No video

"Nilifuatiliwa Na Magari Mawili Mpaka Nyumbani | Walinishambulia Na SMG"

  Рет қаралды 325,681

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

"Septemba 7, nimeondoka nyumbani nilikuwa Dodoma, kuna eneo linaitwa area D, kuna maghorofa mengi ndio wanakaa viongozi wa Serikali na yanalindwa muda wote nimeishi pale toka 2010. Nilifika Bungeni tukajadili na nilikuwa mtu wa mwisho kuzungumza katika ile session ya asubuhi.Nikatoka nje, nikampigia dereva wangu simu aje anichukue twende nyumbani tukale chakula cha mchana. Mimi siku zote nakula nyumbani.
Ukiwa bungeni miaka ile njia rahisi ilikuwa inapita katikati ya uwanja wa ndege sasa ilikuwa njia imefungwa sababu palikuwa panafanyiwa matengenezo Kwahiyo ili uende area D inabidi uende mjini hivyo tukaelekea mjini. Tumepita round about ya Singida, tukapita round about ya barabara ya Arusha ambayo inapakana na uwanja wa ndege tulivyopita dereva akaniambia kuna magari mawili yanatufata nyuma kwenye akili yangu nikamuulizaDereva hawa polisi wanatufuatia nini? Maana mimi huwa nasumbuliwa na polisi.
Tukafika area C tuko nao gari mbili land cruiser nyeupe na Mitsubishi tukaenda mpaka area D tumekaribia getini kama kuna mtu anafahamu iliko Club84 tulipopita pale Land cruiser nyeupe ikapaki pembeni Mitsubishi ikaja tukaingia nayo getini. Lile geti huwa linafungwa muda wote na huwa kuna walinzi wawili au watatu wanasilaha muda wote siku hii geti liko wazi na hakuna mlinzi tukapita tukaenda block E ninapoishi. Tukaingia parking bahati nzuri siku hiyo magari yalikuwa mengi na nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking.
Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari, kulia kuna magari wakageuza gari kuelekea walipotokea dereva akaniambia nisishuke, wakasubiri na wao. Mmoja akatoka siti ya nyuma akaamia mbele upande wa abiria wakazungumza akarudi ndani akafunga mlango ghafla akafungua yeye, akafungua mwingine wanamashine hapo wakaachia" - Tundu Lissu
#LiveOnClouds360

Пікірлер: 537
@nsibwenekaswaga6267
@nsibwenekaswaga6267 Жыл бұрын
Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha Bure! MUNGU ambariki sana Mh SAMIA SULUHU HASSAN kwa huruma zake.
@gadimbajo
@gadimbajo Жыл бұрын
Ni mmojawapo kati ya watu waliokuombea sana na Mungu akatenda, Mungu ana kusudi na maisha yako, usirudi nyuma endelea kusimamia na kutetea haki.
@livinuskamugisha5296
@livinuskamugisha5296 Жыл бұрын
Haki ya ushoga ndo haki?
@gadimbajo
@gadimbajo Жыл бұрын
@@livinuskamugisha5296 kwa hiyo ndiyo haki pekee uliyoona Lissu amewahi kutetea, huwa sipend kujibizana mitandaoni ila kuna muda inabid tu vijana wengi mnakurupuka muda mwingine inabid msaidiwe kueleimishwa, Lissu ameanza kufahamika kabla ya chadema kwa sababu ya misimamo yake na kutetea haki, amewatetea na kusaidia kushinda kesi nyingi sana za watu wanyonge wasio na uwezo ni hulka yake kutokukaa kimya haki isipotendeka, tatizo wengi wenu mmemjua baada ya chadema, tafuta kujua historia yake, mi sio chadema ila nakubali misimamo yake ndio maana nimemsihi aendelee kusimamia anachokiamini ni sahihi ambacho ni haki., akihama hapo sipo pamoja naye., mtizamo juu ya ushoga ni kitu kidogo sana hakitoshi kumjudge mtu., you think very low.
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Mkono wa mungu ni mrefu sana
@musasabuu2808
@musasabuu2808 11 ай бұрын
​@@livinuskamugisha5296punguza masiliko
@Maintenancetv971
@Maintenancetv971 Жыл бұрын
WANAOAMINI MUNGU YUPO WAGONGE LIKE HAPA ZA KUTOSHA TUMSHUKURU MUNGU PAMOJA.
