ALLY KAMWE AWALIPUA SIMBA/"KIGOLI KIMOJA UNAVUA SHATI/MAMELODI TUNAMTAKA"

  Рет қаралды 9,339

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 115
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Сағат бұрын
We love you semaji la FIFA Hii yanga hii ni balaa jingine
@yuzomaneno
@yuzomaneno 2 сағат бұрын
Semaji anajuwa sana boli 🙌🙌🙌YANGA bingwa🇯🇲🙏
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 54 минут бұрын
Hongera semaji Ali kamwe 🎉🎉🎉🎉🎉
@SuzoBaltazar
@SuzoBaltazar 3 сағат бұрын
Kaz nzr
@abdallahabdul1038
@abdallahabdul1038 2 сағат бұрын
Eeh aah limeona aibu kweli
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj 2 сағат бұрын
Semaji la caf champions
@ChenchiKing
@ChenchiKing Сағат бұрын
Semaji La Mabingwa Wa Muda Wote💚💛💚💯
@sadahamad6158
@sadahamad6158 Сағат бұрын
Semaji mwenye akili nyingi Ally kamwe ❤❤🎉🎉🎉
@SubiragaKabango
@SubiragaKabango 2 сағат бұрын
Ally KAMWE wakati mwingine unaongea point sana magori mengi ya nini mmekuwa wadada wa Netball? Acheni kujiuza! Tanzania ni Taifa takatifu, Hatutaki mipira ya hasira mnaidharirisha Nchi yangu! Hongereni na poleni sana!
@SurprisedAlien-bj6ip
@SurprisedAlien-bj6ip 2 сағат бұрын
Umeumia eeee simba haooo makundi
@edinamwanasenga1584
@edinamwanasenga1584 16 минут бұрын
Semaji letu yanga mbigwa🎉🎉🎉
@GodfreyMhando-gn7ok
@GodfreyMhando-gn7ok Сағат бұрын
sawa
@BaltazarNyaky-c9v
@BaltazarNyaky-c9v 2 сағат бұрын
Mateso kama mateso na bado hujateseka
@Yuleyule-u6c
@Yuleyule-u6c 2 сағат бұрын
Kuhusu magoli umeongea sawa lakini kwamba eti wamefungwa mechi zote hizo kwamba HAWANA bahati hapo unatuyayusha.
@hamadabdullah9702
@hamadabdullah9702 2 сағат бұрын
Hamn jipy nyie mumecheza na vibonde hamn ishu
@DenisMusa-g5z
@DenisMusa-g5z 44 минут бұрын
Ata Azam ilienda klab bigwa na akatolewa mapema kwahiyo yanga siajabu kukutana na Tim zenye uwiyano sawa na Azam
@BITEBOKHALID
@BITEBOKHALID Сағат бұрын
Wewe Mdomo wa bata mavi utasema sana mwaka huu
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 Сағат бұрын
Kuna maneno mazuri ya hekima ambayo unaweza ukaya tumia lakini siyo unavyo bwabwaja ,inaonekana Kama huja Soma
@JumanneMfinanga
@JumanneMfinanga 7 минут бұрын
Musikae kae bila kazi njooni mucheze
@AnthonyDcosta-f3q
@AnthonyDcosta-f3q 2 сағат бұрын
Bila kuwasema Simba hulali
@KaungaDori
@KaungaDori 11 минут бұрын
Anhaaa nyie mlishamaliza point bila kumtaja bingwa yangaa?
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 2 сағат бұрын
Haka kajamaa kwakupenda hesabu za kujumlisha tu, haka jambo. Eti tumefuzu kwa jumla ya magoli kumi na saba.
@HusseinAli-i9n
@HusseinAli-i9n 26 минут бұрын
Ni kweli goli kumi na saba hasemi uongo
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 56 минут бұрын
Waambie hao madunduka na kombe lao la waliofeli
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps Сағат бұрын
Ligi kuu hakuna ulimbwende wako Kila timu ni Bora si utopolo
@VailethBeautus
@VailethBeautus 2 сағат бұрын
YAANI UWOM E USIZALIWE NJITI UTAKUWA NA AKILI KAMA ALI KAMWE YAANI SIMBA INAMUUMA CJUI KWNN
@dominickiungulia1016
@dominickiungulia1016 26 минут бұрын
Ali Kamwe siku yake yaja!
