Si mulisema wametumwa n'a.srikali? Leo ndo munaamini kua serikali sio watekaji Kuna magenge ya wahuni n'a majambaei
@eustacefordranger11749 сағат бұрын
huyu ni msanii..
@MrA24G9 сағат бұрын
@@AminiMsellem-gk3yy haya ni magenge ya wahuni kbsaaa
@abdulmohd68809 сағат бұрын
Hii n Sanaa tu bro hamna chchte hapo ucdanganywe😂 watekaji n haohao hao wanatolewa muhanga t ktk media kisha wanapewa maisha kw upande mwengine au wanaadhibiwa kw uzembe walioufanya kushindwa kua makini kazini😢
@patrinraura139710 сағат бұрын
Tunalishukuru sana Jeshi letu la Polisi Tunazidi kuwaombea Mungu awabariki Kwa kweli Matukio kama haya yanaleta taharuki na hofu kwa Umma wa Watanzania
@Yassinseleman11 сағат бұрын
Mimi nilivyokua na Imani na kamanda Murillo mungu akulinde kamanda unafanya kazi nzuri sana
@evansogutu41677 сағат бұрын
Mungu with capital M
@NeemaJuma-xn9nw9 сағат бұрын
Kazi nzuri sana Commander wetu Murilo...
@majidabas38432 сағат бұрын
MUNGU ANGEJAALIA UKAWA IGP INGEPENDEZA SAANA WELEDI WAKO SIO WA POLEPOLE SHY ULIPERFORM VIZURI MWANZA ULIPERFORM VZR AMINI MUNGU ANAWEKA HAZINA YA WAJA WAKE POPOTE ATAKAPO. WEE NI HAZINA KUBWA KWA JAMII NA JESHI LA PLS
@majidabas3843Сағат бұрын
الحمر الله
@dinnahpraygod786012 сағат бұрын
Asante sana jeshi letu la polisi kwa kazi nzuri Mungu awatangulie❤❤
@rosekimaro3845 сағат бұрын
Hao ni wa kuuwa mbwa takataka maana yamefanya mengi sana wamiywe waseme yte
@hawaelymaricca760211 сағат бұрын
Daaah afadhali kazi nzur sana mmefanya maana tayar baadhi ya watu walikua wameshaanza lawama kwenu Mungu awabariki kwa kaz nzuri ,
@allymlanda313911 сағат бұрын
Najua mh muliro kazi yako nzuri toka zamani ,watashangaa wasio kufahamu Respect
@abdallahsoud203311 сағат бұрын
Hongera kamanda J. Muriro na vijana wako kazi nzuri sana maana nimemuona khaswa huyo kijana mweupe aloshuma na mwenzie wakwanza kutoka kwenye defender ni yeye khaswaa. Safisana jeshi la Polisi >KAZI IENDELEEE
@mlewamlewa97638 минут бұрын
Mpaka hpo ninaimani kabisa inspector mrilo hongera sna na vijana wako mungu awatunze satuti kwenu
@richardkamota85911 сағат бұрын
Hongereni Sana jeshi la polisi,mbali na matusi mnayotukanwa ,nadhani wamejua umuhimu wenu
@charleskaozya992411 сағат бұрын
Hahahaha Very good job polisi TZ ..nimemtambua uyo petiiiii😂😂😂😂😂aloo hao jamaa kazi wanayo 😅
@jimlinekimani23266 сағат бұрын
Ukweli uliko ni kwamba Simba kaletea taifa aibu kwote duniani 😭💔 baada ya kulalwa naye vile walipoambiwa wapande juu upstairs kuwatch movie..celeb atia taifa aibu kwote duniani 😭😭💔 mbona Simba kakubali kututikwa Nyuma inhali yeye ni mwanaume?????
@shaffihsiraji314112 минут бұрын
@@jimlinekimani2326We nae Kuma la mamako tunaangalia vitu vya maana unaleta Ushoga wako hapa
@LaurentMagesa-iv5yt8 сағат бұрын
Hongera sana afande mulilo , mungu akusaidie kwa kazi yako ya kulinda wananchi na Taifa .Mungu akusaidie kwa utendaji uliotukuka .
