Pole sana nondo! Allah anasema " hakika ya wale wanao pendelea wenzao kufikwa na mabaya, basi Allah amewaandalia adhabu kali. " Angalia Allah anavyosema " kupenda" na siyo kufanya. Kule kufarahi kwako tu, basi adhabu kali inakungoja!! Na Allah ni bingwa wa kuadhibu waja wake. Sasa usikae ukafiki upo salama na fimbo yake!!!!
@EmmanuelMlowe-u1vКүн бұрын
Nondo anajiteka Mara yakwanza akisema ametekwa akakutwa iringa kwadem wake
@EmmanuelMlowe-u1vКүн бұрын
Anaehiji nae niwake wale anaemiliki pingu siyo police tu hata wahalifu wanazo,Kama wanamiliki bunduki watashindwaje pingu?
@EmmanuelMlowe-u1vКүн бұрын
Asfadhali Kama watu wameanza kujua kuwa Nondo anajiteka japo chadema ndio wanaohusika
@EmmanuelMlowe-u1vКүн бұрын
Waliotaka kumteka talimo Ni chadema waliokamatwa wengine walivaa nguo zachadema katika wale 9 Ni chadema
@EmmanuelMlowe-u1vКүн бұрын
Nondo acha ujinga wazungu waliwafundisha kuteka watu nakujiteka
@jumamnemo83839 сағат бұрын
Huyo Nondo ni mgonjwa wa akili nendeni mkampime kama ataonekana yupo timamu nipo pali😊😊😊
@TaiWaTzTV11 сағат бұрын
Kikeke, uwe na Habari za Africa za kiingereza na zile za kiswahili
@boscomwanisongole9173Күн бұрын
Ila uongo bana hua haujifichi
@godfreymkulu4966Күн бұрын
Mungu ni mwema sana
@angeltvonline9153Күн бұрын
Pole mungu yupo pamoja nawe siku zote za maisha yako
@ameirzapy1318Күн бұрын
Kijana 😂 Katekwa huku akila halua na tende😂, mtazameni Kikeke vzuriii usalama huyo na Kitenge shauri yenu😅,,
@mtzhalisi2232Күн бұрын
Acha kula kinyesi chako
@aminimushi694512 сағат бұрын
Ndiyo ukweli,kuweni makini na hawa waandishi wa habari.
KIKEKE MUHESHIMIWA MAZRUY WA ZANZIBA ALIJITEKAGA SIO ,KINA BIBI TITI WALIJITESA ,WALO TETEYA UHURU NA MZE OKELO WALIMZULIA NUERERE ,SHEIKH SWALEH AL FARISI ALIPELEKWAVIPI BARA NA ALIPEWA MASAA 12 ATOKE ZANZIBA KWANINI ,SALMA ALIJITEKA ,MASHEIKH W uwamsho vipi wali eshi myaka 9 JELA ULIRUDI TANZANIA MARANGAPI ULIWAULIZIA .......(KIKEKE IPO SIKUZENU NANYINYI HAMUWASHINDI WALOKUA MYAKAHIOOOOOO.......
@exprodigitaltechtv557115 сағат бұрын
Una hoja ila andika vizuri
@franchez6212Күн бұрын
Dogo uliza waliotekwa hadi wamekimbia nchi, kutekwa noma
@officialsuccesschannelКүн бұрын
Kama unakubaliana na mimi kuwa kikeke ndio mtangazaji ghari zaidi hapa tanzania Gonga Like Hapa
@HabaujrКүн бұрын
Dah, pole bro sisi ni mateka wajao😢
@iviejustified81095 сағат бұрын
1.Una wasi wasi na usalama wako, alafu unajiachilia achilia ? 2. Usizungumze na vyombo vya habari kwanini unaongea na mimi ? 3. Kuna taarifa zinatuhumu kwamba unajiteka, unajisikiaje? 4. Kwanini ulipelekwa office badala ya Hospital? List inaendelea kwa utashi kabsaa ( Kikeke una maswali ya akili mingi saana)
@Mjeda-q1m2 күн бұрын
Hivi mnaombeza huyo muhamga wa utekwaji ombeni mungu hayajawakuta pamoja na ndugu zenu kwa hiyo lipoti ya hospitali iliyomtibu ilikuwa inaudanganya umma?kule kuchechemea alijivunja na kujijeruhi mwenyewe hata soka alijiteka kwa hiyo na tundulisu alijipiga risasi na mzee kibao kule tegeta alijiteka na kijiua????? Watanzania jitambueni
@EmmanuelMlowe-u1vКүн бұрын
Mara yakwanza akisema ametekwa kumbe Yuko kwa Dem wake iringa
@@barakamachard1944alijiteka jeshi lilimuibua kutoka mafichoni😂
@isaacthomas78882 күн бұрын
Ivi mnachukuliaje watu wenye Nia ya kuteka mtu! Muulizeni Dr Ulimboka na wale wote ambao hawajaonekana kabisa.