@AdrianaRobert-o4k
@AdrianaRobert-o4k Сағат бұрын
Ni mtoto anaejielewa, kuliko mkubwa anaeiga na kuwapotosha wanasimba
@SaidMkome
@SaidMkome 20 минут бұрын
Njiti awezi kuwa na akili sawa
@mariamyussuf888
@mariamyussuf888 2 сағат бұрын
Sasa si bora aliyevua shati lipo karibu kuna yule wenu huvuaga soksi na anatoa gadi napiga simu jee😅😅😅
@R10_Rajab
@R10_Rajab 54 минут бұрын
Hahahh masikini weee mcheza aji kitendo cha kuvua gurd hata sekunde mbili hazifiki au bado unajua wachezaji wa sasa bado wanavaa gadi za kina Pele na Maradona?😂😂😂Hawa ndio walikuja kuvamia upenzi wa mpira wa miguu baada ya ujio wa Maximo
@RahmaShona
@RahmaShona 14 минут бұрын
Ire simu anepiga muda anawapgia nyi vibonde wake anawataka Tena Kira chuma nyau we
@KaungaDori
@KaungaDori 12 минут бұрын
We uliona kavua wapiii ?? Yule anashusha socks2 kuwen Makin kolooo😅
@SheillaAhmady
@SheillaAhmady 2 сағат бұрын
labda kombe lavyura
@wilsongeorge1353
@wilsongeorge1353 2 сағат бұрын
Kombe la la mchuzi wazeee hao kombe la mabingwa mtajuta kwaka huuu kikia ifs .mnapewa pasi mfunge mnashindwa ,mwacheni semaji la kafu liongee
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Сағат бұрын
Tofauti ya boka na SGR ni mafutu tu😂😂😂 Jamaa anajua sana
@davibamwe6419
@davibamwe6419 11 минут бұрын
Ukiongea kama msemaji uwe na akiba ya maneno husiibeze au kuidharau simba SC nyie kipimo mmepewa kidogo sana kwenu msimalize maneno mtapata aibu siku moja
@SaidMkome
@SaidMkome 20 минут бұрын
Umecheza na nan
@abdullatifushambe4435
@abdullatifushambe4435 2 сағат бұрын
Bwabwa hilo
@abdulgyver8636
@abdulgyver8636 Сағат бұрын
Simba mnajisahau kama mlikula nyingi😅😅😅 Vibonde ni kina nani
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 Сағат бұрын
Yaani utopolo kuanzia viongozi mpaka mashabiki wote malimbukeni tu, mwaka juzi mlicheza shirikisho mkasema mmepanda viwango vya bora CAF hadi nafasi ya tatu, eti anabeza kombe mashindano yale mliyokuwa mnasifia. Mmeshiriki misimu miwili tu mnajiona wakuuuubwa wakati wenzenu tumeishi huko misimu mitano. Hata hizo gori tano mnazojivunia wachezaji wengi waliocheza mechi hiyo wako kwenu.
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu Сағат бұрын
Dogo tulia huna jipya, hujui kitu
@abdillahissa3536
@abdillahissa3536 2 сағат бұрын
Shida inakuja pale mjane anapo olelwa,akawaona wari wote hawana fura zaid yake,elewa neno mjane ni simbaa
@SaidiMohamedi-o2j
@SaidiMohamedi-o2j Сағат бұрын
yani nyie kina Hawa mnamatatizo kwer😮
@amekindamba1643
@amekindamba1643 Сағат бұрын
Ww fala kweli na ww ungelivua chupi tako ww
@wilsongeorge1353
@wilsongeorge1353 2 сағат бұрын
Tarehe ngapi hiyo gemu waungwana
@asifznz
@asifznz Сағат бұрын
CBE NAO WALICHUKUA 7 JUMLA😅😅😅😅
@abasingawile-h3f
@abasingawile-h3f 23 минут бұрын
Sio wambeya sema Wana mbeya😂😂😂😂
@dominickiungulia1016
@dominickiungulia1016 17 минут бұрын
Anatuboa !
@GLIPNEXT
@GLIPNEXT 56 минут бұрын
Yanga tung kuwa na alhamed ally tunge kuw pakubwa ila tum Winn 6 akuna shid
@KaungaDori
@KaungaDori 17 минут бұрын
Ana nn Cha pekeee comedian au?
