HUYU NDO MWIZI WA MTANDAONI APEWA KIBANO NA POLISI...

  Рет қаралды 123,341

Cheni tv Online

Cheni tv Online

Күн бұрын

#CHENIUPDATE #MWIZI

Пікірлер: 226
@duncanchavula1289
@duncanchavula1289 Ай бұрын
Jeshi la polisi tanzania sio muchezo usalama upo tunashukulu sana kwakutulida mama samia hoyeeeeeeeeeee
@RucyMakapa
@RucyMakapa Ай бұрын
Wafungeni hao majambaz wametutia umasikini sana
@leylasaid2616
@leylasaid2616 5 жыл бұрын
Hahaaa kijamaa kinajieleza bila kubakisha chochote...tema cheche
@priscilarkahindi9126
@priscilarkahindi9126 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@binthawa2973
@binthawa2973 5 жыл бұрын
Tena maelezo yananyooka
@priscilarkahindi9126
@priscilarkahindi9126 5 жыл бұрын
@@binthawa2973 😂😂😂😂😂
@tttgghj2280
@tttgghj2280 5 жыл бұрын
😁😁😁
@josboy5384
@josboy5384 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@sukisa1234
@sukisa1234 5 жыл бұрын
Dar!!!hillojamaa nalitamani lingekuwa karibu na mm ningelipiga mingum yaliwahi kuà de
@linimaarifa5009
@linimaarifa5009 11 ай бұрын
Huyo hapana kumwachia ataje wote hao watoto wabaya sana msiwaonee huruma kamata wote pumbavu kabisa huyo
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 ай бұрын
Huyu anaonekana bado sio mzoefu, mizoefu ni minunda sio mioga, huyu kaminywa kidogo anafungua kodi zote... mammaeee 😂😂😂😂
@erickAfricatz
@erickAfricatz 13 күн бұрын
Hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 hakijakukuta mjuba😂😂😂
@StelaSafali
@StelaSafali 3 ай бұрын
Mtoto wangu walimibia mpaka kafunga m pesa
@agnesmpiluka7929
@agnesmpiluka7929 5 жыл бұрын
Yan mwizi bwana mi nimetafuta pesa karibia miaka kumi yeye anataka aipate kwa siku moja pumbavu sana
@AnnieHonest
@AnnieHonest Ай бұрын
Kamata kabs hao wezii hawafai katika jamii
@specialboy-tz.official
@specialboy-tz.official 26 күн бұрын
Nchi yetu ipo vzr sana.kubaini mijizi kama iih atali mchapeni uyo ajufunze afande!!!
@abbumwaipopo2940
@abbumwaipopo2940 7 ай бұрын
Aisee da! Ila chaajabu utawakuta mtaani tena na kazi inaendelea.
@MaldyMaldwex
@MaldyMaldwex Сағат бұрын
Anawataja wote 😂😂😂
@JosephineMegora
@JosephineMegora 2 ай бұрын
Mwizi anajielezea vzr kabsa msameheni ametoa ushirikiano.
@AgnesEphraim-jw6dv
@AgnesEphraim-jw6dv 2 ай бұрын
Wamezidi sana nanamba za watu sijui wanazipata wapi
@elizabethmkude9452
@elizabethmkude9452 2 ай бұрын
Mchomeni moto
@muhammadseif5009
@muhammadseif5009 Ай бұрын
Huyu iwe fundisho kwa hao wengine afungue kama miaka 30.