@HajiJuma-xw7vh
@HajiJuma-xw7vh 5 ай бұрын
Mungu amlinde inshaallah😭
@justinmazimba8335
@justinmazimba8335 Жыл бұрын
Like kwa lisu
@Oboss_billharvester
@Oboss_billharvester Жыл бұрын
Asante Mungu kwa kumlinda mtu huyu kwa ulinzi wako mtu huyu yupo hai, baba mwenye enzi simama nae na waliohusija na ugaidi huu wakaabike kwa matendo Yako makuu.
@EmmanuelKishiwa
@EmmanuelKishiwa 6 ай бұрын
Daaah pole ndugu anguuu ujumbe wako apa umeniacha njia panda expressive feelings uloitoa hakika yake BWANA atalipia kisasi wala usiwe na shaka brother people's power we are together NCHI hii ya kwetu sote na tuijenge sote kwa amani
@sanaanimaisha4072
@sanaanimaisha4072 Жыл бұрын
Pole sana kaka Lissu. Ule ni unyama na lazima kukemewa na kila mmoja wetu. Ubinadamu kwanza jamani
@flavianimrod1017
@flavianimrod1017 Жыл бұрын
Huu ni muujiza unaoishi😭 Ila huyu Mungu jamani..wacha aitwe Mungu
@DealDeskPro
@DealDeskPro Жыл бұрын
For the first time namsikiliza Mh. Lissu kwa makini, indeed kilichompata hakifai kumpata mtu yeyote yule na ninakilaani kitendo kile kwa roho yangu yote..Na mungu atakulipa kwa kadiri ya unyama uliotendewa. Pole sana Mh. Lissu.
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Жыл бұрын
Aliefanya bila shaka atakuwa alishalipwa.
@kokombwana8625
@kokombwana8625 Жыл бұрын
@@venancemwanya4212 Hakika,huwezi ukafanya ubaya huu halafu poetic justice ikuache hivi hivi
@DealDeskPro
@DealDeskPro Жыл бұрын
@@venancemwanya4212 Mungu hawafanyi kazi yake kwa utashi wa kibinaadamu..kwetu wanaadamu mengi yamejificha sana, sisi hatupaswi kuhukumu lakini hukumu tumuachie yeye (Mungu) Aliefanya tukio hili inawezekana anasoma post hizi..Basi hakika mungu atakulipa kwa karidiri ya ubaya uliomtendea binaadamu huyu, kwani hakuna binaadamu anaepaswa kufanyiwa ubaya wa kiwango hiki bila ya hatia yoyote.
@samwelmtonyi8203
@samwelmtonyi8203 Жыл бұрын
Pole Mungu akupe maisha marefu
@zaherashamte1058
@zaherashamte1058 Жыл бұрын
@@kokombwana8625 jaman vimeanza tena
@christopherobinya9874
@christopherobinya9874 Жыл бұрын
Watesi wako wapo mikononi Mwa Mungu yeye atalipa Kwa hayo mabaya. Na kamwe hawataishi maisha marefu watapita na wewe utabaki. Mungu ni mwema sana.
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Kaka pole sana ila mungu ni mwema
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 Жыл бұрын
Mungu alijibu aliye watuma yuko wapi. Wamwogope mungu ipo siku watajulikana..usiuwe kwa upanga utakufa kwa upanga.
@ZeAniamalTV
@ZeAniamalTV Жыл бұрын
Hii nchi ilikua katika hali mbaya na kuongozwa na watu wasio na utu ila Mungu alijithibitisha ukuu wake hakika wote wanalipa sasa
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 Жыл бұрын
Pole sana mzalendo Mungu ni juu ya yote Asante Yesu Mwokozi
@paiwanjara3502
@paiwanjara3502 Жыл бұрын
Mungu ni wetu sote kama Mungu alipanga uwepo hakuna mwanadamu atakaye kuondoa katika maisha
@theophilsilaa5319
@theophilsilaa5319 Жыл бұрын
Mungu alikutetea sana sio kitu cha kawaida
@erastojackson9397
@erastojackson9397 Жыл бұрын
Nimependa watu wanavyo comment kumbe kunawatu wanahofu ya Mungu duniani endeleeni kumuombea maisha marefu Lisu, wale Akina Kangi ligola ambawo walikua Mambo ya ndani alikua akijibu maswali kwa kejeli wakati ule Mungu bado anashung'ulika nao Sasa aibu imewajaa walifikiri atakufa, naamini hawata sikia kifo Cha Lisu, Lisu ndiyo atashuhudia vifo vyao.
