DILI LA KIBU DENIS NORWAY LIMEGONGA UKUTA, KUREJEA SIMBA SC/ USIPANGE KUKOSA SIMBA DAY
Пікірлер: 14
@maryjkiosa3380Ай бұрын
Wewe hans huna akili
@moizjohnston3841Ай бұрын
Hans ni muongo nilikua namfuatilia lkn baada ya kugundua ni muongo kwa ss simzingatii
@kingsmusicfans1416Ай бұрын
Tena kwa mpigo zaidi🔥🔥
@moizjohnston3841Ай бұрын
Hans ni muongo ana kaunafiki flani juu ya Simba,Alisema Elie Mpanzu ata sign jumamosi iliyopita mchana na atatangazwa jioni,dili la Mpanzu ni 98%,Kiko wapi sasa ,Hans muongo huyo
@KibibiMwalimu-pg8fgАй бұрын
Nipo na ninyi mubashara nikitokea USA🇱🇷Ubaya Ubwela🦁💪🔥🔥🔥🔥
@haki4244Ай бұрын
Ati na huyu ni mchambuzi!!?? Anasema "Pre-season itaendelea katikati ya msimu???". Sijui huyu mchambuzi kama anaelewa hata maana ya neno "pre-season"? Pre-season ina maana "kabla ya kuanza kwa msimu". Sijui huyu dada mchambuzi kama ana upeo na uelewa wa mpira na maneno yake yanayotumika kuuelezea kwa mashabiki!!!??? Anyway takataka kama huyu wapo wengi sana nchi hii.
@MabenaKishapuАй бұрын
hans apo huna hoja juu ya swala la kibu
@JoshuaLeonard-lo3csАй бұрын
😅😅😅😅😅gongo waziii nmecheka sanaaaa
@moizjohnston3841Ай бұрын
Hans alisema eti Kibu atatangazwa Yanga
@kingsmusicfans1416Ай бұрын
Hans acha ujuwaji
@maryjkiosa3380Ай бұрын
Uyo hans ni chawa
@maryjkiosa3380Ай бұрын
Wewe hans ni yanga acha usenge wewe
@harounsalim927Ай бұрын
Wa Tanzania kueni wastaarabu acheni messages za matusi.. .