@barrysulty1756
@barrysulty1756 5 жыл бұрын
Hivyo hajamkaba m2 inamaana huo sio wizi na anavyonekana huyo dogo akienda jela anaolewa kwa mchecheko huo m2 anakuowa kbs jipange sasa imekula kwako
@zainabukidangi3044
@zainabukidangi3044 5 ай бұрын
Washenzj sana Hawa sio wakuonewa huruma mnajua kusema tuma kwa namba hii
@fatumahassan2044
@fatumahassan2044 5 жыл бұрын
Poleni.. ajari kazini dah.. wizi m baya jamani
@omarymakota2276
@omarymakota2276 5 жыл бұрын
Muulizeni uyoo betri nani alichomoa morogolo uyo
@magrethkimaro5140
@magrethkimaro5140 5 жыл бұрын
Hahaaaaaahaaa omary
@omarymakota2276
@omarymakota2276 5 жыл бұрын
@@magrethkimaro5140 ndioo tunataka chanzoo ni nini ety 😂😂😂😂😂
@omarymakota2276
@omarymakota2276 5 жыл бұрын
Chanzoo chaa ajari au kufungwa yanga ety 😂😂😂
@EmanuelMarandu-o2q
@EmanuelMarandu-o2q 28 күн бұрын
Unatakiwa apigwe mandee uyu shoga
@AthumanMhina-wf9rw
@AthumanMhina-wf9rw Ай бұрын
Siku za arobaini mwizi
@beatraceketto3880
@beatraceketto3880 5 жыл бұрын
Mm naona asihojiwe wamuue wamejeruhi watu sana hili linatakiwa liwe mfano kwawengine
@MohamedJuma-mq8ub
@MohamedJuma-mq8ub 4 ай бұрын
Hi
@user-pg8jn6ig4u
@user-pg8jn6ig4u 7 ай бұрын
Jamani????hawa washugulikiwe Balabala
@andersonkinoga6385
@andersonkinoga6385 5 жыл бұрын
Hawa matapeli walisha nitapeli elfu kumi yangu ya siku kuu ya Christmas dadeki ni walitiwa kiberiti tu.
@JumabakarBakari
@JumabakarBakari 6 ай бұрын
Huyu mwamba noma sana
@danielpatrickrobert125
@danielpatrickrobert125 5 жыл бұрын
Huyo apewe adhabu kifungo mwaka mmoja na fine na Kazi ya kuwasaka wengine..........wanarudisha watu nyumaa
@jacklinamani7519
@jacklinamani7519 5 жыл бұрын
Duuu kalibu mjin mpka sadek ipite
@NeimaMagaya
@NeimaMagaya 6 ай бұрын
Ahukumiwe kunyongwa watu wametiwa asal xana
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 жыл бұрын
Wakaka wazur cjui wanakwam wapi😂macho yalivyomtoka sasa mamae zake.hapo mikojo kama yoteeee
@dhunnunkatchem9019
@dhunnunkatchem9019 5 жыл бұрын
Watu bhn, umetulia mwenyew hkn ata anayekusifia kuwa we ni HB, asa fny tukio af udakwe, nd utaskia mkaka mwenyew mzur tu maskini😀🤣
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 жыл бұрын
@@dhunnunkatchem9019 😂😂😂😂😂😂😂😂👌👌👌aya bhan
@josboy5384
@josboy5384 5 жыл бұрын
Yani nimechk nusu nife yan kijamaa kinajieleza bila kubakixha chochote cjui ujasiri wa kutapel kiliupata wapi maana kioga balaaa😂😂😂😂😂 kama chakike vile muone kisura chake😂😂😂😂😂😂
@ramadhanimatanza9514
@ramadhanimatanza9514 3 жыл бұрын
Ahahaaaaaaaaa kisula kama kinswaswadu
@josephmelkiory3290
@josephmelkiory3290 3 ай бұрын
Huyo jamaa siyo mwanaume mdau kaniboa balaa anafunguka kama rejeta bhana aaa
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 ай бұрын
Huyu anaonekana bado sio mzoefu, mizoefu ni minunda sio mioga, huyu kaminywa kidogo anafungua kodi zote... mammaeee 😂😂😂😂
@bahishaalexander3641
@bahishaalexander3641 5 жыл бұрын
Jamani kijana Mbona sura yako bado amependeza natamani maafande wakikabidhiwa walahi kwa Nusu saa ili nikupake hina maana nahisi hawajawahi kuhudhuria shelehe zenu. Mke wangu alishawahi kuwa mhanga, na kwa kuwa unaonyesha ushirikiano mzuri kwa jeshi la polisi nakuahidi utakuwa salama Ila shedo, lipstick, wanja, nikupaka utapendeza kweli kiasi kwa hata ndugu zako wakikuona watakusahau.
