Huyu jamaa wengi wanamuona kama mshamba lakini ana busara haijalishi pesa anapata wapi kikubwa na jamii inasaidika kwa namna moja ama nyingine salute kaka.
@festoHaonga3 күн бұрын
Safi Sana kaka maana wengi hawapendi mtu afanikiwe ww Kula pia mungu wako ndiye ajue unachokifanya
@ndukulusudikucho_2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kumpa zaid na zaid, ila namuomba Mungu anijaalie niwe na moyo kama wake wa kusaidia masikini
@sadydajuАй бұрын
Allah abariki kazi za mikono yetu Mungu abariki ambacho hawakitaki ambao wanajifunza kunichukia na hawape ambacho hawana uwenda ndosababu ya vitimbi vyao
@isayachriston33362 ай бұрын
Hongera kaka kwa mchango wako kwa matendo kama haya lazima MUNGU akuinue zaidi
@josephmasaba1406Ай бұрын
Chief kijana ambaye anapenda mafanikio lazima hampongeze mwezake aliyefanikiwa hongera sana chief
@piuswilson986510 күн бұрын
😊
@faithjonathan38452 ай бұрын
Yaani wabongo bwana. Wanataka mtu atafute hela halafu aje awape wao connection kwenye biashara yake. Sasa mnalazimisha awaambie eti awape mchongo😂😂😂. Alichosema ni sawa....hela unatakiwa uwe na akili sio eti upewe connection. Na tusiseme ana dharau, yeye kaongelea wanaomsema sema. Ukuona anakukera usimfatilie.
@allyrashidi-q2yАй бұрын
Chief nakukubali sana tafadhali nipemuongozo
@ChoroMan-g8t5 күн бұрын
Nakubali Sana broo
@mrossotv905417 күн бұрын
Hii interview ni superb 😊
@IpmdavidАй бұрын
Boss mimi nampeda historic wake Sana ❤❤❤❤❤ Kuja DR CONGO
@Mafichoni12 ай бұрын
Nakubali chief keep it up
@wilsonrono-g1bАй бұрын
Only God knows how much grateful i am. After so much struggles I now own a new house and my family is happy once again everything is finally falling into place!!
@PetroNdaraha2 ай бұрын
Nipo Kenya nakukubali chief...
@DavidMichira-DMNАй бұрын
Mwaka wa mbele ni upi kaka😂😂😂😂😂huu utiaji wa kijana mwenye sura ovyo ataacha
@EricWanjala-h5r19 күн бұрын
Nakubaliana xn na kazi yko tena napenda vile unaongea we n mtu unajielewa naomba niongee na wewe ntafte ili unipe njia nfaulu
@hassanmpemba57472 ай бұрын
unaongea point chef
@jossporahmsw84202 ай бұрын
Nakubali xnaa mzee,,,
@Kulwakisansa-zk5yg2 ай бұрын
Leo king'amuzi kipo sawa
@salimuismailАй бұрын
Chief pleaz nataka kujiunga na nguvu ya pesa jicho la tatu mi nipo mosh mjin
@NimrodLeken2 ай бұрын
Kama mtihani ashafeli..swali alilouliza hajajibu mpaka interview inaisha😂😂
@fredducaunt2 ай бұрын
Kwa wanaokaza fuvu ndo watasema hajajibu Lakini ashajibu
@tinnahagustinolyelu42472 ай бұрын
Mpaka useme hela uliotoa Jenga na wewe golofa tuone
@irenembura80452 ай бұрын
Sasa Mwijaku amesema mchango katoa yeye kumbe kapewa😂
@ShamiriNjikuАй бұрын
sema pia unajibu kisiasa sana broo inamaana siudanganye ataunafanyakazi flani2,,,!!!
@mashakacharles32304 күн бұрын
sema wee wamoto kaka yani wakukuiga wew jinsi unavosaidia watu hakuna tajili yeyote anaekufikia kaka
@mwalitv45552 ай бұрын
Hela za giza huwa hazina maelezo wala majibu....ndio maana jamaaa anazunguuukaaaa hatoi jibu
@alawiali34752 ай бұрын
Anazunguka mbuyu.
