MISSION IMPOSSIBLE [31] SEASON 2

  Рет қаралды 288,773

CHADO MASTA FILMS

CHADO MASTA FILMS

Күн бұрын

Пікірлер: 1 500
@Casmirors
@Casmirors 2 күн бұрын
Chado unajua sana Wanaoitazama mission impossible 2025 tujuane 🎉🎉🎉🎉
@FahimaFadhily
@FahimaFadhily 2 күн бұрын
Alooooooooo hii haiishi mpaka iiishe🙌
@HassaniDjuma-f5h
@HassaniDjuma-f5h Күн бұрын
Jamani tangu nimeanzia kuona mission impossible sijawai kupata ata like moja kweli 😢😢😢😢😢
@TereziaMasha-i6q
@TereziaMasha-i6q 2 сағат бұрын
Pole
@HamoudAbdallah-pi3qp
@HamoudAbdallah-pi3qp Күн бұрын
Wanaopenda mavazi ya mam ngwengwe na yanavympendez gong like hp❤
@EsaieKasongo-yt7rk
@EsaieKasongo-yt7rk 21 сағат бұрын
misumari naye kapata mpezi😮❤❤ 😮😮
@manyonga6940
@manyonga6940 2 күн бұрын
KUTOKA KWA MR MANYONGA MAPROSOO HERI YA MWAKA MPYA MASHABIKI ZETU NAWASALIMU KWA SALAM YA WANTA DIDA WANTA DADA ILA NAPENDA KUWAKUMBUSHA PESA NA HURUMA NI VITU VIWILI TOFAUTI ZINGATIENI HILI
@airezra
@airezra 2 күн бұрын
Maprosso Papa😅😂
@HusseinMrisho-cu9rf
@HusseinMrisho-cu9rf 2 күн бұрын
Maprosoo🎉🎉🎉
@RahimaSaidi-q3c
@RahimaSaidi-q3c 2 күн бұрын
😅😅
@muhammadshaka8414
@muhammadshaka8414 2 күн бұрын
😂😂😂😂 mwanao kukunyoosha
@muhammadshaka8414
@muhammadshaka8414 2 күн бұрын
😂😂😂😂 mwanao kukunyoosha
@NaasriRamadhani-c6g
@NaasriRamadhani-c6g 2 күн бұрын
Dady mzee wa misumar umeokota dodo kwenye mpapai❤❤ Tulia na mtoto jojo🎉🎉
@HajiMwadin-t9l
@HajiMwadin-t9l 2 күн бұрын
Ngwengwe uko vizur san Mung akubarik kipaj chako. Kiendelee❤❤❤
@NahyaAbdi
@NahyaAbdi Күн бұрын
Unaenda kuharibika sasa hii jaaaamn
@PeterIhunyo-tv9nf
@PeterIhunyo-tv9nf Күн бұрын
poa
@JacklinebosiboriMomanyi
@JacklinebosiboriMomanyi 2 күн бұрын
Tangu nianze kufuatilia mission impossible hadi Leo hii sijawahi Pata Like hata moja😢😢basi nipitieni alafu ngwengwe naomba uwe mtoto wangu😢🎉😂😂😂
@mrikongosi3151
@mrikongosi3151 2 күн бұрын
Achana na like washauli na watie moyo
@RamiyaIssa
@RamiyaIssa Күн бұрын
Kumbe mama ngwengwe naye ni bomu2
@ObadiahOgesi-ri1fy
@ObadiahOgesi-ri1fy Күн бұрын
🎉❤
@Mahamudu-v2t
@Mahamudu-v2t Күн бұрын
Zann chiz ww
@ModoMwita
@ModoMwita Күн бұрын
😂😂😂😂
@Sónvdtv
@Sónvdtv 2 күн бұрын
Kweli chado wewe ni masta kitengo wa bongo movie Kama unankubali kitengo kuto kuchelewesha gonga like
@EnoCriss
@EnoCriss 2 күн бұрын
Ngwengwe akiwa anaongea na mama yake anakuwa ana adabu sana, ila kwa wengine sasa hutomtaka😂😂😂😂
@FinindyFiana
@FinindyFiana Күн бұрын
Umeona
@AminaAhmad-g2j
@AminaAhmad-g2j Күн бұрын
Kweli kabisa anaadabu saaana
@Cheusi_media
@Cheusi_media 2 күн бұрын
Big Up kwa wote mnao zidi kutupatia Sapoti yenu🎉🎉 Yeyote atakaye soma Comment hii Basi Mungu Atasimama naye bega kwa bega 💪💪 Haya mnipe LIKE zangu sasa LAHAULAAA NGWENGWE
@JoyceJonathan-b2n
@JoyceJonathan-b2n 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@ALFANSAID-kw9ei
@ALFANSAID-kw9ei 2 күн бұрын
