Wewe unatisha. Nikija tanzania. Napiga kelele....😂. Gr. Uit Amsterdam chidi benz. 2019 met in da club in masaki. Men. Vibe man. Goat from Tanzania.🎉
@user-ji6fu9lo2g7 ай бұрын
Nafurahi kuona chidi benzi a nakuwa sawa Pia anazid kuwa good sana
@Alfredmusa247 ай бұрын
Waaache kutumia pooombe! Wapi like za CHID BENZ❤
@iddyjuma80367 ай бұрын
Og sana
@ISSACKRICHARD7 ай бұрын
This man is genius
@nsusabudda29517 ай бұрын
Genius for nothing... chamsingi aache madawa kabisa...kila kitu kitakaa sawa
@TALLUBOY7 ай бұрын
Kweri ushikaji sana Inakuwa siyo pouw het niaje Nisje mala kukumbatiana Bila misingi ni ujinga BROTHER #CHID WATANZANIA TUNAKUPENDA SANAAA HATA WASANII WENZAKO PIA WANAKUPENDA BUT UPO VERR UMBLE NA NI MTU MWENYE HESHIMA SANA
@msouthqualitymabati46577 ай бұрын
Stimu haijifichi tatizo lina anzia nini uta ongea au uta fanya baada ya kula stimu,ngono ina pendana na stimu
@samboarnold6117 ай бұрын
Usiwe na roho nzuri kupitiliza noted Chid
@AudaxKami7 ай бұрын
CHID kama CHID uko fire 🔥🔥
@Dapeopletz77 ай бұрын
Nyumbani sihami mpaka wazazi waone aibu wahame wao Na coment yangu isiguswe ✍️
@sabinaonline65757 ай бұрын
Ovyo kabisa
@kilelefamily7 ай бұрын
Chuma 🔥🔥🙌
@emmanuelnkwabi86107 ай бұрын
Chid kichwa sana
@jumalihumbo53147 ай бұрын
Nafurai sn interview za chiz 😂😂😂😂
@LOLOBOY_TZ7 ай бұрын
MAKASI
@Smartmoneymakerz7 ай бұрын
Mtangazaji alivyoskia ukinipa hamsini nakuua aka sizi kwanza dk ya 7😂😂😂😂😂
@alitomorrow1667 ай бұрын
Moriin sio mtamu kama chiku yeeh
@augustinomariano17647 ай бұрын
Ila Chidiii 😂😂😂😂😂😂😂 🔥🔥🔥🔥🔥 hizi nyimbo imebidi nizitafute tena
@amosdonjohnson16437 ай бұрын
Mna uhakika jaivah ndio mwenye saut?
@wozanawewoz9797 ай бұрын
Chidi cha kwanza toka uko Arusha sio kuzuri hasa kwa vijana ambao hawajatulia broo
@Maxpaul-oi8pw7 ай бұрын
Acha ushamba tz nzima amna mji uliotulia kama arusha na moshi. Ndo maana watu wa nchi za nje wanapapenda
@djdullah98187 ай бұрын
Chid is back
@ISSACKRICHARD7 ай бұрын
Sauti ya aweeeeeeee striker
@Maxpaul-oi8pw7 ай бұрын
Arusha ndo kuna watu wako real
@user-xz6qb5cb1y7 ай бұрын
Kuwa makini na watu wa karibu.
@user-pt7lc4xu3d7 ай бұрын
Akili nyingii sana chid
@charlesvictor47617 ай бұрын
Hatuna kerere 😅😅😅😅😅
@jeremiahcharles60277 ай бұрын
Aache Sasa ,madawa
@ringicnation37227 ай бұрын
Chuma
@shafiichusi18977 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂..... waswailini Eti watamu...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.... Uyuuu jamaaaa Nomaaa
@BoniphaceCosta-kd2yw7 ай бұрын
Chiddy chuma
@ChristianChuwa-cy1du7 ай бұрын
King Kong chidbenz
@Pum2PUM17 ай бұрын
Is he related to GigyMoney?? Just asking ❤
@thefuturestars_TZ7 ай бұрын
Noooma
@knowledgeispower11187 ай бұрын
Aisee upo ngarenaro..nakushauri urudi dar
@Maxpaul-oi8pw7 ай бұрын
Acha ushamba
@trickyjosia91927 ай бұрын
Msikariri ngarenaro awajaaribika kama mnavo ona sema nisehemu kwenye makirimiti sasa ukija kireee ndio utazikiri uchi
Bwege kweli wewe nenda dar wewe ,,,yeye amepapenda na sasa ana mwezi bado yupo chuga ,,, et unamshaur ww kama nan au unafkr dar n pazur sanaa nijitu ambayo haijawah kuishi dar bana mnakuwa mnapashobokea
@knowledgeispower11187 ай бұрын
@@Maxpaul-oi8pw huyo chid pamoja na wewe wote washamba wa maisha tu...mnaona madawa na mapombe ni ujanga ?fala nyie.Sikia me nimekaa toronto..Canada na Joburg southafrika..utaniambia nini wewe mtoto wa ngarenaro na mansese machoko tu.
@ASALABOY7 ай бұрын
Jamn kinanani atumuelew uyu Zombie Dondosha Like Hapa👇👇
@yusufkidevu77957 ай бұрын
Kassy on the bt😂
@user-gu4on9mz1l7 ай бұрын
Sawa ila just stop drugs dat iz
@msowamhokole77147 ай бұрын
Chidi eti unapiga chabo uku unachangamsha maungo
@user-pe7vh8kn6i7 ай бұрын
Unatisha blaza
@rameckgototv43977 ай бұрын
😂😂chuma kinapata upepo kila mda wote
@magneticofficialtz7 ай бұрын
Spack ft chid benzi
@francifrancisco61707 ай бұрын
Ama away ya alikiba ft Chidi was on point
@angelsblackboard80087 ай бұрын
Huyu bwana ana ego, kujifanya mjanja sana kisa sijui katoka ilala, Yani sipendi hiyo tabia, alafu hana shukrani, hakuna haja ya kumpa airtime huyu takataka.
@rikekikonyo22657 ай бұрын
Acha chuki maskini wewe mbwa takataka!
@user-yi5hx3uu4o7 ай бұрын
😂😂 Chuki hazijengiii... Utakufa na pressure
@user-qz5yh1dl1n7 ай бұрын
Haumpendi kaa kushoto upendo haulazimishwi mzee muache chid afanye maisha yake