@adelinaamosi943710 күн бұрын
Anatamba tu
@LilCrazy-f6h6 күн бұрын
#miaka bukuu mzee
@MwinyiAli-k9xАй бұрын
Kweli ndani ya kenya watu wakukubali bro
@Aminmwansile-we8vn2 ай бұрын
Barikiwa chifu God Love kwa mchango wako wa rambi rambi
@ThandokaziBahleMzondi2 ай бұрын
Can you please help me with money to buy my 2boys clothes for December holidays R5000
@mahamoudmakotaperfumes8788Ай бұрын
Mw. Mungu akubariki
@hansonmwaki54402 ай бұрын
Mungu akubariki kwa utoaji wako nakubaliana na wwe mia mia utajiri wenye huwezi kumsaidia mtu basi hizo hela ni makaratasi
@panduafricangiant49022 ай бұрын
Kama huwezi kuwainfluence vijana kwa kuwaonyesha michongo inayoeleweka acha kubwata ovyo na kuonyesha pesa zako
Hii ujumbe ni kwa vijana wote wanao tamani na kumfuata uyu jamaa: Chef godlove ana ndugu yake wa dam kabisa ambae kuna mdaa wana onekana pamoja, ivi kwanini hule hana utajiri kama yeye ?? Tena yeye mambo zake zote anazi weka public kwanini hajawai ku tangaza biashara yake ??, Na wale ambao walisha jiunga nae wamesha fanikiwa kiasi gani ?? Kiukwel Kwa mtu mwenye busara na hekima kuna maswali nyingi zaku jiuliza, ila tumpongeze kwaku saidia watu ila msi tese mwili na akili zenu kwaku tafuta mafanikio kwake.
@fawziyahassan57142 ай бұрын
MWENYE PESA HASEMI ILA SHETANI ANATANGAZA ILI KUTAMANISHA WATU ILI WAMUASI ALLAH SW.
Hidunia yaleo mtu Akifanikiwa tuu utasikia frimasoni au mchawi yani Mungu Abariki mtuu wakisaidiwa masikini ndotabu tena wa Afrika Awapendi kusaidia wezao imejengeka wakisaidia ni wazungu tuu kanuni ya Mungu iliubarikiwe nikutoa eri kutoa kuliko kupokea Mungu Anahangalia mtu anae wajali wezake hili apitishe baraka zake Zaburi 41:1-2. kaka Mungu Akubariki
@kellysmith40957 күн бұрын
Watanzania,ni Bora,kusifia kile kristo amekupa kwa jasho lako, lakini umevaa Pete,hajajibu ni biashara Gani unafanya ikuingizia kitita, freemason,fumbo mfumbia mjinga
@naomimacha44442 ай бұрын
Mungu azidi kukutunza kukupa hitaji la moyo wako my brain
@mahamoudmakotaperfumes8788Ай бұрын
Aiseee bro wewe ni jinia bro the way majibu unayo jibu unajibu majibu sahihi sana
@makariusturuka64132 ай бұрын
Jibu swali unafanya biashara lipa Kodi ya serikali. Ndo maana wanahoji.