Cheusi unaigiza ivy ni kama kweli
@mwajumachegge4181
@mwajumachegge4181 2 күн бұрын
Acha umbea
@HassanNdimubazi
@HassanNdimubazi 2 күн бұрын
Cheusi napenda Siku moja nikutane na wewe
@AsnathsevelineKidungu
@AsnathsevelineKidungu 2 күн бұрын
Lahaula bonge yuko wap
@ramagasper742
@ramagasper742 2 күн бұрын
Daaaaah Ali Daddy kumbe ni Mzee wa kimoja chali ,pumbavu zako Ali Daddy 😂😂😂😂😂😂😂😂
@sashaamoha
@sashaamoha 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂kumbafff🎉🎉
@AidatAmadi
@AidatAmadi 2 күн бұрын
M nimecheka
@Mwatime-nv7mj
@Mwatime-nv7mj 2 күн бұрын
😂😂😂😂
@HunterBribol
@HunterBribol 2 күн бұрын
Hahahaha ni movie lakn
@deamber775
@deamber775 2 күн бұрын
Akivuta bangi anapiga vi5
@lellymwavadu9385
@lellymwavadu9385 2 күн бұрын
Nakubali sana chado master aka kitengo Kama unamkubali mzee wa misumari na video queen gonga like ❤
@ErickJonhfredy
@ErickJonhfredy 2 күн бұрын
Jama apewe mauwa yake yupo fasta Big up sana kaka Chado master 📝💯💯💯💯
@BLACKOFFICIAL_TV
@BLACKOFFICIAL_TV 2 күн бұрын
Good ❤❤❤🎉🎉🎉🎉 KAZI nzuri sana mungu akubariki naakuzidishee siku za kuishi 🎉🎉
@AshaJuma-dz6hq
@AshaJuma-dz6hq 2 күн бұрын
Aisee chado sikuizi mnatufurahisha sana mnatoa movie kwa wakati sana big up❤
@ButoyiRukiya
@ButoyiRukiya 2 күн бұрын
Kabisa wanatufurahisha saana😊 maskini Najma duuuh sijuwi kitamtokeya nini😢
@RamaJames-d2d
@RamaJames-d2d 2 күн бұрын
Heri ya mwaka mpya mnao mkubar chado master gonga like ♥️♥️🎉 hapo
@MHAH_SPIAT
@MHAH_SPIAT 2 күн бұрын
Uko vizuri chado master nakutambua kaka your biggest fan ever 💯🤘🏼👌👌
@JessicaIrakoze-w4e
@JessicaIrakoze-w4e 2 күн бұрын
Whiiiiiiiiiiiii wahuni🎉😂🎉🎉oya Chado unatisha baba❄️daddy kafeli Léo ndevu zote izo kumbee mapambe😢😢
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 күн бұрын
Jojo unamtia mwenzio aibu zangu jamani😅wangapi tunaamini Mr manyonga atafeli kwenye hiyo mission yake either kaka daddy atafika ama chado master 😅😅😅😅
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 2 күн бұрын
Haya wale wa DUNIA, FUNDI na Penzi la mtoto wa boss ✅ mko wapi team strong team furusi
@Kizawilondja-g9i
@Kizawilondja-g9i 11 сағат бұрын
Tupo kila kona 😂😂😂😂
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 11 сағат бұрын
@Kizawilondja-g9i KZbin ni yetu 😂😂😂 tukishiba kabuur tu hao timefika
@Kizawilondja-g9i
@Kizawilondja-g9i 8 сағат бұрын
@@fatmaathumani7116 ndiyo wangu acha tu enjoy
@JustinMbulu-f6v
@JustinMbulu-f6v Күн бұрын
Pamoja sana dogo ngwengwe mungu ables kipaji chako
@MisangaNassoro
@MisangaNassoro 2 күн бұрын
Apo tu ngwegwe umealibu kubebwa🎉🎉🎉🎉ila nakubar sana mdogo wangu kaza pia soma upo vzr❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AbubakariMchambalous
@AbubakariMchambalous 2 күн бұрын
Anaye soma comment hii mungu ampe maisha marefu
@IbrahimOthman-f2v
@IbrahimOthman-f2v 2 күн бұрын
Mangonga hii movie unaipendezesha sana hongera zako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MwatumuAthumani
