No video

Corona Ni Ugonjwa Mdogo,Janga Kubwa Liko Mbele Mtume Mwingira

  Рет қаралды 94,128

Chomoza Tv

Chomoza Tv

Күн бұрын

Kuendelea kupata matukio mengine zaidi,tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
KZbin : www.youtube.com...
#ChomozaTv#MtumeMwingira#Corona

Пікірлер: 245
@jescakitomari5915
@jescakitomari5915 4 жыл бұрын
Wew ni zaidi ya mwalimu, zaidi ya kiongozi, una maarifa ya ajabu Mungu azidi kukutumia mtumishi wa Mungu kwa ajili ya Tanzania. Lv you daddy.
@Cryptostarz24
@Cryptostarz24 4 жыл бұрын
I lov you my Papa Mwingira,Tunaomba sasa umenifundisha vya kutosha 3 years now wacha ntumie maarifa hayo
@anjelinafute1385
@anjelinafute1385 4 жыл бұрын
Ahsante mtumishi wa mungu peke yetu hatuwezi bila mungu uliye hai
@datydon6676
@datydon6676 4 жыл бұрын
Amina. Huu ndiyo utume, ndiyo unabii unaolenga kuwaponya wana na binti za mungu. Barikiwa Sana Baba Mwingira. Moyo wangu unaniambia Tanzania yangu, Gosheni yangu.
@lazarusismael3639
@lazarusismael3639 4 жыл бұрын
Amen baba ni kweli hata mimi nimepewa ujumbe kama huo mwaka jana, lakiki janga hill ambalo unasema mimi alisema ataachia njaa katika dunia yote pia, NI KWELI MUNGU ANAACHIA HAYA KWASABABU YA DHAMBI KUZIDI, KIKUBWA NI KUWAAMBIA WATU UKWELI NA SIYO KUWAFICHA.
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 4 жыл бұрын
Kabisa na mengine mengi yakutisha yaja makubwa zaidi ya corona neema ya Mungu yahitajika zaidi
@stephbilkim6574
@stephbilkim6574 4 жыл бұрын
Masihi yu aja jamani, huu ndo mwanzo wa utungu tu. Ni wakati wa kutengeneza maisha yako na Mungu, ishi kwa utakatifu ili siku ile uione raha ile tunayoingojea. Repent and believe the gospel.
@eunicehezron3481
@eunicehezron3481 4 жыл бұрын
Ninaomba hata leo nilkuwa naomba kabisa MUNGU ALIYE HAI aponye watu Wake haswa walioitwa kwa jina lake. Na wengine pia maan yeye ni MUNGU wa wote wenye mwili AMEN
@tshirima8886
@tshirima8886 4 жыл бұрын
Asante sana baba...kwa kusema nasi...Mungu akubariki na azidi kukuhinuwa
@levispaultitus8623
@levispaultitus8623 4 жыл бұрын
yes! profet mwingira Mungu akubariki kwa ufafanuzi huo.
@janeyphersuma3982
@janeyphersuma3982 4 жыл бұрын
Nimefurahi kukuona baba japo sisali kanisan kwako Ila napenda sana sana mahubiri yako yanajenga na kuweka tumaini jipya moyoni ubarikiwe sana sana
@veronicashirima3179
@veronicashirima3179 4 жыл бұрын
uzidi kubarikiwa na mungu
@happylemah3704
@happylemah3704 4 жыл бұрын
Mungu naomba utukumbuke Tanzania kama ulivyo mkumbuka rahel🙏
@isaackamando8484
@isaackamando8484 4 жыл бұрын
Amina Baba, well said, ni ujumbe mzuri ambao unatia moyo na unaonyesha njia ya kwendea, pongeza kwa Rais JPM kwa kumtanguliza MUNGU, WATANZANIA tuombe sana maana kuna janga kubwa linakuja mbele yetu, kubwa zaidi ya corona, haijulikani siku wala saa, ila tuombe, pengine hilo linalokuja inaweza ikawa ndo unyakuo, nobody knows, tuombe na tudumu kwenye utakatifu
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana na azid kukutumia zaid baba
@henrytomohty6593
@henrytomohty6593 4 жыл бұрын
Msikilize mtumishi wa mungu km humwelewi acha kashfa tulia na imani yako
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Acha ujinga wako wewe ulimuona Mungu wakati anamtuma???? Hakuna aliye juu zaidi ya neno la Mungu!!
