Mungu akubariki sana Baba na kukutunza, Asante Kwa Neno hili, !!!!!!!!!!
@fideamtenga2126 ай бұрын
Yesu nisaidie kunipa kukumbuka neno lako wakati wa majaribu
@CutekarnuZakayo8 ай бұрын
Wow my dada umeutendea Haki sana huu WIMBO barikiwa barikiwa mno 🔥🔥🔥✍️
@jescarwegoshola17548 ай бұрын
Mmm kweli Baba yangu,umenena unapo pita kny jaribu uko peke yako ndo unajua neno lipo moyoni au lilikuwa kinywani tu! Usiogope linakuja jambo linakuogopesha unasahau mistari yote, Mungu ni saidie naamini kabisa navuka sitabaki nilivyo 💪🙏
@benadethamlay33958 ай бұрын
Amen,maadamu Yesu ajarudi nasonga mbele hii semester navuka with excellent GPA.,in JESUS Name Amen, Amen and Amen
@marynjau50998 ай бұрын
Mungu awabariki Mwakasege & Diana Kwa mahubiri mazuri na maono Mungu aliyowapa kweli yametujia Kwa wakati kiwango Cha Imani kimepanda.
@tumainijoshua50908 ай бұрын
Huyu dada mwimbaji hakika ana kitu cha Mungu ndani,Baba azidi kumneemesha kwa kanisa lake
@MariaSamwelwema8 ай бұрын
kabisa
@OmegaMongi4 ай бұрын
Mungu awatunze!
@berthakusekwa51438 ай бұрын
Umejitahidi kuimba ..mwmbishaji.barikiwa sn.
@elijahmwangombe96098 ай бұрын
I tap this anointing, kwa kweli kusifu kwa-wapasa wanyofu wa mioyo...nashiriki baraka hizi nikiwa Mombasa Kenya🇰🇪
@morriskiruja63898 ай бұрын
That music is in another level, following from Kenya. Meru county may the Lord continue blessing you team ❤
@jescarwegoshola17548 ай бұрын
Maadam Yesu hajarudi na vuka 👏👏👏👏👏👏💪🙏
@jescarwegoshola17548 ай бұрын
Mungu akutunze Baba 👏👏👏🤝🙏
@shamychamicha468 ай бұрын
Nakusikiliza mwalimu kutokea Pemba nimebarikiwa sana kwa somo la leo amen🙏🙏
@EliasFijabo-pt2zb8 ай бұрын
Nimebarikiwa mno sifa za moto Mungu azidi kuwatumia
@joyceallan27587 ай бұрын
Yesu ni saidie niisikie sauti Yako tu ktkt ya jaribu
@GraceYassin8 ай бұрын
Namshukuru Sana Mungu!!🙏🙏somo limekuja kwa wakati kabisaaa🤲naamini navuka🙌🙏🙏
@Neema-wy4mh7 ай бұрын
Kwajina la Yesu natangua kila manenoniliojitamkia.
@LornaMwaluko8 ай бұрын
Asante vsana yesu kwa huduma hiii yasemina dodoma na tanzania nzima ni kweli ufalme waMungu uje na umoja
@NeemaPatrick-so6fg8 ай бұрын
Amen amen nashiriki hizi baraka nikiwa Dubai and I proud to see my prays team in this platform God is Good all the time
@ElimrimaKimambo8 ай бұрын
Asante MTUMISHI Kwa ujumbe HUU , MUNGU AKULINDE SANA . HAKIKA nimepona/tumepona KANISA la Dodoma.
@rehemamwamundela27178 ай бұрын
Asante Yesu
@eddiepeter16187 ай бұрын
🙏🏽🙏🏽
@McTabasam8 ай бұрын
Amina baba barikiwa somo ni 🔥🙏
@GetrudaJohn-tf1kr8 ай бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii
@jaobkibweja27638 ай бұрын
Mungu aweza
@MabelKaaya-hl2je8 ай бұрын
Amina Amina Amina
@KevinMallya8 ай бұрын
Amina
@jacksonlumelezi44018 ай бұрын
Amen
@asnathkayange58828 ай бұрын
Amen somo zuri sana
@Estrella-n7n8 ай бұрын
AMINA
@joyceallan27587 ай бұрын
Zisukume na mashine kubwaMungu nisaidie kuamini
@rhodaSingano8 ай бұрын
NASHUKURU MUNGU KWA AJILI YA mafundisho HAYA .Yananitia MOYO WA kuendelea,napita pagumu SANA,NAOMBA mniombee ILI Imani YANGU isitindike na iongezeke