@marthasiliro6386
@marthasiliro6386 Жыл бұрын
Long live baba,Taifa hili linakuhitaji,MUNGU ana makusudi take juu Yako,na gumbo hili lina maana kubwa sana kwako.....!
@deokibona2835
@deokibona2835 Жыл бұрын
Hili tukio liliniumiza sana sana. Yaani sitaki hata kulikumbuka. Pole sana Lissu.
@nayerabudebu5974
@nayerabudebu5974 Жыл бұрын
Yet mnasifu Magufuli alikuwa mwema
@deokibona2835
@deokibona2835 Жыл бұрын
@@nayerabudebu5974 sijawahi kumsifu Magufuli mie. Kilichonifanya nimpinge tangu mwanzo ni ukandamizaji aliokuwa anaufanya na kudhibiti vyombo vya Habari. Hakuna kiongozi mwema anayeweza kuvinyamazisha vyombo vya habari, ni fisadi peke yake ndio anaweza kifanya hivyo.
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 Жыл бұрын
Kwa Lissu it was a life changing moment,kwa mama as for now ni LIFE OPPORTUNITY ktk uwanja wa kisiasa
@KUBANDA53
@KUBANDA53 Жыл бұрын
Inasikitisha Sana, inaumiza Sana na inaudhunisha Sanaaaaa@Tundu lisu mungu akusimamie zaidiiiii wewe Ni super katika uongoz wako,,,, nakwenda singida kukupokea kaka
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 Жыл бұрын
Pole sana nafikiri waliotenda unyama huo nafikiri wanajutia Mungu ni mkubwa na waelewe hivo dunia hii si mali yetu ina mwenyewe udhalimu hautadumu na wanao shabikia udhalimu watajuta
@abellabv
@abellabv Жыл бұрын
Mungu ni mwema sana. Wabarikiwe sana wote waliokusaidia.
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Lisu umefanya nizid kukupenda wallah
@emmanuelisarria6321
@emmanuelisarria6321 Жыл бұрын
Mungu ni mwem usiogope
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Aliyefanya unyama huu naamini Mungu ashamlipa kitaaaamboo xna
@davidsilwamba2465
@davidsilwamba2465 Жыл бұрын
Pole Sana honourable lisu hakika mungu nimwenye rehema
@williamjames8190
@williamjames8190 Жыл бұрын
Mungu Ni Mwema Mh:Lissu Kama Ameweza Kukupitisha Katika Hili Basi Hakuna Wakukuteteresha Katika Hii Dunia
@faustaarobogast8978
@faustaarobogast8978 Жыл бұрын
Pole Sana baba lisu mungu Ni mwema
@ms_teeonly
@ms_teeonly Жыл бұрын
Pole sana Mungu ni mwema
@bellasi349
@bellasi349 Жыл бұрын
Pumbavu zako iki kijamaa kinatetea ushoga sibora ungekufa hizo hadisi zako zimepitwa n'a wakati n'a uo mwandishi jinga lingine izo habari nani hazijui kwani mpaka muweke iyo kipindi nyumbu wakubwa
@the_white_43.
@the_white_43. Жыл бұрын
@@bellasi349 wewe ni mkundu kama mikundu mingine,....Lissu hajawahi kutetea ushoga hizo siasa za maji taka peleka matakoni ...mkundu wewe ... mmekazana ushoga ushoga ushoga unatombwa nini /....
@the_white_43.
@the_white_43. Жыл бұрын
@@bellasi349 wewe ni kamkundu tu.
