Dr haya nimekuwa nikimwambia mno mume wangu,hatuvai vzr,hatuli vzr hela zote tunajenga majumba,kitu ambacho naona tutayaacha tutakufa mapema,hatujawahi ht kuenjoy chochot,na mbinguni hatuingii pia.maan hatukuwa na mda na Mungu pia
@PlacidRitte-lo2br4 ай бұрын
😂😂😂😂
@neemaasajile95554 ай бұрын
😢😢😢😢
@LucionGrandPère3 ай бұрын
Maukk naomba namba Yako ya WhatsApp tafadhali
@OmarySingano-w4k3 ай бұрын
Umesema vyema Sana watu wanafikiri kuwa na Mali nyingiii ndio furaha
@stephen-CEO2 ай бұрын
😂😂😂🙈🙈
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Mauki sema sema usiogope,,unaniongelea Mimi na mme wangu,alinikimbia akaoa na akazaa,nilipompeleka balaza la kata tupeane taraka sukari ilipanda Sana akawa magonjwa!!
@LilianImailuk11 ай бұрын
Wangu..ni mamake..na dada zake.....akisema mla nawe Hadi nawe....nishamzoea
@EvaristRugambwa5 ай бұрын
Dr.Mauki you have spoken well
@buikilapo-wm7zb11 ай бұрын
Nimepata kitu🙏🙏🙏
@marypwanye8943 Жыл бұрын
Dr. Chris I love your teachings more kwani wanaume hawawathamini wake zao. Mungu akubariki
@JaivingMawese4 ай бұрын
Mimi nakuomba dr mauki utuandalie somo la kuoa mwanamke anae kuzidi umli,linaniumiza sana kichwani
@rosemarysulle9288 Жыл бұрын
Baba yuko bize na michongo ya michepuko😅😅😅😅
@emertonmwakina859310 ай бұрын
Chriss Pongenzi sana napenda mafundisho yako keep it up
@jamesmuriithi9254 Жыл бұрын
Mafundisho ya kuwafaa wote hasa kina baba, James kutoka Kenya.
@victoriaabedinego190Ай бұрын
🎉happy life happy wife❤
@VastPhiri-ep2gx Жыл бұрын
Hakika wewe ni doctor and just be blessed by almighty God i love you fundiSha baba
@julianawangwe46884 ай бұрын
Asante sana dr kwa somo zuri mungu akupe siku nyingi za kuishi ili utufundishe mengi
@minaelnathanael1846 Жыл бұрын
Umesema kweli Dr Nyumba za kupanga watu hawalali na afya zao ndio hizohizo
@dismasmmasi44585 ай бұрын
elimu muhimu sana hii yapo mengi ya kujifunza kama umetizama hizi video kuwa balozi mzuri washirikishe jamaa zako ata watano
@DosianaLulakuze-bv7fg3 ай бұрын
Dori dori kuna watu wanawachukulia Wanawake si kitu
@naimakaguo37733 ай бұрын
Kabisaa mm n mhanga jmn
@esuvatlukumay9587 Жыл бұрын
Mungu ainue fikra zakooooo ziwe juu zaido
@OliverJoseph-fb3cw Жыл бұрын
Hahaha ha!!!! Hallelujah!!!! Basi jaaman mkikosa duniani mpate mbinguni!
@juliJuli-wp7jn Жыл бұрын
Nimeipenda. Iyo. Uko. Sahihi. Kirisi. Mauki
@ludiamchome-od5nb Жыл бұрын
Mungu akutunze dct uzidi kutuelimisha ndoa zetu zinakufa
@aishankundwanabake8750 Жыл бұрын
🤦♀️
@benardmbugua4467 Жыл бұрын
Congratulations ,sir Chris ,,tuelimishe zaidi.... shukran
@DhahabuSafiАй бұрын
I need the books.
@jescagaison7122 Жыл бұрын
Ahsante saana pastor sisi wanawake tumefundwa na kla tukijaribu kuwafanyia wa mme haawaerewi kabisa sio katika tendon la ndoa sio heshima Wala v Chochote unafka wakati nawaza fundisheni wanaume saana ndoa nakuishina wake zao
@OmarySingano-w4k3 ай бұрын
Hii Elimu nimeikibali Sanaaa
@VastPhiri-ep2gx Жыл бұрын
I like your seminar nimefundishwa Sana as a man
@Sophia-yh4dc Жыл бұрын
Ahsantee kwa maarifa mungu akujaalie,Good participle
@floraleonard90955 ай бұрын
MAHUKI IS NUMBER ONE
@jerkybithe1337 Жыл бұрын
Dr Chriss. I love your teachings. , infact , most of our African men don't value their wives . Hongera kwa kazi nzuri. 🎉 I'll be following you.
@reginamartin6403 Жыл бұрын
Nashukur San Dr Chris's Huwa nawek jamaa akiwep angalau asikie
@esthermbugua6064 Жыл бұрын
God bless you man of God
@sophiacuthbert9792 Жыл бұрын
Mafunzo mazuri sana dr..tatizo mfumo dume
@RahelMrope4 ай бұрын
Dr chris najitaji hivyo vitabu
@RosemaryRose-bk2qh3 ай бұрын
Mume wangu amenuna wiki ya pili sasa nifanyeje
@StellahZabron-wt4mo Жыл бұрын
Ubarikiwe, napata wapi vitabu na sh ngapi? Natamani kuanza na kitabu Cha (1) kucontrol stress (2) saikolojia. Kwa kiswahili. Nimejifunza
@barakamlowe982 Жыл бұрын
mungu akubarikie maneno mazuri zaid
@NEEMALADISLAUS-hq9mr Жыл бұрын
SoMo zuri sana
@fildausmurungi Жыл бұрын
Thank you so much for the Advice i learn alot
@VioletNamz-tq4tg Жыл бұрын
Mungu awe nawe baba,umetuponya.
