CHIDUMULE NA KKKT MSASANI WALIVYOPAMBA USIKU WA CHRISTMAS CAROLS

  Рет қаралды 64,835

Ukombozi Choir

Ukombozi Choir

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@stephenmalilo9833
@stephenmalilo9833 5 жыл бұрын
Anazeeka mwili tu, sauti bado ina kazi ya kufanya kwenye ufalme wa Mungu......!! Glory be to God......
@peterwanjohi2930
@peterwanjohi2930 Жыл бұрын
mungu akupe nguvu Mzee wetu na maisha marefu Ili uneze Neno lake kupitia nyimbo zako tamu tamu .huu wimbo unagusa moto wangu Sana
@lizychris4776
@lizychris4776 4 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana jmn kwa uimbaji wa huyu baba na mimi nitamwimbia mungu kupitia kuguzwa kwako🙏🙏🙏🙏
@amosmwanga4027
@amosmwanga4027 5 жыл бұрын
Natamani ningekuwa na Baba anaemcha Mungu kama huyu.........Barikiwa sana mzee
@mpazielelisifa9187
@mpazielelisifa9187 5 жыл бұрын
Jitahidi wewe uje uwe baba anayemcha Mungu watoto wako wajivunie
@evangelismchannel8810
@evangelismchannel8810 2 жыл бұрын
Kama Bado una wazazi wako ni jukumu lako kuhakikisha unawaombea mpaka wanamjua YESU. Kuwatunza na kuwaheshimu wazazi wetu ni pamoja na kuwaletea jibu la hitaji kuu la kila mwanadamu kuingia Mbinguni. Usishangae Hata Yesu Kristo mwana wa Mungu aliwasaidia wazazi wake Ndio maana Hata pale msalabani anamkabidhi Mama yake kwa Yohana mtakatifu
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 5 жыл бұрын
Daaaah sauti ya heshima kwa Mungu. Mungu akubariki sana mwanamuziki mkongwe
@dorcasnixon1760
@dorcasnixon1760 3 жыл бұрын
Unanifurahisha Sana mzee hongera
@stellamatafu5984
@stellamatafu5984 3 жыл бұрын
This day sitakaa nisahau i got an accident and it was by Grace of God nilitoka mzima nikakosa hii huduma..barikiwa sana my team 🔥🔥🔥🔥🔥
@nsajigwarichard1951
@nsajigwarichard1951 5 жыл бұрын
Ooh my Lord I feel annointing right here! God bless you Chidumule
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 4 жыл бұрын
Nilikuwa nasikia tu hii sauti kumbe mwenyew ndio huyoo 0000h Haleluyaaa 🙌🙌🙌🙌🙌.2020
@jjfarajagospelband7803
@jjfarajagospelband7803 5 жыл бұрын
Hakika Yesu ni Bwana.
@jumbejoshua2398
@jumbejoshua2398 5 жыл бұрын
hii nyimbo inapenya mpk moyoni....kila niusikilizapo huu wimbo huwaga mwili wote unasisimuka bongo moja la Gospel song.
@sharondivine8994
@sharondivine8994 5 жыл бұрын
Hallelujah anointed gospel song! Mungu akubariki sana PST Chidumule
@francism.1208
@francism.1208 Жыл бұрын
Pastor cosmas, God bless you for the great song.
