Mch Eliona Kimaro - Kazi Na Muda #africhamovies #africhaentertainment
Пікірлер: 18
@neemalaurent98362 ай бұрын
Hili somo ni zuri sana,limeniokoA sana,Sasa ninaelekea viwango vingine
@paulinawilliam1159 Жыл бұрын
Ameen
@EdinaChepkemboi-xd3yw11 ай бұрын
Nakushukuru kwa kunifunza kitu hapo.time limit..
@maryombenilyimo4325 Жыл бұрын
Ninakushukuru Mch. E. Kimaro kwa somo hili la kazi na muda. Nina mwezi mmoja sasa nimehamia nyumba yangu nzuri, Mungu akubariki sana.
@irenemtenga61404 жыл бұрын
Amen mtumishiii
@happychimtembo34773 жыл бұрын
Amina mtumishi hayo yote Ni kweli
@dicksonkilupa68812 жыл бұрын
ASANTE BABA MCHUNGAJI BINAFSI NAJIVUNIWE WEWE UMENISAIDIA SANA HASA ULIPOTUHUDUMIA PALE KKOO. NINAO USHUHUDA WA MAMBO ULIYOFUNDISHA NIKAJIFUNGA MKANDA NA SASA NASEMA YESU NI EBENEZER. UBARIKIWE SANA BABA YAANI ULIPO SEMA NIWE NA VIATU AMA NISIWE NAVYO SAFARI INAPIGWA TU.
@tharisilamacha63595 жыл бұрын
Mtumishi tunapanga mipango ila hela ndio inakosekana na uzbe sina nifanyeje.
@hilgathjoshua88043 жыл бұрын
AMINA BARIKIWA MCHUNGAJI....
@doryswai88013 жыл бұрын
Amen
@sabinachimbuvu54092 жыл бұрын
Amen Asante Sana Mtumishi Barikiwa Kwa Ujumbe Wa Neon La Bwana
@hildakigunga25903 жыл бұрын
Sema. Baba. Tupone
@sabrinakenya23535 жыл бұрын
Nitatimiza malengo yangu kwa neema ya MUNGU Amina.
@atwimikekyando10533 жыл бұрын
Mungu nisaidie niweze kufkia malengo na kupanga malengo. Kwa kutumia tia asant mch kwa neno na mungu akubariki.
@richardwilliam41432 жыл бұрын
Kama watu wengi wangekua wanafuatilia mafundisho ya huyu baba kama/kuliko yale yanayo sisimua na kuchekesha nina imani wengi sana tungepiga hatua kubwa sana kimaisha na kiroho kwa ujumla. Ahsante baba, Mungu azidi kukutumia. Ubarikiwe.!