@fettamidu2503
@fettamidu2503 5 жыл бұрын
Washenz kabsaaaaaaa Hawa walishawai nitapeli wanyongwe tu
@JudithAdonis
@JudithAdonis 13 күн бұрын
Jamaaniii mweee..... ni huzuni kwa kweli Lkn wapuuzi sana hawa wanarudisha nyuma maendeleo ya watu mmmxxiiiuuuu
@allyflavour8005
@allyflavour8005 5 жыл бұрын
Mm ninge kuchoma moto mbwa wee nineibiwa kijana wangu mume muibia kuma nyie
@moursheedhamis5344
@moursheedhamis5344 5 жыл бұрын
Me mwenyewe walimwibia mfanyakaz wangu kwa staili hii
@hamishamis9905
@hamishamis9905 5 жыл бұрын
Kijamaa kinachomowa siri zote bila woga duh! Hahaha
@allyflavour8005
@allyflavour8005 5 жыл бұрын
Hawa mbwa kwanini msiwauwe
@ethelkatambala1659
@ethelkatambala1659 5 жыл бұрын
Ooh my mwanafunz ww khaaa...
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 5 жыл бұрын
Washenzi sana walimtaperigi mama angu shenzi kabisa
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 16 күн бұрын
Wasomi hawa
@priscaaron4813
@priscaaron4813 18 күн бұрын
Matepeli ni wengi Sana yanatusumbua Sana mitandaoni
@methameth8770
@methameth8770 5 жыл бұрын
Jmn namjua huyu kaka masikin
@fridahdeunique1489
@fridahdeunique1489 5 жыл бұрын
🤔🤔
@badymedia9648
@badymedia9648 5 жыл бұрын
Wasenge hawa hahah walinipiga kisengesenge yaani sisahau , ngemkamata ningekata kende ntupie mbwa walah
@lisajackson5867
@lisajackson5867 5 жыл бұрын
had me my natamtafut kwel mbw hyo aliniliza na me
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 5 жыл бұрын
Axtahili kichapo
@frankj.mhanga7324
@frankj.mhanga7324 5 жыл бұрын
Dah nishaliwa laki 2,na nusu funga fala huyo
@KelvinJulius-m4n
@KelvinJulius-m4n Ай бұрын
POLISI mnafanya kazi nzuri...
@marafundujenzi4315
@marafundujenzi4315 5 жыл бұрын
Huyo mpumbavu sana mtieni adabu akome
@zainabukivale5824
@zainabukivale5824 5 жыл бұрын
Jamani uyo mtu kaachiwa tayari selekali zetu zaifu sana
@MartinNdalo
@MartinNdalo 10 күн бұрын
Kamanda pigeni uyo ngedere kabisa ata Mimi walishaanipiga daah
@McT-m1m
@McT-m1m 7 күн бұрын
Juzi tu kuna mama kaibiwa kazini kwa mwanangu kalia mpaka anabweka kama mbwa wamekuja wakamwambia mama lete simu tukuunganishie ili bando lako lisiwe linaisha haraka akawapa kweli akaambiwa taja namba ya siri akataja alikuwa na laki sita wakaichukua tena wakakopa milion 2 wakaaondoka mda huo akasikia mesaji inaingia kuangali hana salio na simu imekopewa bana alilia sana
@ommymsaghaa938
@ommymsaghaa938 5 жыл бұрын
Yaani nyinyi police mmefeli sana sijuii mnakwama wp
@KaijageEvodius
@KaijageEvodius 14 күн бұрын
kwaiyo munasoma chuwo irimuje kututaperimusimu achiyeuyo
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj Ай бұрын
Pigeni sana huyo
@monalisakasaro6330
@monalisakasaro6330 5 жыл бұрын
Jamani hta xjui nifanyaje au sjui nisemeje mwaka Jana mwez wa 12karibia na Christmas hawa watu waliniibia karibia laki NNE sitasahau ,,hebu waadhibuni inavyostahili
@JambianPaje
@JambianPaje Ай бұрын
Apewe kichapo na aukumiwe miaka1000
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 жыл бұрын
Sasa Nyinyi Polic Kwanini Mnamuanika Kabla Ya Uchunguzi Polis Vipi Nyinyi Ilipaswa Tuwaone Wote Apo Polic Vipi
@mohamedmbulu4293
@mohamedmbulu4293 5 жыл бұрын
😂😂anajieleza vizuri
@hafsamansoor3977
@hafsamansoor3977 5 жыл бұрын
Kwann lakini sasa umri mdogo km huo uozee jela. Da kisomo chako cha bure
@malalezengo4405
@malalezengo4405 5 жыл бұрын
Hiyo ni ajari kazini Leo kabambwa akomee!