@JosephzakayoPius
@JosephzakayoPius 2 сағат бұрын
Mnamkbali shoga huyo
@TwahaAliMtumbi
@TwahaAliMtumbi 2 сағат бұрын
Mitoto iliyochangia humu yato ni Vikoba fc makolo fc madunduka fc Ubaya Ubwela fc makolo bwanji fc nyie ni watu wa hovyoo sana
@othmanhamad7887
@othmanhamad7887 Сағат бұрын
Kinakuwasha tu, huridhiki km hujaiongelea Simba,kwani si ulisema mtafuzu makundi peke enu sasa ilo kundi la shirikisho ni lipi tena?Shubbaastedi
@Nurudinihamad
@Nurudinihamad Сағат бұрын
Koko ulipigwa Tano ila adabu hauna akir hauna kolo
@FikiriniShaali
@FikiriniShaali 2 сағат бұрын
Muulizeni waandishi acheni kujizima data alisema Tim itakayokwenda makundi ni yanga tu Sasa kiko wapi
@sailoo5722
@sailoo5722 2 сағат бұрын
Kazi ya msemaji nibkesema kitabiri ni mambo mengine
@youngblack6917
@youngblack6917 2 сағат бұрын
Kwaiyo wewe unatakaje
@EliyaPaulo-uf6hh
@EliyaPaulo-uf6hh 2 сағат бұрын
Shirikisho mlikuwa mnaliponda saivi mnashangilia kuingia makundi khaaaaa yaani nyie ni ndunduka kweli😂😂😂
@HappyBarnOwl-ug5kt
@HappyBarnOwl-ug5kt 2 сағат бұрын
​@@EliyaPaulo-uf6hhmakolo hata hayaelew yanataka nn
@aminaomari2312
@aminaomari2312 Сағат бұрын
Hayo maneno ndio yaliyofanya simba ajikaze aende makundi,utani ni mzuri unasaidia hizi timu zipae kimataifa.
@abdulgyver8636
@abdulgyver8636 Сағат бұрын
Kama CBE ni kibonde wewe team yako ilifungwa ngapi😂😂😂😂
@calvinmazaginza5422
@calvinmazaginza5422 2 сағат бұрын
We yanakuhusu nn akivua shati?we ongelea yako cyo kila cku huwezi kuongea bila kuitaja Simba
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 Сағат бұрын
Yanga hakifunga timu yeyote eti makolo wnasema mbovu sasa timu gani itakuwa siyo mbovu ukutane na yanga siyo mbovu? Kwanini usiseme kuwa yanga ni bora ?
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 сағат бұрын
wacha utoto wako kitongoza Mademu ndio lugha gani mbele ya kioo
@alexisndaniel2116
@alexisndaniel2116 58 минут бұрын
Bro uje taratibu Acha Usinich Mnacheza Na team za Bank Cbe Ni team ya Mtaani mzeee Al Hilal tripor Ni Big team Kufungwa 3 na simba team inayojijenga usi take simple bro Ww Unafanya vzur Sasa ikiwa Simba Hayuko Bado fit bro i swear Utakuja Lia 😢Simba wanakuja vzur Kaa kwa kutulia
@braayoo16
@braayoo16 32 минут бұрын
povu
@alexisndaniel2116
@alexisndaniel2116 24 минут бұрын
@@braayoo16 Kaa kwa kutulia Kjna
@ShafiiKikopa
@ShafiiKikopa 2 сағат бұрын
Yaaan madunduka ubongo umeyumba yaan yanga amecheza na kibonde tar 8 August 2024 Simba alikuwa kibonde,,,, hahaha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 dundukaaaaa mtakuwa na udunduka mpaka kiyaama
@SakinAthuman
@SakinAthuman Сағат бұрын
Hahahaha aaaaaaaaaaaaaaaa imekukera
@esthersamwel7918
@esthersamwel7918 2 сағат бұрын
Kwanza ulicheza na team kibonde 😂😂😂😂
@MikidadyAbdu
@MikidadyAbdu 2 сағат бұрын
Vibonde wapo kombe la looser /kombe la wamama
@yuzolove7120
@yuzolove7120 2 сағат бұрын
club bingwa hua hakuna vibonge tambua wale wote wanao cheza caf champions ni mabigwa
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 2 сағат бұрын
Al Ahly Tripoli ni 245 katika ranks za caf
@HamadRamadhaniKamote
@HamadRamadhaniKamote 27 минут бұрын
Wewe ally kamwe hamna kitu BADO saaana mpaka kumfikia Ahmed Ally Nenda tu kamuoe PAMELLA wa SHETANI .....Toka hapa ujui kuongea utaua mpira wa Yanga.uto
@Mumlion2624
@Mumlion2624 2 сағат бұрын
Ahmed ally atabaki kuabora ,
@MikidadyAbdu
@MikidadyAbdu 2 сағат бұрын
Kwa kip
@EmmanuelMrimi-v1r
@EmmanuelMrimi-v1r 36 минут бұрын
Mbn hata nyie Simba ni vibonde kwetu ila hatusemi,, au unabish km unabisha mbn kila sku nkuchapa bc kubali kuw kila timu ikaj vby mbele y yanga itakuw tuu vibonde,, hahahaha
@DenisMusa-g5z
@DenisMusa-g5z 47 минут бұрын
Hela la mama mnazichukuwa bure maan yanga mpewa vilabu via walevi alafu mnajiita mabingwa ooooovioooo
@KaungaDori
@KaungaDori 15 минут бұрын
Na Simba ni waleviii?
