Achilieni mara mbili kwa wiki jameni hii inachelewa sana kama mnaniunga nipe like❤
@LewiiBrizy16 күн бұрын
Pia na kubaliana na wewe .....msichukue mda mrefu kuwachilia iyo sehemu ingine.....sinema zote za kakoso na zipenda Sana ..asanteni wausika wote ..
@saidathmurekatete93815 күн бұрын
Kweli wanatukawiza sana
@Merry-ek5mj15 күн бұрын
Kabisa yani wanachelewesha sana angalau kwa wiki mara mbili
@AugustinNduwayezu12 күн бұрын
Nikweli
@iqttanzania10 күн бұрын
❤
@lemmyajabu834816 күн бұрын
Tangu nianze kufautilia snake boy sijai pata like ata moja... 254 fans let's gather here
@zeyruqhassan462916 күн бұрын
Tuko
@BarackZephania16 күн бұрын
Huo ni ushamba kiwango cha lami
@SHEDDTz-k8g16 күн бұрын
Weee ni mshamba
@Kabeya41016 күн бұрын
Hovyo kenge manyoya inaomba like 😅utadhani kacheza 😅vya bure utauponza mk... We omba tu
@gracedzombo577216 күн бұрын
Huwa mkipewa hizi like munashiba ama😂😂😂😂
@AdrianodePaul16 күн бұрын
Hongera snake boy ina views weng kuliko nyimb za bongo flavour wapi team clam🎉🎉🎉
@janviernzosaba714515 күн бұрын
Big up sana clam vevo unakipaji ca hali ya juu sana
@Mr.D.N.A14 күн бұрын
Unajisahau sana wew,sensema siku Moja ilikua na viewers 1M
@MtiliCharles13 күн бұрын
Tangu nianz kufuatilia snake boy sijai pat like at moj from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@kingcicero170816 күн бұрын
Nilisema kwamba NTANZI ajamezwa na nyoka ile ilikuwa ni ndoto, kumbe ni mawazo na MWASI, leo mmeona acheni kuomba likes tu, muda mwingine toeni maono ndugu zangu. One love from Mozambique 🇲🇿🇲🇿
@milliardere917716 күн бұрын
Ndo naelewa sasa
@user-qd7ey5cp5s16 күн бұрын
Kweli🎉
@bellrajkachafuo781316 күн бұрын
Wametucheza nilidhn n ndoto bana kumbe wazo
@irenekaro284816 күн бұрын
Mbn hiii hatari
@SwabrinanurdhinSwabrinanurdhin16 күн бұрын
Kabsa watu hukumbilia kuomba likes tuu
@jacksonmassato801716 күн бұрын
Tunaosubiria vita ya zinga na chief, gonga like hapa
@Kingmbayo16 күн бұрын
😂
@CandyLoud16 күн бұрын
😂🤣🤣😂😂 ila yahitaji wanao ona mbali ndo wataelewa nini umemaanisha😜
@bashirunakona294515 күн бұрын
Zinga kaenda kujipanga
@jescahaule480215 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@hamisichipa900812 күн бұрын
Na inapoelekea Zinga atashirikiana na Ntanzi. Itakuwa noma
@jordanbarweta342916 күн бұрын
Kuna jamaa mmoja ana manywele kibao na mandevu mengi amevaa kanzu fulan hivi sijui anaitwa Tanna sijui nan Dah Jamaa anaigiza vizur kinoma,Ana composer sana mwamba maua yake❤❤❤ 🔥 🔥
@sirviadominick15 күн бұрын
Namm nampenda
@HubaMsangi15 күн бұрын
Tanu
@user-es7xd3bg7c14 күн бұрын
Tanuuu❤❤❤ msaliti 😅
@sivamusic223414 күн бұрын
Dah mbn mnabagua jamani ebu nipe like ata 1000 kama kweri ww mfatiliaji mzuri wa #snakeboy #sivamusic #mama #mamaamina
@mauaharun556416 күн бұрын
From Kenya kama wakubali snake boy gonga like tukipita🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@holykidke16 күн бұрын
From kenya 🎉🎉clam snake boy the best
@GilbertKasina16 күн бұрын
Nakubali
@mtasha588616 күн бұрын
😂 😂 Ruto must go..... Anguka nayo
@user-ck8ld8nz6o16 күн бұрын
Ww uliekuepo kenya unapata angalau kuanglia snake boy naona mupo vitani saivi sizan kam munaweza shuhulikia filam
@joshuasakwa154816 күн бұрын
@@user-ck8ld8nz6oTuko Kwa vita na nani wakati mandamano yenyewe tuko na simu na power bank data ikiwa on
@Mzalendotanzania16 күн бұрын
Kama unamkubali clam weka like hapo
@IsackDevidiMc16 күн бұрын
🎉
@Sempai_Adui16 күн бұрын
Mwambie awaishe kaziiii,asikae muda mrefu
@Maunya53016 күн бұрын
Tunasubr hd tunasahau matukio yaliyopita.
