilimia 90 hawafanyi kazi zile ambazo wanapaswa kufanya.... Pili serekali ina watumishi hewa asilimia 75 ambao wanakwenda tu ofisini kukaa jioni warudi home hasa wasimamizi wa haki za wananchi.... Mifano halisi ipo arusha.... Na tumeiona..... Waziri anatoa maelekezo ya haki za wananchi.... Ona madudu Wanayofanya hawa wajinga wanaolipwa mishahara kupitia kodi zetu...... Very useless servants...... Piga chini hizo nyumbuuu..... 😠😠😠😠😠
@SamG-hs9xe
@SamG-hs9xe 4 ай бұрын
Makonda mi nakukubaki Mzee wangu endelea nakazi ya Mungu ,Mungu atakulipia
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 4 ай бұрын
Mama Samia,nakuomba wasaidizi wako kama akina Makonda,waendelee kudumu katika serikali yako.Kwa mfano,ulimtoa Ally Hapi,wakati alikuwa anawajibika Iringa.
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 4 ай бұрын
Anafanya kazi yule kaka bado tyu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 ай бұрын
Makonda hii Inchi imekwanda ovyo ovyo kwa kipindi kirefu sana , hawa wanafanya ovyo ovyo tu wanaitaji mabadiriko makubwa . Inchi imefika pa baya sana!
@mustafamandindi6434
@mustafamandindi6434 4 ай бұрын
Umebalikiwa muheshimiwa
@AishaOman-k6f
@AishaOman-k6f 3 ай бұрын
Izo duaa zawazee.ndio zinakulinda.mungu azidi.kukuweka
@bogate156
@bogate156 3 ай бұрын
MHESH MAKONDA UNASTAHILI KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI....AU ZAIDI YA HAPO...
@saleheluvanga9929
@saleheluvanga9929 4 ай бұрын
Awe rais tuuu jamani au mnasemaje wapendwa
@AbdulMwengwa
@AbdulMwengwa 4 ай бұрын
Mhe makonda nakukubali Sana
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 3 ай бұрын
Tz tunamikoa mingi tu lakn bado wakuu wamikoa eti wapo bz kumfuatilia MAKONDA haya mkuu wa Tz chapa kazi
@EVASIUSEDWARD
@EVASIUSEDWARD 4 ай бұрын
Hili jamaaa pumbavu kweli kweli. Mheshimiwa piga pini Hilo jamaaa.
@mtz5582
@mtz5582 4 ай бұрын
Wajanja:Ole Gunnar Solskjaer..fans ;all is forgiven..Hongera bro Makonda
@munganiashaddy7168
@munganiashaddy7168 4 ай бұрын
Magufuli junior uwe mwangalifu ata hotelini usile Baba, Kula Kwa Shemejiangu tu beba chakula chako Kwa gari Bora ule kilio poa
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 4 ай бұрын
Alafu jamani mhe RC Makonda kuna haja ya kuwanyamazisha hawa Wananchi wasishangilie kwa lengo la kuleta utulivu na kutokuwafrastueti wahusika.
@mussaharun7257
@mussaharun7257 4 ай бұрын
Makonda hata akipewa ubalozi wa nyumba kumi ataonyesha utofauti
@NicksonMganyizi
@NicksonMganyizi 3 ай бұрын
Yes mh. Makonda wewe jembe hauna tofauti na rais wangu kipnz😢😢 jpm tunakuomba ata mkoa wetu wa kagera.
@NGHOMIMMUSA
@NGHOMIMMUSA 4 ай бұрын
Huyo mtu bado tu ni mtumishi? Mnalea watu wa hovo kama vile hamna mengine wanaoweza kufiti kwenye nafasi hizo. Tumbueni
@mejaopang
@mejaopang 4 ай бұрын
jamaa kaita kila jina yani boss,mkuu,muhehismiwa,kiongozi wangu,pumbafuuuu sana awa wezi
@rosesilio9008
@rosesilio9008 3 ай бұрын
Mh makonda nakuomba uwe na microphone yako peke yako jinunulie yako peke yako usipewe na mtu wewe ndiwe raisi wetu atakaekuja🙏❤
@EliothChaula
@EliothChaula 4 ай бұрын
Hongera Dana mkuu was mkoa,kweli unatetea wananchi wako
@lucaskayanda7327
@lucaskayanda7327 4 ай бұрын
Kwa jambo hili mh. Mkuu wa mkoa MUNGU akupe ulinzi
@ramaaman4020
@ramaaman4020 4 ай бұрын
Da,niuonevumkubwa Asantenisana viongiziwetu mukiwakama wazalendo Tanzania ni nchinzurisanasemakama hiyotabiaingeendelea hatawageni kutoka nchi za nje wanawezatu kuchukuamaene yanawatuwanafanyatuu upumbavu kunaviongoziwengine hawana imanikabisa, hakisawa Tunawashukurusana viongoziwetu.