@josephgregory9843
@josephgregory9843 Жыл бұрын
Mungu yu pamoja nawe mwamba utaishi sana
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 Жыл бұрын
Mungu yupo na wanadamu wote acha unafiki
@robarthpeter
@robarthpeter Жыл бұрын
Kumbe alipigwa lisansi akiwa nanjaa Mungu alimuokoa
@kayalaonlinetv
@kayalaonlinetv Жыл бұрын
@@robarthpeter kwakweli Daaaah
@christiannyamamba9089
@christiannyamamba9089 Жыл бұрын
Siasa yetu ilifika pabaya sana Mungu asimamie hili tuepukane na haya mambo
@daimavlog
@daimavlog Жыл бұрын
Mungu alisimamia mpendwa, akatufungia udikteta mapema
@shedracklyamuya9670
@shedracklyamuya9670 Жыл бұрын
Mungu anakupenda ❤️❤️
@drsumatz7539
@drsumatz7539 Жыл бұрын
Mh Lisu zidisha imani kwa Mungu na Hakika kupitia miujiza juu yabtukio hili tumejifunza Sana kuwa kumbe haya mambo sio historia tuuza kale ila tumeona miujiza na baadh wakalipwa ubaya huo na Mungu moja kwa moja
@mossesmuhanuzi5154
@mossesmuhanuzi5154 Жыл бұрын
Mungu atuepushe na mipango ya wanadamu
@jujajony905
@jujajony905 Жыл бұрын
Ni ngum ata kusikiliza, very emotion.
@robertzingu9889
@robertzingu9889 3 ай бұрын
Hakika Tundu Lissu ni mwanadamu wa pekee. Na wewe ni mwanaume. Pamoja na tukio hili baya kabisa kukutokea, lakini uko vilevile, huna ubaya na mtu. Tundu you're really very special person. God loves you very much. Mpe utukufu na heshima yeye peke yake
@princeriwa4000
@princeriwa4000 Жыл бұрын
Pole sana kamanda Malaika walinzi wakulinde na kukupa maisha matefu hapa duniani
@benedictomahendeka7156
@benedictomahendeka7156 Жыл бұрын
hakika Ukuu wa Mungu Ni wa ajabu sana GOD hatuna cha kukulipa ila tunasema asante sana kwa kuendelea kutuonyesha ukuu wako yaliyotabiriwa kwenye biblia hakika ndo yanayotokea eeeeeeh mwenyezi mungu nifundishe kunyamaza umetufundisha mengi sana kupiti LISSU
@stateofart1089
@stateofart1089 Жыл бұрын
Magufuli kafa Lissu mzima, Lowasa mzima acheni Mungu aitwe Mungu. Watanzania tuache upumbavu nchi yetu ni ya amani tuache uoga wapinzani wapo kwa ajili ya maendeleo ya nchi kama CCM wote ni wanasiasa na ni watanzania.Tujifunze kwa wamarekani leo upinzani kesho chama tawala wanabadilishana
@alfredmarti3131
@alfredmarti3131 Жыл бұрын
Sijui kama watakuelewa. Ni fact.
@stateofart1089
@stateofart1089 Жыл бұрын
@@alfredmarti3131 Bro wabongo Mungu aturehemu tu hakika nadhani bora kupaza mawazo yetu tu, ni wachache tunaelewana tuwaombee na wengine wengi wafungue macho yao na tuendelee kuipenda nchi yetu.
@glorysungura3180
@glorysungura3180 Жыл бұрын
Pole sana, jina la BWANA LIBARIKIWE. MUNGU NI MWEMA SANA. Kama siku za kuondoka duniani bado zipo, utapona tu hata iweje. Dah, moyo umeniuma sana. Nasikia maumivu makali moyoni mwangu. Jipe moyo mpendwa, KISASI NI CHA BWANA. MWACHIE MUNGU HAKIMU WA HAKI, YEYE HAPOKEI RUSHWA. ATAHUKUMU TU IPO SIKU.