@kenmaswaga784
@kenmaswaga784 Ай бұрын
Anaatakiwa kufa huyo
@marygregory7566
@marygregory7566 5 жыл бұрын
mpokee Yesu akuponye na roho ya wizi
@6rfaalmuhairi797
@6rfaalmuhairi797 5 жыл бұрын
Wakamateni wote muwape adabu mm wameniibia milion nzima hao mtaji wangu wote kibanda nikakifunga
@adammakoye4198
@adammakoye4198 5 жыл бұрын
6rfa almuhairi uza simu sasa upate tena mtaji
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 2 ай бұрын
@@adammakoye4198 sasa hivyo akieleza njia wanazotumia c wanaelimisha na wengine? C fundishi mazi ila natanabahisha mkiwahoji muhusu njia zao bora isirekodiwe
@lebahatilembris2390
@lebahatilembris2390 22 күн бұрын
Hao maafande ndyo tunao waitaji katika serekali yetu ni watendaji wazuri sana MUNGU awatangulie katika kazi maana hao wezi wameibia sana watu ,,..
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 5 ай бұрын
Yaani huyo auwawe kabisa mwizi mkubwa wewe yaani ningekuwa karibu ningekupiga wewe
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 жыл бұрын
Atataj wenzie wote kwa uoga wake,halaf linakaa barakuda
@user-vx9np1zb7z
@user-vx9np1zb7z 3 ай бұрын
Mi mweyewe wamenibia laki tano
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 5 жыл бұрын
Duuh ! mbona nikijana mdogo afu nikezi ,,! afu usijekukuta anakademu uyu!! aisee !
@omarymakota2276
@omarymakota2276 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@salmaomary2100
@salmaomary2100 5 жыл бұрын
Daaah kabanwa mpk kachoka dadadeqiiiii c mchezo balaa
@petermaramsha9044
@petermaramsha9044 5 жыл бұрын
Nakutaman lait ningekuwa nimekushika mm sizan kama ungeweza hata kuongea
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz 2 ай бұрын
Mie sio mara moja tu ira wamenikosa simu irikuwa aina pesa😂😂😂
@user-uw7er1ec3v
@user-uw7er1ec3v Ай бұрын
Anatakiwa ahukumiwe miaka 55
@AllyKija
@AllyKija 2 ай бұрын
Mwenyewe kaulamba kumbe mwizi waliwai kunitapeli Hawa pesa za mgonjwa tena alikuwa wodini nyie polisi hebu niambieni mnae wapi huyo nije angalau nipoze nafasi yangu shenzi sana hawa mbwa
@sudymgeni701
@sudymgeni701 5 жыл бұрын
Yani mkateni pumbu yakushoto ili ajue wizi mbaya..
@JOANESSLVESTAR
@JOANESSLVESTAR 24 күн бұрын
Piga uyo
@issaibrahim7063
@issaibrahim7063 5 жыл бұрын
Dah! Huyu mtoto wa mtaani kwangu kbs yaan
@lisajackson5867
@lisajackson5867 5 жыл бұрын
ndo aache tamaa angeuz tikt maj kun mtu angemkamta tamaa nying kupend stareh n pesa hana
@issaibrahim7063
@issaibrahim7063 5 жыл бұрын
Kweli Bora angeuza hata kahawa
@lisajackson5867
@lisajackson5867 5 жыл бұрын
@@issaibrahim7063 ndio angeuz kahawa kaz kusngizia ajira hakun kulaumu serikal kil dk untk serikali ifanye nin coz wasomi n wengi sana tanzania ikiwapa kz itawalipa nin jamani sasa hiv kil mtu an degree ukion kaz hakuna vijan jishughulisheni kun kijan mmoja pale tabata the great park kamaliz ifm degree na kaz hakuna lkin anauza beans bukubuku
@issaibrahim7063
@issaibrahim7063 5 жыл бұрын
@@lisajackson5867 duh? Huwapendi watu hawa au nawe washawai kukuingiza mjini?🏃🏃
@lisajackson5867
@lisajackson5867 5 жыл бұрын
siwapend coz wameshawh nitapel waach ujing ridhk n unachokipat stareh waachien wenyw wanaowez kumudumu
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 5 жыл бұрын
duuh!jamaa asopoa masela kama register ya shule shenz chezeza kibano
@humphreynduye6239
@humphreynduye6239 5 жыл бұрын
Mimi nilizbuliwa,,,,, Laki sita ,,,,,,,,,yan hao mungu,,,tuu mkubwa
@Revelation1412.