@nyereremkama384516 күн бұрын
Toa na wewe like na watu wakupe usiwe mchoyo wakati wewe unataka like
@hansmgaya470416 күн бұрын
Tuna sahau matukio ya nyuma
@ArafaKajoki16 күн бұрын
Nilikuwa nasoma comment tu lkn niwambieni kuwa naipenda sana snake boy, mungu awabaliki wahusika nawafatiliaji poa❤️🔥
@djsonofficial548716 күн бұрын
Kazi nzuri sana clam👋ila director😂😂waliopenda namna singo(bubu) alivyoweza kuongea like zenu hapa😂👉
@KizaRachid16 күн бұрын
Namimi leo naombeni like zangu vipenzi vya snake boy japo nimechelewa dakika 40 tu a boy from 🇱🇷🇱🇷
@Wmoviesrecap916 күн бұрын
Aaaah noma sana
@DonMapro-d6y16 күн бұрын
Waliogundua camera ya Leo ina balaa weka like
@luluelia-yo2rg16 күн бұрын
😂😂😂
@mohammedkidody561810 күн бұрын
😂😂😂
@aishasyala154716 күн бұрын
Siku bila akikufa naacha kuangalia snake boy....."waachaaa".....nampenda sana bilaa
@machotz111316 күн бұрын
This is the real meaning of series I never thought of return of SHAHIDI and his family Ngoma inazidi kunoga
@freddedresscode295116 күн бұрын
Wakwanza kutoka burundi Bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮nipeni like zangu
@user-mv6vi1gv6f16 күн бұрын
Ibuja majahe 😂😂naguhaye izo like
@milliardere917716 күн бұрын
Niko buja tujuwane
@milliardere917716 күн бұрын
@@user-mv6vi1gv6fatubwire tugemure
@MayaOuthman-bd8bg16 күн бұрын
@@milliardere9177 Tujuane kbs😂😂
@MayaOuthman-bd8bg16 күн бұрын
@@user-mv6vi1gv6f Maramvya 😂😂😂
@MohamedKalivata-qr6sr16 күн бұрын
Hana baya tajirii wanao amini snake boy ya moto wa like hapa
@mohammedkidody561810 күн бұрын
Hii ni ya kwanza Tz nzima❤🎉
@abudailamy257716 күн бұрын
Huyu jamaa ni fala sana yaan ameigiza ufala sana yaani mkewe amekuwa dadake fala sana
@AminaSadallah-yi1dv15 күн бұрын
Wee aseme ili afe kumbuka nabii Ibrahim na mkewe
@EnikahGeorge-fj6ow13 күн бұрын
So sad
@jeremiapeter68312 күн бұрын
@@AminaSadallah-yi1dv Ep iliyo pita mwanamke Ali mtoa Mumewe sadaka kwa mizimu ili Laaana itoweke kwa Hiyo jamaa yupo Sahihi tu..kusema huyo Ni Dada yake..una weza kuvimba mwishowe kifo ksicho na Faida yoyote..
@PetroMarko-x3g12 күн бұрын
Kaka hiyo nizuri sasa ila unaichelewesha sana
@PetroMarko-x3g12 күн бұрын
Kaka wahi kuitoa hiyo inayofuata
@rachelpaul46015 күн бұрын
Wanaoumia kuona snake boy wanachelewa kutoa vipande wa like ili watuwahishie kaz
@pkcamlesh246516 күн бұрын
Hivi hizi likes mnaombaga huwa mwazipeleka wapi,Clam much love from Kenya 🇰🇪nakukubali sana
@julzproperties374416 күн бұрын
Nimekuwa wa kwanza leo Director Kasoso nipe like zako from Kenya 🇰🇪 twawatazama
@ErickEzekiel-lj8mu15 күн бұрын
Clamo vevo na timu nzima hakika mmeuwa sana snake boy bonge la movie haijawahi tokea yani inafatiliwa na Africa nzima pig up sana kaka clam 🔥👍🙌
@user-zq9fi4io2i14 күн бұрын
Aliowaza sanura yupo kwe kipande kijacho gong like❤🎉
@ZulfaMjege16 күн бұрын
Tulokuwa tunaisubri kwa ham snake boy tujuan kweny like ❤❤
@patrickkalu447716 күн бұрын
Mmmmmmh
@LinaahSangah-ec2zw16 күн бұрын
Mimi.hapa kipenz changu❤❤
@Kwaricha16 күн бұрын
Boa noite amigo
@silviaalphonce16 күн бұрын
Nanii nae amekua wamwisho jmn 😎😊
@JUMAschibwanaChibwana123414 күн бұрын
Snake boy inatisha san alafu haina mpimzan viwaz nyingi san John Martin
@charlespatrick863216 күн бұрын
Ubuntu botho Leo tupo pamoja nipeni like nikupe like bega kwa bega
@Rigobertpanga916 күн бұрын
Nimeisubiria hii snake boy Kwa mda mrefu sana nimeukubali sana na wewe kama umeikubali mwaga like yako apa😂😂😂
@user-dq8sy1ey5u15 күн бұрын
Wenye hawakwamini mtanzi alimezwa na nyoka mpo,hongera sana Clamvevo❤❤❤