@MwatumuAthumani 2 күн бұрын
Unaeangalia mungupee umrimrufu tufatilie pamoja hadimwisho😂😂😂😂naisitoshe nimewai like ata5 tu❤
@FahimuFarao
@FahimuFarao 2 күн бұрын
Wantadida wantadada😂😂😂😂 Mzee wa misumari umezingua apo kwenye kimoja chaliiiii😂😂😂
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 2 күн бұрын
Kwaiyo ally dady Leo amevunja ubikra wake kwa jojoh😂😂😂
@Vee-15Pretty
@Vee-15Pretty Күн бұрын
Nlikuwa naitafuta hii comment 😊
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 Күн бұрын
@Vee-15Pretty ndio hii haya nilipe kwa kukufanyia KAZI nzuri
@BarakaJosia890
@BarakaJosia890 Күн бұрын
Huyu jamaa anajua kweli big up sana mwamba
@joyronroro-yr9tk
@joyronroro-yr9tk 2 күн бұрын
😂😂Swaum bwana...."me nataka kwenda nyumbaniii😭"".... 🤣🤣😂
@JoãoMaurícioLuísLuís
@JoãoMaurícioLuísLuís Күн бұрын
Pole Kaká chado mwanamume machine kasa moyo 💓💓❤️
@Shadialugwisa
@Shadialugwisa Күн бұрын
😂😂kwasasa nimepata mababy anae nijali Mimi ,kungwi wakunishabata......ila daddy na Jojo nawapenda bure😘😘
@KhadijaKomba
@KhadijaKomba 2 күн бұрын
wangapi tunakubali mzee wa misumari machoshwa na jojo
@assanemomade3961
@assanemomade3961 2 күн бұрын
Zasubui jaman kama unamkubar chado masta gongo like apah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Awoshy
@Awoshy 2 күн бұрын
Mama ngwengwe mibao mpk kaongea 😂😂😂ila una mdomo shogaangu 😂🎉🎉🎉
@elizabethallen6246
@elizabethallen6246 2 күн бұрын
Eeeenh Leo nimekuwa wa kwanza😂😂 siaminiiiiiiiiiii like thijuhiiiiii mtanipa🤗🤗🥹😥
@SesyKirway
@SesyKirway 2 күн бұрын
Nimeipenda hiyo kupigwa kwenye mshono😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@CynyAkoth
@CynyAkoth 2 күн бұрын
❤ love it ngwengwe, , Jojo usilaumu Mzee wa msumari next time mkubalie tu atumie kdg alafu uone 🔥, nawapenda wote.
@djhajiztz
@djhajiztz Күн бұрын
aaah❤
@SalimSaid-q7s
@SalimSaid-q7s Күн бұрын
Jmn daah hii movie naipend kuliko. Ata mpenz wangu jmn itoeni mpka season10 km veep rah kinoma ❤❤❤❤❤
@StellaMhina-t5r
@StellaMhina-t5r 2 күн бұрын
Kutok kwa manyanya narudi kwa chado jmn nikilala nawaza tu inarushwa saa ngp.... Big up Sana Chado😊
@JokharyBakary
@JokharyBakary 2 күн бұрын
Hahahaha kumbe nawewe ulikuwa kwa manyanya uwiii
@AminaMahelenda
@AminaMahelenda Күн бұрын
ujue me manyanya namupuuzia sku iz toka nianz hii movie
@StellaMhina-t5r
@StellaMhina-t5r 3 сағат бұрын
@AminaMahelenda manyanya anakitu n yeye usimpuuzie
@user-tg6tp8hz21
@user-tg6tp8hz21 2 күн бұрын
Nataka kwenda nyumbani😂😂
@rosenorbert5864
@rosenorbert5864 2 күн бұрын
Ka jinga😂😂😂
@mareiaMerry
@mareiaMerry 2 күн бұрын
😅😅😅😅
@AMANIMARIOO
@AMANIMARIOO 2 күн бұрын
Sijui nsemaje broo but I appreciate you ma broo jah akupe maisha marefu na mafanikio
@yollah
@yollah 2 күн бұрын
Nakubali sana Mr manyonga😂
@webnet5652
@webnet5652 2 күн бұрын
Manyonga mshenzi kweli😢😢😢
