Hongera Sana hakika hii nihatua kubwa na nzuri mungu akujalie kufanikisha kilajema unaloliona linamanufaa kwa Zanzibar yetu. Mitano mengine inakuhusu
@amourmtungo62321 күн бұрын
Ni vizuri kusikia habari njema. Asante kwa kuchangia
@nicromezb20 күн бұрын
Kikeke nakupenda bureeeee❤ You are the best
@Divar01-tx8wl21 күн бұрын
Crown jamn mnanikoshaa
@OmerSuley-gl7go21 күн бұрын
Haya inshaallah
@alhudhaify781021 күн бұрын
Hapo kwenye ajira ni watanganyika ndio wanaonufaika
@bensonmakundi21 күн бұрын
Sote ni watanzania wacha kauli zakibaguzi
@abedomar518321 күн бұрын
Acha ubaguzi kenge weye
@kwisa489921 күн бұрын
Sasa uje ofcn na ijabu
@vinny.morales21 күн бұрын
Acha ubaguzi fala wewe
@HasnuuMakame21 күн бұрын
Serikali ya Zanzibar haina nia ya kuwasaidia Wazanzibar wazawa kwenye sekta ya utalii, na nakwambia hilo ni kweli ajira hizo kwa asilimia kubwa zaid kutoka Tanganyika au nchi nyengine za Afrika Mashariki.. Jitahidini vijana muikomboe nchi yenu irudi kwa Wazanzibar wenyewe ili mfaidi matunda ya nchi yenu.. Ila msitegemee haya kuyapata kutoka kwa serikali za CCM..
@jamalahmed705719 күн бұрын
Kaka salim kikwekwe hii ungeliandaa kwa International languages basi ungeweza kuitangaza kwa upana zaidi maana sisi tuliopo diaspora tunatamani ku share na raia wa huku lakini hawatoelewa lugha
@masumbukomarwa4318 күн бұрын
Kweli aiseee,angeweka na kwa lugha ya mkoloni maana hao ndio target kwa biashara ya utalii,tunashindwa kushare sasa
@nassirali749916 күн бұрын
Watafsirie
@kagenzikanala10920 күн бұрын
Naam taarifa inaelewka vizuri sanaa
@alihassan364820 күн бұрын
😊😊😊😊 zanzibar yangu imeisha
@Wdtv89818 күн бұрын
"Hapa ni nyumbani "
@shameemmuslim373517 күн бұрын
Good but I ask leaders to be honest and serve the indigenous people
@rahimakhiyar526617 күн бұрын
Wangesafisha na kuboresha maji mkongwe kwenye izo pesa inopatikana.Walokueopo Zanzibar sijui hawaoni.hakuna pevments usafi.drainage.Badilisheni uko ni kama sebleni kwetu.Shukran.ni maoni yangu tu
@kilimanjarotv25521 күн бұрын
MUNGU ibariki tanzania mungu ibariki zanzibar na africa mtumishi mmoja niliwahi kumsikia akisema neema ya maendeleo itaamia zanzibar sas ndio inaeendea sababu alisema tanganyika ilipewa lakini ikaichezea kipindi cha mzee msicheze na ujumbe wa MUNGU atusamee watanganyika MAGUFULI kama alikosea kwa kweli MUNGU amsamee sanaa angetuvusha sanaa MUNGU MUNGU MUNGU nimekuita mara 3 tusamee watanganyika tunaomba utupe raisi atakae weza kumudu muungano bila kupendelea upande sababu hata YESU aliungana na wafuasi wake 12 umoja ni nguvu utengano niuzaifu MUNGU ibariki TANZANIA AFRICA NA DUNIA NZIMA IWE NA AMANI
@NassorOmarDadi21 күн бұрын
Sharif jizi hilo
@ChaumaraAli-z5i18 күн бұрын
wapeni ajira wazanzibara makuma yenu
@SimonMazinge12 күн бұрын
Its amazing to see how Climate change is denied and the true facts don't cross the 'decision makers". Blame the "intelligent" of developers, greedy business, and local politicians, we see well how they get it all wrong. No development should be allowed in disaster-prone areas such as flood areas that exist along the entire coast line of sea-level based East Africa coastline. In order to protect coast lines, biodiversity, marine wildlife and alike, such developments at coastal based open areas, high tides and flood prone areas, development planes should be denied . We knew this (in the 1970's) when they began to cut into the Everglades (Florida, USofA). Crocodiles in your yard? Don't complain - you invaded and built in their habitat. The luxury of having a seaside Resort or home has to end. As the wildfires in Los Angels show, deforest hills, mountains, places, to build housing where we know that often in case of danger these places are inaccessible, is an incredible wrong doing. Criminal fires in California are not new - they've been a way to grab land for development. Building a community in the desert means abusing water supplies, drying up aquifers. Ignorance doesn't pay. We see disasters all over especially in the Western part of the world. If you thing the COP event is about environment, you're wrong. It's more like "business as usual" and the smaller countries worried about their land don't have much saying. But a country like Tanzania, promoting Luxury Resort investments at their sealeval-based islands is even more irresponsible.