@joshuasimon3414
@joshuasimon3414 4 жыл бұрын
Mungu uturehemu sisi tu watenda dhambi kila siku ee mungu baba.
@celinakingu3097
@celinakingu3097 4 жыл бұрын
Your so amazing Dady Your so intellectual You bless me through out . I love you DADY
@tulibumisalu8812
@tulibumisalu8812 4 жыл бұрын
Well said mtumishi wa Mungu.Maombi ndio silaha pekee. Asante sana kwa kutukumbusha.
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 4 жыл бұрын
Ujumbe wa muhimu kwa wakati muhimu. Let's pray Mungu wetu ni mwingi wa huruma ataturehemu na kutuokoa na majanga haya.
@pinochio5465
@pinochio5465 4 жыл бұрын
😂😂😂👍🏾👍🏾👍🏾.... mtumishi wa mungu amen I fanya nikumbuke lile pambio ....🎶🎵🎤 jambo ni lile lile kuomba, jambo ni lile lile kuomba🎹🎻🎷. Tusiache kuliombea Taifa letu, raisi wetu, viongozi na sisi kwa sisi kama raia wema wa 🇹🇿 Tanzania na Mungu aliye wa rehema atatuponya tusiangamie na wanaoangamia ... 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽. Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu apostle & prophet J.E Mwingira
@leaherasto5686
@leaherasto5686 3 жыл бұрын
2021 Mungu tusaidie Rest In Peace Rais Magufuli
@henrytomohty6593
@henrytomohty6593 4 жыл бұрын
Wenzangu na mm ambao hamjui msiingilie imani za watu na kuchangia ujinga endelea na imani yako mtajipatia laana zingine sisizo wahusu so kaa kimya
@ellysilwani9287
@ellysilwani9287 4 жыл бұрын
Janga hili litapita mtumishi Wa Mungu,na mengine yote yatapita pia,kwani damu ya Yesu imetufunika sasa ,na kesho na hata milele.Aminaa...
@shibalubela6500
@shibalubela6500 4 жыл бұрын
Amen
@askofupeter2329
@askofupeter2329 4 жыл бұрын
Thank you, be blessed
@simonjnrmabula3785
@simonjnrmabula3785 4 жыл бұрын
Ni muda wa kuomba TOBA ya kweli inayomaanisha kuacha dhambi. Mungu anapendezwa na TOBA. Maombi bila kutubu na kuacha njia mbaya hayana maana.
@innocentndabukakiye6100
@innocentndabukakiye6100 4 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu,Neno lako limeugeuza moyo wangu,hakika Sasa nitamwelekea Mungu Aliye juu Sana!
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 3 жыл бұрын
kuna watu watapigwa na butwaa Yesu akija na kusujudu kama kawaida yake pamoja na waislam
@bahatimayala6494
@bahatimayala6494 4 жыл бұрын
Hakika mtumishi wamungu wanane uko sahihi mataifa yaliyo shangiria na kupitisha mambo ya ushonga leo ndo yanateseka sana na kutahabika hasira ya mungu imeishukia dunia watanzania tuenderee kumtihii na kumwabudu na kumulilia hakika yeye ndo kila kitu kwetu aminaah
@clivonmwachola2286
@clivonmwachola2286 4 жыл бұрын
Watanzania Mwenyezi Mungu awalinde kwani Rais wenu anamjua Mungu,kwani aliruhusu watu waendelee kumwabudu Mungu,sisi Kenya tumefungiwa makanisa,Barkiweni sana watanzania na JPM.
