Naomba niliwaze kwa wote wako ujuzi Tiba zako zikatize mie kwako sijiwezi ❤❤❤
@abdulhamidsuleiman49534 жыл бұрын
Tiba zako za usiku zinanipa usingizi Wenye raha na shauku pia nyingi njema njoz Ahsante Dada Cute Neyda Old is Gold taarab Zanzibar Asili haipotei @Abdulhamid de Zanzibar
@hamadnassor973318 күн бұрын
Asante sana unanikumbusha bali sana michenzan home shule kajificheni Mimi Hamad Nassor Armour