@amosmichael8986
@amosmichael8986 Жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Жыл бұрын
Hii inaitwa mungu mkubwa mshukuru mungu Mara zote tena
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Unyama wabinadamu niwakipumbavu, kwasababu yakujisahau, maisha yabinadam nibahati tu kutoka kwamwenyezimungu, eemungu tusaidiye utuepushe napepo wabaya wanchihii
@mathewyoung2159
@mathewyoung2159 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@edmundrutahiwa
@edmundrutahiwa Жыл бұрын
Different days months and years but same story...kupigwaa risasi kupigwaa risasi mzee tushajuaa tushakuombea na thanks umerudi bongo salama...weka sera mezani sasa na acha kutafuta huruma...kura hupati kwa kuonewaa huruma kura unapata kwa nn utafanyaa au nn umefanya
@TheRonoTV2024
@TheRonoTV2024 8 ай бұрын
Kosa kubwa sana;Ukihisi au kuona inafuatwa na watu wasio julikana usielekee nyumbani au kokote unakoeenda maana unajiingiza mtegoni wanakokutaka maadui. Badilisha mkondo na uelekee kwa kasi kati nafasi yoyote ya umma mfano hospitali,duka kuu,kituo cha polisi etc.hapo utawanyima maadui nafasi ya kukushambulia faraghani.
@deusdedithjoseph7588
@deusdedithjoseph7588 Жыл бұрын
Mungu yupo pamoja na wewe mwamba
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 Жыл бұрын
Polesana. Binadamu tunaunyama sana
@laurenceekway9451
@laurenceekway9451 Жыл бұрын
Pole mteule wa mungu Gina la mungu liimidiwe amemi
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 Жыл бұрын
Huyu baba ana maisha marefu sana..
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 Жыл бұрын
anaejua siri ya maisha marefu ya mjawake ni Mungu / Kuna watu wamepigwa mabomu hasa kenye vita ya kagera na pia wako hai sio yeye tuu
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 Жыл бұрын
NAHAKUNA MAISHA MAREFU KWA MJA NABII SULEIMAN AMEISHI ZAIDI YA MIAKA MIA NANE LAKINI ALIKUFA MUDA ULIPOFIKA SASA WEWE USITABIRI YA MUNGU
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 Жыл бұрын
@@moodyzanzibar4336 kwa kupigwa kule,kuvuja damu kule kumenifanya niamnini ataishi sana....
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 Жыл бұрын
@@moodyzanzibar4336 Na atakufa kwa wakati wa Mungu sio binadamu.
@mussakasela1937
@mussakasela1937 Жыл бұрын
Halafu hato kufo milele
@emmanicko1535
@emmanicko1535 Жыл бұрын
Inauma sana 😭😭 ila Mungu mwema kwakweli
@mashauriobedi6290
@mashauriobedi6290 Жыл бұрын
Mungu Ndio mpangaji ila Si binadamu, Pole Sana Lissu kwa madhira hayo uliyopitia kwa kuwasemea wa Tanzania wanaojita machawa.
@farajasallah2338
@farajasallah2338 Жыл бұрын
Pole Sana jamani, niliumia mnoo, karibu Tz kazi iendelee
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Dah story hii imeniumiza sanaa😭😭😭😭kwel Mungu akiamua kukupigania anakupigania kwel kwel,,kwel vita ya Mwanadamu mwachie Mungu,,Lisu Mungu amekuacha kwa sababu kubwa sanaa,,,aliyetaka ufe yy katangulia,sijui leo anajibu nn hko?Acha Mungu aitwe Mungu
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 Жыл бұрын
Pole sana. Mungu azidi kukutetea Mungu amewaokoa na akampa hekima dereva kufanya alichofanya. Utukufu Kwa Mungu,
@josephkulija293
@josephkulija293 Жыл бұрын
Acha Mungu aitwe Mungu. Jina la Mungu lihimidiwe.
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 Жыл бұрын
Kazi ya Magufuli hiyo... Huyo Mshikaji wa kisukuma alikuwa mpumbavu sana
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 Жыл бұрын
Alikua na roho mbaya sana
@becare2300
@becare2300 Жыл бұрын
Nikweli magufuli alikuwa Ana mambo ya ajabuuu san
@pendaelimkumbo
@pendaelimkumbo Жыл бұрын
pole sana ila malipo ni hapa hapa duniani ..... mwache mungu aitwe mungu
@danielntengwi7699
@danielntengwi7699 Жыл бұрын
Pole sana Tundu .