@mbokamtafya535
@mbokamtafya535 4 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kutupa JPM. Poleni ila endeleleni kuomba humohumo ndani
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 4 жыл бұрын
But the Kenyan church just like many globally have offended the Most High ELOHIM YHWH,they teach a different gospel,prosperity gospel. Thats why Corona is sweeping believers and non believers in equal measure.
@marymremi1241
@marymremi1241 4 жыл бұрын
Tuko pamoja mtumishi wa Mungu tutaomba toba kwa kila mtanzania tuvae magunia tumuombe Mungu wetu yeye Ni mwenye rehema na huruma natamani Tanzania nzima siku moja tufunge na kuomba
@mrjohnson_official9814
@mrjohnson_official9814 4 жыл бұрын
Amen kwa yote ambayo Mungu amesema na wewe hakika naamin watanzania watayafanyia kaz
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 4 жыл бұрын
Amen sana Ubarikiwe sana Mchungaji
@yonachitema
@yonachitema 4 жыл бұрын
Amen, tunaomba na Mungu ni mwema ataendelea kututetea
@phineking3911
@phineking3911 4 жыл бұрын
Amina Mtumishi Wa Mungu, Tunashukuru Kwa Maneno Yenye Hekima Na Busara. Tunapaswa Kuomba Haswa..
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 4 жыл бұрын
Naamini ni kweli kunajanga kubwa mbele yetu zaidi ya corona Mungu atupe kushinda katika hilo, Mungu atusaidie sanaa kipindi hiki chamaandalizi
@nassirray7096
@nassirray7096 4 жыл бұрын
Apo nimeelewa ni mwanadamu kama sisi🤝
@ericamwakyokile1889
@ericamwakyokile1889 4 жыл бұрын
ubarikiwe baba! asante sana.JPM ni rais ambaye amesimama mbele za Mungu kwa ujasiri.Mungu analiangalia neno alitimize.tunaomba mtume.! Barikiwa baba
@gracepeter8685
@gracepeter8685 4 жыл бұрын
Asante Baba yangu wa kiroho
@amanimgao6468
@amanimgao6468 2 жыл бұрын
Amina
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 жыл бұрын
MUNGU tunaomba tupunguzie hasira😭😭😭tunaomba toba😭
@nivatz3169
@nivatz3169 4 жыл бұрын
Rais wetu. Mungu ambariki sana kwa nafasi ya kumkadhi Mungu kua ndio tabibu wetu.
@japhetyanania8589
@japhetyanania8589 4 жыл бұрын
Chai za ikulu alisema kakobe, hata huyu ndo maana kuwaamini hawa. Nikujitia hasira mbele za Mungu. Vzr kumwamini Mungu peke yake.
@queenjema5887
@queenjema5887 4 жыл бұрын
Asante sana mutumishi wamungu. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@filbertcarlos2946
@filbertcarlos2946 4 жыл бұрын
Asante sana mtumishi tutaomba pamoja na litakwisha
@magdalenamatiko9995
@magdalenamatiko9995 4 жыл бұрын
Hata Mimi ndo nimemkubali Mungu alimleta kama esta ndani ya nyumba ya mfalme
@elisanteelisante172
@elisanteelisante172 4 жыл бұрын
Ameee Wengine wanataja farasi wengine vyeo wengine fetha Tanzania tuna liita jina LA Mungu alie juu yaani Yehova
@eunicehezron3481
@eunicehezron3481 4 жыл бұрын
AMEN
@henryndosi1114
@henryndosi1114 4 жыл бұрын
Na iwe hivyo
@graceambilikile7442
@graceambilikile7442 4 жыл бұрын
Halleluya
@berniemakule2581
@berniemakule2581 4 жыл бұрын
Amen #Yesu atosha
@samwelikaiga3096
@samwelikaiga3096 4 жыл бұрын
I believe in Jesus
@kakaakioko6031
@kakaakioko6031 4 жыл бұрын
Corona will end when God says.its better to humble before God for healing.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 жыл бұрын
Ila nasema watu mrudieni Mungu laa sivyooo....Yesu anarudi jamani!