@rebeccqhnyqngoso37722 ай бұрын
Dr charis mauki thanks for good advice God bless you more please help your number 🙏🙏🙏
@jenipherkavusha1661 Жыл бұрын
Kweli baba na wengine hawaji kweny mafundisho lakin wanahitaji hata maombi
@RafikiYona-ub2qk Жыл бұрын
Nivizuri kufanyiana mema wakati wote
@anodearsulusi75364 ай бұрын
Mimi naombeni no ya Chris jamani
@emilyondari4796 Жыл бұрын
Ukitangulia mbinguni maisha uendelea tu, so wazee acha pressure nyingi za kutafuta hela nyingi, huku watoto wakifuta bhangi. Kwa eulorogy ni watoto uandikwa tu sio mali, chunga husi Rest in peace unaachia mama watoto bonoko aki,,,
@PascalGasper Жыл бұрын
Ubarikiwe tumepokea
@linakyando5749 Жыл бұрын
Nyie Chriss😂😂😂😂 ilove you ❤❤❤😂😂
@devotamutayoba9373 Жыл бұрын
Uko vizuri Dr Criss
@FardooFamosha3 ай бұрын
Dr tunapata wapi hivyo vitabu?
@evamoshi6980 Жыл бұрын
Naomba jinsi ya kukupata. No ya cm pls
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
Ubarikiwe baba
@PascalGasper Жыл бұрын
Asante mkuu
@victoriarwerengera4831 Жыл бұрын
Unatumia sana lugha ngumu..sikusikilizi tena
@evelynokelo1990 Жыл бұрын
❤great knowledge 👏 👌 👍 🙌 💯 🙏 👏
@SifatyGodfrey-pl9fk Жыл бұрын
Ubarikiwee🙏
@JoyceJulius-r6g7 ай бұрын
Mafunzo mazur sana
@chikuissa6170 Жыл бұрын
Chris I learn from a friend that, let ur girls children to have of their father's touch and keep close to their daughters. Men's always they know many mistake they did and always share direct or indirectly to their daughters. I full concur with you we need to prepare our boys to the new empowered women. Review of bejiin aftermath and recorrect where we are heading wrong from family level
@rosemarysulle9288 Жыл бұрын
Wababa wanabaka siku hiz pia
@MaryMkama-xh2ol Жыл бұрын
Kweli wewe ni msaikololia,nimekupenda bure
@benardmbugua4467 Жыл бұрын
Niko Kenya Mombasa,,,ntaweza kuzipata vitabu vyako kwa NJIA ipi ?
@piuskusenge-jf2ob Жыл бұрын
Watanzania jifunzeni kusoma kitabu hard copy, kimbieni Sana kusoma kitabu kwa mtandao, Kuna madhara.
@MaryMkama-xh2ol Жыл бұрын
Wasichana wanapata mafunzo sana jinsi ya ku handle familia lkn wavulana mmmm,wengiwanaingia kwenye familia kichwakichwa,
@aishankundwanabake8750 Жыл бұрын
Habari za apa ...naomba mnifunze jinsi ntachukua hii vidéo...imenifunza kitu kikubwa. Kisha docteur wetu mtu anakuaga na maswala ya private anakupata aje? Asante Mungu akubariki
@abidandastanmaliyatabu13732 ай бұрын
Nenda kwenye app ya vidmet uandike hicho kichwa cha somo hafu utaipakua
@henrykimaro6842 Жыл бұрын
Maarifa makubwa sana
@laughterindustry8495 Жыл бұрын
Very lucrative teachings;good job guys.Kudos Dr.Mauki
@rebeccqhnyqngoso37724 ай бұрын
Books how much price posterior
@sirpleasureb Жыл бұрын
this man is wise.that of children is true
@musachibupa9253 Жыл бұрын
Hahaha hahaha 😂😂 da Chris umenielimisha
@joycemakalla6150 Жыл бұрын
Vitabu vinapatikana mikoani?
@huldamichael4445 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Mauki umenichekesha mno!!
@preciousmunuo142 Жыл бұрын
Criss umenichekesha
@JaneyChigga Жыл бұрын
Live longer my kk. Wewe mtu ni hatarii😂😂😂🙏🙏
@graciousmedia8235 Жыл бұрын
Vitabu tunavipataje jamani
@younglionmsafi3367 Жыл бұрын
Kitabu tunakipataje
@damasmlolere5870 Жыл бұрын
Kama yeye hakutunzi?
@nelsonlyimo1600 Жыл бұрын
Great Dr Mauki, your expose' needs, absolutely, be disseminated
@daudichija2800 Жыл бұрын
asanteni sana kwa maarifa yananijenga
@egatony Жыл бұрын
B
@egatony Жыл бұрын
Bb
@nkomezirumenera7312 Жыл бұрын
Niko marekani nitabataje vitaba hibyo?
@nelsonlyimo1600 Жыл бұрын
....to the public
@nicolasmsaki5987 Жыл бұрын
Dr Chris's anagonjwa wa procrastination {kugairishaaa}
@esterrahma147 Жыл бұрын
Why
@Nsajibjsnsdreamerztz Жыл бұрын
❤
@emilyondari4796 Жыл бұрын
❤🎉
@OliverJoseph-fb3cw Жыл бұрын
Dr, wape afya ya akir hao.
@HosianaBuuta Жыл бұрын
Good
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Sema wewe chris .kuna wanaume hawajaitambui kabisa