BIG UP sana kwa wote mnao zidi kutupa Support yenu 💪 Leo sina usemi sana ila nipo kwaajili ya kujibu kila Comment yako MY FAN'S 📌📌
@SuzzaneNgassa16 күн бұрын
Msewe maana yake nini???
@omaryhussein381416 күн бұрын
Mnazingua kutucheleweshea mzee😠
@International_Admin16 күн бұрын
Karibu sana chado
@Jamespandei16 күн бұрын
Kazi nzuri sana mnafanya ila hapo kwa kutaka kubaka Dem jeu
@HalfaniGogo-n3i16 күн бұрын
Cheusi inakuwajee
@Djpochie15 күн бұрын
Oyaaa wanangu kama unamkubali chado master kitengo na KAZI yake nzuri weka like❤❤❤❤
@FabianNtimba16 күн бұрын
Chado master tunaomba hii sirzi isiishe maana inatupa furaha sana sisi watazamazi respect kwenu washirika mlio shiriki hii chado master 🙏
@clalencemtewa742516 күн бұрын
Safi sana chado getto si limezingua limetuumiza sasa sisi tunacheza na vitu vyote hadi vumbi tunafagia kabisa
@RamaJames-d2d16 күн бұрын
Wanao mkubali chado master gonga like ♥️♥️🎉
@magdalenasylvester11216 күн бұрын
Chado ni mtu makini sana unafanya vitu vikubwa sana ❤❤❤❤ tunategemea mengi kutoka kwako..... Ila natamani sana kumuona mdada mmoja hivi ni muigizaji makini sana anaitwa @magda performance yake ni kali na uwenda akaongeza ladha Fulani kwenye mission impossible💯💯❤️❤️❤️
@aminasheha62315 күн бұрын
😂😂Chado unanikumbusha mbali Sana penz la msela oya weeee noma nakubali msela
@BorauzimaKanani8 күн бұрын
Kabisa nihatari
@GivenKogan-j5z15 күн бұрын
Mapenzi yanauma sana jamani selewi mwisho wa najima na chado🙉🙉 wanaopenda penzi la najima na chado liendeee gonga like apa👌👌👌👍👍👍👍
@MarthaRussanda14 күн бұрын
Kidem jau anazingua
@TiffarStima12 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@sophiamwalami16 күн бұрын
Duh😂😂 nyie watu kwani mna lalaga umu umu maana nimeitafuta mbaka basi nimetoka dakika 1 na ludi naikuta na watu mmesha jazana umu😂😂🙌
@PauloJohn-w6g14 күн бұрын
Kisogo ka komwe komwe Kam kisogo Mdogo mdogo Kam nyimbo y daimond huyu mjomba huyu nomaaaa
@Storeman7thFloor11 күн бұрын
😅mdg mdg
@StellaKimaro-y8u16 күн бұрын
Kama unalipenda Penzi la mzee wa misumari na video queen🔥🔥🔥gonga like hapa❤️❤️❤️
@RahmadidKubo15 күн бұрын
Hao ni Bi.nyundo na mzee wa misumari 😄
@adehcuteoffciall14 күн бұрын
Tatizo misumar shughulia hana😂
@JuliusJembelayexu-dh5mm15 күн бұрын
Jojooooo ama kweli mapenzi ni xiri mzeee wa mixumari kapendwaa jaman naombe like juu ya mixumari❤❤❤❤❤ upendo wako ni muhim
@gseh927716 күн бұрын
Twende kazi kitu hcho on air ❤❤❤❤tunawapenda bhana hata mchelewe ila mtarusha tuu
@FatmaMwintanga-h8n16 күн бұрын
Xema mzee wa mixumali anapendeza Sana tngia awo n penzi jipya
@adehcuteoffciall14 күн бұрын
Tatizo shughuli hana😂
@mohammedkidody561814 күн бұрын
@@adehcuteoffciall😂😂😂
@hanifahkhamiss848516 күн бұрын
