Tumia lugha moja kwa ufasaha.Kama ni kiingereza basi tumia kwa ufasaha.Kama ni Kiwahili basi kwa ufasaha.Chagua kwa kuzingatia aina ya watu unaowafundisha.
@HaniyaKisingo7 ай бұрын
Afadhali umesema
@ngugimundia63066 ай бұрын
Mimi ni mwalimu wa lugha tokea kenya na hapa nakuunga mkono asilimia mia...uwasilishaji unahitaji matumizi ya lugha moja...hapa anazengua tu kuwachachawiza watanzania mmuogope kwa kingereza chake...hapa kenya 🇰🇪 tunacheka tu!
@JenniphaElias-e8vАй бұрын
Nimelipenda Sana SoMo lko boss❤
@maniamba.tz_7 ай бұрын
Nakupata vilivyo MC Luvanda
@NgewaCompany4 ай бұрын
asante nimefunguliwa kutokana na somo lako Mungu akupe maisha marefu uzidi kuliokoa taifa hili kwa mafundisho mazuri
Mwalimu uko vizuri ila wengi naona hapa ni waswazi....am from kenya 🇰🇪 and your presentation is so articulate and on point though my brothers and sisters from Tanzanian 🇹🇿 are really struggling to comprehend the concept just use swahili....tumia lugha rahisi ya watanzania ili wanufaike zaidi hamna ubabe kwa kutumia lugha ya wakoloni..salam toka hapa kenya 🇰🇪.
@nassercurtis95795 ай бұрын
Uko sawa akilini mwako? Unashauri mtu aongee kiswahili tu kwasababu naneno mengine anachanganya kingereza na nikweli ni lugha ya kikololono ila ni lugha ya kibiashara pia halipingiki hilo, je wewe mbona umwchanganya hapo kuongea kiswahili na kingereza kwa wakati mmoja? Je Kenya kuongea kingereza wao ni wazungu? Au bado ni watumwa? Maana wanatumia lugha ya mzungu
@ngugimundia63065 ай бұрын
@@nassercurtis9579 elewa kingereza nilichokitumia si kwaajili ya mtu wakijijini...kama wewe hapa ni nazungumza na msomi mwenzangu.. sasa wewe tatizo elimu tu..naomba ujiongeze babu...sasa hata kiswahili chenyewe kina kupa tabu...angalia unavyo endeleza maneno vibaya..makosa mengi ya sarufi....nini maana ya kikololono....unamwchanganya....rudi shule ujue kuandika kisha utumie mitandao ya kijamii..
@Kanyawela7 ай бұрын
Ili somo ni zuri kwa wanaojua rugha zote ila kwa wengine tu kiswahili hawaelewi badiri mfumo wa kufundisha
@pascalnsengiyumva48367 ай бұрын
Nimejengeka sana. Naomba weka hiyo iliyopita kuhusu BUDGET
@helenamwema7447 ай бұрын
Tatizo kingereza Luvanda ila unafundisha vizuri sana jitahidi Kiswahili kiwe kingi
Hii ni Moja mada nzuri sijapata Kuiona huku mjini KZbin
@steraswai32516 ай бұрын
Nipenda hiyo sana nimejifunza kupitia hii asante sana
@saidiissa9544Ай бұрын
Good
@robertjisandu565 ай бұрын
Yes I appreciate. Tunabarikiwa Asante sana.
@ShabanAbubakar-h2m3 ай бұрын
Mimi nina dukuduku jamani nyie mnaotuelimisha ongeeni lugha 1 kiswahili basi wangine atujasoma .
@EvalistoMwakalobo5 ай бұрын
Mim nipo mwanzon2 kuangalia lakn kingereza sijui nimeona2 niachie njian Kwan kulilua watu hawaelew kiswahili umo Apo ndo umefeli brother jitahid ukiwa na waswahili ongea kiswahili ukiwa na wageni ongea lugha izo Sasa umo wote waswahili nimekwazika kwakwel
@jamespetro30144 ай бұрын
Hii ndio shida ya watanzania wengi yaani somo unatoa tanzania lughaa ya ulaya pumbavu kbsaa
@njungedennis82277 ай бұрын
Good communicator..The English is on top
@ngugimundia63066 ай бұрын
But why use English and your target audience only understand swahili this in kenya 🇰🇪 we count it as backwardness and insensitivity...
@mrishomkolela46334 ай бұрын
Tumia lugha moja tu, iga ata kwa JOEL NANAUKA utajifunza
@jastinarts2 ай бұрын
Onea lugha moja acha ulimbukeni
@erastosanga16946 ай бұрын
Upo sawa
@HildaOscar6 ай бұрын
Tunaosikiliza so wote tunaojua lugha za kigeni hapo Uhuru siuoni hapa ninapojufunza
@abdulrahmanhassan59987 ай бұрын
somo nizuri sana , lakini najiuliza kwani kunaulazima gani kufundisha kwa kutumia lugha mbili kwa watu ambao unaweza kuongea nao kwa lugha yao? hivi ni lini waafrika tutaacha ulimbukeni wa lugha za watu ? kweli sai utumwa upo kichwani sio kama zamani.
@jacqueisaac81556 ай бұрын
Na kama kuna wasoelewa kiswahili je?
@jasminemumwi24016 ай бұрын
Maisha hayana usawa boss.mfano mzuri hata hao waliopo hapo wote hawalingani chochote umri rangi jinsia dini n.k..sasa kwanini utofati wa lugha tu ndio ukukwaze wakati kuna utofati kwenye kila kitu???
@alikomwandoto12586 ай бұрын
Exactly 💯
@alexntahiraja29745 ай бұрын
Umesema vyema kabisa. Kwa sababu siyo wote wamejariwa kujuwa lugha ya kingeleza lakini wana pesa na akili.
@hosianamshana5 ай бұрын
Kwanza mim sielewi kabisa
@HildaOscar6 ай бұрын
Tusiojua kizungu hapa tunapata hasara
@erastosanga16946 ай бұрын
Mada nzuri sana leo
@MarcoMchele-e7b5 ай бұрын
Masomo mazuri brother
@pauljosephtarimo22794 ай бұрын
Amazingly
@AlexVenance-s1b4 ай бұрын
Thank you 💕
@oseahmbembela-gi4du5 ай бұрын
Chagua lugha moja ya kufundishia mkuu wengine hatujui kiingereza
@gridennjunwa55512 ай бұрын
Kama huelewi we sio lengo
@thomasndabulike47356 ай бұрын
Very nice
@eco-marktechnologylimited40334 ай бұрын
Jamaa anabore sana. Kingereza cha nini sasa. Hajui kama anawakera sema hawana namna. Ni ushamba uliopitiliza kuongea lugha tofauti wakati team nzima inayokusiliza inajua lugha ya asili.
@pauljosephtarimo22794 ай бұрын
Mi namwelewa sana,kiingereza ni muhimu kwenye dunia ya sasa.Jitahidi ujifunze ndugu
@tzmagaladiah56803 ай бұрын
Elewa maada na sio lugha boss
@BahatiRanga6 ай бұрын
Tumia kiswahili jamani
@AliFakimati-dk4mt5 ай бұрын
Tumia lugha moja tuhicho unachokifanya sio uhuru.
@JoelJustine-u3i7 ай бұрын
Antony upo vizuri lakini punguza kingereza maana tupo ambao hatukijui na tunahitaji kujifunza
@erastosanga16946 ай бұрын
Ugonile juve vahwawe
@neemalaurent98365 ай бұрын
Ubora wa somo haupo kabisa,lugha ya kingereza kwa watanzania tena waswahili,wapi na wapi sasa🤦