@AbduliHalim-o2y20 күн бұрын
Ndugu hoteli sio inayo haribu Zanzibar simu ndio inayo haribu
@ndimimaskati364120 күн бұрын
WAZANZIBARI kazi zao labda kufagia.
@salumabdallah299020 күн бұрын
Wanzanzibar wana hela ila jee wewe unazo?
@oprahpelle253118 күн бұрын
Wanahela zipi na kivipi?labda sijakuelewa@@salumabdallah2990
@AllyHamran20 күн бұрын
Sio vitolewe viuzwe .Vipi musiweke wazi mikataba na matumizi ya pesa mnazochota kwa rafiki zenu.
@NasilichandeChandenasili21 күн бұрын
Asee katuroga nanii waafrikqa tuamkee kwanini serikalii isichukue yenyewe tukawekeza wenyewe mku tuakapata pesa za kigenii na kunufaisha watanzania hivii wachumii hawapoo kweliii sio kila kitu tunawapa wawekezajii nothing....badoo sana tutaendeleqq kufaa masikini ma kuwa ombaombaa na kusifia ujingaa
@kwisa489921 күн бұрын
Bro 40mil usd unaijua vizuri😂😂🎉
@vinny.morales21 күн бұрын
Uwekezaji hauangalii pesa imetoka wapi
@ameirzapy131821 күн бұрын
😅 unachekesha nchi gani isiyo na wawekezaji wa kigeni ?😅
@KibaKibayuni21 күн бұрын
Watanganyika wakifika zanzibar hawarudi Tena kwao wanapaona Kama ulaya
@NDEWARA20 күн бұрын
Mbona huku Bara wamejaa Wazanzibari? Acha ubaguzi wa kijinga. Tanzania ni yetu sote
@AL-WAARITHUUNTZtv20 күн бұрын
dar fukwe zimetelekezwa iteni wawekezaji wajenge mahoteli kigambon
@ibrahimsheha21521 күн бұрын
Kwa watanganyika
@godwinloburu864618 күн бұрын
Baguzi hilo
@Fathasssane-vs2th21 күн бұрын
Zanzibar inaenda kuzid kuharibika maadili,utamadun,dini kwa kuletewa wazungu na watu wasio penda maendeleo ya Zanzibar haswa ndugu zetu watanganyika 😢😢
@faithpaulo11920 күн бұрын
Hivi mnahangaikaga na kuwachukua wasiowachukia😂😂😂aisee huo mda wa kuchukia kapambane kufanya kazi ukiwa na pesa chuki ndogo ndogo huwezi kuwa nazo..... itawachukua mda sana kukubali ukweli duniani tuko kutegemeana😂😂
@ombenikichao20 күн бұрын
@Fathasssane-vs2th ndugu nakusihi tu acha ushamba pili tafuta pesa hizo chuki zako kwa Wabara zitaisha ukiwa na pesa na kazi ya kufanya, watanganyika wanahusikaje hp kwny hii hotel na kuporomoka kwa maadili z'bar???