@petercostakisoka9 сағат бұрын
Kazi nzuri sana polisi hongeraaa tarimo kwa kujitetea walikuwa ni manyamera kweli kbs
@CastoKomba-j7z10 сағат бұрын
Hongera mkuu, tunahitaji utendaji kama huo bila kujali cheo kabila au nguvu ya pesa walizo nazo, tunaomba namba zenu mkuu maana haya matukio yapo sana mitaani kwetu
@archkeels37537 сағат бұрын
999
@MarthaHombo10 сағат бұрын
Tumefurahishwa kwa kazi nzuri ya jeshi la polisi Tanzania mungu awatunze kazi iendeee
@rosekimaro3845 сағат бұрын
Angalizo kesho na kesho kutwa tusije kuwaona mitaani kisa pesa(RUSHWA)
@NeemaGumbo-k5n12 сағат бұрын
Safi sana kumbe jeshi lilikuwa kazini kimy kimya Kaz nzuri sanaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera kwa jeshi la police. Ila Bado najiuliza pingu walitoa wapi? Au zinauzwa madukani mtu ukitaka unanunua tu?
@emertonmwakina859311 сағат бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri Mkuu mukiro. Hapo wanaichi wataamkuwa na imani na kitengo cha police kwa juhudi hizi.From kenya tupo pamoja ❤
@SilasJacob-z6v11 сағат бұрын
Hapo Sasa kamanda umetukonga mioyo mungu akubalikin Kwa kazi nzuri
@bashiruhassani1017Сағат бұрын
Kazin nzur sana Kwa polis wet mungu awajalie kwa kuwakamata hao vibaka
@isackahmed25637 сағат бұрын
Big up kwa Jeshi la polisi kwa kazi nzuri yaan mtu kafatwa hadi kijijini kwao! Aseee
@Mboemo7 сағат бұрын
Hongera sana kwa kazi, tunasubiria waliomteka na kumuuwa mzee wetu na waliomteka Soma na wengine ili tuone kama kweli mnafanya kazi kwa weledi maana huyo tarimo ni mfanya biashara watuhumiwa wamekatwa vipi kuhusu wanasiasa waliouwawa na kutekwa na hadi sasa hawajapatikana walipo, au jeshi la polic linafanya kazi kwa weledi kwa wafanya biashara tu wakitekwa, ila kwa wanasiasa mmhmm
@ImmanuelWilliamAyo12 сағат бұрын
Kamanda unatangaza kwa hisia kali sana tunakusililiza kwa utulivu mungu awabariki sana kwa kazi nzuri. Kazi iendelee.
@AlHamra-k4u4 сағат бұрын
Asante jeshi la police kwa kazi mnayofanya Hawa watekaji wasakwe nchi nzima
@STELLAMARCELY12 сағат бұрын
Hongereni sana jeshi la polisi....Kwa kazi nzr
@henryjulius160811 сағат бұрын
Hongeraaa kwa jeshi la polisi kazi nzurii sana ,sasa nadhani mtoe elimi nzuri kwa wananchi na kwa polisi namna nzuri ya kukamata mtu ambaye anahitajika na polisi ili kuzuia haya mambo ya namna hiii
@user-cheedycheedy11 сағат бұрын
Natoa hongera kwa jeshi la polisi kwa kazi nzuri
@mobilespecialschool42167 сағат бұрын
Haya ndio mambo tunayalilia kila siku, mashallah Allah awalinde askari wetu kwa kazi nzuri
@bellam.vyampi552811 сағат бұрын
Mh,na Dr.samia suluhu anafanya kazii nzurii Sanaa,,tuwaombee tu taasisi nyingine zote za selikari msimuangishe ktk.
@JamesMsuya-xp5gm2 сағат бұрын
Wew kweli akili zimekubana aliyekamata wahalifu ni Mh.Rais ama Jeshi la Police wapongezwe kwa kutimiza wajibu acha uchawaa
@boniphacelusato4 сағат бұрын
Kamanda Muliro na Makamanda wenzako asanteni sana kwa kazi nzuri mliyofanya. Watekaji hao kabla ya kuwapeleka Mahakamani muwape virungu vya kutosha kwani walitaka kumwaga damu isiyo na hatia.