@naomjoseph4766
@naomjoseph4766 2 сағат бұрын
Wewe ni mtoto sana kwa Alhamed ally kwanza hujui kuongea kila ukicheza unacheza na kibonde
@gaspanpetro6744
@gaspanpetro6744 2 сағат бұрын
Sas huyo ahamed bbake si n Ally utasemaje Ally n mtot
@HappyBarnOwl-ug5kt
@HappyBarnOwl-ug5kt 2 сағат бұрын
Kibonde namba moja ni ww my wetu
@songombingo108
@songombingo108 Сағат бұрын
Naomi bhana. Nyoko sana😂😂
@nesmoskanyuto6715
@nesmoskanyuto6715 Сағат бұрын
Simba ni kibonde😂
@HekimaMhema-c2y
@HekimaMhema-c2y Сағат бұрын
Sasa uyo alhamed Ally anajua kuongea hua anaongea nini cha maana hafu sisi tunajijua kila timu ikicheza na yanga inakua kibonde kwahiyo msitufokee na timu yetu na katoto ketu ka Ally kamwe
@NasibuAlban
@NasibuAlban 3 сағат бұрын
Alisema watafuzu wenyewe linaona aibu sasa
@gersonsakalani2069
@gersonsakalani2069 2 сағат бұрын
Hiyo tabia yako ni yakike
@MikidadyAbdu
@MikidadyAbdu 2 сағат бұрын
Kama ulisikia vizuri alisema YANGA pekee ndio watafuzu caf champions league hay timu yako imefuzu wapi
@franccoz94
@franccoz94 Сағат бұрын
Kigoli kimoja umecheza na kikosi cha sh ngapi,au unafikiri wale n vitalo o na cbe, vitalo o n cbe wote kwa pamoja hawafikii thaman ya mabululu
@EmilyKiganja
@EmilyKiganja Сағат бұрын
Au simba😂😂😂😂
@SwaumuMalau-jh1hb
@SwaumuMalau-jh1hb 2 сағат бұрын
Mbona wewe ulizimia
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 2 сағат бұрын
Hatujacheza na Vitaloooo😂😂😂, wala CBE. Wachezaji wa laki laki😂😂😂
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 2 сағат бұрын
Umecheza na timu 245 katika rank za CAF
@atambitotzmagari7100
@atambitotzmagari7100 2 сағат бұрын
Muulize kitu gani kilimfanya ajambe pale benjamini mkapa hadi akapelekwa hospital
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@esthersamwel7918
@esthersamwel7918 2 сағат бұрын
Wivu utakuua ww ndo hunenepi
@mariamelia8688
@mariamelia8688 Сағат бұрын
Lini alikwambia anashida ya unene,kuandika kwenyew hujui
@SubiragaKabango
@SubiragaKabango 2 сағат бұрын
Kama mna Dhiki na pesa semi tutawachangai! Lakini za Gori la mama huo ni UROHO! Mechi 4 85ml Tshs je je wanafunzi huko shuleni wale nini ambao ni watoto wenu?
@KaungaDori
@KaungaDori 9 минут бұрын
😂😂😂😂nyie mlikuwa wapi kushindaaaaa achen wenzenu wafurahie matunda yakaz yaooo❤❤🎉😅
@IssaNdelwa-pz3zl
@IssaNdelwa-pz3zl 2 сағат бұрын
Wanayanga tunakukubali
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,8 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 50 МЛН
The day of the sea 😂 #shorts by Leisi Crazy
00:22
Leisi Crazy
Рет қаралды 870 М.
WAKILI AELEZA HATMA YA MBOWE NA WENZAKE BAADA YA KUKAMATWA
7:07
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
MAANDAMANO HALI YACHAFUKA, LISU AFATWA NA POLISI KWAKE
17:17
Daniel Mwasha
Рет қаралды 42 М.
JUA KALI LEO JUMAPILI TAREHE 22 SEPTEMBA
25:25
Benedict Aman
Рет қаралды 55 М.
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,8 МЛН