@smadon563821 күн бұрын
Huyu kajiunga na Freemason 😂
@saidharbinie-dl4dd2 ай бұрын
Kwenye level ya life jamaa yupo kwenye stage ya self actualization😂😂..watu wachache sna wamefika hii level dunian
@OmaryNgonyi2 ай бұрын
Mzee pesa mingi alafu mabeby haunaaa???....aaaaah
@ukwelitv93822 ай бұрын
Kenya bro reng ni 50 million ksh weka kwa pesa ya tzd
@BenedictorPatrick-s4dАй бұрын
Tuashum ni million 50 we unazongap kama mkenya mbn mnajikuta mbwa nyinyi na hela hamna
@BobErick-er6qmАй бұрын
Fika ile stage ya Ginimbi but uzae usife kama Ginimbi bila mtoto but big up+254
@ukwelitv93822 ай бұрын
Kweli bro hiyo gari kenya haina man
@stevenkichereocholla25722 ай бұрын
Kataa wahuni@polepole
@princenelsonsinko523710 күн бұрын
Huyu jamaa atakuwa na biashara ya Siri na hiyo ndio inampa pesa
@Luka111-t2yАй бұрын
Nikweli kabisa
@yahyabrowb2 ай бұрын
mm nimependa sana icho unachokifanya mm apo kipindi cha nyuma2019 kulikua nakituo chawatoto mayatima nlikuwa naenda sana kuwasaidia natembea nao sehemu wanazoenda kuwaombea watu dua ila kwasasa nimeshuka sana kimaisha ila mapenda sana kuwasaidia
@JaphariMwangu2 ай бұрын
zilongwa mbali zitendwa mbali jibu unafanya kaz gan
@ukwelitv93822 ай бұрын
Hahahah haluna rang hapo bro
@zachaamaster5378Ай бұрын
#nakubari chifu ww nidunia
@maysticmaystic755615 сағат бұрын
Naomba namba yako chief naitaji
@HashimYahaya-hd3zm14 күн бұрын
Pesa za majini kaka lipa kodo
@christophersarara5742Ай бұрын
Huyu nani kwanza ,,Yani uyo jamaa Kenya atumjui,,, million mbili ya tz apa Kenya fundi garage anatengeneza bila ugumu
@MosesskimaniАй бұрын
Me nk na mafanikioa ambay wazi wao hawana daah chief imetosha
@SamlecoTz2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂SEMA HUYUU JAMAA ANAKITU ANAKIFICHA CHA AJABU SANA SEMA TUACHE KILA CHENYE MWANZI KINAMWISHO ATAZIKUMBUKA SANA HIZI INTERVIEW 😢😢😢😢
@chalzmelody212 ай бұрын
Kweli kabisa
@AndreyMalisa-qj3ds2 ай бұрын
Iko wazi pesa za uhanisi sio kaka
@esthermalamsha28472 ай бұрын
Nawaza kama ww😢😢😢
@DENISMAKALA2 ай бұрын
Ndugu tusifike huku wapo matajiri wamekufa na UTAJIRI wao Kama yule TAJIRI wa ndurudoto Arusha 😅😅😅 mengi kafa akiwa tajiri
@PaulMsema2 ай бұрын
Ameulizwa swali anazunguka mmubuyu tena anakuwa mkali kweli,huyu ametumwa na shetani kupitia nguvu ya pesa
@SaidLongosАй бұрын
kaka wambie burooo tusaidiane ata sisi. Tuwe kama ww nakukubali Sana ngependa kampan yako kwangu buroo pulix
@KhamisNahodah17 күн бұрын
Chif hapo kwa mayatina upo sawa
@YorandaBonephas16 күн бұрын
Hata pididi alikuwa anasaidia vijana nakulea mtoto ssie wakwe ila nyuma yapazia alikuwa namazito
@AdrianoMwangela22 күн бұрын
Bro nahakika umeshinda vita vngisana mpaka umefika kumilik pesa ww ni tajir watafel wao sio ww
@YuniceMasebuАй бұрын
Nikweli chif nimekukubali
@WilliamMapunda-j6i23 күн бұрын
God love uko vizir
@WatuShazi2 ай бұрын
Akil gan unayotumia
@adelinaamosi943710 күн бұрын
Si alisema yy hafanyi biashara
@mishiswaleh4476Ай бұрын
Wa kumnyenyekea ni Allah tu range prado jeep safari yetu ni moja na gari jeneza😢
@MwinyiAli-k9xАй бұрын
Waambie wabongo wawache ujinga mwingi mbona sisi uku kenya mombasa cement alikua akisaidia watu wengi sana mbona atukumzamia maisha yake wabongo mulimaka na freemasons sana wacheni maswali mengi kwa chief godlove?