@AbubakarPatrick-q1z11 сағат бұрын
Jeshi la polisi sio maneno ni vitendo respect kamanda muliro kwa kazi nzuri we love u all
@joshuanyonyi33134 сағат бұрын
Saf Sana .... IGP...... Mungu awawezeshe nguvu...ya Kupambana na hao waarifu...
@AhmedKisengo9 сағат бұрын
Alhamdulillah hii insonesha sheria ipo na mkono mrefu
@omariputto3315Сағат бұрын
Kazi nzuri Mungu ni mwema asante jeshi la polisi
@mcmifukotz726711 сағат бұрын
Hongera kwa jeshi letu
@ReganUiso5 сағат бұрын
Haya ndio tunayotaka mzee...sio upelelezi ambao haujulikanag umeishaga lini..salute kwako kamanda wangu
@paulmagoiga826711 сағат бұрын
Hayo ndio tunataka mtuoneshe kamanda mriro ili mrudishe Imani ya wananchi kwa jeshi letu la police big up kamanda wetu
@bashiruhassani1017Сағат бұрын
Natoka pongez kwa jesho la polis kwa Kaz nzur walio ifanya
@HasaniHamis-n5s10 сағат бұрын
Jeshi lingekuwa linafanya kazi vizuri hivyo wananchi wangekuwa naimani
@yohanakananika358610 сағат бұрын
Kufanikisha matukio yote ni ngumu
@superwomanmwenyeheri.1367Сағат бұрын
Hakika Mungu alijidhihirisha wazi kwa Tarimo! Kumbe mijitu mingine hapa ni mabondia,ila hawakumuweza Tariimoi!! Acheni Mungu aitwe Mungu.
@JumaLulanje11 сағат бұрын
Hongera sana jeshiletu lapolisi kazi mzuri imefanyika
@eveline21838 сағат бұрын
Asante Bwana Yesu kwa kusikia kilio chetu na kuharibu kazi ya shetani, pepo la utekaji limeshondwa. Mwenyenzi Mungu ushukuriwe, barikiwa kamanda Murilo kwa kazi nzuri, Mungu azidi kukuinua katika utumishi mwema, nchi irudi kuwa salama
@mariasafari100412 сағат бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri🎉🎉🎉
@happyshayo37211 сағат бұрын
Dah hadi mwanamke ndani. Mungu tusaidie tufanye kazi halali.
@SheilaOmar200710 сағат бұрын
Wanawake wwengi hawapendi kujituma wanataka pesa kiulain ndugu
@abou.salimu17955 сағат бұрын
stimes wanawake ni chambo
@KhamisJumanne-q2l6 сағат бұрын
Kamanda kazi nzuri
@IbrahimShabani-uc8ce12 сағат бұрын
Hongera mashuja wetu Polisi Kwa kazi nzuri
@calvintarimo36325 сағат бұрын
Kwelii ap mnahitajik pongezi jesh la police.....hongera sana kamanda...#MAMA SAMIA MITANO TENA.......KAZI IENDELEE
@MustapherSamson-s6l12 сағат бұрын
KAZI NZURI SANA KUTOKA KWENU JESHI LA POLISI, BIG UP SANA MH KAMANDA MLIRO.
@michaelkisesa395911 сағат бұрын
Hongera sana jembe j, 4 sisi tuna imani kubwa na wewe ni jitihada kubwa sana zimefanyika.
@NeemaMdachi12 сағат бұрын
hili tukio lilifunikwa na janga la kariakoo kumbe polisi wapo kazin wanaendelea na uchunguz kazi nzur kiukwel jeshi letu la polisi👏
@renatusblandes113112 сағат бұрын
Jamaa walijiasahu na hawakujuwa polis hawalali big up Polis wetu
@tanzaniacarschannel697512 сағат бұрын
Safi
@noahemanuel701512 сағат бұрын
Viin macho hakuna hata mmoja hapo na hiyo ni issue ya kutengeneza attention to public.
@Miriam-m2b12 сағат бұрын
@@noahemanuel7015wanatufanya mazezeta hawa na waliomuwa mzee kibao na kina soka
Ushahidi unajitosheleza kabisa..huyo dogo mweupe mwenye tshirt nyeusi hawezi kupona maana camera ya siku ya tukio ilimnasa vizuri mno..ukishampata huyo tu, chain yote umeinasa!! Hongera sana jeshi..mmemuheshimisha mama Samia!!
