No video

CROWN SPORTS: MAGOMA AKANUSHA “MIMI SIJU, SIHUSIKI” - PART 1

  Рет қаралды 13,688

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 57
@SalomeChisunga
@SalomeChisunga Ай бұрын
Wa kwanza naombeni like zenu
@HappyBabyKittens-wx2mb
@HappyBabyKittens-wx2mb Ай бұрын
Like gani unataka kende we like mwenyewe
@AlimzeeeAliahmada
@AlimzeeeAliahmada Ай бұрын
Hapo mmefeli kutengeneza tatizo.usiseme mahakama inaamua sahihi.mambo mengi tumeyaona hapa yametolewa mahakamani baadae yakaonekana ya dhulma.hiyo kesi yenu kina mo ni ndogo sana.
@ahmedjeizan4431
@ahmedjeizan4431 Ай бұрын
Crown Media Mnaharibu hiyo Media kwa kumuajiri huyo Kenge Jemedari Sasa hivi tutahama kusikiliza kama tulivyoihama EFm
@FadhiliHamza-mz1wu
@FadhiliHamza-mz1wu Ай бұрын
Ww nanani mlivyo ihama ww ruksa Yako kuchagua Radio uipendayo au umelazimishwa ww nenda upendako halafu haiwezekani eti taasisi imuajiri mtu na kumtengua mtu kisa ww nawachache ambao wanachuki binafsi nasio kupishana kwamaoni📌
@ahmedjeizan4431
@ahmedjeizan4431 Ай бұрын
Huyo Jemedar anahusika kugushi hata Saini na anashirikiana na hao kina mkundu magoma na Abeid Falcon na Makolo
@athumanially906
@athumanially906 Ай бұрын
ALLY KIBA , ni kweli tunahitaj mawazo mseto kwenye hoja, ila jemedari si mtu sahihi!!! Niamini mimi,adhari ya hili sio.kwa wasikilizaji bali nahisi hata wachambuzi wenzie ngum sana kuwa nao pamoja pia nimegundua hata wezie hawapo comfotble wakiwa na yeye chunguza hili!!
@user-tj5bf4yy3e
@user-tj5bf4yy3e Ай бұрын
We unaemkataa Jemedari hutaki kuambiwa ukweli, Jemedari yupo hapo crown kwa weledi wake nakusema ukweli
@BusinessOne-mf5dj
@BusinessOne-mf5dj Ай бұрын
Jemedali upo vizuri saaaana..
@morningstarartproduction8436
@morningstarartproduction8436 Ай бұрын
Jemedari Ni mchambuzi au ni mpinzani wa Yanga kweli😁😁
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m Ай бұрын
Crown waandishi wenu wanatumika
@user-to3cb5dq3v
@user-to3cb5dq3v Ай бұрын
Alikiba kwa bnti kazuri umefelu
@KudraTimbako
@KudraTimbako Ай бұрын
Watu wenye akili ndo tunamuelewa jemedari saidi tu
@JabariKapindya
@JabariKapindya Ай бұрын
Jemedari uwe mwangalifu Sana,anahofia magoma wewe huhofii heshima yako kuvurugika.jipe muda usikilizeupunde was pili.
@makabemwita4843
@makabemwita4843 Ай бұрын
Bin Kazumali wewe sheria umesoma wapi, kwani mtu akishinda kesi na hukumu ikatoka unazuiliwa kueleza kilichoamriwa kwasababu ya maombi ya kukaza hukumu??? Usimba na Uyanga unatutoa kwenye taaluma acha kupotosha umma.
@mfaumekasuku8876
@mfaumekasuku8876 Ай бұрын
Jemedari anajua anachokiongea?
@user-fe8gl5qk6v
@user-fe8gl5qk6v Ай бұрын
Mbona jef umefilisika mpaka mawazo? Na ninani aliyekuweka hapo?
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 Ай бұрын
Wewe Kazumari ni mmbeya!!
@user-fe8gl5qk6v
@user-fe8gl5qk6v Ай бұрын
Juma ayo watakuchosha hao makolo
@elikanawilson2966
@elikanawilson2966 Ай бұрын
💥
@babujohnmwita4337
@babujohnmwita4337 Ай бұрын
Alikiba umekosea sana kumuweka jemdar kwenye kipindi, fuatilia hata wenzake hawako confotabl3 nao
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 Ай бұрын
Huo ni ujinga yani kila mwanachama apewe nafasi ya kuongea? Uliona wapi
@joshuamolleli3471
@joshuamolleli3471 Ай бұрын
👑 Crown
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 Ай бұрын
Katika vitu ambavyo ali kiba alifeli niku msajali huyo mmakonde