@AgustaZaile2 күн бұрын
Vijana siku tukiacha kutumika tutapona
@sifatiimanКүн бұрын
Huna akili mkundu wewe
@silvadigital34184 сағат бұрын
kwanini uikosoe serikali😂😂😂😂😂
@wadionlinetvКүн бұрын
Crown 👑
@komuhsengo9796Күн бұрын
Hawawezi kusahau Kwa vipi😮, binadamu yoyote anaweza kusahau, hofu ni kama hizo pingu zilikuwapo ktk mikono ya wahalifu, maana yake hatari lkn bado tuna imani na vyombo ya usalama na tunaamini wanaweza na wanaowataalamu
@rubenkaguweКүн бұрын
Hahahah kwahy mna mute sehem alipotaja clouds fm 😂😂 hizi media bhnaa
@SebaProcessКүн бұрын
Iyo ipo Dunia nzima uwezi taja kituo kingine katika mahojiano ya kituo kingine
@husseinc9 сағат бұрын
@@SebaProcess si kweli ni unafki wa media za bongo ingetajwa ccn wangekata?
@LloydsTechКүн бұрын
Pole sana ila kuna jambo la kujifunza sana Hii ni michezo na wanayo itengeneza ni viongozi wenu .
@josephmeshack3147Күн бұрын
Hivi huyo ndo alitekwa au aljitekaga zaman kupelekwa iringa?
@boneyme9433Күн бұрын
MHUNI
@peresmagasi53302 күн бұрын
Big up kikeke
@godfreymkulu4966Күн бұрын
Mungu ni mwema alikulinda
@ponsianomwakisunga899Күн бұрын
😅😅ngoja nisome comment kwanza
@boneyme9433Күн бұрын
Huyu hana TABIA..ana tembea na DOMO NONDO..hakumbuki alivo tukana SEREKALI
@boneyme9433Күн бұрын
BONGO MOVIE..na ....MBOWE
@salyali7807Күн бұрын
Namuomba Allah akuonyeshe wewe family yako uone uchungu
@MiziziMtiКүн бұрын
Wote mnao m'beza huyu kijana Mungu anawaona...Mtu ajiteke anipigie mpaka damu ivilie mgongoni...mguuni p.o.p ya miezi sita...asishitakiwe maana kujiteka ni sawa na kutaka kujiua, kutaka kujiua ni kosa la jinai...acheni hizo.
@salehwaziri5062Күн бұрын
Alishawahikujiteka kipndiyupochuo alikutwa iringa
@EmmanuelMlowe-u1vКүн бұрын
Huyu nimwongo walifundishwa nawazungu kuteka watu nakujiteka ili chadema ipate umaarufu nodo nae anaetumia
@mwaamwetahussain9947Күн бұрын
Yaani mm mwenyewe wananiumiza kama amejiteka kwnn gar lionekane kituo cha police atafutiwe Deo mmiliki WA gari taupe majibu kamili
@barakamachard1944Күн бұрын
@@salehwaziri5062hakujiteka alitekwa
@barakamachard1944Күн бұрын
@@EmmanuelMlowe-u1vmpaka jambo likikute ndoo utajua ni kweli au uongo
@mr.nonino3629Күн бұрын
Kikeke anaakili nyingi sanna dah maswali yake, Nita mjengea sanamu.
@scoutpwanimchangani6711Күн бұрын
Huyu ni kiongozi mkubwa sna kwenye chama kwanini alikuwa anatembea kama mtu wa kawaida
@boneyme9433Күн бұрын
Ka chepuka na AKILI MBAYA.