@shebbylegrand16 күн бұрын
Wakenya wenzangu wa Team Vevo,gonga likes zako hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nilikua Nisha Anza kusema Kama jamaa kamezwa Sito angalia tena. Leo nime enjoy nika mkoko umeanza UPYAAA😂😂😂
@SinemaZaChina16 күн бұрын
safi mkuu kiliochangu ni kile kile muweke subtitle ya lugha ya kiingereza
@h.ghoyaa111015 күн бұрын
Kwa ajili yako ama ndio world wide
@SobiTz14 күн бұрын
Wazo Zuri pia
@HappyNicholas-be2yn16 күн бұрын
Nikisema wakwanza nitakua nawadanganya naomben like team vevo❤
@JUMAschibwanaChibwana123414 күн бұрын
Juma chibwana umetisha san
@mash02canada16 күн бұрын
Mimi ni wa kwanza leo mnipe likes from Canada 🎉
@OmarJeshi16 күн бұрын
Imagine Mimi tangu snake boy ianze sijapata likes ata mia😢bs acheni roho mbaya kiasi hicho maana nyie na mandug 5:32 u❤
@BushiriLouis16 күн бұрын
Shaidi 😂😂😂 wewe ndie kiboko, nakukubali sana mshikajiwangu🎉🎉🎉
@linnusaloyce655916 күн бұрын
Moto ni ule ule ukija kuuzima umekoleza zaidi😂😂
@JescaIrakoze16 күн бұрын
Kazi nzuili lakini mbona mmepunguza tena dakika afu munayuacha njia panda kuwa munawahi bana gonga like basi hap
@user-gz5wr1bg3c16 күн бұрын
Na Mimi Leo niombe like Moja wakubwa
@Christine-ho5us16 күн бұрын
Kazi nzuri Vevo sijui mbona watu huomba likes si mnijanue guys 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JUMAschibwanaChibwana123414 күн бұрын
Wanazifanyia nin hizo like wanazoziombaga
@hammyboyofficial88516 күн бұрын
Wakwanza naombeni like zangu jamani...
@user-nh5zw9fg1h16 күн бұрын
Woyooo mamb ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌🔥👌🔥👌🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉👌👌👌👌👌👌👌gonga like hapa kama waipenda hii kazi❤❤❤❤❤❤
@user-wh7jf1el8h16 күн бұрын
One love 💕💕 from ndola district of Zambia 🇿🇲💯💯💯
@EMANUELKibelenge-wr2ep16 күн бұрын
Nice job ❤ God bless more work that mnayo fanya 👏👏
@SafariJamal16 күн бұрын
Kumbukumbu zangu zinanambia wewe n Odama,,,,sio wageni machoni mwangu. Ziambie zikwambie zaidi.... 😢😢 Noma sana aisee. Big up VEVO from+254🇰🇪
@muhiirwasadiki44816 күн бұрын
Congratulations, may Allah protect you and guide you in your activities. I am Congolese I really like your talents 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@apendwemwamahonje765015 күн бұрын
Watu wa mbaliz tujuan naifatilia San snake boy ❤❤❤❤
@kipkiruibrian16 күн бұрын
🎉😂❤ wakenya mko wapi GENZ mnifollow 😮
@Shizzoh-f4k16 күн бұрын
Kama unamini kuwa mungu anakupenda tujuane kwa like❤️
@AsiaOmar-mr7bk16 күн бұрын
Ilikua nimeacha kuwangalia muvi za kiswahili baada yakumfuwatilia clam saiv siwezi kosa kuangalia waswahili wamerudi kwa moto kuna clam " rk & kp mungu awape maisha marefu na afya njema wazidi kutuburudisha
@BeatriceEmanuely-ow9bj16 күн бұрын
Fatilia ata mbwela media yuko vizur
@mohammedkidody561810 күн бұрын
Kabisa yn wote hawa wana vipaji wameamua kurudisha tasnia ya filamu Tz wanastahili tuzo❤🎉
@NaaMakanu16 күн бұрын
Mm wa mwixho naombeni like zangu❤❤❤❤❤
@abdullyza53215 күн бұрын
yani snake boy inasisimuwa kila cku unatamani icmalize.....good talent creator director❤❤❤❤
@zephbaraka16 күн бұрын
Very amazing..... following this episode all the way from Kenya .
@alexkalonga532316 күн бұрын
Mi wa kwanza Leo naomba like jamn ata mbili tu!
@JonasGilbert-ei7sc16 күн бұрын
🎉
@al-bleproshooteur192216 күн бұрын
Hii Kali caméra ya Léo daah nipeni like zangu wazee From m23
@SharifuAlbughuli16 күн бұрын
Mbn kam adama kam Ana love bite 😂😂😂😂😂
@eviepretty264612 күн бұрын
Inaonekan kabla ya kuingia location alipigw shoo Kali Jana yake🤣🤣