MUNGU AKUBARIKI SANA MWL, MUNGU AZIDISHE ULINZI JUU YAKO
@BELINAFIDELIS6 ай бұрын
Mungu akubariki sana sana Mwl.
@MariaEnock8 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili mwl Mwakasege yaani najiona mwingine kabisa asante Mungu
@benadethamlay33958 ай бұрын
Moyo wangu usilie tena,Mungu Mtakatifu nipe kutulia,Roho yangu usilie tena katika jina la Yesu Kristo, Kwa Damu ya Yesu Kristo nipe kutulia.
@montaryngallo19148 ай бұрын
Pia Mwl. Ni vita kusikiliza mahubiri yako , yaani full viporo .Mungu aturehemu
@stellanjella57906 ай бұрын
Kabisaaaa, nina vipolo mpaka nikifikilia napata stress
@rachelpeter877 ай бұрын
As ante Yesu
@christinamgalula8028 ай бұрын
Ameen
@SuzanaLema-w6m8 ай бұрын
Bwana Yesu nakupa utukufu.naomba niaache wa misri unipatie mtu mwngne Bwana Yesu nimechoka kulia na mateso
@jestinamwakilungu14867 ай бұрын
Bwana Yesu ni mwema utavuka tuu
@julianawilson81798 ай бұрын
Najiambatanisha na ibada hii na semina hii na mafundisho haya katika jina la Yesu aliye hai.
@NeemaMachangem8 ай бұрын
Hallelujah
@CarolineJisandu8 ай бұрын
🎉🎉🎉 MWL MAUA YAKO UNAFUNDISHA SOMO LIVE KABISAA LA MAISHA TULIYO NAYO SASA MALANGO YAMEKUWA NI MEENGI MNO KWENYE KILA JARIBU.NAMBA MUNGU TUFIKIE HATIMA YA MALANGO YOOTE YAFUNGULIWE NA TUFIKIE KAANANI ZETU KWA JINA LA YESU NA KWA DAMU YA YESU AMEEN.
@julianawilson81798 ай бұрын
Utukufu ni Mungu baba aliye juu! Amen
@FrankMgalilwa8 ай бұрын
Bwana nakupa utukufu,wewe ndiye ustahiliye.Naomba Bwana kurana na mahiraji yangu.
@vivianlyimo6708 ай бұрын
Hili somo ni la kwangu Yesu Asante kwa Neno lako
@benedicto98sanga357 ай бұрын
Imani ikikaa ndani na ufahamu unakaa ndani yako
@marystellakisanga73418 ай бұрын
Asante kwa somo zuri Mwlm ila nawezaje kutofautisha jaribu na tatizo jingine
@angelalema48047 ай бұрын
Mwalim alisema kwamba tofauti kati ya jaribu na tatizo ni kwamba, jaribu linakuja kwaajiili ya kupima Imani Yako kwaiyo unapokiwa unapitia kwenye hali ambayo unaona kabisa Imani Yako inagiswa au unaona Imani Yako inahangaikia kupata solution basi Hilo ni jaribu lakini tatizo linakuja tu Wala halishughulki na Imani yako
@JestinaMhombe8 ай бұрын
Amen
@benedicto98sanga357 ай бұрын
Upate ufahamu wa kuuona na kuutumia mlango wa kutokea kutoka kweny jaribu unalopitia 1 kor 10:13
@datvatmoshi22128 ай бұрын
Najiunganisha na ibada ya leo
@marystellakisanga73418 ай бұрын
Nawezaje kujua kama ni jaribu au sio jaribu
@benedicto98sanga357 ай бұрын
Jaribu kwa lugha nyingne unaweza sema ni mtihani... Kwahiyo ukiona unapita katika changamoto iwe ya kiimani au sio ya kiimani .. kama tu umeokoka ujue hilo ni jaribu. Kwa mtazamo wangu naelewa hivyo
@ainasodenny98927 ай бұрын
Utajua ni jaribu kama limekufikisha njia panda juu ya Imani yako kwamba uendelee na Yesu Au uachane nae, uendelee kumuamini Mungu Au ukate tamaa,,Kwamba Mungu anaweza Kweli kunisaidia Au haweZi, nitafanikiwa Kweli Au sitafanikiwa, ukiona moyoni mwako Una maswali kama hayo yaku- question uwezo wa Mungu unakua huna uhakika na msaada wake ujue ni jaribu.
@datvatmoshi22128 ай бұрын
Najiunganisha na hii semina
@benedicto98sanga357 ай бұрын
Waebrania 11:13
@benedicto98sanga357 ай бұрын
Kutoka2:23-25 kutok3:8
@DinaMusa-tj4ez8 ай бұрын
Somo zuli sana mungu akubarik Sana mwalimu
@montaryngallo19148 ай бұрын
Shalom Mwl. Sijajua pa kuanzia , ila niseme nabarikiwa sana na ninavuka kila ukiwa na mkutano . Kuna mtu aliandika ushuhuda kwenye comment akisema ameanza kukufuatilia miaka mingi yeye yupo kenya na nilivyokuwa nasoma shuhuda zake nikagundua hajavuka kama nguvu unayoitoa madhabahuni . Nikawa nasumbuka kujua kwanini watu hawavuki, hata kuna waimbaji unakuta anaacha kutumika kwenye madhabahu yako na wanadumaa kiroho . Roho Mtakatifu akanikumbusha jinsi nilivyokujua , kwanza kabisa nilipata cassette ya radio na nilikuwa na radio inayocheza CD na kanda , nikakusikiliza yaani masikio yote mwili wote ulisisimuka nikasema huyu ndio mtumishi , nikajaribu kukutafuta nikakukosa nikaja kukupata tena nikaanza kufuatilia mafundisho yako , 😭😭😭 yaani nilikuwa nakuja uwanjani na nimetoka kapa nikawa napambana sana nikuelewe lakini wapi , nikaacha kuhudhuria nikajiwekeza kwa kumjua Mungu , namshukuru kwa uwaminifu wake . Sasa miaka 6 nyuma niko comoro na kilasiku napambana kuwa na uhusiano binafsi na Mungu na nikitu ambacho Mungu amenijaalia . Sikumbuki nimeanza kukufuatilia lini ila tangu nimeanza miaka hii ya karibuni mwaka jana nafikiri nimekua nikimsikia Mungu akisema na mimi kwa kujirudia kupitia wewe. Nikasema ni vifungo mihuri shetani ameshikiria masikio ndio maana hatuvuki kwa nguvu unayoitoa na vilevile utii ni mdogo . Nahisi Mungu kanifunulia hili ili niweze kuliombea maana macho yana matope hatuoni wala kusikia jinsi Yesu anavyotaka tusikie .Mungu aturehemu
@KillengaHarrison-tn7jd8 ай бұрын
Mwalimu napata cn mwanga
@godfreykiwelu28888 ай бұрын
Godfrey A kiwelu
@HellenLema-j3y8 ай бұрын
Duuh nahuzunika kuikosa sijui hata inafanyikia viwanja gani