@almasially6509Күн бұрын
Jichanganyeni tu, huyo kikeke mwenyewe ni mtu wa system
@jangalaalexbubehi7658Күн бұрын
System ipi
@husseinmrambaКүн бұрын
Tatizo ww ni mshabik na unataka hiyo nadharia ya kutekwa iwe kweli na tuhuma ziwe kama unavyotaka kuiponda serikali ili kuona raha na mbaya yako
@raymondmunis3553Күн бұрын
Sauti ya nyerere
@franciskassanga7999Күн бұрын
Tunakushukuru Kikeke kwa kutusaidia kuwaweka wazi na kuwaumbua hawa wanasiasa uchwara wanaokula kodi zetu bure
@zumbeshauri81142 күн бұрын
Watu wamemsahautu huyu kijana ni wahovyo sana mwanzo alijiteka kutoka dar mpaka iringa akaomba msamaha sasa hivi tena huyu simuamini hata kichwa chake kiukweli sidhani kama ni mzima
@madetetv65762 күн бұрын
So kajiteka akajiweka sumu mwilini?
@SHEIKHMWAIPOPOTV2 күн бұрын
Huyu kijana ni muongo sana ndio maana hata chama chake kimemuacha hawa ndio wapinzani
@damianmcba95252 күн бұрын
@madetetv6576 ,, Alishawahi kujiteka mwenyewe alivyostukiwa akaomba msamaha,, ndio maana sasa hivi ni vigumu kumuamini hata km ni kweli
@salyali7807Күн бұрын
Namuomba Allah akuonyeshe wewe na family yako uone uchungu wake
Alafu mabasi mengi yana sehemu ya kuchaji simu pili umeongea nini kikubwa mpaka serikali ione una umuhimu kiasi hicho 😂😂
@jangalaalexbubehi7658Күн бұрын
Fungua akili
@barakamachard1944Күн бұрын
Sativa alikosa Nini??
@NDEWARAКүн бұрын
Muongo sana huyu kijana. Alishajiteka tena kumbe alkimbilia Iringa. Jinga sana huyu kijana
@mtzhalisi2232Күн бұрын
Pimbi mmoja ww..
@__B.O.B2 күн бұрын
Like hapa kama unakubali interviews za Kingkeke
@NassourJumaКүн бұрын
kijana mzalendo sana
@AmaniMrema-i3iКүн бұрын
Umejiteka we falla
@boneyme9433Күн бұрын
Huyu sio Mjenzi wa Jamii.
@hafidhimarijani49612 күн бұрын
"KILA MTU ATAKUFA".
@offcialfadhily4582Күн бұрын
Anajitahidi kumuiga zitto jinsi kuongea chaajabu imeshindikana😅😅😅
@venusbbyКүн бұрын
Nimesoma nae udsm, this’s literally how he always spoke
@RiziwanikupazaКүн бұрын
Uwongo umetawala dunia
@eliusandrew37622 күн бұрын
Huyu jamaa muongo, how in a critical condition like that, unapata muda wa kusoma majengo, kusikiliza redio, kujua maeneo, just asking tu, it can be true but I am worried about this explanation.
@JacquelineFabian-v4h18 сағат бұрын
Huyu ni kichaaa jaman izi siasa zinawahalib vijan ...wanaiga upuuzi
@yusuphmarijan3704Күн бұрын
Kijana hujatekwa waulize waliotekwa
@erickmkwera278411 сағат бұрын
Katoto kanadrama haka kaongo kanawachezea akili watu
@boneyme9433Күн бұрын
Mchochoaji Binafsi..ana TUMIA chama ACT..kutupokesha. INA TOSHA.
@JohnSasi-oe9miКүн бұрын
Ninyi watu wa Crown kuweni makini na errors kwenye uandishi, admn wenu awe very carefully mshakuwa wakubwa Sasa...Media kubwa ikue kikubwa zaidi
@atikombogolo23562 күн бұрын
Watu wanataka jamaa ajibu maswali akiwa amenuna....Ila watu MUNGU awahurumie
@molenicharles91072 күн бұрын
Mtekwaji tabasamu kuuuubwaaaa🤣🤣🤣😁😁
@sleeprelaxation8431Күн бұрын
sio kila tabasamu au kicheko kina ashiria furaha, kuna watu wanacheka huku wana maumivu au hasira, uchungu. ni tactic ya kutuliza ubongo.