Unaweza ukapanga lako yule akalipangua...mbele unapo angukia noma...mission impossible...mkubwa kampenda mtoto...mtoto nae changamoto mtoto hajafuzu loko mission impossible 😂😊😊😊
@orestabenny16 күн бұрын
Mmmgh huyu apa anaitwa chado kwenye A. K. A yake anaitwa chado mastaa
@Naah-o2c16 күн бұрын
Kidem jau nae analeta mazingzo,Video queen nae analeta maringo ngwengwe na mama ngwengwe wazee wa bingoo ,mzee wa misumar a.k.a aaaah Lahaulaaaah bongeee🤩🤩
@LilianMbugi-d2t16 күн бұрын
Wajinga kweli nyie?😂😂
@Mwanasiti-r8g16 күн бұрын
Nimeipenda😂😂😂
@ChristinaShayo16 күн бұрын
Inaitwaje jamani hii nyimb
@irenebenbella16 күн бұрын
Tok mzee wamisumari apate penz jipy anapendeza Atari
@Wyckliffe-hy3nb16 күн бұрын
Mambo
@FadhiliMcholy-d1g16 күн бұрын
Umbea to kuoga aaah 😂😂😂😂😂
@siddytv_online16 күн бұрын
Ila Ngwengwe amekulia Kwenye Movie!! Nakumbuka Mwanzo Kalikua Kadogoooo
@HassanPyagula15 күн бұрын
Kwaiyo na ww upo uku🫢🫢
@SalmaSamiry16 күн бұрын
Kajojo nikama kana ugwadu vile 😂😂😂😂kafata utamu hadi nyumbani chado salute 🫡 👏 kwako ❤❤❤🎉🎉🎉
@JacksonMgaya-x8v16 күн бұрын
Movie nzuri sana Ila mtoage hata vipande viwili viwili mnatunyima Raha na kuchelewa kutoa ,,,big up chado chado masta
@chugaboy24916 күн бұрын
😂😂😂Wabongo kweli hatuna shukrani yani Kuna wengine Wana achia kipande kwa wiki kimoja hapo 3 Ila haturithiki mimi naweza Sema tangu na fatilia movie Tz chado ndo Ana wahi kutoa movie tu wengine kwa wiki ni kimoja
@PendoSamweli-g6k16 күн бұрын
Mwambie mama chado ndo anaeongoza kutoa movie kwa wakati🎉@@chugaboy249
@zahraali511316 күн бұрын
Kabisa shukurani ya punda matekee @@chugaboy249
@MaryanMaryam-lc1et16 күн бұрын
@@chugaboy249 Umeonaee sio poa
@chugaboy24916 күн бұрын
@@MaryanMaryam-lc1et kweli
@CynyAkoth16 күн бұрын
Big up Mzee wa msumari hapo umeweza, nawapenda Bure,cheusi Yuko wapi namis umbea wake,,alafu chado kazi ni nzuri na mungu azidi kkupa uwezo na hekima Kwa kazi Yako.
@gior-el8lv16 күн бұрын
Jmn na me leo naomba like zang 😂🎉🎉 tunaomkubali najma na chado tujuane🎉🎉🎉😂
@JustineAlex-b3u15 күн бұрын
Nakubali deleva mwenyewe kitengo😂😂 deleva wa taifa
@AdijasaideMusmede16 күн бұрын
Mm wa mwixo aya nipen like zang za mwixo mwixo...chado masta Allah akubless kwenye kazi yako
@HassaniNgombo16 күн бұрын
Oya chado Kaka we mtu na nusu ❤❤❤
@naomibernard640016 күн бұрын
Wa kwanza toka kenya love you team chado🥰🥰🥰
@MunahHassan-v1y16 күн бұрын
Napenda sana movie yenu kutoka USA Nawafatilia mno timu nzima ya mission impossible 🎉 TANZANIA OYEEE 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@faidhajumer16 күн бұрын
Alhamdulillah Allah katukutanisha tena kwa siku nyingine ndani ya ep 32..Mungu aendelee kutubaliki na kutusameeh madhambi yetu inshallah..❤ *CHADO*😊
Ww sisi hatupendagi kutukana kwenye mshezo huuuu uishie apo apo
@KenesVungwa-q4f15 күн бұрын
loh dg ngwengwe kiboko sana nakukubal sana mdg wetu.