@mwl.frankmadembo7472
@mwl.frankmadembo7472 Жыл бұрын
Mungu amekusaidia tafsiri yake Kuna mask mbele. Jipange lakini tengeneza mahusiano Yako na Mungu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Huyo hana mahusiano na mungu katawaliwa na matusi na kumkashifu mwendazake magufuli na marais wengine hauwezekani kila Rais mbaya yeye nani anatumiwa huyo
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt Жыл бұрын
We imekuaje kuwa hana mahusiano na Mungu
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Жыл бұрын
Huyu ni mteule tayari..na nchi tutajiuliza wakati wake ukifika,atafanya mambo mengi ya kuishangaza dunia .God I hope it will be soon.niliomba sana upone,sasa naomba tena
@opiyowilson3640
@opiyowilson3640 Жыл бұрын
God is OMNIPRESENT.
@danielmushi5755
@danielmushi5755 Жыл бұрын
Pole sana Lissu,Mungu ni mwema wakati wote.🙏🙏
@asnathmasegenya9890
@asnathmasegenya9890 Жыл бұрын
Pole sana storyimeniumiza mno
@patricknamangoa6468
@patricknamangoa6468 Жыл бұрын
God's enormous power is definitely unlimited.
@danielmatya373
@danielmatya373 Жыл бұрын
Mungu Mkali Kafa yeye kamuacha mwamba bdo anahema Glory to God
@RosemaryNjiku
@RosemaryNjiku 2 ай бұрын
Mhe. Tundu lissu mungu atakulipia Kwa yote waliokufanyia
@festohaule9716
@festohaule9716 Жыл бұрын
Amini usiamini Mungu yupo..pole lisu pole chadema.. pole Demokrasia!!!!!?
@khadijaomary9324
@khadijaomary9324 Жыл бұрын
Kiongozi hongera hakika unapamba juu ya chama na mungu akuongezee baraka tele wanyooshe unajuwa serikali hii imejaa mafisadi weng Sana rushwa Kama zote adi tulishaachoka
@esterpius7423
@esterpius7423 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe na aendelee kukutunza. Waliofanya hicho kitendo Mungu ahusike nao
@renatusdeogratias2108
@renatusdeogratias2108 Жыл бұрын
Lissu pole sana machozi yananitoka
@geoffreykilawe3953
@geoffreykilawe3953 Жыл бұрын
Mungu anakupenda sana Tundulisu, azidi kukutunza. Tunatamani urudi bungeni mwaka 2025.
@kassim1262
@kassim1262 Жыл бұрын
Ukiona mtu anapingana na tundu lissu kwanza huyo nimiongoni mwawatu wasiojuilikana wauwaji ambao hawana utu wapo tayari kuua kwakisingizio chamaendeleo kibaya zaidi hata mipango yamungu hawaiyamini manaake wanajua tundu lissu kapigwa risasi nyengi tu lakin kwamipango tu yamungu bado anaishi lakin watu wasiojuilikana bado wanapinga mipango yamungu wanaanza kujuilikna mitandaoni watu hatari sana kwataifa
@yahyashaib5116
@yahyashaib5116 Жыл бұрын
Allah nimwema sn pole sana
@obedwilliam5906
@obedwilliam5906 Жыл бұрын
Vibaraka wa ccm hao ila mungu ni mwema malipo ni hapa hapa dunian pole sana Mr lisu
@aishaswalehe6848
@aishaswalehe6848 Жыл бұрын
Mungu yupo kamanda tunazidi kukuombea 🙏🏾🙏🏾
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 Жыл бұрын
LISSU hilo tukio lilikua baya sana hua anaongea kwa uchungu mpaka wengne wanalia MUNGU akusimamie akupe nguvu akulinde Sana kama alivokupingania kwenye uhai wako
@KUBANDA53
@KUBANDA53 Жыл бұрын
Pole Sana kaka machoz yamenitoka walai,
@tonyyohana1204
@tonyyohana1204 Жыл бұрын
Noma sana
@lucaskuseroi119
@lucaskuseroi119 Жыл бұрын
Kweli mshukuru mungu alikulinda Kwa bidii Mrs
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 6 ай бұрын
Mungu nimwema.