@swahiliandculture6599
@swahiliandculture6599 5 жыл бұрын
K UOKOKA ni raha jaman... Nyimbo za Yesu huwaga hazichuji.... barikiwa baba
@josephclemence4441
@josephclemence4441 4 жыл бұрын
Tena sana
@stevenmfumbilwa2109
@stevenmfumbilwa2109 2 жыл бұрын
Warumi 10 :9 Ubarikiwe sana MTUMISHI WA BWANA YESU Kristo ni BWANA na mwokozi Halelluya
@barnabasmboya7688
@barnabasmboya7688 5 жыл бұрын
Yesu Kristo ni BWANA
@josephclemence4441
@josephclemence4441 4 жыл бұрын
Ukifanya kaziya Mungu lazima uwe nalaha unamuona mzee lakini sauti kama mtoto wa miaka14 akika kwayesu kunalaha
@jairusatito8548
@jairusatito8548 5 жыл бұрын
God bless you much for being a role model, you are in my heart
@anjiwikestanley958
@anjiwikestanley958 5 жыл бұрын
Yesu ni Bwana
@saramalila4441
@saramalila4441 3 жыл бұрын
Hongera baba mungu akukumbuke
@gracealexander5309
@gracealexander5309 5 жыл бұрын
Ameeeen barikiwa sana mtumishi kwa huduma hiii
@piusmsoma3326
@piusmsoma3326 5 жыл бұрын
Baraka tele barikiwa mtumishi wa Bwana Chidumule
@kensimiyu5926
@kensimiyu5926 10 ай бұрын
I'm.here from 2am worthing God jamani huyu mungu ni wasjabu amebariki huyu ndungu kila mwiimbaji nimebarukiwa saana wengine tulikuwa wabaya kuliko nyinyi na huyu mungu ametuokoa jina la baba libarikiwe
@ubuzimabwaclaudine9798
@ubuzimabwaclaudine9798 5 жыл бұрын
wow mungu akubariki
@piestudio7149
@piestudio7149 2 жыл бұрын
ubarikiwe sana
@nibizijaphet5547
@nibizijaphet5547 4 жыл бұрын
Anaweza
@pharesmalwega165
@pharesmalwega165 5 жыл бұрын
Hakika huyu mzee ni mfano wa kuigwa na Mungu wa mbinguni anisaidie nipate Neema ya kufanya nae kazi walau moja
@bramweladuma4982
@bramweladuma4982 3 жыл бұрын
I can see modest Morgan in the congregation
@paschalpaul5022
@paschalpaul5022 5 жыл бұрын
penda sana my father Amina Yesu ni Bwana
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo 5 жыл бұрын
Afadhali maana kipndikele nilitaman kinikiwa mkubwa nikute hz kumbukumbu lkn ilishikana lkn sasa nashukuru Mungu historian imajirudia
@damsonmsalangi3900
@damsonmsalangi3900 Жыл бұрын
Uimbeni tenaa jmn
@ezekielenock5470
@ezekielenock5470 5 жыл бұрын
Mungu niongoze na Mimi hivi
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY Жыл бұрын
Safi sana ❤
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 5 жыл бұрын
Kumbe uyu baba ni mtz jamani mimi nilijua mkongo
@davinahevenly7899
@davinahevenly7899 5 жыл бұрын
Mtanzania?
@zonko0488
@zonko0488 4 жыл бұрын
Mngoni wa Songea!!!! Mtanzania mbele na nyuma!!!
@happyjohn5882
@happyjohn5882 4 жыл бұрын
@@davinahevenly7899 ulitka awe wa nchi gani ? Au awe mkenya hahaaa maana wakenya kila kizuri ni chaoo hahaaaaa,Remmy Ongala,Cosmas Chidumele wote wazaliwa wa Songea Tanzania, na kuna kipindi walipokuwa wakiimba secular music, waliungana na wakawa kundi moja.baadae wakaacha na kuwa wakishirikiana tuu kuimba kama wimbo wa Narudi nyumbani,nk na badae wakaongoka wote na kumkubali yesu
@paradiseforchildren1965
@paradiseforchildren1965 5 жыл бұрын
Ahahaha. Nafurahi saaaaana nikiona huyu Mzee na huuu wimbo. Tulipenda saaaana huyu wimbo huko Congo kwa kwaya yetu ya watoto. Zaidi hapo ku; tulikua vibaka kuliko wewe; Yesu ni Bwana. Wende police watakwambia...Halaluya. Mungu ni mwema pia anaokoa na anabadili...
@pharesmalwega165
@pharesmalwega165 5 жыл бұрын
Nampenda sana huyu baba kutoka moyoni mwangu jamani
@johnchilimila7548
@johnchilimila7548 5 жыл бұрын
Haleluya!
@tupulikemahenge9259
@tupulikemahenge9259 3 жыл бұрын
YESU NI BWANA.