@JaphetJustine-t2x
@JaphetJustine-t2x 2 күн бұрын
😂😂😂😂daah ndevu naenda kukata zote😅
@chieffofofoodinternational4102
@chieffofofoodinternational4102 2 күн бұрын
we najma we ni mwendo wa dozi tu mwaka huu 😂😂😂😂😂😂
@NaimaEsther-c3t
@NaimaEsther-c3t 2 күн бұрын
Kazi nzuri maua yenu mpo vizuri kutoa kazi yenu ❤🎉🎉
@evaristiAntony
@evaristiAntony 2 күн бұрын
Mnaetaka chado master asiachane na kidem jau gonga like apo tujuane ❤❤❤
@NASRAAHMADI-k2x
@NASRAAHMADI-k2x 2 күн бұрын
💞
@patrickmpangala3098
@patrickmpangala3098 2 күн бұрын
Maumivu ya kugongewa unayajua ww
@SirKembo
@SirKembo 2 күн бұрын
Bora amnyandue jojo
@شاميمشاميم-ر9ت
@شاميمشاميم-ر9ت 2 күн бұрын
Jee manyonga umeyanyaga ,kwa chado ,ya moto yamekuchoma eee 😂😂😂😂😂
@LighySteven-gd8wo
@LighySteven-gd8wo 2 күн бұрын
Dah watu hamchelewi nlijua ntakuwa wa kwanza leo wanaomhurumia Chado kwa wakati anaopitia sasa gonga like naombeni hata kumi tu leo
@TidesShakila-li8tz
@TidesShakila-li8tz 2 күн бұрын
One love chado master unazingatia mda sanaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤
@ShukuruChristian-b3w
@ShukuruChristian-b3w 2 күн бұрын
Mungu azidi kuwa bariki❤❤❤❤ ila naomba tyu jina la wimbo kwenye part ya mwanzo ya chado masta😂😂😂😂❤ iyo ndo I like
@StellaMhina-t5r
@StellaMhina-t5r 2 күн бұрын
Wakaka wenye ndevu 🤣🤣🤣mmeniuwa Leo.... Na ujasir wa kuondok anaupata maajabu aya Jojo😍
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee Күн бұрын
😅😅😅😅niuwe
@BizzyBizzyman
@BizzyBizzyman 2 күн бұрын
Kutoka zanzibar naombeni Ata kumi tu
@paulinecharo5408
@paulinecharo5408 2 күн бұрын
😂nacheka kama mazuri mzee misumari vp shuhuli imekushinda😅😅😅
@LatifaHamis-s4z
@LatifaHamis-s4z 2 күн бұрын
Kam unampend chado masta na unamuhurumia kwa anayoptia like hap
@eshamohd7268
@eshamohd7268 Күн бұрын
Mama ngwengwe hawezi vibao😅😅kafunguka kila kitu😂😂😂😂
@gseh9277
@gseh9277 2 күн бұрын
Leo mapema saaanaaa❤❤❤ CHADO MASTER FILMS washafanya yao twende kazi
@SalmaSamiry
@SalmaSamiry Күн бұрын
Kila kona tukipita wakubwa wanakuita wadogo wanakuita chado master ♥️ ❤️ chado chado chado master A.K.A chado Gangster 🎉🎉🎉🎉love you forever ♥️ ❤️
@SarahAli-l2m
@SarahAli-l2m 2 күн бұрын
Wantadida wantadada pesa na huruma ni vitu viwili tofaut much love from zanzibar ❤❤❤
@djhajiztz
@djhajiztz Күн бұрын
nyege izo
@SaumuNyale-s6h
@SaumuNyale-s6h 2 күн бұрын
Heee leo nimechelewa sana ila kwa mr manyonga maprosooooo watadidaaa watadadaaa 😂😂😂😂😂...Mzee wa msumari nae kachemsha kikweli mzigo umeshinda kupiga vilivyo 😅😅😅😅
@KidumeRashid
@KidumeRashid 2 күн бұрын
Ngwengwe upo vizuri usikubali kitengo akanyanyasika wakati stering upo
@JamilaRajabu-g8p
@JamilaRajabu-g8p 2 күн бұрын
Jojo anapenda dudu mhhhh mda wote anautakaa😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@MargaretAwinja-ls7hx
@MargaretAwinja-ls7hx 2 күн бұрын
Dudu gani😂😂😂😂
@omaryhussein6041