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 4 жыл бұрын
Isaiah 26:20 "Go,my people,enter into your interior rooms and shut your doors behind you. Hide yourself for but a moment until the denunciation passes over ".
@charleskitundu7639
@charleskitundu7639 4 жыл бұрын
Justina Musyoka 9
@anitaeustad522
@anitaeustad522 4 жыл бұрын
❤❤❤❤❤nakupenda dady
@ebensaul2879
@ebensaul2879 3 жыл бұрын
yec Dad we love you
@harunyusuf4229
@harunyusuf4229 4 жыл бұрын
Amen,tukumbuke sisi Wakenya mnapo omba
@kingdomabel6426
@kingdomabel6426 4 жыл бұрын
Mungu haitaji watu wanaopendwa na wengi bali wenye msimamo wa imani pasipo kujali mtu yupo mwenyewe Au la AMENI MWINGIRA
@shelamsongwe8500
@shelamsongwe8500 4 жыл бұрын
Mungu ailinde nchi ya Tanzania juu ya maovu yote
@stephenpaul8679
@stephenpaul8679 4 жыл бұрын
Si kwa akili zetu wala kwa nguvu zetu bali kwa uwezo wako Mungu tutavuka
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Jamaniii! Majigambo ya nini??? Kuna nchi hazina kesi hata moja!! Na bado corona haijaisha!! Kutangulia si kufika!!!!!
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 4 жыл бұрын
Tell them please.
@mvangabalele3260
@mvangabalele3260 4 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe Sana
@lonyorilaizer8507
@lonyorilaizer8507 4 жыл бұрын
No tuchuje maneno watumishi,,Tanzania si takatifu kuliko mataifa yanayoangamia cha msingi ni kumshukuru MUNGU Kwa neema na si kusema wenzetu wana dhambi kuliko sie, mnamkosea MUNGU kwa vinywa vyenu jamani
@lov3216
@lov3216 4 жыл бұрын
Mungu tusaidie ss wanao
@paulstephano8829
@paulstephano8829 4 жыл бұрын
Hakika tusikufuru wenzetu tuzidi kumuomba mungu na si kujigamba hatuna dhambi
@lonyorilaizer8507
@lonyorilaizer8507 4 жыл бұрын
Thanks
@esteribrahim8017
@esteribrahim8017 4 жыл бұрын
Tanzania kuna ushoga? Tanzania kuna casino zinazoruhusu watu kucheza uchi? Pigia mstari hayo utajua
@jonassaid4001
@jonassaid4001 4 жыл бұрын
Ameen sasa nimeelewa Baba
@rosaliamwidege1803
@rosaliamwidege1803 4 жыл бұрын
Asante baba.
@bahatishemu830
@bahatishemu830 4 жыл бұрын
yes, we need God now more than EVER👌
@yusuphkayoka5452
@yusuphkayoka5452 4 жыл бұрын
Aksante Baba
@jackobende975
@jackobende975 4 жыл бұрын
Good TV
@naomysamuel6799
@naomysamuel6799 3 жыл бұрын
Daah
@norahwagody6092
@norahwagody6092 4 жыл бұрын
Good mtumishi wa Mungu, barikiwa mnoo 🙏
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 жыл бұрын
Nampenda sana Mwingira Mungu akulinde akupe nguvu mara elfu
@jescamsechu4377
@jescamsechu4377 4 жыл бұрын
Amen dady be blessed
@rahelnambi5340
@rahelnambi5340 4 жыл бұрын
Eeehh...Bwana Yesu tutue nguvu tuzungumze na wewe kwa akili na fahamu zetu si rahisi...wapendwa na tuombe👀
@violethkisonga5640
@violethkisonga5640 4 жыл бұрын
Ni wakati wa kutubu YESU anakuja yuko njiani.
