Pongez kwa aliechagua uniform ziko vzuri mnooo.....asante kwa wimbo umenibariki aswaaa....
@mayehitakuoko98464 жыл бұрын
Yaaan Mungu asiwaache iviivi... awainue utukufu hadi utukufu.. nyimbo zenu zinatubariki sana
@MaimarthaMartine Жыл бұрын
Leo sitoki hapa mpaka unibariki !!❤ Mbarikiwe kwa uimbaji mzuri
@beatricemghase41044 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana this song is powerful so spiritual,Mungu nibariki...who is watching 06/03/2020?
@jeskalungu9604 Жыл бұрын
Huyo kaka anasoro vizuri sanaa hongereni sanaa
@walteromudokolo84998 ай бұрын
Wow! What a blessing song. Biblically composed and executed. Mungu awabariki waimbaji. Wimbo huu umegonga ndipo
@lukumaypendaeli15014 жыл бұрын
Nyimbo zenu zinsnibarik sana jaman 😍😍😍much love msasan kkkt
@farajamassawa7314 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kama ujumbe wa nyimbo hii....
@estameryngogo5945 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu. Hongera Mwl na waimbaji wote
@victorialuoga12803 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kijana kwa uimbishaji mzuri Nawapenda sana
@getruderlubawa29365 жыл бұрын
nyimbo zenu nazipenda mno vp khs cd ntapata wap
@blessedtumaini84544 жыл бұрын
Leo ni siku yangu nimeng'ang'ana nimebarikiwa asante Mungu Baba yangu kunibariki.
@jeremiahmwau17934 жыл бұрын
We are blessed so much by your music here in Kenya keep up the great work God bless
@frankeliudi80713 жыл бұрын
kwel mungu awabariki mko vizuri
@lameckmutemi28584 жыл бұрын
Tunabalikiwa sana na nyimbo zenu, mbalikiwe
@godymlawa1439 Жыл бұрын
Amen nawapenda sana barikiwa san❤❤❤❤❤❤
@foschanel Жыл бұрын
This song should be viral 🤔. I just discovered it today. It's has really blessed my heart.
@jemimahaloyce47404 жыл бұрын
Mungu azidishe vipaji mbele yenu amin
@evelyneirankunda64354 жыл бұрын
I your songs, you all look amazing may our Lord Jesus Christ bless abandant
@saravikula90903 жыл бұрын
Mubarikiwe watu wa mungu kwa Huduma natamani ningepata cd
@noelmatemba18084 жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Mbarikiwe!
@leonsamosimtana29073 ай бұрын
Mbarikiwe sana. Hii Ni nyimbo yenye ujumbe usiopitwa na wakati
@lissashayo429010 ай бұрын
Mungu awatunze na kuwainua zaidi kwa uwakili wenu
@jeskalungu9604 Жыл бұрын
Mnanibariki sana waimbaji nyie mungu awatunze
@zacchaeusmirera54924 жыл бұрын
leo n siku yangu Bwana nibariki mwaka huu
@evelinasamweli5783 жыл бұрын
Big up msasan mnanibarik Mungu aendelee kuwatunza na Huduma izid kukua nataman nas tufike hapo
@bojobojoni62474 жыл бұрын
Wimbo unabariki kama jina lake!!.. Ushauri mdogo tu: Jitahidini kutamka maneno ya kiswahili kwa kiswahili. Yani "Bariki" itamkwe "Bariki" na sio "Barwiki" sidhani kama itabakisha maana moja. Mbarikiwe!!
@mwambelekoenock45663 жыл бұрын
Za
@datiusfaustin97244 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa Ukombozi choir Roho Mtakatifu awatunze 🙏
@manasemoses69224 жыл бұрын
Mungu awabariki namependa kaz zenu
@cecykadema43603 жыл бұрын
Nawapenda mno,nyimbo zenu zinabariki sana
@cassandrarebeccah4300 Жыл бұрын
Such a blessing ....this is a powerful song indeed
@joshuaayo72212 жыл бұрын
Sijuiiii nisemejeeee 😍 We receive those blessings from God thank u
@dafrosasanya35103 жыл бұрын
Amen mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
@leahmwakalambile16484 жыл бұрын
Yesu nibariki leo
@festusmutie8612 Жыл бұрын
Kazi poa mungu awabariki
@jamesmibaroi49414 жыл бұрын
mpoo vzriiii kuliko kawaidaaa......
@ntulimwambambale75654 жыл бұрын
Jamani huu wimbo umenibariki hatariii
@tumainik.k.k.tkwaya-moshik22664 жыл бұрын
Naombeni mnisaidie namba za moja ya viongozi wa kwaya hii
@sophiarichard59264 жыл бұрын
naupenda huu wimbo
@webingogo36334 жыл бұрын
Utukufu,heshima,adhama na Baraka apewe bwana kwa kutujalia vipawa na karama mbalimbali ili tumtumikie yeye:
@mrs.belindastephenmagula98583 жыл бұрын
Unibariki nami 2021 mungu wangu nakungangania
@evelinakilango65884 жыл бұрын
Duuu yaan sijui hata nisemeje cha msingi mbarikiwe kila wimbo mtamu nilijua jicho LA tatu kumbe kila mwingine upo saf
@mwambelekoenock45663 жыл бұрын
Kyuu
@mamaivansaganda97834 жыл бұрын
Yaan kile kidada kiliimba wimbo wa simba aliunguruma aisee mpe tena wimbo abishe na yule mkaka wa simba waliimba na yule mdada