Masoud unafanya vizuri sana na hamasa kwa watanzania kwaujumla, Vivyo hivyo hata government yetu nayo kwasasa nimeioenda zaidi kupitia kiwanda chako.
@alhajizhossen53263 ай бұрын
Nina penda sana ujasiri wako maana ume riziki sehemu kubwa sana ya maisha yako maana hii Tanzania yetu kwenyekitu kama hicho tuna chukulia poa sana sema ww utafika mbali sana kwa juhudi hizi unazo zionyesha
@mandyfitnesstv67383 ай бұрын
Ukiwa na idea ya kufanya jambo na una uwezo wa kufanya fanya! Mwaka 2008, niliwahi kumpa wazo ràfiki yangu, kutengeneza vipindi na kupost you tube! Hakunielewa na niliacha kufanya maana hakunielewa lakini leo online media zimejaa kwa wazo lile lile