@EidAlnadabei-uc4cbКүн бұрын
Kijana nianatatizola kiakili na sio kweli kabisa nimuongo
@mohamedomari6129Күн бұрын
Hata mama yako ana Tatizo la akili nakujua vizuri Tu. Ndio maana kila mtoto ana Baba Yake.
@vincentmokenye4465Күн бұрын
😂😂😂😂😂@@mohamedomari6129
@barrynzeyimana62702 күн бұрын
Kwenye uso wake panaonekana kwamba nyuma ya pazia Kuna uongo. Kwenye siasa ili utoboe kuna siasa siasa siasa nyingi
@barakamachard1944Күн бұрын
Angekua mwongo polisi wangeshamkamata
@husseinmrambaКүн бұрын
Hawaezi kuelewa hawa washabiki wa kuponda serikali yao hawajui siasa ni mchezo mchafu na kufanya/kuchanganya uongo kuwa kwl
@simbarajabu4157Күн бұрын
Acha matukio ya kujitengenezea , uwongo sio mzuri
@agreymbwilo5874Күн бұрын
Sasa mtu katekwa hadharani kabisa bado mnasema muongo mtaacha lini ubinafsi nyie?
@scoutpwanimchangani6711Күн бұрын
Muumize kweli alitekwa au alijiteka?
@MartineShijaКүн бұрын
Hamna mtekwaji hapa labda mjitekaji
@ShesheKaonekaКүн бұрын
Ndio huyuhuyu alikutwa iringa guest House, ooh nafurahi sana kumbe kuna wenye kumbukumbu nae tapeli kubwa linatafuta jinsi ya kuishi kijana mdogo anaacha kutafuta kazi anategemea utapeli wa kisiasa.
@barakamkailwa183416 сағат бұрын
Huyu nondo msanii tu
@MaryFlorence-t3m2 күн бұрын
Napenda utata wk 😂 but sijapenda ulichofanyiwa😢
@lutegomakoyeluhahula361Күн бұрын
Sikiza kijana.utakuja upate ulemavu wa kudumu,kwa kumjaribu muumba. Watu watakuja kukupuuzia coz,huu ndio umekuwa Ni Kama mchezo wako.
@CretusKihega2 күн бұрын
Mbona chama chako hakikuweka msukumo mkubwa pale viongozi wengine wanapotekwa
@FrancisNgomaitaraКүн бұрын
Maswali mengine hayana akiri timamu Kwan angepanda ndege akishuka airport hawezi kutekwa?ndege itampeleka had kwake?
@AbdulmujibAhmed3 сағат бұрын
Ulicema alfajir wakt unshuka mara sa 3 usiku
@ShesheKaonekaКүн бұрын
Wawe felix acha ujinga kama huna akili tumia artificial intelligence, we can't leave our beautiful country to nonsense politicians.
@chodaschodas6570Күн бұрын
we nae sema ukweli auwezi kaa kwenye bus 🚌 kutoka kigoma kuja dar eti kwakua unapandaga sio kweli uko ni mbali sana labda uwe auna pesa ila kigoma ni mbali kweli 😂😂😂
@boneyme9433Күн бұрын
Huyu na Umalya wake Malaya wake..tuna OMBA UKWELI.
@boneyme9433Күн бұрын
ALI TONGOZA kwenye Buss aka FUMIWA.
@RajabShayoКүн бұрын
Aise nondo nimuongoo hatar,ww unajiteka mbwa mkubwa
@Zanzibar-e4hКүн бұрын
Huyo alikuwa na hofu akenda hospital hofu watekaj km watarudi .polisi akenda watekaji wanapingu kwahiyo police na watekaj washikaji
@Zanzibar-e4hКүн бұрын
Kikeke spiral gani mbona unaukiza pumba
@renatusrutashobya639Күн бұрын
Kiukweli nyinyi vijana mnao ibukia kwenye siyasa. Mnamiemko sana kupitia kawaida kuwa mpinzani haikupi sababu wewe kutukana viongizi au au kupinga Kila kitu rakini pia bibilia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukoswa mahalifa. Ushauliwa fanya siyasa zakisitaalabu maana ata ulitumia nguvu wewe una dola mdomo hauwezi kuwa dola kuwa utakutetea
@exaverysimon1064Күн бұрын
WE BADO MDOGO SIASA ITAKUHARIB
@boneyme9433Күн бұрын
Aende kwa KAMBONA...