@dastanadriani4518
@dastanadriani4518 4 жыл бұрын
amen Baba
@respiciouszacharia2924
@respiciouszacharia2924 4 жыл бұрын
Tunaye baba efatha tunajivunia good dady mwaaa😇
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 жыл бұрын
Kweli my
@doubleportionnetwork3840
@doubleportionnetwork3840 4 жыл бұрын
Amen
@t7zkc5tpxgim28
@t7zkc5tpxgim28 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@rofinavalence5790
@rofinavalence5790 4 жыл бұрын
Amen dady
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 жыл бұрын
Namuombea Raisi wangu tz MUNGU amhimarishe vema
@kingyehoshafatitvbornerys2496
@kingyehoshafatitvbornerys2496 4 жыл бұрын
Amina Mungu ni mtukufu HAKIKA ..tutapona...hafi mtu...kwa jina la MUNGU
@sylvestermhojaaron9659
@sylvestermhojaaron9659 4 жыл бұрын
Ulizi wa kwanza ni DAMU YA YESU yatosha
@samkalinatours6540
@samkalinatours6540 4 жыл бұрын
Ubarikiwe umeleka mtumishi
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 4 жыл бұрын
Tenaaa
@musokedios8162
@musokedios8162 4 жыл бұрын
Well said man of God,
@enockbruno8566
@enockbruno8566 4 жыл бұрын
I catch you
@enockbruno8566
@enockbruno8566 4 жыл бұрын
If God be with us who Can be Against Us !? .....
@musokedios8162
@musokedios8162 4 жыл бұрын
😳😎😎😎
@grnifamgeni1309
@grnifamgeni1309 4 жыл бұрын
Amina baba mwingila
@dr.phormenykishaija6508
@dr.phormenykishaija6508 4 жыл бұрын
Amen baba nakuelewa
@chescomwakipese3422
@chescomwakipese3422 4 жыл бұрын
Amina baba
@marympemba8843
@marympemba8843 4 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@peninamzumbo7021
@peninamzumbo7021 4 жыл бұрын
Ameni baba
@desderiamapunda1306
@desderiamapunda1306 4 жыл бұрын
Ameen Baba, Tunaomba
@mosesagrey3590
@mosesagrey3590 4 жыл бұрын
Ninazidi kukuelewa kila siku
@esterswai7843
@esterswai7843 4 жыл бұрын
Asante Mungu mkuu kwa kutufundisha kupitia Mtumishi wako mteule ,,,endeleaa kututia nguvuu tuyafanye mapenzi yako katika haya uliyotusemeshaa .....Amina
@christophertarimo8877
@christophertarimo8877 4 жыл бұрын
CORONA bye bye janga kubwa ni MUNGU KULINYAKUA KANISA LAKE
@andrinisrael9289
@andrinisrael9289 4 жыл бұрын
Ni rehema tu kwa sasa
@godsonruben8936
@godsonruben8936 4 жыл бұрын
Hii ni trela tu bado picha sawa na kusema yajayo yanafurahisha , KANISA lijitakase ili Bibi harusi asikutwe na mawaa TOBA kanisa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 жыл бұрын
Haswaaaa,bado ole na 2 ,3 sipati picha
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 4 жыл бұрын
Yes
@francisrukeisa6299
@francisrukeisa6299 4 жыл бұрын
Ni kweli Mchungaji unayoongea na waelewa watafuata
@japhetdaud3781
@japhetdaud3781 4 жыл бұрын
Ahsante mtumwa wa Bwana kumwinua pia Rais wetu kwa kumtanguliza Mungu
@ausonjustinian2080
@ausonjustinian2080 2 жыл бұрын
Na hilo ndilo Neno la Bwana.