@belito1270
@belito1270 3 жыл бұрын
Anaimba Live sawia na recorded........ Huyu ni mwanamuziki KAMILI,
@agyvutz4336
@agyvutz4336 4 жыл бұрын
Nikiwa mdogo niltamani Sanaa kumwona, anyway ata wakati huu naskia maombi yangu yametimia...nmefurahi kumwona n kumskiza.
@belito1270
@belito1270 3 жыл бұрын
Woow
@BroNicholasMusembi
@BroNicholasMusembi 5 жыл бұрын
I feel blessed
@mariamnyerere918
@mariamnyerere918 5 жыл бұрын
Daa nakukumbuka ulivokujaga kanisan kwetu simiyu ulikuwa unaimba huu jaman
@lameckokoa2175
@lameckokoa2175 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa huduma chidumule
@damsonmsalangi3900
@damsonmsalangi3900 Жыл бұрын
Kumbe huu ni wimbo wa msasanii??
@roviykamage5423
@roviykamage5423 4 жыл бұрын
YESU ni bwana na mokozi wangu.
@vince_vinson.2083
@vince_vinson.2083 5 жыл бұрын
Cosmas Chidumule ana sauti ya kuimba balaaa
@gracealexander5309
@gracealexander5309 5 жыл бұрын
AMEEEEEEN
@upendojoseph31
@upendojoseph31 5 жыл бұрын
Mungu nj mzuriii
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 2 жыл бұрын
Kitu inapgwa live jmn
@emilyakinyi2645
@emilyakinyi2645 Жыл бұрын
Amen
@happinesswilliam2948
@happinesswilliam2948 4 жыл бұрын
HAPO KWA YESU KAINGIA GHARAMA NDIPO NIKISIKIA NINABARIKIWA SANA NA HAPO TULITENDA DHAMBI ILA AMETUBADIRISHA KWA KWELI YESU NI BWANA WATENDA DHAMBI LEO TAFAKARI ZINAKUPA FAIDA GANI AU RAHA? YESU AKUBADIRISHE UZIACHE DHAMBI NI MZIGO WA MATESO, MAGONJWA NA SHIDA UKOKA UACHE DHAMBI MIE NIMEGUSWA TU
@beatricevihenda7691
@beatricevihenda7691 5 жыл бұрын
Hallelujah
@alisabatiaali474
@alisabatiaali474 5 жыл бұрын
Good music
@noelangowi6960
@noelangowi6960 3 жыл бұрын
Mafuta yapo juu ya huyu baba saana
@davidfrancis8582
@davidfrancis8582 5 жыл бұрын
Yesu ni Bwana
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 5 жыл бұрын
Yesu ni Bwana
Yesu Ni Bwana by Cosmas Chidumule [Ufufuo na uzima]
10:45
Ndayipro WeDoGospel
Рет қаралды 203 М.
11 Chidumule
30:26
NGUVU INAYOBADILISHA
Рет қаралды 58 М.
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 12 МЛН
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 17 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 22 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 2,2 МЛН
Unibariki - Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani
8:29
Ukombozi Choir
Рет қаралды 160 М.
Israel Mbonyi - Yaratwimanye
15:38
Israel Mbonyi
Рет қаралды 7 МЛН
USHUHUDA WA MAPITO YA COSMAS CHIDUMULE | TAREHE 11.07.2021
1:38:47
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 15 М.
UKWELI WAFICHUKA JAMAA AMFUMANIA NA SMS MKE WAKE KUMBE HANA KOSA NI NDUGU ZAKE
15:40
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 63 М.
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 6 МЛН
Jicho la Tatu -  Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani
8:54
Ukombozi Choir
Рет қаралды 1,1 МЛН
MWANAMKE ALIEPACHIKWA MIMBA NA KAKA YAKE SIRI YAFICHUKA MUMEWE AJA JUU NA KUMKATAA
12:39
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 108 М.
Patrick Kubuya - Sitakuacha (Live Recording )
15:53
Patrick Kubuya
Рет қаралды 1 МЛН
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 12 МЛН