@KaizaMfuseКүн бұрын
Kiongo sana hiki kiumbwa,kiliwahi kujiteka kule mfindi ilinga
@Ajijji122 күн бұрын
Nchi ngumu sn hii kanajiona ni tundulisu
@RajabShayoКүн бұрын
Kanatabia yakujiteka,kahun tu
@ellyjacob989710 сағат бұрын
😂😂😂😂
@abdalahfundi7936Күн бұрын
Unataka kucoment unahela yakumlipa kibatala😂
@AbdulmujibAhmed3 сағат бұрын
Huyu kikekeke nahisi atakua kachero huyu
@simbarajabu4157Күн бұрын
Muongo sana huyu mtoto ,watu wakuteke mchezo hata jino wangekutoa
@JustinJoseph-k2tКүн бұрын
Ww bado kijana mdogo siasa zinakupeleka pabaya Jenga familia ona sasa unatembelea malungu
@Zanzibar-e4hКүн бұрын
West afrika bodaboda wanapakia maiti bodaboda anapakiwa mlevi chakari
@mchagagaspar66492 күн бұрын
MTANGAZAJI USIAHAU NYERERE NA KIWETE MAGUFURI KUWA MKWELI ,WATANGAZAJI HAMKO HURU KATIKA KAZIZENU WACHACHE MNO KUA MKWELI (KIKEKE SALOUM ) MBONA KINA MUUSIBA HAWATISHWI WALAKUTEKWA .....
@simbarajabu4157Күн бұрын
Umaarufu upati hivyo bwana mdogo
@simbarajabu4157Күн бұрын
Yaani ni maelezo ya kutunga ,yaani inaonekana kabisa ndio tabia yake ya kujiteka umaarufu auji kwa njia hizo
@ShesheKaonekaКүн бұрын
Kikeke huyo mpuuzi tu muhuni tu huyo, alifukuzwa chuo kwa kutangaza ametekwa akakutwa guest na mwanamka akafukuzwa chuo, tapering tu hilo.
@spantonsamba6191Күн бұрын
Mimi ningekuwa Abdul NONDO ,ningeifutilia mbali interview hii... siwezi kuhojiwa na mtu anaonyesha madharau
@adiaygo8546Күн бұрын
Huna akili huoni anajikanyaga
@ameirzapy1318Күн бұрын
😂 Kikeke ni system pia😅, ukijiongopea tu comment zote zitakukataa hapa
@adiaygo8546Күн бұрын
Kiongo Sana Hiki kimtu😅😅😅
@MaryamMany-fv4kbКүн бұрын
Usiombe yakakukuta utakuja kuwa mkweri ...yeye muwache na uongo wake ???😭😭😭
@adiaygo8546Күн бұрын
@MaryamMany-fv4kb we naye hanithi kivuje 💯
@boneyme9433Күн бұрын
Samahani..kwa NINI ana PEWA JUKWA?
@WillKilulyaКүн бұрын
Huyo ni msanii sana,siku za nyuma aliwahi kujiteka,akakimbilia iringa Kwa demu wake,Polisi Piga pingu huyo anapotosha jamii.
@AnnoyedFlowerPot-mr2psКүн бұрын
We hujioni kimdomo acha ongea mambo kisomi na elezea kisomi
@AmriMzeruКүн бұрын
Magari mengi Yana sehemu ya kuchaj Simu kwanini hakuchaj
@victorburser1717Күн бұрын
Poor point! Umesema nyingi hiyo kumaanisha sio zote na je una uhakika hiyo ilikuanayo sehemu? Je chaja una uhakika alikua nayo? Think big ndugu.
@EmmanuelMlowe-u1vКүн бұрын
Kaongo kakubwa sana kanasingizia police tu hamna kitu
@jamesjahasa3348Күн бұрын
Mwongo sana huyu anatafuta kiki
@boneyme9433Күн бұрын
UNI ali fukuzwa kwa UMAYA wa AKILI na UMPUMBAVU..Mdokozi..ZITO mfukuzze..fasta.
@salyali7807Күн бұрын
Namuomba Allah akuonyeshe wewe na family yako zaid aliopata Nondo
@CyprianoKikotiКүн бұрын
du wewe Nondo mwongo tuu
@salyali7807Күн бұрын
Namuomba Allah akuonyeshe wewe na family yako uone uchungu