@omaryhussein6041 Күн бұрын
😢
@FatakiRaymond-c1z
@FatakiRaymond-c1z Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@yundushabani
@yundushabani 2 күн бұрын
Jamn nampenda san chado❤️ kazi zake nzuri
@AshaMminge
@AshaMminge 2 күн бұрын
Tupige makofi kwa kaka chado👏👏👏 mambo yameanza kunoga sasa hii hii move tupelekeni Netflix
@zainabkipenzi
@zainabkipenzi 2 күн бұрын
Jojoh 😂😂😂😂😂😊 tuachie mzee was misumari bado bikra
@annaki318
@annaki318 5 сағат бұрын
Jamani Leo mbona kimyaaa mweeee😢😢
@Gerlad-s8g
@Gerlad-s8g 2 күн бұрын
Sema hiii wazee paka mwakani wanao unga naitaj like zenu
@kulwakibasa5396
@kulwakibasa5396 Күн бұрын
Asanteee mwanangu mwenyezi MUNGu Akubariki sana chado unanifurahisha sana Hadi nanenepa
@ShabuMttenga-f9e
@ShabuMttenga-f9e 2 күн бұрын
Hiyo ndio maana halisi ya kitengo😂😂😂
@Fatmamakame-q5w
@Fatmamakame-q5w 2 күн бұрын
Sema nini wanangu ata me leo nimewah like kidogo basi kila siku me natoa like kwenu ty😢😊😊😊❤🎉🎉🎉 thanks chado masta no kuchelewesha
@kibibimlaula2526
@kibibimlaula2526 2 күн бұрын
Kijojo nkimekubuhu 😂😂😂
@DorcasKadama
@DorcasKadama 2 күн бұрын
Ila Jojo wewe😂😂😂😂😂unapenda mzagamua sana msichana 😂😂😂
@MdHossen-q8c
@MdHossen-q8c 2 күн бұрын
😂
@ChristopheTumâin-w3y
@ChristopheTumâin-w3y 2 күн бұрын
Je suis très de vous, mes favories, que Dieu vous benissez, mungu aba bariki
@PrinceImmar
@PrinceImmar 2 күн бұрын
Mama ngwengwe uko vizuri sana❤❤❤❤❤❤
@ShabuMttenga-f9e
@ShabuMttenga-f9e 2 күн бұрын
Ongera kaka na asante kwa kutuwekea move yetu pendwa
@yahyaabeid001
@yahyaabeid001 2 күн бұрын
Mzee wa misumari hajui kugongelea misumari maajabu
@ashuraali1697
@ashuraali1697 2 күн бұрын
🤣🤣🤣
@RashidOmary-c4g
@RashidOmary-c4g 2 күн бұрын
Mwenyezimu atujalie heli sote humu ndani kila gumu liwe na jepes na afya njema❤
@ProsperKanzika
@ProsperKanzika Күн бұрын
Wakkaa wenyebndevuuu😂😂😂😂😂
@JustinePascal-i1t
@JustinePascal-i1t 2 күн бұрын
Watu mko speed sana kila siku mnaniwahi, nipeni like basi na mimi jamani
@HajraRamadhan-x5f
@HajraRamadhan-x5f 2 күн бұрын
Mwanangu gwegww🎉🎉wee noma saaana naona penzii la kaka najma limenogaa❤❤🎉🎉 hongeraa kitengoooo🎉🎉🎉❤
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 2 күн бұрын
Mama ngwengwe friji bovu 😂😂😂😂😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 күн бұрын
Ila kaka wenye ndevu😂😂😂 wantadida wantadada😊 🙌 ..."ntaka niende nyumban nkale chapati malage" 🤣🤣🤣
@ShaibujummaKedder
@ShaibujummaKedder 2 күн бұрын
Tuko pamoja Sana na MEDIA YETU KUU CHEUSI TII Gonga like twende PAMOJA 😂😂😂😂❤
@DestinysChild-nn7ug
@DestinysChild-nn7ug Күн бұрын
Hamjawahi kutuangusha since mmeanza mpka sasa Big Up team yote ya mission impossible❤❤❤❤❤
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 2 күн бұрын
Leo kaka chado umewahi tuko pamoja mpaka tujue najma mjamzito 😂😂😂😂
@oskidonzeyimana8620
@oskidonzeyimana8620 Күн бұрын