@Revelation1412. 2 ай бұрын
Wapeni ajira hao watu wataiba sana mpaka inchi itatekwa😅
@mariamumustapha2586
@mariamumustapha2586 5 жыл бұрын
Apigwe mbwa huyo😂😂
@credo7837
@credo7837 5 жыл бұрын
Hahaha
@stellapaul5795
@stellapaul5795 5 жыл бұрын
Jamani Wamesha niibia
@gregorykihiyo
@gregorykihiyo 18 күн бұрын
Wanatusumbua sana hao wafungwe tu
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 16 күн бұрын
mwizi mkubwa
@helenavictor7459
@helenavictor7459 5 жыл бұрын
Yan walaniwe awa laki 7 na elfu 20 awashez wamechukua
@KaijageEvodius
@KaijageEvodius 14 күн бұрын
pinga uyo wanatisumbuwa san
@MussaMwibatta
@MussaMwibatta 29 күн бұрын
Naomba wote wakamatwe wamenifanya nifilisike hawo nimelipa denied polisi haohao waliosomea IT
@hildaminja5148
@hildaminja5148 5 жыл бұрын
Naona wanakosea kuwarusha humu maana tayari wengine watajua na kukimbia. Wangeweka private kisha waende naye
@errydeo8865
@errydeo8865 5 жыл бұрын
nooo,wataogopa na kuacha..make wanajulikana..ni rahisi kuwajua make watu wanawajua..nowhere to hide
@hakusfakir7364
@hakusfakir7364 2 жыл бұрын
Hahahaa😂😂😂😂😂😂akome........chapa.....kibano........
@evachriss5906
@evachriss5906 5 жыл бұрын
Kweli kala kichapo cha nguvu mbaka analopoka tu kama kanywa maji ya choonii
@priscilarkahindi9126
@priscilarkahindi9126 5 жыл бұрын
Hahaha ka finywa makende na spana😂😂😂
@annawilliam1911
@annawilliam1911 5 жыл бұрын
nakumbuka paka nyie nilivoibiwa karibia lak 5 na AAA
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz 2 ай бұрын
Ndio dawa yako mwizi siku zake 40😂😂😂😂
@videoginnah1973
@videoginnah1973 5 жыл бұрын
Mkaka mzur ila jambaziii
@rukiasalim2512
@rukiasalim2512 5 жыл бұрын
Jamani jamni afande ongeza kumtia kibano siwapedi hawa watu leo siku ya tatu nimeibiwa Mimi laki na 70000 maskini kwa kudanganywa mtoto wangu kaanguka gafla shuleni yupo esiyu nitume pesa haraka daaah kumbe ni utapele sina hamu😂😭😭😢
@credo7837
@credo7837 5 жыл бұрын
Duu
@aquarianknight
@aquarianknight 5 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@matridamwangwale9143
@matridamwangwale9143 5 жыл бұрын
Funga hao wanatuibia hao
@JosephineMegora
@JosephineMegora 2 ай бұрын
Ajui nahic kama wanamrecod
@johnpaulkirenga5824
@johnpaulkirenga5824 5 жыл бұрын
Muuue
@annapeter4994
@annapeter4994 4 жыл бұрын
Mfungeni kabisa wameibia watu mno.
@NorahMichael-e4k
@NorahMichael-e4k 25 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 7 ай бұрын
Wakamatwe wote wafundushwe kujitegemea sio kuibia wanyonge.
@hadijaabdallah5477
@hadijaabdallah5477 5 жыл бұрын
Maskini mkaka mzuri dah
@annapeter4994
@annapeter4994 4 жыл бұрын
Afungwe kabisa na kwanza warudishe hela waliibia watu
Watuhumiwa wa ukahaba walivyoingia kwenye 18 za Kamanda Muroto
6:21
Polisi feki waliokamatwa Dodoma, RPC Muroto akiwahoji maswali
8:19
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 5 МЛН
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 41 МЛН
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 12 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 58 МЛН
HII NDIYO HELIKOPTA ILIYOUNDWA ZANZIBAR
10:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 821 М.
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 5 МЛН