@janetchinga69511 сағат бұрын
Wameingia chakike wawawaaaaaaa wafumgwe maisha wao
@nkenemalulu13306 сағат бұрын
Bravo Kamanda Mlilo, kazi ni ngumu tunakuombea Mungu awe mbele yako.
@AlexMkwama12 сағат бұрын
Mh mlilo hongera sana. Ninaamini msako huohuo na nguvu hiyohiyo itumike kuwafikia waliohusika kwa ally kibao na wengine waliotekwa. Naamini inawezekana kwa nguvu hiyo hiyo
@charlesboniphace224911 сағат бұрын
Mbeya
@alfredmauma72585 сағат бұрын
Hongera sana mama samia IGP wambura na jeshi mmefanya kazi nzuri tuna imani na utawala wetu 👍🤝🏼
@muyasaidy10 сағат бұрын
Murimo nakuaminia Najua kaz yako na uadikifu wako ukiamua kufuatilia Jambo,tangu upo kwanza,salute kaka
@AminiMsellem-gk3yy9 сағат бұрын
Endeleeni kuilaumu serikali kua inateka watu
@aminagama5109 сағат бұрын
Yaani muwatese mpaka waseme
@frankkihamo82083 сағат бұрын
Hongera Sana kwa jeshi letu kazi ya viwango pamoja na kamanda wetu mlilo nakubali kazi yako no viwango Sana nafikil jeshi linapotaka kumkamata mtu kuwe na utaratibu hata mwenyekiti wa mtaa uhusika apewe taarifa ili kuepusha sintofahamu iliyopo hongeren kwa kazi tunaomba ikisithibitika Wana atia tunaomba adhabu Kali ili iwe mfano kwa nchi nzima
@HannanSomaiyah-wp7nyСағат бұрын
Uvivu hawataki kutafuta riziki zao kwa jasho wanataka mserereko Mungu wetu halali Weka ndani maisha haooo
@ezekielmadindula267911 сағат бұрын
Nasubiria walio mteka Abdul Nondo😂😂😂😂 niwape saluti😂😂😂😂
@sophiemsuya650711 сағат бұрын
Mimi pia nasubiria waliomteka marehemu Mzee Kibao
@salehwaziri506211 сағат бұрын
Ilakumbuka huyoNondo alishawahikujitekamwenyewe
@salimkhamis363810 сағат бұрын
@@salehwaziri5062kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba vile alivyoumia Abdul Nondo amejiumiza mwenyewe pia?
@lonelysanga932810 сағат бұрын
Kama aliwahi kujiteka mwenyewe hivo atakuwa amejiua yeye mwenyewe daaaaaah😢@@salehwaziri5062
Tunawashukuru jeshi la police kwa kazi nzuri mliyoifanya sasa hao inabidi wawalete waliotekwa hawajulikani walipo
@pacomezouzoua917510 сағат бұрын
Huyu mlilo huwa ni kiboko akiivalia njuga mission lazima iishe🤣🤣🤣 Safii sana mwamba
@frida-oi6kw9 сағат бұрын
Upo hadi uku😂😂😂😂😂...nikajua kuhusu yanga tu...😂😂😂jokes
@pacomezouzoua91759 сағат бұрын
@frida-oi6kw nimekuja uku kwasababu bro tarimo ni jirani yangu😆😆😆
@frida-oi6kw9 сағат бұрын
@@pacomezouzoua9175 😂😂😂😂😂😂😂
@ev.eliezangiruketv89025 сағат бұрын
Hongera Sana jeshi la Polisi Kwa KAZI nzuri.