@floramolel4283
@floramolel4283 4 жыл бұрын
Asante mtumishi
@charlesbarongo6922
@charlesbarongo6922 4 жыл бұрын
Maombi na kinga tafadhari.
@paschalinamushi3882
@paschalinamushi3882 4 жыл бұрын
Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda. Angalia Neno MAMBO YOTE na neno ZAIDI YA KUSHINDA utaelewa kufungia watu ndan hakusaidii kitu maana huko ni kuamini juu ya milango ambayo Yesu mwenyewe alilishinda jiwe lililowekwa kama mlango. Kulingana na andiko sio milango ndio inatupa ushindi dhidi ya COVID-19). Amina Baba Mwingira.
@lukiangwembe8106
@lukiangwembe8106 4 жыл бұрын
Tuhulumie mungu wetu
@princesslaurian1758
@princesslaurian1758 4 жыл бұрын
Ee Mungu tusaidie
@godifreypaul9409
@godifreypaul9409 4 жыл бұрын
Mtumishi fafanua vizuri mandiko,hatujui tumekosea wapi,we ni mtume taja hiyo dhambi kama Daudi,maana wengine hatujui hiyo dhambi iliyoleta hayo mambo.Maana imeandikwa afichae dhambi, hatasamehewa.We una kibali taja tumefanya hivi na hivi ili na sisi tujue tunatubu nini.Na kama hujui muulize Mungu tupate majibu haraka.Maana wale panzi wamerudi tena.Funguka.
@estherkoya8410
@estherkoya8410 4 жыл бұрын
Kwa yanayoendelea nchini kwetu, sote tunaona, ni mambo ni mabaya sana sisi tuombe toba
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 4 жыл бұрын
Christmas and Easter are pagan and are in churches.
@estherkoya8410
@estherkoya8410 4 жыл бұрын
@@justinamusyoka4986 inawezekana lakin MUNGU anaangalia moyo, watu kama moyoni mwao wamemaanisha kukumbuka kuzaliwa na kufa kwa Mwokozi wao bila ya kuhusisha mambo ya kishetan , hawez kataa, maana kila kwenye kitu cha MUNGU shetani naye hujiinua, ila kama umeamua kutosherekea uache lakin wanaosherekea kwa kumaanisha waache pia usihukumu
@happynessanga5353
@happynessanga5353 4 жыл бұрын
Kama hujui dhambi muombe Roho mtakatifu atakujulisha na adhabu kama hii ni halali MUNGU kuiruhusu kwa sababu hatukusimama kukemea maovu yalipokuwa yakitendeka hivyo ni lazima tunyenyekee ktk toba ya kweli.
@mlatapatrick4736
@mlatapatrick4736 4 жыл бұрын
Baba tutaomba ktk jina la Yesu
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 жыл бұрын
Naombea pia nchi yangu tz MUNGU atulinde vema
Umewazidi Wote | Bahati Bukuku | Official Video
7:02
Bahati Bukuku
Рет қаралды 19 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 5 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 12 МЛН
MASANJA MKANDAMIZAJI  ZABURI YA 150 OFFICIAL VIDEO
9:45
Tunes Of Africa
Рет қаралды 409 М.
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 69 МЛН
Boaz Danken  -Haufananishwi/Unafanya Mambo (Official video) #GodisReal
14:58
Emmanuel Mgogo - MIMI NAPENDA (Official Music Video)
8:18
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 5 МЛН
"Mawazo" Sehemu Ya 68 Thoughts Dr Elie VD Waminia
29:15
Chomoza Tv
Рет қаралды 2,9 М.
Maserafi Makerubi  [LIVE]  Cover by Tafes Aru  P/W team written by Joshua Lugendo
8:06
Vitu 6 hatari katika Maisha yako - Sheikh Othman Michael
27:26
"Mawazo" Sehemu Ya 67  Thoughts Dr Elie VD Waminia
34:48
Chomoza Tv
Рет қаралды 4,6 М.
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 5 МЛН