This singer is one of the kind. He needs to have his fellowship. He can deliver people just for singing. God really uses him. God bless you all
@StellaJohn-cx7dz7 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwajili ya huduma ya MANA Mungu azidi kuwapa maisha marefu na afya njema
@YosamRevocatus7 ай бұрын
MUNGU akubariki mtumishi na azidi kukupa neema na unyenyekevu katika utumishi wako
@Neema-wy4mh7 ай бұрын
Amen Amen Amen. Babakatika jina la Yesu kristo. Naungama kwako nirehemu nisamehe. Ile nguvu ya maombi nilivokuwa nayo mwanzoni. Imepotea nirehemu nirejeshee tena nikuone kwa upya. Funguka tena machoo yangu ya ndani😭😭😭🙏
@msasanipeninsula9057 ай бұрын
Thank you lord for your love saving me and remind me of your grace please be with me usini adhibu kama wana Israel sikia kilio changu ulilo liruhusu liendelee nimepokea na ninashukuru kwa maana linaenda kutundeka
@FridaSwalo8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa somo zuri, Mungu naomba na mimi kuona kama uonavyo wewe
@JacksonJohn-cw1tq7 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah UTUKUFU KWA BWANA YESU MILELE YOTE
@RachelMheni6 ай бұрын
Eeeh Mungu Mbariki mwalimu mwakasege na mke wake diana, pamoja na team yake yote kwa kazi nzuri wanayoifanya 🙏🙏
@Elizabeth-em3bp7 ай бұрын
Ooh. Nisamehe Yesu. Asante kwa kunijulisha hili.
@aramikaMangi8 ай бұрын
Hili somo linaimarisha Sana imani yangu Mungu akutunze Sana mtumishi uliyepakwa mafuta mabichi kila asubuhi
@musakasingo5948 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa mafundisho haya. Hakika kanisa lazma liamke usingizini na kuomba.
@ElimrimaKimambo8 ай бұрын
MUNGU AKUPE MAIẞHA MAREFU Ili uweze Kuwafundisha watu wamjue MUNGU WAO. Asante Kwa somo hili MUNGU amenifungua mahali Fulani. Nasema Asante YESU.
@robertnguno85677 ай бұрын
Asante Mungu kwa kumpa Mtumishi wako neno la uzima
@veronicawatson35948 ай бұрын
Im real blessed stay blessed Mwl Mwakasege
@theresiaguntram7 ай бұрын
Mw Mungu aendelee kukutunza vyema mtumishi wa Mungu nafundisho unayo fundishi nimbegu bora unayopanda hakika zitamea na kutoa matunda mazuri yampendezayo Bwana
@naetweseushi78298 ай бұрын
Asante sana BWANA YESU. Barikiwa sana MANA Ministry
@rosemaryluzabiko22828 ай бұрын
Kwakweli Mungu anisaidie sana kuusu hili somo. Kuimbea Imani yangu. Barikiwa sana Mtumishi wa Bwana
@VAILETMWAMPAMBA-ug9ei7 ай бұрын
Hili somo limenivusha sana MUNGU aendelee kukutunza
@joycemrema66947 ай бұрын
Asante Munguu
@MabelKaaya-hl2je8 ай бұрын
Halleluya halleluya halleluya
@givenmsomba93588 ай бұрын
Amen asante Yesu.Barikiwa mtumishi
@demetriamulenge17868 ай бұрын
Mungu nipe macho yakuona kile unachokiona wewe
@TellyNchimbi4 ай бұрын
Barikiwa
@stephanosospeter17098 ай бұрын
Ameen! na barikiwa sana,
@pamelamziray22247 ай бұрын
👏👏🙏
@marthermwakyobwe97948 ай бұрын
Hakika Mungu ni Mungu barikiwa sana mtumishi
@eddiepeter16188 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN
@UpendoMjema-w6z8 ай бұрын
Asante mwalimu leo kuanzia maombi ulianza namm nimm kabisa mungu akuweke mafundishoyaleo niyakwangu hakika umenifungua namshukuru mungu kwaajiliyako
@domina228 ай бұрын
Asante Yesu
@abrasam32138 ай бұрын
Ee Yesu wangu nishike tena 🙏🙏
@Dmsiris58 ай бұрын
Hallelujah
@SamwelThadei8 ай бұрын
Asante yesu kwa maelekezo hayo
@AgnesMmila8 ай бұрын
Mungu akutunze mtumishi
@augustinomtenga57738 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mwalimu
@theofridasote1648 ай бұрын
Mungu hawai Wala hachelelewi
@novelemwamlenga80148 ай бұрын
Asante Baba
@stephanosospeter17098 ай бұрын
Sifa na utukufu kwa BWANA YESU KRISTO
@JackobClement8 ай бұрын
Ameen
@AnnaChacha.8 ай бұрын
Amen
@JonasiJonasi-ed4vk4 ай бұрын
Jina la bwana libarikiwe kwa ukuu wake
@sarahbrasio66907 ай бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii mwanangu edric akapokee uponyaji juu ya magonjwa ya mara kwa mara
@kenya8227 ай бұрын
MTUMISHI WA MUNGU ALIE HAI MUNGU AKUJALIE MAISHA MAREFU
@happinesskabale23357 ай бұрын
TC
@magrethmtawaernest16328 ай бұрын
Hakika wewe ni Bwana
@bencarsonpaul37118 ай бұрын
NAOMBA MUNGU AZIDI KUKUTUNZA MTUMISHI, KWAKWELI NABARIKIWA KILA NAPOPATA WASAA WA KUSIKILIZA MAFUNDISHO HAYA