@yahayalugongo482512 сағат бұрын
Big up polisi Tz
@Anthonyzombie-d2s5 сағат бұрын
Homgereni makamanda wetu kazi nzuri ,mungu awape nguvu zaidi
@MwanahamisiHashim10 сағат бұрын
Hongera kwa makamanda police kaz nzuri
@charleshotay82296 сағат бұрын
Very good work. Mkifanya Hivyo utekaji utapungua
@HamisiNguche11 сағат бұрын
Yaani ukifanya hivyo unapewa ❤❤❤❤❤❤❤❤
@HannanSomaiyah-wp7nyСағат бұрын
Safi Sanaaa 🙏 Alhamduli'llah Wamezid na kutaka kujichukulia hatua kama serekali za Baba zaoo
@amosmahona43311 сағат бұрын
Kazii nzuri kamanda murilo
@noelkipera65814 сағат бұрын
Respect jeshiiii najua mnapokea tuhuma nyingi ,,,japo nyingi sizenu,,,watu wanajivika upolis kwenye uharifu wakitumia identity ya jeshi Letu kumbe wahuni tuuu,,,hata kwenye siasa wengi wao niwao wenyew
@jamalkishangu11 сағат бұрын
Kamanda Murilo hapo umechapa kazi.
@emanuelakaro142310 сағат бұрын
Salute to you kamanda, Yani haya ndo tunatamani kuyasikia kwani mtu yeyote mhalifu hawezi kimbia mkono wa polisi! Wale kichapo heavy ili wautaje mtandao wote
@ramajuma562010 сағат бұрын
😂😂😂oya shituken huu ni mchezo watu wanaenda kula bata huko
@ramamabrok252310 сағат бұрын
😅😅😅
@PUTINN36510 сағат бұрын
Wewe ntakupeleka urusi
@DoreenJerry-o7f10 сағат бұрын
Wacha wakale chamsingi tumeona wamekamatwa😂😂😂
@ibrahim_42710 сағат бұрын
@@PUTINN365 putin WA tz😀
@rayisadesigns264610 сағат бұрын
Mbona hamna jema?! Wasingewakamata pia mngesema!!
@godymbanyi18785 сағат бұрын
Jeshi la Polisi lina weledi na vifaa vya kisasa kuweza kupeleleza, kuwasaka na kuwakamata watekaji ilimradi tu, waamue kufanya hivyo! Tunasubiri wengine waliotekwa wapatikane ili kuondoa hofu mitaani! Hongera sana Kamanda na timu nzima ya Makachero wa Polisi.
@Shekhahamed-v2f12 сағат бұрын
Hongera Sanaa jeshi letu polc
@JohariNgailo-ry3mn12 сағат бұрын
Hongera polisi tunaimani na jeshi letu! Mungu asante
@johnmacha21945 сағат бұрын
asante sana Kamanda, if i was the president ningekuteua I.G.P. Very Professional.
@NardhisMhagama-sy3eq12 сағат бұрын
Kumbe inawezekana na watu wakalipenda jeshi la polisi big up
@FelistersMejumaa-xi2ge5 сағат бұрын
Hii nmeipenda hongereni sana , sasa bado hao wanao uwa viongozi wa Chadema 🙏🙏 nao wapewe adhabu
@MeckyBoy10 сағат бұрын
Sio kwamba wasiojulikana hawez kujulikana ni swala la kuamua tuuu ila big up kwa jeshi la police 👮👮
@mkambamaulid44710 сағат бұрын
Tunaomba mfano wa kuigwa kuhusiana na tukio hilo na kwa kuwachafua nyie askari wetu ss wanyooosheni Askari msikubali kuchafuliwa na watu wachache Kazi nzuri kamanda Mliko💪🏽🙏🏼
@Sage-o4q11 сағат бұрын
Nimekaona kale kafupi kalikodondoka hadi chini😂😂😂😂😂😂😂 kale keupe
@LucyNgowi-r2o10 сағат бұрын
Kweli kabisa atamimi nimembaini baada ya kumuona
@JosephKulwa-rc7en5 сағат бұрын
Kazi nzuri sanaaaa mgekuwa mnafanya hivi maaskari Tanzania uovu usingekuwepo hongereni sana
@MathaMsumi-l1b11 сағат бұрын
Danganya toto hii 😂😂😂
@obaidothmanalbulushi919611 сағат бұрын
Kama wewe utawafahamu kawakamate tion kama kweli nidanganya toto
@MathaMsumi-l1b11 сағат бұрын
@@obaidothmanalbulushi9196 kwenda