@ngowestanley2535
@ngowestanley2535 Жыл бұрын
Mungu mwema cku zote
@FaustinaWarioba-zq2tx
@FaustinaWarioba-zq2tx Жыл бұрын
Mbeee! Mungu anajua kuhuisha uhai wake....
@samsonsakwa-sg4du
@samsonsakwa-sg4du 9 ай бұрын
Pole sana umenitoa machoz umepita magumu sana
@vicentsalum4884
@vicentsalum4884 Жыл бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu Mh. Tundu Lissu
@nelsonsape2809
@nelsonsape2809 Жыл бұрын
Pole sana...
@freeboytz-279
@freeboytz-279 Жыл бұрын
More life
@PPLPPL-ld3vu
@PPLPPL-ld3vu Жыл бұрын
Mungu,mkubwa,naomba,umtegemee,sana,ishalla,ataendelea,kuwa,fedhesha,hataakhera,pole,nduguyangu.
@jonasg5630
@jonasg5630 Жыл бұрын
Aliyetaka kukuua yuko wapi?? Kama Mungu hajaamua ufe, hautakufa. Naendelea kukupa pole sana Lisu.
@lissagalla7839
@lissagalla7839 Жыл бұрын
Bado hatujamalizana nae...ameisaliti sana nchi yetu huyu.
@carolinenjiro41
@carolinenjiro41 Жыл бұрын
Acheni Mungu aitwe Mungu jamani 🙏🙏
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Naam
@mahmoudukusso4488
@mahmoudukusso4488 Жыл бұрын
Pole sana Comrade
@jonathanmnyone4003
@jonathanmnyone4003 Жыл бұрын
Kuna kazi bado hujaifanya hapa duniani -Tanzania Mungu anataka uifanye. Vinginevyo angeruhusu uondoke. Msikilize Mungu atakueleza cha kuifanyia hii nchi.
@marthamtalo4348
@marthamtalo4348 6 ай бұрын
Mungu anajua ndie mwamuzi
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Pole SN brother yote hii kutetea wananchi wako Ila MUNGU NDO ANAJUA MWISHO WAKO NIMEKUSIKILIZA HUKU MWISHO NIMETOA MACHOZI MUNGU AKAFANYE JAMBO KWA WALIOFANYA UNYAMA HUUU..
@Filexwawa
@Filexwawa Жыл бұрын
Pole sana
@user-qi8ct9zk2h
@user-qi8ct9zk2h 3 ай бұрын
Napenda lisu mno❤🎉
@davidelisha4455
@davidelisha4455 Жыл бұрын
Pole Sana baba Mungu yupo pamja nawe
@ngasarichard1443
@ngasarichard1443 Жыл бұрын
Mungu akusaidia walio panga kukuua mungu atakuja kuwafanyia kibaya nawao zaidi yahicho walicho kufanyia mwamba
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
ALL THE BEST
@meggygitau4079
@meggygitau4079 Жыл бұрын
Mungu ni Mungu na maajabu yake jamani 🙏
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
GOD BLESS YOU
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
No one appreciate the braveness of lissu driver
@tumsifujoachim5877
@tumsifujoachim5877 Жыл бұрын
Bora umelisema yaani tenda wema uende zako
@rubenprince8990
@rubenprince8990 Жыл бұрын
@@tumsifujoachim5877 serikali ya huyo mama hata muwe hamuipendi kiasi gani mimi naona ndo serikali mzuri kwa raia ebu fikiria nani alikuwa anawa kwamba siku moja vyombo vya habari vitakuwa huru ya kumuhoji tundu lisu au wana siasa bila ya vitisho
@lemausontz3513
@lemausontz3513 Жыл бұрын
Mh T Lisu home boy Mungu anakulinda na Bado anakulinda kusudi utimize kusudi alilokupa maana Yote haya yeye anayajua Sabu yeye anakujua tangu upo tumbon mwa Mama Anajua utapti mapito magumu lakin kusudi lake litatimia Wala maadui hataweza Tena na utakaa juuu yaoo
Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017
11:11
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 16 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 13 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,5 МЛН
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 305 М.
Kamala Harris's full speech to the Democratic National Convention
37:39
CBC News: The National
Рет қаралды 338 М.
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 16 МЛН