@ElizabethAntony-w4e15 күн бұрын
Chef na taka nijiunge na chama chako cha utajili
@issashabani-c7r2 ай бұрын
Yani kiufupi vijana wa kiume tutafute pesa ili tuje kutamba kama wanavo tamba wenzetu comment zako za majungu hazito mrejesha nyuma mtu yoyote yule na kama unaona jamaa ana feki life basi na wewe jaribu kufeki ili tuone 😅
@overplantv212 ай бұрын
big point...
@CaizerSosa2 ай бұрын
Fact bro
@IpmdavidАй бұрын
Ndio MKUU 😂😂😂
@rabikasekue3555Ай бұрын
Bana ujajibu swali😅😅😅😅
@yusufkatoo6576Ай бұрын
Mke wa godlove ni yupi? Kama huna mke sisi wakenya tumeamua kukupa mke ukue shemeji yetu.
@festokivuyo71212 ай бұрын
Apo kwa yatima sikuamini mm acha hiyo tabia bro usiwa kule masikini mungu anakuona
@MwinyiMlisho-q3j2 ай бұрын
Jibu swali., unatoa wapi pesa.?!
@jalaryababilasi15622 ай бұрын
Mnataka kazi yake mbona yenu haijui😂😂😂
@MohamediSleyum14 күн бұрын
😂😂😂😂
@maximusalnono64252 ай бұрын
Mtangazaji boya kabisa saplaiz ndo nini😂
@FeisalFaraj-n9i2 ай бұрын
Sema unafanya kazi gani
@SmilingChocolateStrawber-zd5lc2 ай бұрын
Ndg zangu tuwe makini mana kama chanzo chako Cha mapato hakijulikani Kuna kitu behind the skin. Huwezi muhamasisha mtu wakati haoni chanzo Cha pesa zako. Kikubwa unafanya kazi Gani? Unapataje Hela zako? Una biashara Gani?
@GrantMwakalambile2 ай бұрын
Kaz yake ww unataka yann uijue kaz yake ikusaidie nn @@SmilingChocolateStrawber-zd5lc
@nantaembanusurupia5674Ай бұрын
Baba wa wajane🤔🤔🤔🤔
@paulmsele36962 ай бұрын
Huyu jamaa hana kazi yeyote kuna namna anapata hela kwa kutumia nguvu za giza lakini very soon atatoweka kwenye ulimwengu wa hizo pesa
@LeonardDunda2 ай бұрын
Ujumbe umemfikia huyu shetani
@saidilome-ue2df2 ай бұрын
Nawew tafuta hizo za giza na matako yako
@bajutaboy7588Ай бұрын
@@saidilome-ue2df😂😂😂😂😂😂
@DesertTears2 ай бұрын
Freemason kama freemason😂😂 hakujibu swali 😂😂😂
@WistoniMuhuleАй бұрын
Wenye roh mbaya hawawezi na hawana moyo kama wako bro powa chief
@TimooR4lifeАй бұрын
Hogera sana
@KalidaLeposhie-s9e2 ай бұрын
Hii Dunia Sio ya mama yetu tafteni michongo carry anajaribu kutu entertaining Alafu mnazingua unatukana mtuu humjui laana ndio zimetanda kwenu mungu awasameme bure pumbavu comment humjui aaaaah
@MasoudyMichael-ox7xl2 ай бұрын
Mbona hajajibu swari😅
@skbenzsolution86822 ай бұрын
Jeneza halina matairi 😆😆😆
@DOTTOELIAS-w7yАй бұрын
Hakikaaa pesa huleta maneno
@jumamkivuyo6591Ай бұрын
Silazima ujue kaxi mtu anafanya ili ufanye nini
@SokratesStallin2 ай бұрын
Atumuoni akifanya kaz biashar lakini ela anayo bora ata chino anaimba japo..
@AgustnoJohn2 күн бұрын
Kaka kama unasaidia watu chapa kasi achana namaneno ya watu chapa kazi
@bienvemwami67682 ай бұрын
instead of asking him questions, go and do secret investigations, that's the common sense of journalism
@ZinabAlzinab2 ай бұрын
Chief ww umebarikiwa endelea kuvimba mm natamani nipate hio pesa nivimbe kuliko ww maneno Hela sio mdomo kunuka