@2pacFreeStyle9611 сағат бұрын
Janja janja hizi mi hata siamin na kukamatwa ni asilimia ndogo sana ya kutekeleza haki je watahukumiwaw, binti wa yombo dovya had sasahiv kimya na watu wameshasahau ndo imetoka hiyo
@colletatesha526511 сағат бұрын
Binadamu hawana jema
@BarakaKusalula11 сағат бұрын
@@2pacFreeStyle96Ile wa Yombo ilishatoka tayari au hukufuatilia? Yapo mapungufu sipingi lakini mazuri machache wanayofanya tuwape maua yao
@OMARYKASSIDI8 сағат бұрын
Watu kama Hawa ndio inapendeza wakiongoza nchi yetu aisee hongereni saana kazi nzuri munafanya jeshi letu la polisi🎉🎉❤
@YunisJerald12 сағат бұрын
Hyo wa kaptula si ule alikuwa kashika pingu leo.ndio zimefunga yeye 😂
@dr.sendeuonlinetv29165 сағат бұрын
Hongera sana kamanda mliro kwa kazi nzuri jeshi letu IPO imara 💪💪🇹🇿
@henrymoshi92434 сағат бұрын
Kazi nzuri makamanda, ila walikuwa mikoa ya mbali mbali hivyo bado wengine cheni yao itakuwa kubwa sana
@felistercharles5 сағат бұрын
Asantee Sana jeshi la polisi kwa kazi nzurii 🙏
@baswirahmukhtar86066 сағат бұрын
Maneno ya kejeli na dhihaka ni sehemu ya utendaji kazi,, binafsi niwapongeze sana jeshi la polisi Kwa hili m.mungu awape afya njema mwendelee kutenda yanayopendeza na kutupa Iman wananchi watz
@iviejustified810910 сағат бұрын
Respect kwenu POLICE.. Kutekwa kumekuwa modality kama sijui ndiyo style mpya ya maisha... Shenzi type minya hao kunguru
@feelNice-vi3lo5 сағат бұрын
Kazi nzuri kamanda wanaodhani polisi hawafanyi kazi ni mamruki wao tuwakatae na tuwenao makini washenzi hao polisi hojeeeeee
@obsonjulius3124 сағат бұрын
Afu watu wa kyela wana nini, mbona 😅😅😅 haya ndo wananchi walikuwa wanasubiri, big up kwa kazi wakuu
@sadiqadam79716 сағат бұрын
That's what am talking about.. Haya sasa ndio maneno kamanda, well done 👏🏾
@MatronaThomas-wz5si7 сағат бұрын
Sirro niliwahi kumweleza kuwa anachapa kazi akiwa Mwanza akawa IG naomba kamanda nitamke kuwa umevaa viatu❤❤❤❤❤
@RizwanAbdallah7 сағат бұрын
Hapo kamanda nimekubali hiyo ndokazi ya polic safi sana tunataka tuzidi kuwaamini polic shukrani kamanda
@AmelianaElipid11 сағат бұрын
Hongereni sana jeshi la Porisi kwa jitihada zenu Mungu awape afya njema Ili muundelee kulitumikia Taifa letu.
@JacksonByabato-v1k5 сағат бұрын
Safi sana kamanda unafanya kazi kisawa sawa Asante sana Mungu akulinde sana
@XaveryBillings-w1t8 сағат бұрын
pamoja na pongezi hizi kamanda tunaomba mfatilie na matukio mengine ,mfano kutekwa abdul nondo, soka, kibao na wengine wengi ambao hatuwafahamu , mkiendelea na kazi hii nzuri hamtaona kelele hata kidogo
@ibrahimuakwilombe3 сағат бұрын
Hongera Jeshi letu la polisi,kazi iendelee
@MadodoMartini10 сағат бұрын
Kamanda Mliro hongereni kazi nzuri, huu ni Mwanzo mzuri katika matukio ya Utekaji, Kazi Iendelee
@ROJAOMARY-ys7xb4 сағат бұрын
Naipenda tz nchi salama sana japo tuache kuvibeza vyombo vyausalama 🎉🎉🎉🎉
@alexanderchacha85854 сағат бұрын
Safi sana jeshi letu linarudisha heshima na imani sasa kwawananchi
@rehemadaudi43904 сағат бұрын
Safiii Sana Jeshi letu Mungu azidi kutunza Jeshi yetu, Tanzania iwe na Amani, Kazi iendelee. ❤