@roseurio503
@roseurio503 4 ай бұрын
Alafu familia inayokuamini wanakuangalia vile unajibu madudu kwa mtandao 😂😂😂
@RaymondMuya
@RaymondMuya 4 ай бұрын
Makonda mungu akulinde sana nchi inakuhitaji sana
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 4 ай бұрын
Mzee Uwe Unaulizia Kwanza😂😂😂Makonda We love uuu❤❤😂
@seremalatznaaustralia1462
@seremalatznaaustralia1462 4 ай бұрын
Ni kwere😂 kanikumbusha kitu ila skisemi 😂😂😂
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@Lulualshagri
@Lulualshagri 4 ай бұрын
Kachimbiwa biti mwenyewe kaomba msamaha 😂😂😂😂😂
@isaackgabriel9536
@isaackgabriel9536 4 ай бұрын
Mzee uwe unaulizia utakuja kunya kiazi cha moto
@RizikiRiziki-bp6dx
@RizikiRiziki-bp6dx 4 ай бұрын
​@@isaackgabriel9536😂😂😂
@alexandernyankaira2990
@alexandernyankaira2990 4 ай бұрын
Mungu amlinde makonda ni kiongozi shupavu
@bakarikombo6279
@bakarikombo6279 4 ай бұрын
Nakufutilia nikiwa Zanzibar kazi inaonekana. Yajayo yanafurahisha
@ndabarinzesamuel9333
@ndabarinzesamuel9333 4 ай бұрын
Makonda has ni matapeli wanaodharau kazi za wakubwa wanakusudiya kuwanyanyasa wanainchi, muwaweke korokoroni ili wapate funzo.
@Zubaiba
@Zubaiba 3 ай бұрын
Mheshimiwa makonda ww ni noma kwelikweli 😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh 4 ай бұрын
Makonda akili nyingi kujibizana naye yahitaji moyo mkpana 😢yY y. y o9oy yyo ,,o,yyy, ,,yy ,,,,y ,
@Rollins_tz
@Rollins_tz 4 ай бұрын
Nyie makonda Anaakili balaaa yan...... duuuuh
@FrankMkwanda
@FrankMkwanda 4 ай бұрын
Mweshimiwa rais tunaomba utuletee na polepole umpe ukuu wa mkoa akurahisishie kazi
@BurayaniRwetura
@BurayaniRwetura 4 ай бұрын
Kwamaneni Yako kiongoz mpaka nimetoa mschozi
@susananyasani6526
@susananyasani6526 3 ай бұрын
Asante Mheshimiwa Makonda kwa maamusi ya haki Tansania nzima imejaa Rushwa katika Nchi za Maendeleo hakuna Rushwa sababu Rushwa ni Ugonchwa usiokuwa na Dawa Asante
@KenedyGodwin
@KenedyGodwin 4 ай бұрын
Makonda oyeeee namuona Magufuri kabisa hahahahaaa watanyoka nàinjoi sana wanyoshe mkuu
@SawiaMussa
@SawiaMussa 4 ай бұрын
Yan hapa ukiteleza maelezo kidogo umekwisha😂 hongera Makonda
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ makonda
@SheillaJaffery
@SheillaJaffery 4 ай бұрын
Bwana Yesu Kristo akutie nguvu mheshimiwa Makonda Arusha kuna wadhulumaji sio mkoa rahisi
@RamadhaniSuru
@RamadhaniSuru 4 ай бұрын
Hakika mungu amlinde makonda aaamiiinaaaa
@moseindiael7782
@moseindiael7782 4 ай бұрын
Alex Shita pole ndugu.
@SaraMathew-xd2vp
@SaraMathew-xd2vp 4 ай бұрын
Safi sana mh makonda watu wanazurumiwa haki zao na uwo mchezo unaanziaga ngazi ya kijiji. Wenyeviti ndio watu wanaoanza kushilikiana na viongozi wa juu adi kutaifisha rasilimali za watu kama ardhi. Natamani ungekuwepo Tanga wanamchi wa kata ya maweni kange wangepata haki yao. Maana wamezurumiwa mashamba yao yalioopo kiwanda cha wachina Rhino kilichopo kange. Walipambana wakaambiwa watalipwa na picha wakapgwa tangu mwaka juzi lakn adi leo awajalipwa na hata wakifuatilia wanazungushwa . Hakuna cha maana adi leo sijui watapaza sauti wapi.
@FrankMkwanda
@FrankMkwanda 4 ай бұрын
Watu walidhani makonda amepata demosheni kumbe Samia baada ya kuona husda ya watu fulanifulani dhidi ya makonda akampeleka Arusha kumuokoa na kumpumzisha wakamletea figisu wakmwita CCM Samia akawaacha wamwite, wamemaliza Leo hii makonda anashaini. Kuna kitu nakiona ktk jicho la samia
@munganiashaddy7168
@munganiashaddy7168 4 ай бұрын
Wakuu WA mikoa yote inchini igeni rais mtarajiwa kutatua shida za wanainchi
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 4 ай бұрын
Lakini kubwa zaidi nyuma ya pazia hao watumishi ndiyo waliompablish jamaa akachukue hiiyo hukumu
@JohanMwambage
@JohanMwambage 4 ай бұрын
Naomba jamani nimuite makufuri wa pill uyu kaka mungu amlinde jamani
@MasterMaster-l5d
@MasterMaster-l5d 4 ай бұрын
Nyoka nao hao usimwogope mtu kaa kwenyenafasi yahaki makonda
@SaidZablon
@SaidZablon 4 ай бұрын
Makonda wewe ni jiwe lisilo sagika mungu yupo na wewe
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 23 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 56 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 23 МЛН