@karimdaud399320 күн бұрын
Wazanzibari wavivu Kuwa na utalii sio zababu ya kuharibika ni sisi wenyewe kuwalea watoto wetu .wasimali wapo uk na wana msimaso wa kiislam .kila mmoja akizuiya watoto wake wasi yaendee yaasi tutakua sawa.
@RachelMdao12 күн бұрын
We tukome ubaguzi wako huo peleka uko uko kwenu ss watanganyika hatupo kam nyinyi tena tuache mbon huez ona watanganyika wengne wakiwataja tajawew ni nini kinakuchokonoa kwetu
@AliAbdullah-oy6yo20 күн бұрын
Wizi mtupu hatutaki upuuzi wenu tunataka Zanzibar yenye Mamlaka kamili. Jengeni hadi angani lakini hamuwezi kutubadilisha Azma na matumaini ya Zanzibar
@khamisjuma294716 күн бұрын
Bora waajiriwe wabara watapiga kazi unguja ni uvivu tu
@RachelMdao12 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@HvhVvb-k3i20 күн бұрын
😂😂samia anawaza kufufuka mabibi n mababu eti visiwa vinakodishwa😮😮uongo wameuza mabwana Tanganyika hakuna chizi akakodishwa ardhi while anajua anaingiza faida kila cku hakuna waznz wanaofaidika wengi wageni kutoka bara kila mahoteli wabara wameajiriwa
@NabilaMohammed-x9w20 күн бұрын
hebu soma shosti heee aibu kwa vizazi vyako, jifunze maana ya neno lease ndipo uropoke
@GeraldElias-s7j20 күн бұрын
Sasa kama huna vigezo utaajiliwa vp nyie mpo madrasa mnajifunza dini wenzenu wanajifunza pia maalifa sasa unategemea nani ataajiliwa mwenye elimu na maalifa yakazi au mwenye elimu ya dini 😂😂😂😂
@bennyngoye870718 күн бұрын
Bara ndo Tanzania ilipo.
@FarYawaka20 күн бұрын
Kwenye ajira uwomgo wa zanzibar hapewi ajira hilo tunajuwa
@godwinloburu864618 күн бұрын
Hamjiamini shida mwombe Mungu akupe Upendo na kujiamini uache hofu na Ubaguzi
@oprahpelle253118 күн бұрын
Kwann haupewi?
@MshamAli-o4e21 күн бұрын
Nyinyi danganyeni uma wa wazanzibari tanganyika inachukua Kodi zetu na malizetu kupitia muungano halafu museme imekua umeona wapi nchiiliyokua kimaendeleo halafu wananchi tukiwa tunateseka na njaa vibanda tunavyoishi juu ya bati vimepangiwa matofali huu udhalilishaji mnajenga magorofa kufaidika na familia zenu hamuwapi wananchi waso makaazi inauma
@HavanansiData21 күн бұрын
Kwahiyo unataka serikali ikujengee nyumba??
@princealrawahy21 күн бұрын
Fanya kazi hakuna shortcut ya maisha
@karimdaud399319 күн бұрын
@@MshamAli-o4e Kila nchi duniani . Kazi ngumu zinafanywa na wageni halafu watoto wao watakuja kunufaika na kazi nyepesi . Kama wazanzibari TU TA BWE TE KA na siasambovu Kutokusoma Uvivu Husda Choyo Hatuendelei tutabaki kulia tu Wageni wache wachape kazi nyie kaeni kwenye maskani Na vijiweni .DINI HAISEME HIVO.
@NasirAmeir21 күн бұрын
Wizi mtupu hakuna kitu leteni watanganyika muwape ajira
@ndimimaskati364120 күн бұрын
Uongo WAZANZIBARI hawana uzoefu katika mahoteli ya KItalii wafanyakazi wengi ni watu kutoka KENYA.
@murattywamuratty977820 күн бұрын
Sio hawana uzoefu hawataki kufanya kax tu hotelim sio wengi wanotaka
@alluabdallah689321 күн бұрын
😂😂😂😂wizi mtup hata mufanye nini CCM hatuikubali zanzibar ni Wauwaji ila safar hii tutakula satani moja