@MbarakaAlly-pw5ri
@MbarakaAlly-pw5ri Ай бұрын
Juma Ayo Ni weakest link 😅😅hajui kuhoji hana point anarukaruka tu
@MjMohammed-nt6fq
@MjMohammed-nt6fq Ай бұрын
Alaf anapenda kuongea ujinga ila muoga akija ali kabwe tu anakimbia kipind
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 Ай бұрын
Kwahio hao wazee walimshirikisha Jemedari katika huo ujinga wao? Lengo ni nini?
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 Ай бұрын
Yanga Bingwa
@AhmedMussa-q9f
@AhmedMussa-q9f Ай бұрын
Hili Zumari unadhani litazungumza nn.siku zote zumari lipo against yanga
@AhmedMussa-q9f
@AhmedMussa-q9f Ай бұрын
Na hiyo zumar ndogo unadhani itazungumza nn
@AhmedMussa-q9f
@AhmedMussa-q9f Ай бұрын
Wewe zumar ni shetani tu huna moja ujuwalo
@user-lx7lb7sn8k
@user-lx7lb7sn8k Ай бұрын
Yaaap
@NelsonSimba-lj7jg
@NelsonSimba-lj7jg Ай бұрын
Mda wa bakuli unaludi sasa😂😂😂
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc Ай бұрын
Thubutuuuu😂😂 utasubiri sana ,kama unajifariji kuwa kuna kiongozi au viongozi watatoka madarakani basi uanazidi kuchelewa, magma mwenyewe ameanza kujikana😂😂😂 hazijui hizi habari, na bado anakiri Eng ndio kiongozi wake we huogopi?😂😂😂 bado tunao na tunatamba nao viongozi wetu, bado wapo sana na maendelea kuwa ona sanaaaaaa.mtani amka utajikojolea bhanaa 😅😅
@morningstarartproduction8436
@morningstarartproduction8436 Ай бұрын
Huyo jemedari hajui chochote kuhusu mpira wamiguu, anacho kijua ni kuipinga Yanga tu
@tynomediatv5376
@tynomediatv5376 Ай бұрын
Hakuna anachokijua
@user-dl1mg2qf4n
@user-dl1mg2qf4n Ай бұрын
Hivi Magoma kwa sasa ni mwanachama kweli?😅 hakuna kitu hapo
@NurudinZuberi
@NurudinZuberi Ай бұрын
Kanywea gafra kaona watu wasije kumtoa roho
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 Ай бұрын
Magoma tutakula naye sahani moja tu
@graceanyungu2774
@graceanyungu2774 Ай бұрын
Nyinyi happening yanga sc
@MikidadiMchuchuli
@MikidadiMchuchuli Ай бұрын
Mmmmmhhhhh
@MikidadiMchuchuli
@MikidadiMchuchuli Ай бұрын
JEMEDARI umeongea ww peke yk km mchumbuz uko peke yako
@gersonsakalani2069
@gersonsakalani2069 Ай бұрын
Huyu jemedal hajui piah anachokiongea
@Muba-Gucci-TV
@Muba-Gucci-TV Ай бұрын
Yote kayaleta chama😂😂
@matiankomola2391
@matiankomola2391 Ай бұрын
Wameshinda kwa Forgiary 😢we kasumary? Waliofika mahakamani atakuja kuzungumza kivipi Kasumary wakati kwa mdomo wake amekataa hayo unayosema! Wewe Kasumari una chuki na Yanga kama nyoka swila!
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Ай бұрын
Jemedali kweli poyoyo na ndiyo maana unafeli mitihani ya TFF
@user-dl1mg2qf4n
@user-dl1mg2qf4n Ай бұрын
Hiyo tareh 5 itafika Inshallah 😅
@kingrama4673
@kingrama4673 Ай бұрын
Mlipo anzaaa hiki kipindi Kila siku nilikuwa nafuatilia Ila mlipo mleta huyu mwendawazimu Hata sina time tena na kipindi chenu
@raydanfrenk
@raydanfrenk Ай бұрын
Kwaiy apo ni muongo au shida ya watu kama nyiny vichwa nyanya utaki kuskia tafaut na unacho taka kuskia
@proisolution7166
@proisolution7166 Ай бұрын
mwende tuu shuule mkaajifuuunze namnaaaa ya kujadiiiili mambo yenye taaaaluumaa zinzowaziiidi umriiii
@morningstarartproduction8436
@morningstarartproduction8436 Ай бұрын
Jemedari Ni mchambuzi au ni mpinzani wa Yanga kweli😁😁
HII YANGA BALAA TAZAMA MAGOLI YALIVYO INGIA
5:20
Mlela Digital
Рет қаралды 2,1 М.
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН