Tundulissu mungu akuweke mda mrefu wewe Ni mjanja sana
@noeldidas3578 Жыл бұрын
Presenter , I love your sense of compoasure and intelligence
@chai_r Жыл бұрын
What’s “compoasure”?
@giovannir.restone182 Жыл бұрын
Alotaka ufe..aliondoka yeye.. dictator mkubwa..alidhani yeye ndo ataishi kama mwamba. Piga kazi Tundu lissu wewe ni shujaa
@gracemima5234 Жыл бұрын
Kila mtu ataondoka. Hata wewe utaondoka. Alipoondoka Magu, Membe alikuwa mmojawapo aliye piga makofi. Naye kaondoka. Wewe unaonekana ni mjinga wa kutupwa. Kifo ni cha kila mtu.
@farhiyaibrahim2053 Жыл бұрын
@@gracemima5234 Wewe ndo mjinga ingelikua babako ungesema hivo? maccm imani imewatoka kwa vyeo tu au kwa pesa tu!! Why umpige mtu risasi kama vile lol!!!
@musasabuu2808 Жыл бұрын
@@gracemima5234unateseka ukiwa wapi
@HalidMuhammad-gi9qy10 ай бұрын
Sio pumba angekua baba ako ndio lisu ungelisema hivyo
@mamavena-jd4mc Жыл бұрын
Kabla haujafa haujaumbika,mwenyezi mungu anakutambua Sana lissu kwani risasi moja tu yaweza ondoa uhai wamtu , lakini ajabu umepigwa risasi nyingi kiasi hicho. Jamani mungu anakupenda Sana na hii inaonesha kuwa hauna hatia mbele za mungu Ila zambi na laana zote zitarudi kwa walo. Kuzuru
@yasiniswedi8835 Жыл бұрын
Mjinga ww hkupgwa lisasi hyo alidanganya
@gracemima5234 Жыл бұрын
Ndani ya Chadema mulijiteka, mulioigana risasi, Acheni kutumia watu lawama
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
Na wewe ni walewale msiojulikana. Ugaidi mtupu. Kama chadema walikuwa wakijiteka kwanin hamkuwakamata na kuwafungulia mashitaka?
@GideonChacha-tn5lz Жыл бұрын
Usiombe yakukute, mungu ni wa wote
@martinmadodo4666 Жыл бұрын
Waliomshambulia Lisu Wamelaaniwa maisha yao na vizazi vyao,maana anaeamua kuumiza mwingine hali yeye hakuumizwa Amelaaniwa..
@Mina.15 Жыл бұрын
Kabisa they're animals
@jaywi5681 Жыл бұрын
Sasa Magufuli hayupo kwanini uchunguzi haufanyiki?
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Mwaken Dr. Slaa. Agombee URAIS Kwa tiketi ya CHADEMA. Huyoo LIsu Atawasumbuwa sana huyo.
@mrajani786 Жыл бұрын
Mwacheni huyu hampango kama unamjua aliokioiga risasi mtaje
@geoffreysore-os7ty Жыл бұрын
Je ulijuaeje makufuli rais wetu mpendwa ndie aliye taka kukuua bila thibitisho mweshimiwa lissu tundu
@nathanpangjanda2734 Жыл бұрын
Huyu jamaa mbona kila wakati hanazungumza pumba tu na matatizo yake tu
@fathimamct232 Жыл бұрын
Anamaanisha Wanajulikana na wanawalinda kwa manufaa Yao ivyo yani.
@Mina.15 Жыл бұрын
Yes Hadi leo bado wapo
@saimonseleka879210 ай бұрын
Hata mwandishi unabidi uwe huna akili uhoji swali dhaifu eti chadema walimteka lissu lakini any way...
@novakingmediatz11 ай бұрын
😮
@edenusmrosso9225 Жыл бұрын
mwacheni raisi kipenzi cha watanzania apumzike kwa amani. kama hamna sera mkalale
@husseinkarim6745 Жыл бұрын
Mwongo, serikali ingetaka kukumata balozi angefanya nini? Sema walipoona una nia ya kuondoka wakali wacha Balaa liende. Umetoka airport watu wanakuachia.