@WilliamManyanda16 күн бұрын
Jaman leo nimewahi na Mimi nawapenda wote tunaofatilia mission impossible
@ChikuNyaulingo-j1m16 күн бұрын
Tuliomuona rafiki Ake najma kipindi anaona mwenzio anataka kubakwa ety nataka kwenda nyumbani Kama clam 😊😊😊😊😂😂😂😂😂 dady NAE kamsindikiza na misumari 😅😅😅😅
@saidissa474116 күн бұрын
Haha nakwmbia bdo kusema nataka ubwabwa na maharage
@JahidaRashid16 күн бұрын
Ngwengwe na chado mnanifulaisha kwakweli mnavo amisha ivo vitu 😂😂😂
@LeilaMussa-d2v15 күн бұрын
Mjomba mdomo kwishaa
@HoHo-l1r16 күн бұрын
Ngwengwe mjomba analilia pesa ndio mana kachaluka kama katiwa pilipili 😂😂😂😂 🤣🙌🙌🙌🙌 big up kwenu mloshiriki kwanye hii movie ❤❤❤
@mussahoza16 күн бұрын
huyu dokta kumbuka wa mission impossible ananifurahisha kwel nikimuonaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Esterdavid-v6s14 күн бұрын
hahaha ila mjomba😂😂 aah et natetemeka😂😂😂
@HassanNdimubazi16 күн бұрын
Wa kwanza mimi leo munipe like zenu Hassan from goma
@mildredzainab17016 күн бұрын
😂😂😂😂😂ila mjomba wa ngwengwe 😂😂😂pesa yakuuma
@LettyLussi16 күн бұрын
Mnooo😂😂😂
@JacklinebosiboriMomanyi16 күн бұрын
Kitu nimegundua ni kuwa manyonga zaidi ya kujivunia pesa Hana nguvu yeyote ya kupigana na wanaume wenzake😂😂😂kama unakubaliana na mimi nipitie❤🎉😂😂😂😂😅
@zahraali511316 күн бұрын
Yule mdomo tu ndio anaingia na bastor labda
@fabbianskevogo857216 күн бұрын
❤❤❤❤
@MussaRasul16 күн бұрын
Sasa kama kumpiga mama ngwengwe tu kamwambia solo amshike mama ngwengwe ataweza kupigana na mwanaume mwenzie
@JacklinebosiboriMomanyi16 күн бұрын
@@zahraali5113 😂🤣🤣
@JacklinebosiboriMomanyi16 күн бұрын
@@fabbianskevogo8572 🥰🥰
@AsmaAsma-og6ul16 күн бұрын
❤❤❤❤ team chado mungu azidi kuwabirk mnajua San chado kk kipajin unacho
@MosesiPasikali16 күн бұрын
mh leo nimekuwa wakwanza daah asante mungu
@muktarahmed-lc8vd16 күн бұрын
Umekua wa kwanza kunishinda
@YoungIbraah15 күн бұрын
Kama kweri unamkubari ngwengwe gonga like apo🙏🏻🙏🏻
@nurusaid469816 күн бұрын
Sijawahi Commenti Moves Zote Ila Huuu Apana Kwa Kweli Nimeshidwa Kujizuia Uyu Bba Na Mtto Wake Kweli Wauniii Namaanisha Chado Na Gwengeweeeeeeeee Kwelii Wauniiiii😂😂😂😂😂😂
@Naah-o2c16 күн бұрын
Ila Allydady😂😂😂maneno kibao kupigana aaah😂😂😂 ila wezi
@jaymapepefatma593616 күн бұрын
This is first love from Mozambique ❤🇲🇿
@CarolMuriki16 күн бұрын
Daddy Mzee WA misumari bomoa uyo dada sasa kakupa chance,from Kenya tuko Dani kma kasongo😂
@NeemaBaya-e3d16 күн бұрын
Kasongo tutaiimbq leo abomoe yeye😅😅😅
@SaumuNyale-s6h16 күн бұрын
Kidogo nishikwe n pressure mara boom 💥 ndio hiyo 😂😂😂😂 ...nipeni tena hizo like sasa
@patrickwetaa6415 күн бұрын
Ama kweli hii ni Atari 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AdamJastine16 күн бұрын
Oyaaah umecheki stop Kik hiyoo kwa mlangooo........wahuniiiiiiiiii🙉🙉🙉
@RahmaMaulidy-lm2gc16 күн бұрын
Nilisubilia kama maji kisimani❤❤❤
@RebeccaLongo-h2i15 күн бұрын
Jojo unapenda chini wew😂😂😂
@gabu_816 күн бұрын
Huyo mayonga maproso simpendi mm😂😂
@SharletElly16 күн бұрын
Ata haunifiki kakangu
@CynyAkoth16 күн бұрын
ana roho mbaya
@LuciaTarimo16 күн бұрын
Kama mkaanga sumu @@CynyAkoth
@gabu_816 күн бұрын
@@CynyAkoth 𝐁𝐚𝐧𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐫𝐨𝐡𝐨 𝐦𝐛𝐚𝐲𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚𝐚
