CHALAMILA AWEKA WAZI "ANAWEZA AKAJA RAIS KICHAA AKAONA MAKANISA KAMA MASOKO NA AKAGIZA YABOMOLEWA

  Рет қаралды 1,246

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 9
@JojoJoji-h8g
@JojoJoji-h8g 2 сағат бұрын
Nimebarikiwa sana na ushughuda huu wa mkuu wa mkoa mm nitamchagua mama kwa sababu hii
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 25 минут бұрын
Ndege walukao huruka pamoja ccm na mwamposa ni sarafu
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 22 минут бұрын
Siku mkija jua hawa manabii wanawapeleka kuzimu mtatamani muwale nyama. mtakuwa mmechelewa
@SIMONI-n9n
@SIMONI-n9n Сағат бұрын
niwakumbushe ndugu zangu ya kwamba nchii hii haiwezi kwenda popote kama hatutabadili hayo mambo matatu 3.....ni lazima atokee rais mwenye maamuzi kama magufuli....nawaahidin siku mungu na watanzania watanipa kibali cha kuwa president wa nchii hii nitafanya mqmbo mengi sana ....ndugu zangu tanzania tunaumizwa sana tanzania tunaibiwa sana....na wanaotuibia ni hawahawa viongozi tunaowapa kibali
@FrankNzombo-k3j
@FrankNzombo-k3j 2 сағат бұрын
Siyo misingi ya mungu ila ya unabii mwawaji kwa kutumia mafuta
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 2 сағат бұрын
Who’s mwamposa before God by the way!
@SIMONI-n9n
@SIMONI-n9n 2 сағат бұрын
makanisa ni miongoni mwa jumba muhimu sana katika nchi hii lakin yamekuwa yanatumika vibaya yamekuwa ndio sehem ya siasa na bado yamekuwa yakifundisha mambo yasiyokuwa na maana ..........siku nikiwa rais wa nchi hii miongoni mwa mambo ambayo lazima nitayafanya 1..nitabadili mitaala ya elim 2....nitaweka sheria kali juu ya uzembe na ufisadi na rushwa kwa watumishi na viongozi wa serikal ikiwemo sheria ya kunyonga mafisadi na wasaliti wa nchi. 3.....nitaweka vigezo maalum vya makanisa ili watu wakajifunze mambo ya kweli sio ujinga. na kama watapinga hivyo vigezo basi nitafuta makanisa na misikiti na tutarud kuqbudu tukiwa nyumbani na kufanya kazi tu
@HappyMsuha
@HappyMsuha Сағат бұрын
Fanya kazi ,abudu Mungu nyumban kwako inatosha
@davyadamsontz
@davyadamsontz Сағат бұрын
Magufuli unayemtaja alikuwa na hofu ya MUNGU
MAKONDA: "Endeleeni Kunitukana, ila Ukiitwa Kimbia Usisubiri Nikufate"
19:05
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 4,6 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 61 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 27 МЛН
Bureaucracy, Lawyers, and Cosmetics
4:33
Dan Ariely
Рет қаралды 337
NINI KIMETOKEA KWENYE MITANDAO HII GHAFLA?
14:36
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 39 М.
MAKONDA KARUDIA TENA "USIJE MJINI BILA KUOGA" MBELE YA MAGUFULI!
11:10
Global TV Online
Рет қаралды 13 М.
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 4,6 МЛН