Next season Mze w Misumari nd tu nasubir awaokowe Dada zake 👊🏻👊🏻👊🏻 Big up My Brother Chado Masta #Kitengo ✌️✌️
@KhalifaMohamedi-z1p
@KhalifaMohamedi-z1p 2 күн бұрын
Mzee wa misumari unaniangusha.😂
@ApolinaMwitenda
@ApolinaMwitenda Күн бұрын
Dady Mzee wa misumar umeota dodo kwenye mpapai❤❤❤❤❤❤
@ParodyTv_
@ParodyTv_ 2 күн бұрын
Chado una moyo mzuri sana kwa ndani ya miezi 6 tu ya mafanikio yako ya MISSION IMPOSSIBLE umeweza kuiboresha na hiyo nyumba kabisa 3:15 ambayo anaigizia mama ngwengwe, umeweka mlango mzuri + umeisafisha + madirisha umeboresha + na Tank la maji 10000L , Nahapo sijajua kwa sehemu nyengine mlizo igizia , umeonyesha thamani ya mafanikio yako ... Mungu akubariki sana na azidi kusimamia kazi yako hii, Daah kama nawewe umeliona hilo gonga like hapa ( 3:15 ) ...
@BinAmour-b7r
@BinAmour-b7r 13 сағат бұрын
Hanifa unajuwa mpak unakera hongera mauwa yako🌹🌹🌹🌹
@MUQADDARMEDIA
@MUQADDARMEDIA 2 күн бұрын
Wakwanza Leo wapi like zangu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@yasintembo56
@yasintembo56 Күн бұрын
Jojo uwe unachenchi nguo bhana izo izo. Haaaa😂😂😂😂
@salmaomary963
@salmaomary963 2 күн бұрын
Wakwanzaaaaa Leo nipeni like zangu😍😍nimewawezaa leo 😂😂😂
@Naema-x7p
@Naema-x7p Күн бұрын
Daddy nguvu zote zimeishia kwenye ndevu 😂😂😂😂😂😂😂😂jojo umeyakanyaga mume mzuri lkn kitandani zamwamwa 😂😂😂😂😂eti na ujasiri wakuondoka anao 😂😂😂😂manyonga aelewi na pesa zake 😂😂😂😂
@Tatuyunusi
@Tatuyunusi 2 күн бұрын
Anaejua jojo anafanya kaz gan mpaka anakuwa na hela kwenye hii muvi na ajawai kwenda kazn ata ckumoja kama na wewe unajiuliza hivyo like apa
@vailethgodwin6192
@vailethgodwin6192 Күн бұрын
Aliachiwaa na wazazi wakeee
@fefeonlyme5394
@fefeonlyme5394 2 күн бұрын
Wadada wembamba ndio walivyo pole dady😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JumaNyumbwe
@JumaNyumbwe Күн бұрын
😂😂😂😂😂
@MboniMachaku-r9l
@MboniMachaku-r9l 2 күн бұрын
Manyong unamjua chado atakutoa roh wewe😂😂😂😂😂😂
@HawaaAbdallah-jp7gl
@HawaaAbdallah-jp7gl 16 сағат бұрын
si msameheane ah mm skuiz sina raha na mission chado rudiana na najma
@AhmadyAbdalla
@AhmadyAbdalla 2 күн бұрын
Nakubar ngwengwee❤🎉🎉🎉🎉😅😂Boe
MISSION IMPOSSIBLE [32] SEASON 2
24:02
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 66 М.
DUNIA (Ep 36)
21:04
ASMA FILMS
Рет қаралды 407 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 864 М.
MY DAUGHTER  I ep 12 I
16:21
CLAM VEVO
Рет қаралды 274 М.
BTS OF OUR BABY BUMP SHOOT//PREGNANCY ANNOUNCEMENT#1
15:52
THE BULLS FAMILY
Рет қаралды 25 М.
USISEME - EPISODE 01 | CHUMVINYINGI
20:01
CHUMVINYINGI GANG
Рет қаралды 52 М.
MISSION IMPOSSIBLE [30] SEASON 2
25:37
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 310 М.
MISSION IMPOSSIBLE [29] SEASON 2
27:48
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 346 М.
MWANAHARUSI EPISODE 1
25:25
hemedy chande TV
Рет қаралды 42 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.