@NeemaBaya-e3d16 күн бұрын
Manyonga manini😅😅
@LilaAl-b3x14 күн бұрын
Chado baba hongera zako mamboyako n 🔥😂
@VicentJonh-b7o16 күн бұрын
Tumshukuru mungu kwakutujaaliya uhai na pumzi gonga like hapa🎉🎉🎉🎉 wapi chado masta
@Zainab-vo2uz16 күн бұрын
Chado yaani hii muvi umecheza kama pere natamani kilasiku itoke na isiishe❤❤❤❤❤❤
@goromamussatvonline16 күн бұрын
nkweli sio kama CHINGA MOVIE
@NSHIMIRIMANASafia-y4m16 күн бұрын
Kama unamkubali chado gonga apa❤❤
@OfficialMaxKing16 күн бұрын
Big up bro 💪❤ Kama unamkubali Chado Masta Gonga like hapa ❤❤
@AgnesJohn-f1r16 күн бұрын
Chado ulichokifanya kwa huyo kaka siyo poa ana kosa gani sasa kumbebea vitu vyake na aliyekosea ni mwingine sijapenda
@AshaAmani-e4j16 күн бұрын
Eti jamani me mwenyew sijapenda🥹
@SweetyMushi16 күн бұрын
Ata me cjapenda apo kazingua ajatennda haki 😢@@AshaAmani-e4j
@HudhaimaJoseph16 күн бұрын
Kakosea kweli sijapenda wallay
@halimahalima390316 күн бұрын
Sasa hizo sindio akili za wahun😂😂
@NURUJUMA-sk5fz16 күн бұрын
😂😂😂hiyo ndo I like
@AdejaAhmad-uq4wj15 күн бұрын
Wow hongereni sana nawapenda nyote ❤❤team chado mission impossible 🎉🎉🎉❤❤
@HalimaMpoyiki16 күн бұрын
Mda wot nachungulia hatimae ❤❤❤🎉
@AgnessBageni16 күн бұрын
Mjomba anambwembwe😂😂😂😂😂😂
@RosemaryJohn-m7m16 күн бұрын
Tumekuchoka najima na Dela lako la Kila sk kwani hauna nguo za kubadili umetoka kulala ni lasi hata kuoga hamna dh we mchaf kweli
@RehemaMuhode16 күн бұрын
Ivyo ushawai kuvulugwa??? huo muda wa kuoga unapata wapi najima kavulugwa.......
@Jamila_199616 күн бұрын
Stress na kuoga wapi na wapi? Una stress nguvu ya kuoga unaipata wapi
@LettyLussi16 күн бұрын
Yan mh at Kama Ni uswahilin lkn najm kiboko😂
@brahxellian799415 күн бұрын
Big support from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Chado you've nailed it ❤❤
@AminaDibwe16 күн бұрын
Jamani Leo nimewahi kutoka Zanzibar nipeni like zangu hapa 😅😅
@issashabani-c7r16 күн бұрын
Huko zanzibar mwambie zein kwamba chado kahamisha kila kitu 😂
@Omaryshabani-fl9fm15 күн бұрын
Auja muona zein uko😂
@AminaDibwe15 күн бұрын
@Omaryshabani-fl9fm hahahha yupo kasema haji tena
@AminaDibwe15 күн бұрын
@issashabani-c7r hahahha zimefika na kasema haji tena
@FatmaHamis-o5r10 күн бұрын
Big up sana cheusi media nakubali sana the way you act
@patoDama16 күн бұрын
Mjomba emmah nilivyo kumiss sasa❤😂😂
@AlexSokoni-n3k16 күн бұрын
Jaman kipande kijacho mjomba ngwengwe apewe muda mrefu , mi I like mjomba ngwengwe
@J7425116 күн бұрын
Hapa nakubalia Sana bro 🎉🎉❤🎉❤🎉🎉❤🎉❤❤🎉❤🎉❤🎉❤
@dayakaahtz13 күн бұрын
Hii tamthilia ni mzuri mnoo yani umekaa chini ukaandika kitu cha msingi yaani tunacheka tunalia tunahuzunika kidgo alhamdulillah wewe ni kichwa mnoo mungu azidi kubariki kipaji chako 🙌🏼❤️yani tamthilia unatizama na hujui mbele kinaenda kutokea nini ni akili kubwaa mnooo wallah ndo tamthilia ya kwanza tz kufuatilia nyieee kuna watu vichwaaa mnooo🤣🙌🏼na hii nimeanza kutazama mwezi wa kumi na mbili tu hapo nina kama week mbili tu kama siyo tatu naenda kumaliziaaa halafu twende sawa😘🙏 congratulations chado master 🥰🔥🙌🏼
@VivianBoniventuraaloyce16 күн бұрын
Wa kwanza leo
@AshaHamisi-l2w16 күн бұрын
😂😂,,,nmecheka sana kwenye kirikuu hapo
@Mejumaa-sy9je16 күн бұрын
Nawapendae sn mungu awazidishie nguvu ❤❤❤❤❤ leo nimewai wa kwanza❤❤❤❤