@evansm8802 Жыл бұрын
Slaar mjinga kweli. Mtu mzima kama yule baba but empty head
@shabanialfani5394 Жыл бұрын
Magufuri hakuwa mbaya hivyo lakini kipindi akishughurika na Mageuzi ya Kiuchumi Tanzania Watu wengi kama wewe mlikuwa mnasiasa za kuzuia anayoyafanya ambayo yalikuwa na Tija kubwa kwenye Taifa letu. Magufuri kufa ukiacha Uchama na Ushabiki wa Kisiasa Magufuri tutamkumbuka sana kuliko wewe Lissu, Nape, Makamba wala yeyote. Nawaza km Ninyi wote mngemuunga Mkono Magu Leo Tz ingekuwa mbali sana
Mwandishi jibu maswali unayoulizwa halafu utauliza naww ykwako chadema wanauezo kuzuia police kufanya uchunguzii chadema wanauezo kuzuia bunge lisifanye kazi zake na hiyo kauli alioitoa magufuli bdo hujapata picha tu
@marijanimohamed8875 Жыл бұрын
nazani cha kushukuru wewe ulitoka salaama Mwenyezi MUNGU alikuokoa ndio jambo la msingi ila kuwa shutumu wengine hapo sioni logic
Asilimia kubwa ya tunaocomment yawezekana hatujui machungu ya Majeraha, ninavyo hisi ni hatari sana kama kwenye kazi tu nikijipiga tu nyundo kidole huwa tunapoteana. tuwe makini
@onesphorymgedzi995 Жыл бұрын
Huyu jamaa sidhani kama anafaa kuakiongozi kwa sasa
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Kwa nini ?
@florencemwanansao834 Жыл бұрын
Mamaako mzazi ndo anafaa kuwa kiongoz
@HN-ff3hz Жыл бұрын
@@richardnganya2311kwasababu ni pro west na hatutegemei mpinzani kua pro west
@borysaronge1493 Жыл бұрын
We Rudi zako ubelgiji hauna jipya Kila siku ni hayo hayo sera za wafu hauna sera za kuwainua watazania zaidi ya sera zako za matusi ipo siku utateremshwa jukwaani.
@mrajani786 Жыл бұрын
Chama yako ilimpanga kumua
@mrajani786 Жыл бұрын
Wewe nenda ulaya na ile life
@ameedamilja7992 Жыл бұрын
Uchaguzi ujao wa 2025 Pia Akiitisha maandamano itakuwa kama wa 2020
@johnsulle4679 Жыл бұрын
Kiki za kishamba
@jamessiame5169 Жыл бұрын
Mushamba wewe
@linus275 Жыл бұрын
Wewe ndo mshamba mtu kuumizwa ni ushamba acheni ushetani huo
@johnsulle4679 Жыл бұрын
@@linus275 cyo mbaya lakini kiki zake zilifanya kazi mpk amepata pesa za kwenda kuishi ughaibuni we akili ndogo hamtakaa muelewe mtu risasi 16 asife
@valenakomba9218 Жыл бұрын
SANAA ,TENA NA UTOTO JUUU.
@florencemwanansao834 Жыл бұрын
Pumbavu zako. Apigwe risasi babaako iwe kiki mbwa wewe
@marijanimohamed8875 Жыл бұрын
mimi siamini makufuli ange kuwa nyuma ya mpango asinge kuacha ulipo ludi watu wana weza kuwahonga walinzi kwa hiyo sizan makufuli alivyo kuwa na roho zuri ya kusaidia anaweza kutenda hayo
@kassim1262 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Kwako alikuwa na roho nzuri uliza familia ya ben saanane azory gwanda na wengine waliopotea watakujibu..!
@MordenTz Жыл бұрын
Achana na magufuli ameshakufa
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
Ata ww ukiwa bandidu ukifa utasemwa tu
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Ukifa hakuna zuio la kutokusemwa kwa mazuri au mabaya
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
@@richardnganya2311 kweli
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
@@richardnganya2311ndio maana mzee Mwinyi aliwaasa hawa wanasiasa uchwara waache legacy ya kukumbukwa na mazuri nasiyo maovu tu
@fransicmushenyera9302 Жыл бұрын
kwamaelezo hayo nchi za.magharibi nitatizo na wewe nikibaraka mpaka.sasa hivi
@linus275 Жыл бұрын
Angepigwa ndg Yako usingesema hayo mwache mwamba aseme tu